sub haana llah allah akuongozeni mutoke katika ushirikina
@FatihuSaidi-gf4epАй бұрын
Asalamu alaykum warmatullah wabarkat Ndugu yang ktk iman wallah Ndugu yang kaa chin som kisha kosoa saw kk maan mwalim huwez kusema kuzur kbri la bwan mkubwa huyoo watu wanafanya sivyo wew waelewa vip heb tupe kisbitisho chako au ayaa gan mwalim wangu
@RayaKikwaziАй бұрын
@AbuuFawzaan. Ushirikina waujua ?
@AbuuFawzaaniАй бұрын
@@RayaKikwazi na nisingeujua nisinge sema
@RayaKikwaziАй бұрын
@@AbuuFawzaani rudi ukasome bado uko nyuma sana
@AbuuFawzaaniАй бұрын
@@RayaKikwazi hizo ni tawassuli sasa niambie hizo tawassuli gani
@Abdillahmohd-x7pАй бұрын
Na hiyo ndio maana ya kuweka kaburi chumbani siku SI nyingi watu watakuja kuabudu kaburi hilo
@iddijumaali7192Ай бұрын
Huko munakolekea mtihani wa shirki unakuja huku
@abuually-ol2xcАй бұрын
😂😂😂 hili kaburii au kitandaaa?? Hata kaburi la mtume s a.w halijafanywa hivii ! Hebu na me niwe sufii alafu nijiite daruweshii ili nikifaa nije fanyiwa kama hivii 😂😂😂