No video

MUME ASHINDWA KUVUMILIA, AANIKA UKWELI "MKE WANGU ANANINYIMA UNYUMBA / MIEZI 9 SIJAPEWA"

  Рет қаралды 13,618

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

MUME ASHINDWA KUVUMILIA, AANIKA UKWELI "MKE WANGU ANANINYIMA UNYUMBA / MIEZI 9 SIJAPEWA"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 117
@Zubaiba
@Zubaiba 5 ай бұрын
Ww ni mwanaume basi jiongeze ,kweli brother ww ni kilaza
@giztony2009
@giztony2009 4 ай бұрын
Naweza kusema hamna mtu ambaye hanyimwi hiyo mambo nilichogundua kuna sababu nyingi mfano unarudi umelewa halafu ucku mkubwa usitegemee upewe game! Pia kuna mazingira ya kupewa game kuna wakati mke anakuwa amechoka au hana mood nzuri usitegemee akupe mchezo ila cha kushangaza wanaume wanachukulia kama wamenyimwa unyumba
@danielmabula2154
@danielmabula2154 4 ай бұрын
Pole brother yaani hilo ni jambo ambalo lipo kwa watu wengi 😢hata mimi nipo kwenye kipindi hicho. Ni mwezi wa sita sasa hamna kumgusa na haniyafuti kwa sms wala kwa simu mpaka nimtumie mimi na hata nikituma anajibu kifupi tu hujambo! Sijambo imeishia inakera sana
@saidthuwein7950
@saidthuwein7950 5 ай бұрын
Bado sijaelewa umepeleka shida zako na familia yako redioni ili iweje yani!
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 ай бұрын
Usungo
@marianalyimo
@marianalyimo 5 ай бұрын
hakunaga mwanamke anafanya jambo bila sababu, lazima kuna kitu ... upande wa pili tusikie
@Zainab_salat
@Zainab_salat 5 ай бұрын
Nimecomment sawa na ww ninasoma comments ninaona comment
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Nikweri
@romanasulley83
@romanasulley83 5 ай бұрын
Huyo ana mtu mwingine ambaye wazazi wake wanamsapoti....😅
@halimaoman8726
@halimaoman8726 5 ай бұрын
Pole kaka yangu Mungu atakuja kukujalia mke mwema furaha ya moyo wako jipe moyo usikate tamaa mitiani hipo na unajalibu yapo yapi
@user-vx5cn4jl9u
@user-vx5cn4jl9u 5 ай бұрын
But wewe ni mwanamke pia😂😂
@leonardbarber9778
@leonardbarber9778 5 ай бұрын
Tafuta hela jamaa huwezi heshimika huna noti kaka 😢😢😢😢😢
@brunoh_bx
@brunoh_bx 5 ай бұрын
Unaweza ukawa na hizo noti na bado usiheshimike, heshima katik ndoa inajengwa na mambo mengi sana
@leonardbarber9778
@leonardbarber9778 5 ай бұрын
@@brunoh_bx pole kaka
@mussaananiasmyonga727
@mussaananiasmyonga727 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@mussaananiasmyonga727
@mussaananiasmyonga727 4 ай бұрын
Bruno upo correct
@brunoh_bx
@brunoh_bx 4 ай бұрын
@@mussaananiasmyonga727 Pamoja sana
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Kwahiyo umestaki kwenye midia leo utapewa 😂😂 auutaachwa kabisa😅😅
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 5 ай бұрын
Mmbo ya zaman hayo mtu ache kukuna nazi aje akupokee mfuko tuu jaman hebu kuna mda hawa wanawake nao waonewe huruma
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 5 ай бұрын
Kwa iyo stori zoote alizohathia hapo we umeona lakupokewa mfuko tu.
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 5 ай бұрын
@@FahadAbubakari ww mtu hajamuowa kwann ampelekeshe atakavyo
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 5 ай бұрын
@@khamismgunya4519 Ata ustaarabu ni kupelekeshwa kupokewa kuambiwa pole ni vitendo vya kujali na kuonyesha mapenzi pili katika mengi alosema hapo ilo ni dogo tu kazungumza yamuhimu Zaid ya Hilo
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 5 ай бұрын
@@FahadAbubakari ukitaka hivyo unatakiwa kuowa akisha kuwa mke wako bsi uko na amri bint wawatu hujamuowa unataka akufanyie kila kitu kaka fahad umeona wapi hiyo
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 5 ай бұрын
@@khamismgunya4519 sasa Hao tokea mwanzo hawakua na ndoa na hayo ndo maisha waloamua hapo haizungumziwi ndoa Bw Khamis inazungumziwa namna ya maisha walokua wakiishi
@smarty1064
@smarty1064 5 ай бұрын
Si ulimpendea tako, acha akunyooshe 😆😆😆 ... ila wanawake wapo kibao ukiona kazingua huna haja ya kuja kwenye vyombo vya habari, rudisha kwao chukua mwingine endelea na maisha yako kimya kimya, ujue sio riziki yako ..
@Zainab_salat
@Zainab_salat 5 ай бұрын
Au unakibamia siku hizi kuna slay queens
@user-oo3np9be8m
@user-oo3np9be8m 5 ай бұрын
Sasa mambo ya mahusiano mnaleta kwenye redio
@user-db1uy6hv9q
@user-db1uy6hv9q 5 ай бұрын
Sasa siunapiga chini 2 nakuchukuwa jiko lingine
@TeamKRX
@TeamKRX 5 ай бұрын
Hamjaowana hapana ndoa hapo huyo muislamu hafai kisheria kuwa na wewe jua hilo itakuwa ni waislamu wasio ujue uislamu wao mana kiusilamu mwanamme wa kislamu inaruhusiwa kuwa na binti asiye muislamu na Pia amsemeshe mpaka amtoe kwenye ukristo amlete kwenye uislamu
@user-wi5xl4fs2v
@user-wi5xl4fs2v 5 ай бұрын
Katombwe mbaliiiii
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 ай бұрын
Kupokea si lazima ni ihsani kwani hujui pa kuuweka, sio lazma.
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 5 ай бұрын
Wewe unatutia aibu demu akikuzingua piga chini tafuta chuma kipya
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 ай бұрын
Na ukimwi atamwachia nani?
@levinalyimo6240
@levinalyimo6240 5 ай бұрын
Acha kusimilia ujinga. Wewe
@user-mv1qs6vj1z
@user-mv1qs6vj1z 5 ай бұрын
Tuleteeni na bibi yakee,tuskize
@blandinamanongi8818
@blandinamanongi8818 5 ай бұрын
mwombe mungu
@user-zk5pk7vl3q
@user-zk5pk7vl3q 4 ай бұрын
Wew boya kweli
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 ай бұрын
Huyu mwanamme mshambaraaaaaaa sana. Sasa unakwenda kwa media ndio mbadala ya wazazi? Weee bwana mshamba tena mdhalilishaji akupokeee huko kote ulikotoka nao kakupokea nai. Nenda kakojoe ukalale baba huna sera huna hoja.
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 5 ай бұрын
Good morning mlete muendelezo wa story sasa story zenu huwa ni nzur shida hazina muendelezo
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 5 ай бұрын
We kweli kilaza si uchukue mwingine tu wanawake wengi!!!
@witnessmush746
@witnessmush746 5 ай бұрын
Duuh pole sana jmn
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 5 ай бұрын
Hiv tendo nalo ni la kumnyima mtu jmn uwiii 😂😂😂😂
@publicityzone9583
@publicityzone9583 5 ай бұрын
😂😂😂
@priscamhando3818
@priscamhando3818 5 ай бұрын
😂😂😂
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mke kachoka Kila ck mieleka
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 ай бұрын
Unaona ajabu jiran maudh yakizid mapenz huondoka sas huna mapenz na mume Hilo hogo nalikaliaje?
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 5 ай бұрын
Hawajui mitihani ya ndoa inatokea hiyo ​@@najmasalim-rg6ow
@emmyandrew8670
@emmyandrew8670 5 ай бұрын
Oyoooo huyo bibi km mm sipendi mambo hayo hata mwaka tukae asiniguse miye
@SarahMbwali
@SarahMbwali 5 ай бұрын
Mnaanzaje kuwanyima wenzenu jaman...sema tatizo mnatakaga makalio makubwa mkija kwetu vimbau vimbau hata ukikataa mi naweza kujimaliza mwenyewe everyday MUNGU hajatunyima vyote bhn ...njo huku wewe miez 9 hiyo nguvu yakuongea umepata wap utakufa njoo wewe
@saidmlemeta8083
@saidmlemeta8083 5 ай бұрын
Uko sawa
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 5 ай бұрын
Naomb uje kwangu
@SarahMbwali
@SarahMbwali 5 ай бұрын
@@engribertinnocent7536 Bado hujasema😂
@levinalyimo6240
@levinalyimo6240 5 ай бұрын
Mmmmm ama kweli una penda pasipo pendwa kwenda zako mshamba. Wewe
@Zainab_salat
@Zainab_salat 5 ай бұрын
Kuna kitu tusikilize upande mbili
@georgebataze6625
@georgebataze6625 5 ай бұрын
Kukosa lugha ya kuelewana kwenye mapenzi kunavunja mahusiano ya watu wengi.
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 5 ай бұрын
Nakuunga mkono 100%
@petermanala6138
@petermanala6138 5 ай бұрын
Mungu atusimamie dhidi ya ndoa zetu
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 5 ай бұрын
Kuna mwanaume anayeweza kukaa miezi tisa bila kuhondomola😳!?
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-oy9ps1us2w
@user-oy9ps1us2w 5 ай бұрын
Kuna watu mnavumilia ujinga kweli mimi mwanamke akiniletea zalau mala moja sipotezagi muda nae sasa wewe miezi tisa anakunyima bado upo nae si upuuzi huo mimi wiki2 aende kwao
@judyngowi391
@judyngowi391 5 ай бұрын
Unakuwa umelogwa wewe
@petermanala6138
@petermanala6138 5 ай бұрын
😂😂😂😂wataondoka wangapi unambembeleza nawe unakuwa na mapenzi ya kijeda nawe😂😂😂😂😂
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 5 ай бұрын
😢😢😢😢 makubwa
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 5 ай бұрын
Mwenxio anae wa pemheni,sasa wewe bwege umekalia hapo tuu c umejaxa debe oil? Hujawahi onaga mwanamke toka uxaliwe ni huyo tu? Yupo kwako kimaslahi,nenda maombi co bure,ukirudi u2ambir ushapata demu ukamalixa shida xako,oil imekujaa ndo maana bila aibu ukaja public.
@judyngowi391
@judyngowi391 5 ай бұрын
Wewe utakuwa ulilogwa kwanza tuanzie hapo! Mimi mumwe wangu nimnyime miezi tisa mbona atahamia kwa hawara mapema tu namwona
@petermanala6138
@petermanala6138 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@righitkileo
@righitkileo 5 ай бұрын
Dunia imeisha .sasa haya ya nini?? Mwanaume kuyamwaqa humu nini??inasikitisha sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
😂😂😂 Acha tuishi ili tuone mengi
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 5 ай бұрын
😅😅😅khaa nacheka kama mazurii
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 ай бұрын
Jamani mbona mm sipati mwanaume kama wewe duuu
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 ай бұрын
😂😂bhana wee
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 5 ай бұрын
Ili nawewe umnyime unyumba au
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 ай бұрын
Huyu sio mwanammr eti pumbavu tu hana hoja ya singing eti hanipokei dume zima eti unazungumza pemba. Nenda hiko. Kakojoe ukalale
@user-sb3cx2ku3p
@user-sb3cx2ku3p 5 ай бұрын
Kwani huyu nani labda
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 5 ай бұрын
Acha ubwege Nazi mtu unalala nae kitanda kimoja si ungembaka anakushinda unaomba tendo la ndoa kama unatongoza mpige mitama
@ramadhanseleman6051
@ramadhanseleman6051 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@aminakasim1198
@aminakasim1198 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 5 ай бұрын
😅😅😅😅
@OmarOmar-ol3fj
@OmarOmar-ol3fj 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@user-rw8dq5fw5h
@user-rw8dq5fw5h 5 ай бұрын
Ujue amekuchoka na mamb yako
@AminaLibisa
@AminaLibisa 5 ай бұрын
Uyu kuna kitu alifanyiwa na uyo mwanamke so bule miezi tisa mnalala kitanda kimoja 😂😂😂 ma kubwa
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 5 ай бұрын
Fala huyu , mi ukininyima siku moja tu skuombi tena tutakaa ivyoivyo katika kitu mwanamke asintishie nikuninyima unyumba
@AminaLibisa
@AminaLibisa 5 ай бұрын
@@FahadAbubakari Ata ivyo unavyo sema pia so maamuzi mazuri maana siku izi kila siku majanga watu wanakufa sasa mtu amesha sema hakupendi unakaanae vipi na ata akikupa uo unyumba furaha itakuaje maana Yale mambo inabidi wote mue tayari wote wa wili ndo maana ya mapenzi sema uyu kaka alifanyiwa kitu so bule Yani miezi tisa mnalala pamoja Aisee hatari sana 🤔
@abdilahmohamed6679
@abdilahmohamed6679 5 ай бұрын
Wanaume wengi wanateseka kweny ndoa ila ukimgusa mwanamke tu dunia ilivyo tunaonekana ni wakorofi ila suluhisho ni kuwanyima mitaji na kipigo tu maana kweny vikao vyao naona hawaambiani juu ya kutii waume zao
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 5 ай бұрын
😂
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 5 ай бұрын
🤣🤣😋🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 ай бұрын
Mwingine anakuchania mpaka chupi in unamnyima
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 5 ай бұрын
​@@tinnahagustinolyelu4247😂😂😂😂huko kubakana sasa
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 ай бұрын
@@magrethmbangama1199 wengine wakorofi wewe atakubari .mimeo asikupe Haki yako ya ndoa miezi Tisa na Hana.tatizo lolote Ni lazima utjisikia vibaya
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 5 ай бұрын
Baadae kama mtu hujamuowa hauna mamlaka naye ya kumwambia rudi mda utakao
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino 5 ай бұрын
Piga chini huyo atakuja kukuua
@petermanala6138
@petermanala6138 5 ай бұрын
😂😂😂😂bila hvo unakuga😅😅😅
@mazikumange9130
@mazikumange9130 5 ай бұрын
Yaan miezi tisa!? We jamaa huna akili! Nilipe kodi mm ninunue kitanda na godoro mm nmlishe nmvishe mm af aninyime uke miezi tisa! Hahahaaa!achen masihara nyie akizingua week moja tu red card inamhusu huyo syo dada yangu amekuja kuliwa syo kulala tu! Na wee jamaa unaongea kwa kutia huruma buree
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 5 ай бұрын
Huyo mwanamke wake labda ana matatizo jamani
@judyngowi391
@judyngowi391 5 ай бұрын
Wewe hujawahi kulogwa ndio maana
@Zubaiba
@Zubaiba 5 ай бұрын
Yuko mwanaume mwenzako anaye mpa mahaba Niue
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 5 ай бұрын
Awe makini huwenda hata mtoto sio wake
@judyngowi391
@judyngowi391 5 ай бұрын
Wewe mkristo, ulifata nini uislamuni?
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 5 ай бұрын
Penzi halina udini
@user-gb9ez3rq8j
@user-gb9ez3rq8j 5 ай бұрын
Boya wewe
@saphinaelycharles2342
@saphinaelycharles2342 5 ай бұрын
Weewe.sio.bule.kuna.sababu.sio.bule.n.baba.nae.huenda.alikuja.vibaya.afu.baba.unaweza kumuliza mkamwana.habali.za.ndoa
@user-oo3np9be8m
@user-oo3np9be8m 5 ай бұрын
Sasa mambo ya mahusiano mnaleta kwenye redio
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 22 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 44 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 202 МЛН
LIVE :JOL MASTER ON THE SWITCH NDANI YA WASAFI FM { MARCH 05, 2024}
31:39
NILIJARIBU KUIBA MTOTO MUHIMBILI KUNUSURU NDOA YANGU
14:05
Wasafi Media
Рет қаралды 25 М.
MAISHA YA NJE TUKIWA SAFARI ZA BIASHARA/TUCHEKE KIDOGO
9:42
Tiffany Store
Рет қаралды 18 М.
UKISEMA UNAMPA KESHO WENZAKO WANAMPA LEO | MUME HANYIMWI MAPENZI
13:09
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН