MURO: TOBAAH!! SIMBA YAIVUSHA YANGA UBORA WA REKODI!! GAMONDI KUHUSU UBINGWA NI SWALA LA MUDA TU...

  Рет қаралды 7,497

Data Sports Tv

Data Sports Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 8
@MaryNyingo
@MaryNyingo 13 сағат бұрын
Nijambo la kheri kaka.kilala kheri
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Күн бұрын
Waiteni jemedari joff oruma Oscar wakae wapate shule😊😊😊
@minazsaid2470
@minazsaid2470 Күн бұрын
InshaAllah harusi iwe ya kheri
@ZaydShafii-v2n
@ZaydShafii-v2n 16 сағат бұрын
Emu warudi nyima kombe la mapinduzi nusu finali simba na fonten geti daki za mwisho Cha iyo rudi kwa Costal yuniyo dakika za mwisho anataka kufunga tuu
@LucianaSintufya
@LucianaSintufya Күн бұрын
Sio Levo zao kweli kwakuwa wako wengi hatuwawezi wamo viongozi,wamo marefa, wamo matajiri wa nchi wamo wachambuzi wa kila vyombo vya habari , watu maarufu ,sasa simba ataweza wapi vikao vya saa tisa viongozi na marefa simba ataweza wapi?
@ZaydShafii-v2n
@ZaydShafii-v2n 16 сағат бұрын
Nawewe simba unabebwa sana
@angelosonge2389
@angelosonge2389 14 сағат бұрын
Shida watu waliozoea kulalamika. Nyinyi mlisema mnatengeneza timu Sasa mnataka mjilinganishe na timu ambayo ilishajipata. Mtu asie na pesa na anamaisha magumu hata ukimsalimia atasema unamtukana.
@SaidiOmary-q7c
@SaidiOmary-q7c 18 сағат бұрын
Je pia unaufuatilia ushindi wako ukiwa Simba? Marefa hawahusiki na makosa ya kuipa Simba ushindi?
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 131 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 71 МЛН
YANGA HILI SIO GOLI HALALI TAZAMA MPIRA ULIVYOVUKA MSTARI HAPA
2:47
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 131 МЛН