Pr barikiwa sana masomo yako huwa najifunza vitu vipya.
@richadfunka72814 жыл бұрын
Mungu ukimtafakari na kifwatilia upendo wake kwetu ametugaia vipaji tofaut tofaut Pst Semba ananibariki sana
@paulsemba_TV4 жыл бұрын
Bwana azidi kututendea hi hivyo sote na kuzidi
@sagengejackson36234 жыл бұрын
😀😀😀" acheni huo ujinga" , Safi kabisa , tatizo wachungaj kama hawa wa kunyosha mambo wapo wachache Sana , wengi ni kuchekesha chekesha Tu na mahubir laini laini