Nawapendaa saaana anzia dad mpaka descipless the humbleness in u is immense
@neemasaidisaid17913 жыл бұрын
Amen pastor mungu akubarikii ww na Tim yako yote.hakika nimepata ufahamu.
@naimakaguo37733 жыл бұрын
Eeeh Mungu nioneshe maisha yangu halis, kiukweli hayo mahubir n mm kabisaa kila nikiota huwa najiona maisha nayoishi sistahil hata baadh ya watu zaid ya wa5 walishawah kuniambia😭. Mungu aniteteee🙏
@juliakamau68153 жыл бұрын
Yesu asifiwe naitwa Julia wangari me ni kikuyu toka Kenya wiki kama nbili nilipatana nawewe mtumishi wa mungu nimefuatilia Sana mafudisho ya roho mtakatifu kufanya kazi Dani yamtu nimeokoka miaka nyingi bt sijawahi fun wa neno ya mungu nikaelewa kama vile nimeelewa kwako nimeskia nikama ndio nimeanza kusikia neno lamngu umenisaidia Sana mungu aedelee kukuenemisa amen
@bennamuchau64873 жыл бұрын
Baba unissidie kujua potential ulioiweka ndani yangu ukaondoe kugandamizwa kwa jina la Yesu Kristo .
@jumanicholas89872 жыл бұрын
I wish I knew about your teachings long ago, I have to pursue my dream in Jesus name.
@petermunuo16572 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@joycemaige68383 жыл бұрын
Daddy Bella tokea umeanza kuongea na kusikiliza ndani yangu ni machozi tu najiona kabisa unaongea na mimi from Oman napitia changamoto makandamizo ni makubwa lakini Mungu ajawahi niacha ndio kwanza anazidi kuninyanyua juu lakini machungu nimakubwa sometimes nakata tamaa lakini Roho mtakatifu anazidi kuniweka na kunipa nguvu kupiga kazi barikiwa mtumishi
@buhigwedc28273 жыл бұрын
Amina baba hili neno in langu kabisa ninaishi kama coup duniani
@joycekaje87553 жыл бұрын
Ubarikiwe Pastor, nimejifunza mengi kutoka kwako. Katika maisha ya kiroho na ya kimwili.
@JifunzeNenoLaMungu2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Sasa tufanyaje kufikia hayo maisha yanayotakiwa.???? Mm naonaga vitu vikubwa Sana, na nilivyo Sasa ni Kama chekechea na chuo...
@annstersianganga67723 жыл бұрын
Amen Amen nimelipokea neno lako Bwana YESU nalitimize mapenzi na kusudi lako kwangu Amina.
@juliakamau68153 жыл бұрын
naomba unaweza Kuja huku Kenya kutufunza makanisani uwaja wa kasarani Nairobi
@joycekaje87553 жыл бұрын
Kweli Pastor, wana wa Mungu ndo wanalia mno
@danielkyalo56663 жыл бұрын
Amen amen thanks for the good teachings now I can understand what am meant to be in my life.