YESU NI MUNGU MKUU Tito 2:13 [13]tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ; Mchungaji Semba yuko sawa sijui ni roho gani iliyo ndani yenu mnaopinga mchungaji na mafundisho ya Yesu kuwa Mungu
@Mahershalalhashbazi-kf6xi8 ай бұрын
Mburula aendelee kuwa mburula. Na mwenye hekima azidi kupata hekima 👉Mithali 9:9 Ikiwa kuna mtu anamuabudu Mungu katika roho na kweli;atatambua haya ni mafunuo ya KWELI ya Mungu;na kila asiye muabudu halisi atapinga iliyo KWELI👉1Korintho 14:37-38. Kazi njema sana unafanya pastor Semba. Ubarikiwe na BWANA
@MaombiJofre8 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@Mahershalalhashbazi-kf6xi8 ай бұрын
Proud to have you in Tanzania;more blessings upon you man of God
@benjaminlawi14002 жыл бұрын
Basi hakuna Utatu wala Nafsi tatu za Mungu,, hilo tukubaliane tu, Maana Ukikiri tu Bwana Yesu ndiye Baba,, Basi Unavunjavunja habari za Nafsi Tatu. Au kama ni Hivyo Ukubali tu Baba hajawahi kuwepo,, maana Kama ndiye alimtokea Musa,, maandiko yanasema.wazi zamani za Mungu alizungumza kupitia manabii yaan, hata Musa,, na sasa anasema kupitia Mwana,, na kama.huyo aliyesema ktk manabii ndiye Mungu basi Uwana wa Bwana Yesu ni kitu cha muda si nafsi ya milele Ni jambo la kiukombozi tu. Mbinguni Bwana Yesu si Mwana wa Mungu.
@paulmasalu22192 жыл бұрын
Pastor anachojaribu kufanya ni kusaidia watu wasipoteze muda kujadili jambo gumu la uungu kwa watu wanaojadili bila kuwa na uelewa mzuri wa maandiko. Tatizo Kanisani Leo watu hawajui mbinu za ibilisi kutupotezea muda wa kujiandaa kwa ujio wa Kristo. Inasikitisha sana watu wengi wanapoteza muda kulijadili suala hili badala ya kutafuta utakatifu ambao hakuna mtu atakayemwona Mungu bila kuwa nao Waebrania 12:14. Mungu haji kuchukua waliojua utatu au uwili mtakatifu. Tujiandae Yesu anakuja.
@benjaminlawi14002 жыл бұрын
@@paulmasalu2219 Dhu.Sasa utajiaandaje nje ya Uelewa sahihi wa Unayesmsubiri?? Hili fundisho la Utatu,, halipo na huwezi kulitetea ukaweza,, hata Pastor hapo hajafundisha Utatu,, Bali kautaja tu. Fundisho la Utatu linadai Yesu ni Sehemu ya Mungu,, jambo ambalo Pastor hajalisema hapo anadai Yesu ndo Mungu mwenyewe,, kitu ambacho Utatu haufundishi Bali Mwana ni nafsi yaan sehemu ya Mungu. Bila Kuelewana na Fundisho sahihi kuhusu Mungu ni ngumu kuelewana na Imani. Mitume hawakuwa na mambo haya ya Utatu,, walikuwa na Uelew sahihi Kuhusu Bwana na Walimuelewa kuwa alikuja ktk mwili Yaan Mwana(mtoto wa kiume) amabaye hakuwa na Baba wa kibinadamu, mimba yake ilkiwezeshwa na Roho,, huyo Mwana ni Mungu mwenyewe nje ya Mwili wa kibinadamu. Mpaka Sasa Bwana Yesu huko juu ndiye Mungu wala hakuna mwingine zaidi yake
@tonnyjr28642 жыл бұрын
@@paulmasalu2219 yaani Paul umeongea facts, tujubali mambo mengine ni MYSTERY, tangu lini Mungu aeleweke complete kwa akili ya kibinadamu. Kuna Mungu afu kuna Mwanadamu, a note to be taken.
@fredrickgitonga19722 жыл бұрын
Utakatifu ni kwenenda kama vile maandiko yasemavyo, Wala sio kuamini maneno ambayo ata mitume na manabii hawakuyaamini
@zephaniagershon3760 Жыл бұрын
vividly indeed, may God bless You
@alicenyakawa20622 жыл бұрын
My thanks and glory goes to Jesus our Lord and Savior for the wonderful message of the day, may God bless you pastor Semba for clarification between the truth and misleading
@paulsemba_TV2 жыл бұрын
Amen, amen, amen! Praise the Lord!
@bibliakweliyaduniayote11372 жыл бұрын
Wapi nafsi tatu Kwa mandinko mwanzo1 :26 huyu ni Baba na Mwana si nafsi tatu ,aliye sura ya Mungu ni Yesu ,na aliye mfano wa Mungu ni Yesu wagolosai1: 15 na wakorintho4:3-4
@fredrickgitonga19722 жыл бұрын
Nakusapoti kaka, Hawa Wana utatu ni wajaja sana
@dottoyohana51282 жыл бұрын
Amina pr
@SamSuma-v5l Жыл бұрын
Jest hao
@enockyamihwa13312 жыл бұрын
Pr Semba nilikuwa nakukubali sana kwamba hauwezi kufumbia macho ukweli...sasa unaenda kupotosha umma ni kheri usingehubiri hili fundisho la UTATU kuliko kulihubiri na ukapoteza watu wengi. Fundisho la UTATU liliingizwa kwenye ukristo na wanatheolojia wa Aleksandria Neno sahihi kutumia ni UUNGU (GODHEAD) na sio UTATU. Usiaminishe watu kitu ambacho hakiko kwenye Biblia
@Mahershalalhashbazi-kf6xi8 ай бұрын
Neno la Kiebrania "Ihad" linamaana gani kiswahili?
@farajangwema46634 ай бұрын
Hivi naomba nikuulize walaka wa kwanza wa Yohana 5:8 Huwa mnaliluka? Hao wakatoliki wameenda Hadi kubalisha Aya za kwenye biblia mbona nyie ndio wapotoshaji? 👇👇 1 Yohana 5 8 : Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. Lakini pia hata shetani pia anajua kuwa MUNGU ana utatu na yeye pia kaweka utatu wake bandia shetani mwenzio kaishi miaka maelfu mbinguni wewe hata Gati la mbinguni hulijui na kawaida ya shetani Kila original ya MUNGU na yeye huweka fake yake ndio naye shetani ameweka utatu wake bandia kama MUNGU asingekuwa na utatu shetani pia asingeweka utatu 👇👇 Ufunuo wa Yohana 16 13 : Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo. 14 : Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.👇👇👇 Sasa tukuamini wewe au tunaamini neno la MUNGU au tunaamini waliowahi kuishi mbinguni of course mnajidanganya wenyewe Kwa kutochunguza vizuri maandiko nyie ndio mnaopotosha ukweli Ili tupotee Wala sio pastor semba mwacheni huyu baba afanye kazi ya MUNGU sisi tumeamua kupotea nae.
@farajangwema46634 ай бұрын
Wewe hata usipo muamini hakuna hasara yoyote sisi wenzio tumejitolea kupotea na pastor semba wewe Ambae unataka kuokolewa pambana na Hali yako
@SamSuma-v5l Жыл бұрын
Huo niuwongo pasta
@ferixbromela Жыл бұрын
Ulisema kwenye masomo yako juu ya fundisho hili kuwa" Mtu akitaka kuhojiana nawe uko tayari utashika maiki na yeye atashika maiki kwa kuhojiana" sasa mbona unakataa ulipopewa mwito wa kuhojiana hadharani na Mwali Ndacha wa Kenya? Hatutaki Washiriki kubeba matango poli na kufuga minyoo wekeni wazi wazi mjadala Hadharani!
@adarashidi8178 Жыл бұрын
😅😅😅 wafuga minyooo Mwalimu Ndacha is on another level 🙏🔥🙌
@innocentfortunatus7256 ай бұрын
Njooni kanisani
@bibliakweliyaduniayote11372 жыл бұрын
Kweli uyu mjungaji ni mjanja
@theresearcheronlinetv36492 жыл бұрын
Mathayo 3:16-17 Mara tu Yesu alipokwisha batizwa, alitoka majini; na kumbe mbingu zikafunguka, akaona Roho wa Mungu akishuka kama njiwa na kutua juu yake. Sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ndiye Mwanangu mpendwa, nimependezwa naye.”
@benjaminlawi14002 жыл бұрын
Mjanja sana,, anajua asipotamka Utatu,, basi watamuwekea kikao,, ila hapo hajafundisha Utatu,, yuko anafundisha Oneness
@barakajoseph49052 жыл бұрын
Hakuna ushaidi uliotoa ktk mada zako zote juu ya utatu mtakatifu, Mimi naona mchungaji hajui maana utatu mtakatifu.watatu wapo ila hakuna utatu.sifa ya Uungu haikufanyi kuwa Mungu mwenyewe.hakuna Mungu Mwana na tumuogope Mungu kwa uongo huo,hakuna mwandishi aliyeandika Mungu Mwana.ebu tupe huo ushaidi.
@paulsemba_TV2 жыл бұрын
“Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. ” - Yohana 1:18
@tonnyjr28642 жыл бұрын
@Baraka Joseph suala apo sio kutokujua kwa Mchungaji, Hoja ni hii, mweleweshe ili ajue unachojua wewe. Afu punguza kasi vuta subira hayo ni Mambo ya Mungu.
@paulsemba_TV2 жыл бұрын
“Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. ” - Yohana 1:18
@barakajoseph49052 жыл бұрын
Pasta jaribu kuwa mkweli na uogope Mungu,ktk mada yako ulikuwa ukichambua biblia maneno yaliyokosewa,andiko uliyotumia ya yohana 1:18 haijamuita Yesu kwamba ni Mungu Mwana. Kwanini unatumia uongo ili hali unajua ni uongo? Kumbuka maisha ya watu yako mikononi mwenu. Nafahamu mchango wako ktk injili; ila kwa hili sijakubaliana na wewe.na tusiwadanganye washiriki
@fredrickgitonga19722 жыл бұрын
mwenye kutafsi na kiswahili ndiye kakosea, cz in English iko wazi Jesus Christ is the son of God, John 1:18 [18]No man hath seene God at any time: the onely begotten Sonne, which is in the bosome of the Father, he hath declared him. Dio mwone mnatuchanganya nyie Wana utatu
@josphatmasaku84602 ай бұрын
Wacha mafunzo ya kipangani. Utatu ni funzo la ushetani. Halina msingi wowote wa Biblia.
@benjaminlawi14002 жыл бұрын
Pastor wewe mjanja sana,, umeandika tu Utatu Mtakatifu lakini unachofundisha si Utatu Mtakatifu,, Sijui unaandika tu ili kuunga Mkono Kanuni ya Kanisa ili usionekane Kinyume na Kanisa,, maana sijaona Unataja Mungu aliye na nafsi tatu,, Unafundisha Uungu,, ijapokuwa hujagusa Uelewa wenyewe sahihi kabisa,, ila kwa hiki unaeleza Bwana akutie nguvu.
@gloryrimy2302 жыл бұрын
unapaswa kuelewa maana ya utatu kwanza na umsikilize mfululizo wa masomo yote.
@benjaminlawi14002 жыл бұрын
@@gloryrimy230 Hiyo maana ya Utatu inatakiwa iwe imetolewa na Mungu,, sisikilizi mm maelezo ya Mwanadamu, kwangu yanabaki maelezo binafsi wala si Ukweli. Hata wewe maana ya Utatu huna,, hata Pastor hana. Hilo liko wazi.
@gloryrimy2302 жыл бұрын
@@benjaminlawi1400 Subiri basi Mungu ashuke akueleweshe kaka
Kuna watu wanakili Yesu ni MUNGU harafu wanakataa nafsi 3 ZA MUNGU sasa niwaulize miaka 36 aliyokuwa duniani kiti cha enzi huko mbinguni kilikuwa wazi? Na je nani aliyefanya kazi ya ufufuo?
@benjaminlawi14002 жыл бұрын
Hakuna maelezo ya Kinabii yaan ya Mungu mwenyewe kuwa ana nafsi Tatu,, kusema Mungu ana nafsi tatu ni watu wamesema,, hivyo ukiamini kuwa Mungu ana nafsi tatu basi tambua unaamini maelezo ya watu kuhusu Mungu, jambo ambalo ni hatari sana. Iko Siri kubwa hapo na ameiweka makusudi ili abaki kuheshimmiwa milele, yaan bila yeye kujieleza,, huwezi kumwelezea. Sasa Mwanzo hadi Ufunuo hakuna maelezo yasemayo Utatu au Nafsi tatu za Mungu
@barakajoseph49052 жыл бұрын
Nani alikuambia kwa ikiwa Yesu ni Mungu basi kutakuwa kuna utatu? Wote wenye utatu,hakuna anayejua maana ya utatu,fundisho hili siyo fundisho la kanisa.hakuna nabii au mtakatifu anayejua utatu,bila shaka huyu mungu wa utatu atakuwa mungu mgeni na si Mungu Muumba.Daniel 11:38. Kuwepo kwa nafsi tatu haimanishi kwamba zote ni za Mungu.Mungu ni nafsi na Mwana ni nafsi na Roho ni nafsi,ila ni Royo ya Baba na Roho ya Mwana.
@fredrickgitonga19722 жыл бұрын
Roho ni mmoja tu aliye wa MUNGU Baba na mwana wake YESU KRISTO,
@EliabuShima8 ай бұрын
Yesu ni Mungu katika asiri so katka nafsi vitabu vya Roho ya unabii inasema hivyo
@meshack_kaleb2 ай бұрын
@@EliabuShimaTito 2:13 [13]tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ; YESU NI MUNGU MKUU na MWOKOZI