Wimbo mzuri sana 🙏 hakika unastahili maua Yako 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 Nimeupenda sana
@MtumishiMoureenАй бұрын
Asante mno UTUKUFU apewe Yesu nimebakiwa na comment yako mahali hapa
@faridamahuvi9396Ай бұрын
Naungana nawe mtumishi kumsifu Mungu Kwa wimbo huu ili aingie live ndani ya moyo wangu maana ukimsifu anakuja mwenyewe kuchukua utukufu wake. Ubarikiwe Saana mtumishi Moreen 🙏🙏
@MtumishiMoureenАй бұрын
Umebarikiwa sana
@VeroUrio-kq8nuАй бұрын
Waooo waoooo ongeraa sana kwa wimbo huu nimeupenda mnooo❤
@MtumishiMoureenАй бұрын
Asante mno barikiwa
@tarsisiamwalongo6819Ай бұрын
Ubarikiwe mno na kuzidi mtumishi wa MUNGU aliyehai, huduma yako ifike mbali sana
@MtumishiMoureenАй бұрын
Amen kila zuri uliloniombea Mungu akujalie maradufu mdogo wangu
@Beny_DanielАй бұрын
Amen amen mtumishi hongera sana kwa kazi nzuri "JEHOVAH"❤🎉🔥🔥💯
@MtumishiMoureenАй бұрын
Asante ubarikiwe
@Beny_DanielАй бұрын
@MtumishiMoureen Amen
@AshaJuma-lu4odАй бұрын
👏 pongezi kwako mtumishi kwa kuitii sauti ya Mungu na kutekeleza maelekezo uliyopewa Mungu azidi kukubariki na kukuinua kwa viwango ili uzidi kumtumikia 🙏
@MtumishiMoureenАй бұрын
AMEN ❤
@DeborahKirway-d9dАй бұрын
Wimbo mzuri Ubarikiwe mtumish wa MUNGU
@MtumishiMoureenАй бұрын
Amen asante shujaa
@salomepeter-fo7utАй бұрын
Mungu akubariki sana mama T akuinue kwa viwango vya juu katika huduma yako
@MtumishiMoureenАй бұрын
Amen napokea kwa jina la Yesu
@MartinMackenziesАй бұрын
Jehova wa namna yako hakuna, 🙌🙌🙌🙌🙌
@MtumishiMoureenАй бұрын
🙌🙌🙌
@DinnaAbdul-yw3vhАй бұрын
MUNGU ni mwema sna atabak kuwa MUNGU nabalikiwa na huduma yako hakika Mungu anakutumia vyem
@christabellamalima6104Ай бұрын
Kazi yako n njema barikiwa mno ❤
@MtumishiMoureenАй бұрын
Amen asante mno
@agnesmwogosi8837Ай бұрын
Hongera sana mwaya
@MtumishiMoureenАй бұрын
Asante ❤
@VailethSengaАй бұрын
Barikiwe sana
@MtumishiMoureenАй бұрын
Amen ❤
@christinafrank5899Ай бұрын
Wimbo mzuri sana Barikiwa mama
@MtumishiMoureenАй бұрын
AMEN SHUJAA ❤
@evaamos1591Ай бұрын
Amenii❤❤❤ hakika Mungu ni mwema barakiwaa
@sophiangusa131516 сағат бұрын
❤️❤️
@jukaelyelisha6311Ай бұрын
Nazidi kumwinua kristo na kumtukuza kwa ajili yako zidi kubarikiwa mnoo mtumishi wa MUNGU mafuta yazidi zaidi juu yako
@MtumishiMoureenАй бұрын
Mdogo wangu wathamani nashukuru ubarikiwe
@jukaelyelisha6311Ай бұрын
@@MtumishiMoureenAmen Dada angu wa thamani barikiwa zaidi
@nurdinmvellah4032Ай бұрын
Abba, Niko ambaye Niko, Emanuel,mola, hakika majina yote mazuri ni yake Mungu wetu. Ubarikiwe sana Dada Mungu asikupungukie katka safari yako ya kumtumikia aliye kuumba.
@MtumishiMoureenАй бұрын
Amen kwa jina la Yesu
@MiriamKabangaАй бұрын
Mungu na mbingu zinajivunia wewe dada yangu kipenzi dada moreen hakika ni wimbo ambao umetoka kwa Mungu barikiwa sana hakuna Mungu wa namn nyingine familia yako, uzao wako, mume wako kila uingiapo ikawe Nuru ukazidi kuagaza kwa mataifa yote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MtumishiMoureenАй бұрын
Asante Yesu kwaajili yako
@BettyDenis-s4nАй бұрын
Mtumishi ubarikiwe na Mungu kwan anakutumia kwa viwango vya tofaut wimbo ni mzuri sana hakika yey ni jehova ❤❤❤