Pole momo mungu akupe subra kila lenye mwanzo linamwosho wake atachezewa na wa Nigeria wakimchoka wanatupa kule uchafu
@johnhanga75832 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu bro Rikado momo najua uchungu wa kuachwa
@hassanmakame43822 жыл бұрын
Alie skia ili jamaa saut yake km ya mondi gonga like
@najmahhassan78532 жыл бұрын
Kabisa 👌
@lipiharun61052 жыл бұрын
Anaitwa Iddi santos. They are brothers
@salomewandya72572 жыл бұрын
Wanafanana sn
@aishahasan77222 жыл бұрын
Huyo na mond ni baba1
@yustomlay2 жыл бұрын
Wanafanana na mondi hata sura
@Kidotii2 жыл бұрын
Duh the voice ni Diamond hawa watu ni ndugu!
@faidhamyovela1792 жыл бұрын
Si baba mmoja jamani 😂😂
@Fahadi20232 жыл бұрын
Real man Momo, kiufupi nimeachwa💯
@MrTop-wj7no2 жыл бұрын
Daah pole Sana Kwa kweli Momo
@donlinechanell47602 жыл бұрын
Daaah recardo kanchekesha sanaaaa
@EK-kp2np2 жыл бұрын
Yaani huyu Santos ana sauti kama Diamond 🥳
@DeboraCalton Жыл бұрын
Umeona yaani kooopi
@jedidahbintidaudi82419 ай бұрын
kabisa yaani
@azzaalhabsi15054 ай бұрын
Pole sana momo mungu atakupa mwenye heri na wewe.kila likuepukalo unaheri nalo kuwa mvumilivu tu ndio jambo la msingi.kizuri hakikosi kasoro.
@teddymutani8562 жыл бұрын
Niliwahi kusikia kuwa mond babaake sio mzee Abdul bali mama mond alizaa na baba yao Ricardo Momo naanza kuamin maana daaah hiyo sauti ya Santos yani kama ya mond na hata sura zao wanafanan kinyama daaah inaezekana ukweli upo jamnii anayefikia kama mimi agonge like
@bettygervas20422 жыл бұрын
Kwa hiyo mama yao mmoja au momo na santos wana mama yao?
@asumaathuman60942 жыл бұрын
Mr momo njoo mwanza!!😍😍
@fidelekahezi51752 жыл бұрын
Sauti ya Santos utafkiri diamond aisee
@najmahhassan78532 жыл бұрын
Wamefanana pia.
@salomewandya72572 жыл бұрын
Saaana
@jedidahbintidaudi82419 ай бұрын
ni kweli
@anwarKhan-gn6yt2 жыл бұрын
Alieona kapaja ka dida agonge like
@marymwaluko33642 жыл бұрын
nimechekaaa eti kwa kifupi nimeachwa😂😂😂
@matridamwalyoyo17352 жыл бұрын
Nimecheka kifala
@NR-ll4sr2 жыл бұрын
Eti kwa ufupi nimeachwa 😂maskini. Pole bro
@tiffanyakramJr8142 жыл бұрын
Mwaka 2023 ni mwaka wa talaka sijui, kwani huu mwaka unanyota gani jamani khaaa🤗 mi mwenyewe nishaacha teari😂😂
@biaishaallybiaishaally47842 жыл бұрын
Kweli kabisa mwez wa pili talak simjaa sana kwa kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shairiharuna25442 жыл бұрын
Hahahaaaaaah
@faidhamyovela1792 жыл бұрын
Mzur tu tala watatoa
@lydiamajula50832 жыл бұрын
Mweny nimeachwa japo huk hawajui
@Mina.152 жыл бұрын
45 minutes ago nimepatiwa talaka 2 I'm waiting for the last one
@ashurajengela39262 жыл бұрын
Nyie huu mwaka sijui kama nitatoboa bila kuachwa mbona talaka nyingi sana 😂😂😂
@saidsuleiman17532 жыл бұрын
Idi Santos amempa kaka yake ushauri mzuri sana
@wekezauchumi74402 жыл бұрын
Idd santos sauti yake kama ni ya Diamond...ebu sikilizen vizur
@faidhamyovela1792 жыл бұрын
Undugu balaaaa
@kamaalali40222 жыл бұрын
Sio kweli. Kwani hata wewe ulipoanza kuwaona Wazazi wako( Baba na Mama) ulizani ni ndugu au sio! Kwanini? Kwa sababu wameshakaa kwa pamoja kwa muda mrefu wanafanana Tabia.
@nassoroc2 жыл бұрын
@@kamaalali4022 Sasa umeambiwa wamefanana tabia au wamefanana sauti?
@soudnassor29562 жыл бұрын
Hawa diamond ni ndugu zake wa damu 100% huyo mdgo sauti ya Monday tu
@mariammnongo21492 жыл бұрын
@@kamaalali4022 hao ndugu wameshare baba
@abdulkheri73222 жыл бұрын
Mamaee ety nyambizi la za ndani leo kigugumizi tele🤣🤣🤣
@faidhamyovela1792 жыл бұрын
Ricardo kachanganyikiwa huyo wakae nae karibu asije jiua😂😂😂
@Mina.152 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@joycenicodemus.22322 жыл бұрын
Kweli kabisa anajikaza tu Ila anaumia Sana kuachwa namke wake.
@ahz69072 жыл бұрын
All in oll ofkoz nimeachwa!😊
@hhhhhhhgbhnnhn2 жыл бұрын
kaachwa manara na hele zake , kaachwa dr mwaka na dawa zake za nguvu za kiume ukiwaelewa wanawake umeyaelewa maisha
@rose_Winchester862 жыл бұрын
😹
@doreenmsafari29452 жыл бұрын
Nimekuelewa Asante
@dignakanje45082 жыл бұрын
Nimekuelewa sana momo.Naulichokifanya nichakiume hswa,nimwelewa sana .
@elizabethswai77772 жыл бұрын
Team Vigugumizi
@dottohami2 жыл бұрын
Mwaka huu ni mwaka wawatu kuachana jamani hatali sana hizi ndoa mtihani
@نجمةموبيبي2 жыл бұрын
Pole sana kaka ndo ukubwa, mungu atakupa alomwema inshaallah
@afisamipango0052 жыл бұрын
Mzee wa za ndaaaaani za ndaaaaaaaaani kabisaaaa ameachwa
@godsson59542 жыл бұрын
ndo tatzo hilo kujifanya AUSTAZ huku unatamani wanawake WAHUNI ni sawa na kuvaa ijabu huku ndani umevaa kimini cha makahaba
@alimkumbukwa83632 жыл бұрын
Kwa kifupi nimeachwa 😂
@faidhamyovela1792 жыл бұрын
😂😂😂😂 kuachwaa kuchwaa kuachwaa kuachwa ni shughuli pevu mtaachwa sana mwaka huu wanaume😂😂
@gloriamkude71722 жыл бұрын
Watu wamechoka wanaaacha tuu
@christinaonditi93412 жыл бұрын
Na mie huku nampepea Momo jamani😭
@tajirihalisi823 Жыл бұрын
Dah mahojiano mazur na pole san ricardo
@doctorgames5011 Жыл бұрын
Malaika huwa hakosei ( Angels are perfect)
@selemanimkwichu7822 жыл бұрын
Pole kaka angu utapona tu
@agreysteven Жыл бұрын
Wamuwach nn watu wanapga chakula hpo bataa duuu aisee pole sana
@zariadunia63282 жыл бұрын
Huyu santos wanafanana sauti na Diamond kweli hawa ndugu mzee Abdul atulie mond si mwanae
@AmosHashaka4 ай бұрын
Sasa hivi njoo tutaendeya bwana sasa wewe haukua naona binti Malaika bwana 😂😂😂
@stephennaaman19712 жыл бұрын
Eti sio kwa ubaya😂😂
@mwanaishasilima80392 жыл бұрын
Maskini wee anaonekana ilikuwa anampenda sana zaidi ya sana
@chulitolove66482 жыл бұрын
Wa Nigeria walisha kadanganya😂😂😂.....all i can say is ,. All the best malaika
@hawaomary84862 жыл бұрын
Acheka kishoga juma
@babyjohn2712 Жыл бұрын
Hawadanganyi wale ni wanatoa hela vibaya mno no story mamae mwanamke wako akikutana na wannaigeria wenye hela case close yaan sahau
@chulitolove6648 Жыл бұрын
@@babyjohn2712 Hela yes wanatoa ila wanakuchezea mwisho Wa Siku píší nyingine Kali wakiiona wanaanza kuifukuzia na kuimwagia Hela na kumspoil alafu uyu malaika atasahaulika ....Yaani Sawa watakupa Hela ila they will never take you serious ety wakuweke ndani wakuoe hee sahau😂😂
@travellingandadventures25492 жыл бұрын
Pole bro..ndo uwanaume
@matridamwalyoyo17352 жыл бұрын
Hahaaa momo jmn et kifupi nimeachwaa
@sharifapazi32592 жыл бұрын
Zamu yako sasa unapenda kuzungumza ya wengine
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
Mimi wanawake wa Kitanzania hata sitaki kuwasikia wengi wao ni wasaliti kupita maelezo , ni bora uowe watu wa mataifa mengine hata mzungu oa, huyu malaya hawajui wanigeria walivyokuwa matapeli na washenzi
@mwanaishaabubakar50132 жыл бұрын
Tena owa ulimwengumzima lakini sio mnigeria si watu wale, vijibwa mwitu
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
@@mwanaishaabubakar5013 sio watu wale wanawake wao washenzi pia
Kweli mond momo Santos ni damu Moja sio kwa kufanana sauti
@salomewandya72572 жыл бұрын
Mapenzi jmn shikamoo
@Emedroadtocanada2 жыл бұрын
Idi santosi hii kanzu nimeipenda aisee nitaitafuta insha allah
@edgartemu82992 жыл бұрын
Mungu akupe uvumilivu kaka
@mohamedrajabu83752 жыл бұрын
Mzee wa kudele, leo wamekudele ww pole mzee baba.
@nishaabdula50152 жыл бұрын
Yn hw wote wmefanana sauti jmn kaa
@salmaalimusa68092 жыл бұрын
kuachwa kubaya Pole kaka
@ayeshiiddi3022 жыл бұрын
Ila juma jamn khaaa
@emmanuelanthony3496 Жыл бұрын
Momo anaongea simple sana lakini Moyoni nahisi maumivu yake anaumia sana
@mesukanku60162 жыл бұрын
EX WA ESMA AVAIT PARLÉ DE CETTE FEMME ELLE PENSE QU'ELLE EST UN STAR DOMMAGE
@janemhangomhango58412 жыл бұрын
Hawa wanafanana kuongea na Diamond
@janemhangomhango58412 жыл бұрын
Na kumdomo
@panchovalentino35762 жыл бұрын
Noumaaa saàna
@kelvinimlan9 ай бұрын
Yani momo anaonekana anamajozi sana .mwacheni
@mauamwessa29442 жыл бұрын
Nimeachwaaaa nimependa😂
@maulidhatibu48592 жыл бұрын
Momo kiwewe kimekushika huna lako jambo dini mmeiweka kando mnamtaka umagharibi
@enockmlyuka64754 ай бұрын
Alioa mwanamke hakuoa mke!
@rashdiyange77582 жыл бұрын
mbna naongea kama mond Santos
@safiyatheonlything78482 жыл бұрын
Ndugu hao
@jokhaali58932 жыл бұрын
Kwanza kabisa natoa pole kwa RICARDO MOMO. Halafu tizameni wanawAke wa kuoa kwa size zenu musichukuwe waliowahi kuwa wazuri kwa sura kuliko wenyewe. Sumu ya mwanamke ni kusifiwa kwa uzuri wake
@SeverinoLuis-j1h3 ай бұрын
Anauzuli gani anakuchimbia ebu angalia masikio yalivo
@mrsilverclassic6785 Жыл бұрын
Eti lakum diinukum Yani jamaa anapenda kutumia Qur'an kwenye upumbavu..
@khadracilmi89292 жыл бұрын
Wewe ni gentleman !
@sweet16honey752 жыл бұрын
Ricardo resembles NJ
@nyandutozzy84342 жыл бұрын
Ricardo nakuelew huna baya inshaallah mung atatia wepec
@sultanmaxmed3662 жыл бұрын
Juma lokole huna tarumbeta Leo la kutangaza mitaani...😳😳 Naona nanyie mmeachwa Hujatangaza kwa Bomba au kwakuwa lenu haliwatapishi...🤸🤣🤣🙈
@doreenmsafari29452 жыл бұрын
Ongeza sauti huku nyuma hawajasikia plz🤣😅👍
@godcheudandy25342 жыл бұрын
Yani kifupi nimeachwa
@babyjohn2712 Жыл бұрын
Ule mziki huuwezi mtu akishaanza kujiuza kumueka ndani ngumu🤣🤣🤣,kashazoea kulala hotel nzur wanaume wanatoa hela then bado wakusifie kutwa kucha halaf wanakuskiliza nyie😂😂😂 huyu kaka asijaribu kujiingiza kwa anga za machangudoa internatinal
@joycemgonja81562 жыл бұрын
Hahahahah😅😅😅😅 nyie wambea lakin si kwa mcheko huo
@Hdhdj-t7jАй бұрын
Nyinyi sio utangazajitu naumbea mnao.
@roudhamahmoud7632 жыл бұрын
Na kaka momo taftq msichana wa saiz yuko usitafte maji marefu kwakuwq wewe ndugu wa diamond. Maji marefu yatakutenda mana hayatakuja kwa mapenzi ya dhat
@hanifahanifa10102 жыл бұрын
Kwan mond mungu
@subirazuberi9672 Жыл бұрын
Pole kaka lkn huyo malaya ataujutia upendo wako mr momo
@voomtv12542 жыл бұрын
" CHALIIIIII "
@adamally62 жыл бұрын
za ndaaaaani ushapigwa
@kambiyusufu27762 жыл бұрын
Lokole Kama lokole😅😅
@pendobaharia55982 жыл бұрын
🤣🤣🤣jumaa mbeeeea
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Juma umenifanya nicheke km bwege coz unesema ulikuwa unakwenda ukouko
@mwamedypwemu61172 жыл бұрын
jamaa anaongea kidin zaid allah akupe mke mwema toeni wake wema tu
@hemedyawadhi29352 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣et coment tu waooo daah kuacha kunauma
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Kwanza mtu una weza vipi kuoa demu ukimwona tu ana muonekano wa mdangaji😂😂 ki malaya
@evelynmonica10192 жыл бұрын
Kwani iki kipindi kinakuwaga saa ngapi jamani nijulisheni mwenzenu
@hadijarama27742 жыл бұрын
Huyu hawara mutembea uchi huyu hakuwa mwanake wa kuoa Allaha akupe mke mwenye heri na nuru huyu Hapana hata peponi humpati huyu atababaika humu duniani tuu
@sultankivumbi92559 ай бұрын
Jamaa ukimfunikia unto haongei tena mpaka kesho
@snakekobra69434 ай бұрын
Ukiachwa Achika🤣🤣
@salomewandya72572 жыл бұрын
Juma jmn🤣🤣
@DeboraCalton Жыл бұрын
Anasauti kama ya Diamond
@DottoSalum-hw8zx5 ай бұрын
Ila juma😂😂
@annamwakibinga527 Жыл бұрын
Sauti kama ya Daimond
@josephinelwamlema73312 жыл бұрын
Familia yao ina nini hawa..watakuwawanamatatizo
@paulmgoli48532 жыл бұрын
Yani kiufupi nimeachwa. 😂 momo situation ya serious anafanya masihara
Halafu ni a8bu mmume mtu w dini halafu anajul7kana mke ndo ambamtia aibu huku mke nguo anazovaa na kujiuuza hakukosa ukija shemeji anayeshitakiwa ndiye mwenyewe malaya daimond sasa wake wanaolewa malaya ukuja daimond salaa esma alisema hamkumuamini si alimchukulia bwana ake
@josephlucas14122 жыл бұрын
Muuzaji wa daw za ujana nae kaachwa duh! Mapenz nyoko
@shijamasunga2042 жыл бұрын
Momo anapenda kusema za wenzake ZA NDAAANI KABISA BIBIE KAGOMA KAPIGA SIMU KWA BWANA MDOGO NA KUMWELEZA WAMWAMBIE NDUGU YAO ASIMSUMBUE YUKO ZAKE LAGOS ANAKULA MAISHA HIZI NI HABAR ZA NDANI KABISA PASINA SHAKA 😆😆😆
@tatotato5062 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄
@aboudiga63812 жыл бұрын
Maine vyaelewa ujue vinatuzwa haya tafakari ya babu😛😜