Amen amen. Shetani anangaisha watu sana. MUNGU MKUU akuepushe na majanga haya. Ni hatari kubwa. (Nabaki na YESU MWOKOZI NA MWANA WA MUNGU MKUU ALIE HAI MILELE YOTE) Amen.
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Amen
@mashaelieazer61204 жыл бұрын
Jamani acheni kumwamini shetani,shetani hawezi kukupa furaha hata siku moja.kazi ya shetani ni kuua,kuharibu,.kwa Mungu kuna furaha,amani, na uzima.
@sarahyvonne45804 жыл бұрын
Amen amen amen
@mwamurekadenge21614 жыл бұрын
Shukran kwa kutupa ufahamu mzuri tumejifunza Devistar mata story nzuri God bless you 🙏😢
@naimanurdin89844 жыл бұрын
Ya Rabyi twakuomba utunusuru na Tamaa za kidunia na mengi Yasokupendeza wewe Mungu Tnakuomba Utuongoze kufanya yalo mema na utajalie Mwisho Mwema Ameen
@mamoulovecherry51214 жыл бұрын
Subhannallah innalillah wa innalillah raji'un ewe Mola wetu tunusuru ila wana wake mto wajahan tuko weng jili ya upuunzi wetu😞😞😞
@ZainabZainab-tv9ir4 жыл бұрын
Subhanallaah eee mungu tupemwishomwem wajawako
@twitedmind54064 жыл бұрын
subscribe channel yangu nami nisubscribe ya kwako
@fasanitzfasanitz96314 жыл бұрын
Amen
@fatmaalrshdii76154 жыл бұрын
Mungu atunusuru na tamaa za duniani atupe Mwisho mwema in shaallaa pamoja sana wangu dm
@abdulhalimhumud19174 жыл бұрын
Mr Facts hongera kwa Kazi Mzuri unapambana Mungu akubarik amen 🙏 (ila watu Wengine Dah ujinga umetawala mganga Wenyewe Maskini Kwanini asiwe Yy tajiri km Kwa mganga Kuna utajiri Mungu atulinde na Mtihani hi amen Dah wamemdhulumu bure mtoto Maskini kisa utajiri Dah
Subhanaallah Allah anijaalie uridhike na umaskini wangu , mali ni mtihani.
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
Amin
@arqamibnarqam.71854 жыл бұрын
Amiina
@saidhamad5334 жыл бұрын
Amiin
@khadijajuma14084 жыл бұрын
Subhana Allah Ya Allah tunusuru na udanganyifu wa dunia
@farhatfarhat38164 жыл бұрын
Sisubutu ata kidogo kuloga mwanangu akilogwa na jelani tu naumia je mm mwenyewe Astaghafilulahi astaghafilulahi MUNGU ninusuru bora niridhike na hali yangu
@khadijaomar84274 жыл бұрын
Mulikunwa juice ya mbegu🤣🤣🤣🤣
@hamidibrahim53694 жыл бұрын
Mtoto zezete Mali hakuna na majuto hadi mwisho, inasikitisha. Allah akikuepusha na ushirikina inafaa unamshukuru kila sekunde maishani mwako. Badala ya kwenda kwa mganga wange swali tahajjud pamoja wamlilie Allah, wenyewe wangeona mabadiliko
@peteryukunda92392 жыл бұрын
Hamidi umeonae!
@abuu_khaki41204 жыл бұрын
Mr.. facts DUNIA INAMENGI ENDELEA KUTUFUNGULIA tuna burudika na tunajifunza kupitia vipindi vyako ....
@sarahogama95404 жыл бұрын
Wapi part 2 plz,,, aka kastoty kako touching Sana
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Ila shetani mshezi tena ni jeuri. Yn shahawa zko then unywe daaah😀😀😀😀😀😀😀😀😀inasikitisha uyo ni jini na sio mtoto ndo mana akataka shahawa zko .lengo Lao uyo mtoto anyonye damu ya mama .watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa 🙌🙌🙌🙌🙌waganga waganga waganga Mungu anawaona.yan waganga wanafanya vaisa vesa.mganga awezi kukupa mtoto anae toa mtoto ni Mungu tuu.na waganga sio watumishi wa Mungu Bali wa shetani so shetani ana uwezo wa kuumba. Wanacho Fanya waganga wanawapandikizia majini then yanawatafuna.
@biusimohamed10494 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU tunusuru na shiriki
@SamsungA-su2qj4 жыл бұрын
Ushirikina ni mbaya kweli jamaa kanyweshwa shahawa zake duh mungu angepitisha miujiza akabeba mimba ingekuwa raha sana
@titodaudi89494 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa laaana kabisa
@aishakhasim14404 жыл бұрын
Alhamdulillah Allah kwa kunipa wazo la kuja dubai🙏🙏
@goodgood93704 жыл бұрын
Mtoto wangu au wandugu yangu @)😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aishabeka55624 жыл бұрын
Nakukubali sana Mr Davistar Mata
@oprahsalum81854 жыл бұрын
Hela hizi !! Waende kwa Bishop Gwajima not all gltters are gold unaona watu wana hela unatamani that money is not really, Lord Jesus Christ can heal them
@qelseykenya39334 жыл бұрын
Niruhusu tu nicheke😂😂😂😂😂siwezi kunywa...
@khadijajuma14084 жыл бұрын
Subhana Allah Atakuwa jini uyo
@blandnamasala85134 жыл бұрын
Mungu kuwarahani ujue mungu akupenda
@somoeawadh77744 жыл бұрын
SubuhanaAllah... Allah Tupe mwisho mwema
@khadijajuma14084 жыл бұрын
Subhana Allah Umekunywa shahawa jamani
@najmamohmad63484 жыл бұрын
Hahaha Davistar wasema unywe macho wayatoa mmmm kz na uyo mganga nitajiri ama nyumba ya kuinamisha kiuno
@juniorcantona40404 жыл бұрын
Shabashi!!!! Hivi akili zenu maji au??? Tamaa mbaya sana!!! Na adhabu ya Mwenyezi Mungu ipo juu yenu!!! Kumbuka moto wa jehanamu kuni zake ni watu na majini... na watu wenyewe ndio nyinyi..!!!
@wemakalamu35384 жыл бұрын
Innallillahi wainna illahi rajiun binadamu mnatisha sasa mmmh mpaka naogopa kwa kweli.
@mariamm27244 жыл бұрын
Siwapendi waganga mimi jmn, kwa chochote kile, pia sio watu hao
@saidhamad5334 жыл бұрын
Ukisubut kwenda kwa mganga basi tarajia shida katika maisha waganga sio watu
@zainabwambui90304 жыл бұрын
Tamaa mbya sana Allah aniweke mbali na tamaa ya dunia
@khadijajuma14084 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@mackynicky58324 жыл бұрын
Mungu baba nisaidie niridhike na unachonipa
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
Mungu atusame waja wake kwa tama za kiduniya
@hamidaalhabsi85684 жыл бұрын
Mungu wangu tusitili turidhike NA maisha tulio nayo tamaa MBAYA. Pesa haina mwisho. 💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@allymtamilwa68994 жыл бұрын
Duh tusipotumia akili zetu vizuri haki tutamkosea mungu saana
@jasminali59214 жыл бұрын
Alhamdulilah l Leo kidogo nimekuwa wa 5 ila pole sana
@dullamburu17184 жыл бұрын
Pole sana broo ndo changamoto za maisha lkn na wanawake acheni mambo ya ushirikina mna yapenda sana Kwa kweli.
Mungu haezi umba watu vizuri wengine viwete hii niujinga wamwanadamu,ndo maana mungu alisema watu wangu wanangamia kwakukosa marifa,
@aishaanthony45084 жыл бұрын
Mwenderezo
@vumymushi46074 жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie Tamaa ni mbaya jamani mtegemee Mwenyezi Mungu peke yake anatosha.
@magdalenamatiko99954 жыл бұрын
Siku zote ukiona mshirikina ni mchafu kweli,anafanya uchafu anakula vitu vichafu na moyo unakuwa mchafu vivyo hivyo
@phylislukuyu78014 жыл бұрын
Oooooh GOD have Mercy on us
@leylahloo58634 жыл бұрын
Subhanallah jameni sheitwani niadui kwetu sisi binadamu eeehh is to sad sad
@mariamfritsi97614 жыл бұрын
Majuto ni mjukuu.
@angelrimoy23654 жыл бұрын
Alf watu wa namna hii ndo wakwanza kusema wanalogewa watoto wao kumbe wanawaharibu wenyew lool???
@mwatimeabdallah79454 жыл бұрын
Davista mbona Kama umevaa nguo ya kulali au usiku
@fatmasule11754 жыл бұрын
Ao waganga munaowaendea wawape Mali wao hata nyumba hawan mtihan kwa kweli
@halimaomari75894 жыл бұрын
Ila ndugu zetu watanzania mnapenda shiriki sana
@tullyedward4354 жыл бұрын
Kaka umenifanya nisitamali nimuonapo mtu tajili ctaman hata kidogo
@twitedmind54064 жыл бұрын
subscribe channel yangu nami nisubscribe ya kwako
@niaanthony95884 жыл бұрын
Hawa matajiri asilimia kubwa wanamengi wanasili kubwa sana
@esterelias81894 жыл бұрын
@@niaanthony9588 mimi siwataki matajiri ukweli kutoka moyoni.
@enestinajosephat12694 жыл бұрын
Davista kazi nzuli Sana kaka unajitahidi binafs story zingine zinatisha lkn daaa
@sureommaboy25144 жыл бұрын
Kuna Sehemu Mtanga Zaji ume Mtisha Sana Musika
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Simama mwenyewe yesu😪😪😪
@faidhirashidi13544 жыл бұрын
mzee jana nimekuona kigamboni hulikua unaulizia gari za kibada
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Maziwa yanatoa damu omg.
@lenniefei67104 жыл бұрын
Watoto wa jinsi hiyo nimewaona wengi tu kumbe maskini wamewekwa misukule wazazi wapate pesa!!! SubhanAllah tumuogope Allah turidhike na kile alichotujalia....Mwanadamu tamaa ya upuzi ilhali maisha yetu mafupi kifo tunatembea nacho kila uchao
@aminajuma80984 жыл бұрын
Mbona hajatuambia ladha iko vipi? 🤸😆😆
@farhatfarhat38164 жыл бұрын
Yani nilikataa wachumba watatu matajili na bibi yangu alinikataza kuolewa na matajiri aliniambia ogopa sana utajiri usioujua umepatikana vipi na sasaivi nimejifunza bora nimewachukia waganga siwapendi waongoo kz yao kuwaweka wenzao misukule
@haarunsaidabdillahi40822 жыл бұрын
Imani ya Kiislamu ni kuwa dhambi kubwa kabisa ni ushirikina.Hawa wanalea zezeta,dhambi wamepata na mali zimeondoka.Wamebaki na Maputo uhai wao wote.
@hadija8464 жыл бұрын
maisha mazuri ni kinga tu ya mwili wako na jitihada za kufanyakazi yoyote. Sasa haya masimulizi unamuamini vipi mganga huu ni upumbavu huyo mganga akamatwe kabisa labda kafanya mambo haya kwa wengi sana na bado anaendelea kuwatesa watu hatari sana❌😭
@hildaernest10904 жыл бұрын
Hapo kweny kunywa shahawa sasa mmh
@chauligemeka78404 жыл бұрын
Mtihani
@shebaminde76564 жыл бұрын
Ni mwendo wa kunywa mbegu daah
@preciousgrayson20214 жыл бұрын
Aisee zimechukuliwa nyota,baraka na uthamani wa kizazi chenu + nafsi = u need deliverance
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Turidhike na alivyo tujaalia Mungu kwani vitokavyo kwake vina thamani na huwezi jutia kumbuka anaebariki ni Mungu pekee yeye hawahi wala hachelewi,kuwa na subra atakubariki
@hassanm.52915 ай бұрын
TZ wacheni hizi vitu
@silimazdu11004 жыл бұрын
mtu makini nakukubali wewe kweli ni makini videos anazotuletea ni mafunzo makubwa sana never give up davista
@eshialabonita77364 жыл бұрын
Duh wanawake sisi tutakua kuni kesho kiama maana mwanamke ndio kamshawishi mwanaume
@mrsochu-hv7bm4 жыл бұрын
Davistar..mbona umeshtuka kuckia kunywa Izo mbegu......yan ni mtihan kwakel
@jumakoga21794 жыл бұрын
Acheni shirki Allah hatamsamehe mshikina siku ya kiama , riziki anatoa mwenyewe acheni huo uchafu, sasa mbona hamkupata,
@aishachambo32934 жыл бұрын
Duniani kuna mambo jamani 😳😳
@mohamedalirajabu40344 жыл бұрын
Yaani kabla hata sija maliza kuingalia huyu jamaa boyaa sanaa sasa wote tukiwa matajiri nani ata muomba mwezie na katika maisha utajirii hauji mara moja lazima ujitumee kwanza ila pole mungu ata kuhukumu ila ume uhuru wake huyu mtoto na nafsi yake haita kuacha hadi una kufaa
@babarahmababarahma604 жыл бұрын
Hahahaa DM unashangaa unywe ???
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Pesa zinakujaje zinakufata🤣🤣🤣
@marymary67584 жыл бұрын
Subhanaaà
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
Wacha nife maskini wallah
@esterelias81894 жыл бұрын
Mimi ngoja niendelee kusuguwa masinki kwa warabu..
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
@@esterelias8189 kabisa bora ni teseke huku saudi mimi kuliko kukufuru kiyasi kubwa
@juliusphabian63364 жыл бұрын
😖😖😔
@dottokulwa70754 жыл бұрын
Aiseee dunia inamengi wawezasema mie wa motoni kumbe wapo waliofanya makubwa kuliko mie duuh? Allah tunusulu wajawako
@Mpakauseme4 жыл бұрын
aisee alipatikizwa jini , hatari sana
@esterelias81894 жыл бұрын
Jmn me kabla sijasikiliza chochote naingia kwenye comment kama ni nyingi ndo niangalie.
@mwatimeabdallah79454 жыл бұрын
Hahaaaa
@esterelias81894 жыл бұрын
@@mwatimeabdallah7945 hii tabia sijui ntaiacha lini?
@salvatorykyakwe86064 жыл бұрын
Daaaah utajiri huuu jamani aaaah
@mishidede54734 жыл бұрын
Majuto ni mjukuu🙄🙄yote tamaaa
@awadhirajabu77544 жыл бұрын
Yani Nawewe Umekubali Awa Akubadili Mawazo Yako Bola Ukawa Mchawi Wa Mwendo Kasi Fasta Tu
@sportsgram73644 жыл бұрын
Bro naona kweli unazunguka maeneo mengi. Kama unaweza ukafanya namna uwe unaweka hata namba za kukuchangia kiasi kwa ajili ya kuwezesha kazi yako. Kweli unatufunza mengi na tunajua mengi kupitia hizi stor
@sashaelias5184 жыл бұрын
Yani nyie mnafikili anaweza akafany Kaz bila faida asee mgejua maana ya yutbor msingemuonea huruma huyu Dev anapiga her San hiz story ujue mnaangaria watu Zaid ya 300/ Sasa kila clp inapesa ya kufa mtu nyie mnaona anasafir bule kusak story bule mwenzenu anapiga pesa San
@magdalenamatiko99954 жыл бұрын
Joka hilo,peleka kanisanilikafanyiwe maombi
@wantangosaimon52954 жыл бұрын
Davixter unaxhangaa kunywa mbegu za kiume ndo ujue utajili c masiala nilienda kijiji kimoja mama ntiliye anauza huku yuko uchi anawabong'olea lakin hamuoni kinachoendelea
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Mimi ningemrudishia huyo mtoto mganga
@hellenmanzi47404 жыл бұрын
Sio mtoto uyooo mpelekeni kanisani uyo mtajua2
@zakialustan7224 жыл бұрын
Kanisani kuna nini wewe mwana uliepotea
@hellenmanzi47404 жыл бұрын
Bac aende kwa mganga kma alipotoka
@mectirdaoman45314 жыл бұрын
Huyo nizinduna siyo mtoto
@haarunsaidabdillahi40822 жыл бұрын
Wateja wote wa Davister ni wachawi na washirikina waliofeli.Mwisho wa ubaya ni aibu.
@mamuliciosrajab66644 жыл бұрын
😱😱 Ya Allah Tunusuru
@mtuwawatuhoyee65494 жыл бұрын
Pia Allah ni miungu sio Mungu wanadai.
@mtuwawatuhoyee65494 жыл бұрын
Pia Allah si Mungu vile wanadai ni miungu.
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
@@mtuwawatuhoyee6549 tobaa
@habibafeithal40144 жыл бұрын
Huku kwetu yupo mtu kama huyo kamfanya mwanao ndondocha lakini yy mkewe anazaa kila mwaka
@blandnamasala85134 жыл бұрын
Anachojificha kitu ganipumbavu amuna hakli wote mmelikologa kulinywammeshindwa
@eunicewambui46454 жыл бұрын
Dah sasa mali haina furaha ya mm
@towettcheptoo30474 жыл бұрын
Majuto mjukuu
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Bora nife masikini kubeba mimba na kuzaa mtoto mbovu kisa pesa God forbid
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
Kuna watu wana roho nguvu wallah mtoto wenu mwenyewe mumfanye zezeta kisa pesa