MVUVI ALIEPOTEA ZIWANI CHINI YA MAJI KWA MIAKA 6 AREJEA AKIWA HAI AELEZA ALIVYOCHUKULIWA NA MAMBA

  Рет қаралды 21,411

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@oscarlemamaringo8081
@oscarlemamaringo8081 2 жыл бұрын
Mungu akubariki davista 🙏🙏🙏hizi habari unazotupa zinamaana kubwa kwa Mimi Mungu akubariki sana tena sana
@winfredmapunda3604
@winfredmapunda3604 2 жыл бұрын
Jamaa anasimulia vizuri sanaaa sanaaaa
@samwelmwigicho3092
@samwelmwigicho3092 2 жыл бұрын
Hongera bwana davista mata MUNGU akutangulie
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 2 жыл бұрын
Amen ahsante
@sukisa1234
@sukisa1234 2 жыл бұрын
Naogopa Sana maji yanatisha
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 жыл бұрын
Hayo magugu maji huwa yanatunza mijoka wakati mwingine unaweza kukuta kuna hata mbuzi maana yana kama msitu ndani yake maana huwa yanazuia hata meli isipite ama isigoe nchi kavu
@juliethmagige5705
@juliethmagige5705 2 жыл бұрын
Ok
@munabalushi2964
@munabalushi2964 2 жыл бұрын
Good 😍
@Patience.67
@Patience.67 2 жыл бұрын
Asante davistar 😍
@mercikatate9033
@mercikatate9033 2 жыл бұрын
Nakusalimu my brother
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Kidogo umebadilisha story Safi sana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
😅😅😅
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Nimesoma comet nimeshawishika kusikiliza.maana niliachaga kufuatilia muda tu Udini mwingi sana.
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
We sikiliza tu kaka dini zote zinamkataa shetani mbaya sana ukiona kipande ukielewi kiruke ila kuna mambo mengi yakujifunza hapa Duniani
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
@@bakari-si1pw mtu anafanya mambo yake ya ushetani kwa tamaa zake,kisha anasema dini fulani aifai ndugu na shetani.
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 2 жыл бұрын
@@thumnathumna5946 mm nlisita sk kadhaa alipokuja Hassan na Mnyeshan lkn hapa ndio nyumban nimerud kitambo
@evachuw8092
@evachuw8092 2 жыл бұрын
Mr everything 🙏
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 жыл бұрын
David star huyo jamaa kwa kuwa ameshatega makokoro kwenye mialo ya kirumba muulize kama anaujua mwalo wa mgunda, gabarema na kwenye makonyi ya karumo. Mm ni mvuvi wa makokoro kuna sehemu tunatega panaitwa kwenye makonyi huwa tunakutana na chui mnyama anaingia kwenye mtumbwi anakula samaki pia kuna mamba hana mkia ila hawana madhara bali wanaleta samaki, muulize jamaa atakuwa anajua, mwambie mm ni meja wa kokoro halafu ni mgoaji
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Tutapata jibu kaka itakuwa na wwe una story Kari sana davistar atakutafuta kama unge penda tusikie bro
@petermwaibofu3260
@petermwaibofu3260 2 жыл бұрын
@@bakari-si1pw hata wewe utuletee ya kwako
@oscarlemamaringo8081
@oscarlemamaringo8081 2 жыл бұрын
Tupe habari inaonyesha unakitu Cha kutuambia
@lassmussa299
@lassmussa299 Жыл бұрын
Naomba wamayo part 46
@OsuBei
@OsuBei Күн бұрын
huyu jamaa anaongea kama mwakinyo😂😂😂😂😂
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Pamoja sana Mr every thing
@michaelmgege4600
@michaelmgege4600 2 жыл бұрын
👊👊
@TelespholKimazi
@TelespholKimazi 4 ай бұрын
Sina shaka ckumoja na me mjomba wangu aliye zama ndani ya ziwa Rukwa 1988 atakuja kuludi
@kalangwapaschal7718
@kalangwapaschal7718 2 жыл бұрын
Waganga hawwokowi,ila yesu tu
@shirazseleman9593
@shirazseleman9593 2 жыл бұрын
napend story km hz
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 жыл бұрын
Jamaa anaeleza ukweli kabisa, sisi wavuvi tunajua siri nyingi za majini, kuna mambo mazito tunakutana nayo huko doro, yaani yataka moyo, ziwani hapahitaji mtu mropokaji atakufa fasta, mm nimefisha jamaa zangu wasiopungua 17 kwa ishu za ziwani, ukisikia majini ni majini kweli cyo mchezo
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 жыл бұрын
mie nimevua sana hizo khabari sikubariani nazo
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 жыл бұрын
@@jesusislord9190 labda ulivua chupi siyo samaki au dagaa
@eliyaerick9205
@eliyaerick9205 2 жыл бұрын
😂😂wewe yaan kila mwenye story akisema kitu na wewe unasemaga ushapitiaga Mara ushaingiza bangi jela Leo ushauwa mvuvi Mara ushaendaga sauth 😂😂Muongooo bhn
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 жыл бұрын
@@eliyaerick9205 mie nimezaliwa kasanga sumbawanga sawa...nimekulia dar kunduchi pwani...sawa nimefika kwa uvuvi ukala eubonwa..bukiko..busere na kwa chamoto...nimevua ziwa rukwa iranga.kichangani.....so what?? ... nimeuza madawa ya kulevya south Africa nimefanya wizi south Africa..nimeuza madawa Denmark what nimepita kuto huko wewe ni ngumu kupita huko kwasababu hujawahi kupita..maisha yangu na yako ni tofauti sana mpaka kufika MUNGU kuniokoa nilikopita ni mbali..wewe subiri sana sana ndio maana mtu akitoa story kwa mfano yule jamaa anasema walienda south Africa wakamchonganisha mchungaji bushir bushir wewe unamsikia mie namjua kabisa kwa kukaa nae maskani kupiga nae story...so nakataa kitu ambacho nakijua nakubali kitu ambacho sio kweli
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 жыл бұрын
@@eliyaerick9205 maisha unayoyaona kwenye movies ya drug dealer nimeyaishi maisha unayo yaona kwenye movies watu wanaiba bank nimeyaishi..maisha unayaona kwenye movies watu wanateka gari la hela nimeyaishi so ..don't know nothing about me.. anaenijua ananijua.... ndio maana wengine hapa huwa tunawakatalia kuwa unadanganya..
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen 2 жыл бұрын
Igombe ndo kwetu niukweli huyu kijana amesema lakini mungu yupo pamoja na yeye
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Poa sna
@agnesndinda6484
@agnesndinda6484 2 жыл бұрын
Wah aki watanzania wanakuanga na story za ajabu ajabu na sijui kaa niza ukweli ama ni show tuu,,,,mimi mkenya but sai nko Saudi Arabia (Jeddah)
@neemaneema9969
@neemaneema9969 2 жыл бұрын
Kuwa kwako Jeddah haituhusu Pambana na hali yako huko
@valencianyiva4531
@valencianyiva4531 7 ай бұрын
if you think is a lie why listen
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 ай бұрын
​@valencianyiva4531 it's wonderful 😂
@videozaaj1069
@videozaaj1069 7 ай бұрын
Baada ya kuwa mbali kdg na channel hii kwa muda kidogo sasa nimerudi rasmi
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 2 жыл бұрын
We jmaa n muomgo yan gar yaigombe ipte kirumba
@juliethscott1129
@juliethscott1129 2 жыл бұрын
Mtangazaji hatumuoni uso
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Unapoteza muda kidogo una maswali yanayomtoa mtu kwenye mada .
@mussabihonyi4980
@mussabihonyi4980 2 жыл бұрын
0
@nyauskobies5522
@nyauskobies5522 2 жыл бұрын
Wacheni huongo. Hakuna mtu anaweza ka chini ya maji kwa miaka sita. Uongo mtupu.
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 ай бұрын
Ndugu yangu usibishe hii dunia ina mambo mengi na vibweka vingi mambo hayo yapo wala usibishe
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН