Amen Asante Sana Bishop Sanbella kwa mafundisho mazuri ya NENO 📖 la MUNGU aliye hai..kutufungua ufahamu wetu...nimefungusa Sasa nataka nianze kupiga hatua nyingne zaidi..jina la YESU litukuzwe 🙌🙌🙌
@neemasaidisaid17913 жыл бұрын
Amen. Asante bwana yesu kwa ujumbeee huuu. Nimejipata nilipo.Nasongea mbele zako nikumbuke.wabariki watumishi wako wafiche ubavuni mwako adui asiondoe cha mungu na kuweka cha kwake.bali wape kunena kwa ujasiri ili tupoke kupitia wao.Amen
@esaiehakizimana57832 жыл бұрын
Vizuri sana kwa mafundisho haya nimeingia kwa ngazi nyingine nakuona uwepo wa Roho Mutakatifu kiwango lingine nimebarikiwa Mungu azidi kunifundisha nakunifunguwa maco na masikio ya kiroho kiwango lingine .Barikiwa wapendwa Damu ya Yesu Kristo ikawafunike Siku zote
@petermunuo16572 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@juliakamau68153 жыл бұрын
Ameeen toka Kenya mimi naskia nimepata baba yangu wa neno nimesaidika Sana mungu akubariki mtumishi wa mungu.tuko one line
@zakayomungai2 жыл бұрын
he is a good teacher
@zakayomungai2 жыл бұрын
Mambo mengi umeyataja ni mambo nimepita,nina nyota ya kungara lakini yote hua ni vita vikali vilivyo.Mungu anipe nguvu na ushuhuda mwaka huu.asante
@ramadhanhezron1323 жыл бұрын
Amen lazima ndakua na ushuhuda🙏🏻
@adrienbahati96133 жыл бұрын
Mimi nimekutiwa kwene aina 2,nilianzisha NGO international mu Drc. tulipopata fiancial fund kuhusu miradi East Drc kwa myaka4 tulipo anza kwa mwezi wa 3 wakanifukuzwa kazi bila sababu hivi kweli naona Mungu anakutumia kwa kiwango cha juu. Mutusaidiye.
@JifunzeNenoLaMungu2 жыл бұрын
Hapo kwenye kupoteza vitu nimekumbuka vitu vyangu nilivyopoteza hadi kichwa kikauma.. Gari langu, pikipiki zangu, pesa... Mungu nisaidie virudishe
@dokasimwamlima35503 жыл бұрын
Amina
@adrienbahati96133 жыл бұрын
Nilikuwa Finance and administration Manager tangu hapo nikakata tamaa na hivi ninajificha mahali nipumzishe kichwa juu hii inakuwa mara ya 2 mambo haya ya natokeya