'SMS' za IRENE ZILIZOACHANISHA PENZI LA MABANGO na ISHA MASHAUZI - ''SIJAWAHI KUKUTANA NAYE''...

  Рет қаралды 9,553

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 5 ай бұрын
Omba msamaha kwa kupeleka posa ufunge ndoa sio unaomba mkaendeleze dhinaa!!
@MohammedSaleh-t5h
@MohammedSaleh-t5h 5 ай бұрын
Kabisa upo sahihi
@RoseMrio
@RoseMrio 5 ай бұрын
uy naye anamaliza redio zote kujieleza kafanye Kaz acha ujinga
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 5 ай бұрын
Haya mambo haya😂😂😂😂😂😂😂😂sijui nacheka nini
@subirakakwela727
@subirakakwela727 5 ай бұрын
Natamani wayamalize na wakijaliwa wafunge ndoa kwakweli mm napenda waishi maisha ya ndoa
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 5 ай бұрын
isha msamehe kijana kweli kakosea mpaka leo bado anaomba msamaha tyuuu msamehe isha
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 5 ай бұрын
Kazi unayo
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 5 ай бұрын
Huyu anataka pesa,wala hampendi
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 5 ай бұрын
Isha Mamaa msamehe hakuna kiumbe asie kosea na pia mfunge ndoa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun. Zinaainabembelezwa. Amuoni aibu kwa.mungu. ebu.fungenindoa.basi. iliibilisi akaepembeni namengine yaendelee Mungu atawabalik8mtapenda namtatulia mbona nyinyiwakubwa. Yotehayo kukosa maadili na kutomuogopa muumba wenu. Intakillah. Mtakujakujuta siku mkifa acheni zinaa
@NapatNapat-x6i
@NapatNapat-x6i 5 ай бұрын
Mm kwa zinaa aa km. Mume wake WA ndowa msamehe
@aishahasan7722
@aishahasan7722 5 ай бұрын
Wala simumewe mzinifu mwenzie walkuwa wanaishii tuu
@RehemaRehema-z1k
@RehemaRehema-z1k 5 ай бұрын
Hunaa ishu kk tafuta pesa ww kijana
@MialiiMohamed-m9l
@MialiiMohamed-m9l 5 ай бұрын
Yuwatafuta aombi mtu
@giztony2009
@giztony2009 5 ай бұрын
Huyu yupo kinamna yake na anatafuta kukuza brandy tayari anajina kubwa na anaingiza hela nyingi kwa siku
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 5 ай бұрын
Eti magoti yote Yale 😂😂😂😂
@ConstanciaShangali
@ConstanciaShangali 5 ай бұрын
Unashida sana wee kaka.. na kauli ya kumwita Isha ni shangazi.. unatumia nyota yakee tuu!! Nimekudiss
@mussaelias3535
@mussaelias3535 5 ай бұрын
Ww mjinga, humuwezi Huyo mwanamke kaishazowea kujiongoza tafuta wanawKe wa rika lako Hilo jike linakiburi
@EstaDaffi-wg5cr
@EstaDaffi-wg5cr 5 ай бұрын
Kaka umeanza kupauka na kufabaaa bado kidgo tu uchokeeee😂😂😂😂😂😂
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 5 ай бұрын
Kwani wanawake wameishaas
@Jytddcihtruk
@Jytddcihtruk 5 ай бұрын
Kama kweli mabako upenda Isha kwazati pinga goti kwa Alla swali rakaa mbili swala tulihaja sanane usiku Alla nimwingi warehema atakurejeshea Isha wako amini
@omanoman2044
@omanoman2044 5 ай бұрын
Huyu kijan hajjielew vijan hawabebeki hata kidog ndug yangu aisha huyu acha achape ramba akafie mbele huko naumasikin wake
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 5 ай бұрын
Sasa wee kwani umeowa huyo mashauzi au kilele zote just ni demu tu wako silwengine hatujui tusemeje mpaka tujue nidemu wako au.mke wako
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
GENIUS SWAHILI MOVIES
Рет қаралды 1,3 МЛН
Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)
9:23
Isha Mashauzi
Рет қаралды 930 М.