Kila mtu mjini kaja kutafuta jamani, Sasa msiwaone wenzenu wa kuja hapa mjini mtaumia vibaya...
Пікірлер
@ALNAVSINKINDOLE-tr9qs5 ай бұрын
Tunaopenda JOTI akiigiza kama mzee TUJUANE APA❤
@ALIMOHD-bk9lr5 ай бұрын
Tupo sote kiukweli anafiti mnoooooooo
@AlawMakanyanga5 ай бұрын
Nooma sana
@CharlesNdimila5 ай бұрын
Namkubal
@ThomasMmary-r7w5 ай бұрын
Sana hata mie
@allahisone63865 ай бұрын
💯%🤝
@yuleboijs9225 ай бұрын
Kila alietazama Namuombea kwa Mungu amfungulie Milango Ya baraka ikawe siku Mafanikio. Sema Aamin 🙏🏿
@abubakarikilongosi905 ай бұрын
❤❤❤
@kevinrugenza17695 ай бұрын
Nawewe pia ufunguliwe
@ZahraAlly-wq4ku5 ай бұрын
Amiin❤
@innocentmakala65425 ай бұрын
Amen
@BundalaShija-yb4vo5 ай бұрын
Amen
@kingcicero17085 ай бұрын
USISAHAU SIKU ULIZOOMBA ILI UWE NA HICHO ULICHONACHO LEO! Tuseme AMEN🙏🏽
@CatherineNzeki5 ай бұрын
AMINA
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Amin😊
@babawnv545 ай бұрын
Amen
@rogersiddyАй бұрын
Amen
@RashidyMrang5 ай бұрын
Joti napnda ukishuti kama mzee huwa naenjoi san ❤❤😂😂
@godfreyflorian92865 ай бұрын
Anajua sana huyu mtu
@aliysaid61625 ай бұрын
Hata mimi aisee
@suleimanismail84145 ай бұрын
Finally tunamuona Jay na Nanga kwenye Joti Tv bonge la combination 😂😂😂😂
@JaphethChuwa5 ай бұрын
Sanaaa😂
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Kabisa yn😂😂😂
@emmanuelalphonce2435 ай бұрын
Joti mwaka huu umeweza sana.. big up
@KazintwariKadafi5 ай бұрын
Tunampenda sana bwana Nishai huku Rwanda tena tunamfuata sana
@lilamaganga26905 ай бұрын
😂😂😂 the Best comedian in Tanzania 🎉🎉
@Officialjidaa-sn9cs5 ай бұрын
Joti nakuombea miaka MINGI mzeee nafurahia sana na hizi kazi zako amen❤❤❤❤❤❤😂😂😂
@samsonkitandu93485 ай бұрын
Hiii combination ipo fresh sana joti na nanga na j
@johnnkelebe73605 ай бұрын
Nimeipenda hiyo maana inawafundisha vijana waache tamaa ya kutapeli vitu vya watu. Safi sana joti kwa meseji nzuri ktk video hii.
@ponsiankahesi34585 ай бұрын
Safiiii sanaaan
@AminaMkumba-u3z5 ай бұрын
Jot huyo mama anaweza sana muongezee na Bi Chau patakuwa hapatoshi
@yohanamkaga52305 ай бұрын
Yaani ukiigiza kama Mzee au kama mpemba huwezi kosa like Yangu comment Yangu na kushare. Lkn hujui vile namchukia kuigiza kama kiboga
@EvansKimario5 ай бұрын
YANI MIM TANGU NIMEMJUA JOTI SIJAWA ACHA KUTIZAMA MOVE ZAKE NINAMKUBALI SANA KUTOKA MOYONI JOTE WILL THE BEST COMEDIAN IN TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ANAJUA SANA ❤❤❤