Mvulana wa miaka 17 azuiliwa na maafisa wa polisi

  Рет қаралды 14,777

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

4 ай бұрын

Maafisa wa polisi kaunti ya Mombasa wanamzuilia kijana wa miaka 17 anayedaiwa kuwa kwenye genge la wahalifu katika mtaa wa Tua Tugawe, Mshomoroni kaunti ya Mombasa. Vijana hawa wakiaminika kumjeruhi vibaya mmiliki wa duka hilo ambaye sasa anauguza majeraha hospitalini.

Пікірлер: 22
@saidmalik2062
@saidmalik2062 4 ай бұрын
Wazazi wake pia washikwe na wajibike 👏🏼
@lucymwai7645
@lucymwai7645 4 ай бұрын
Sasa hii ni maneno gani jameni wooiyie huruma zilienda wapi jameni Kenya yetu 😢😢😢
@francismeeme3693
@francismeeme3693 4 ай бұрын
Walai unyama wa hali ya juu
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 4 ай бұрын
sasa uyo alie shikwa ni afinywe mpaka aseme wenzake wote mana hili tukio litamaliza watu yani ukiwa huna ajira shida mtu anafanya bidii kupammbania maisha yake meataka kumuuwa ngombe ao
@carenchepkurui126
@carenchepkurui126 4 ай бұрын
Pole xana dada
@japhetkahindi4791
@japhetkahindi4791 4 ай бұрын
Where is the police,where is the police,wapi police Fc
@Ostene-ht7sw
@Ostene-ht7sw 4 ай бұрын
Wahusika wote wasakanywe maramoja ili, sheria ifwate mkondo wake ....no sympathy
@happytimes9747
@happytimes9747 4 ай бұрын
Nilikua nimesoma mvulana ameuliwa, kumbe ni kuzuiliwa inafanana asema tu wenzake wote sasa
@pmanpjjp
@pmanpjjp 4 ай бұрын
Mtajeni usipoo mtaja atafanya unyama Kwa wengine
@user-wl6il4bz7q
@user-wl6il4bz7q 4 ай бұрын
Poleni sn
@japhetkahindi4791
@japhetkahindi4791 4 ай бұрын
Police have nothing to say wanashika wenye mnazi tu
@carolinewanjiku6610
@carolinewanjiku6610 4 ай бұрын
Oh no, kesho watatoa pesa wapi?
@jacklinemaravi8688
@jacklinemaravi8688 4 ай бұрын
Wakule nyasi😢
@MasterJay-vr6dc
@MasterJay-vr6dc 4 ай бұрын
kisauni ocs hakuna kitu anafanya,hii story itaisha tu chini ya maji
@japhetkahindi4791
@japhetkahindi4791 4 ай бұрын
Police wako wapi.....Futa police wote Mombasa waende nyumbani futa police wote Mombasa
@sammynjenga4455
@sammynjenga4455 4 ай бұрын
Waswahili ndo hao tabia zao.
@user-jj3yt1ex5c
@user-jj3yt1ex5c 4 ай бұрын
Iyo damu italipwa humu humu duniani
@BMboss108
@BMboss108 4 ай бұрын
So hawa police ndio wakwenda Haiti😂😂 yaani hawa vijana washaanza kuchoma watu jamani!Mtomondoni Mtwapa...pia sio kuzuri..vijana wadogo na vipanga..Kenya is becoming lawless like Haiti!Wazazi wana changia sana watoto kukosa nidhamu
@khamisisuedi1056
@khamisisuedi1056 4 ай бұрын
Ati unawajua ila waogopa ukisema jinga sana kumbe nyinyi wenyewe ndio munawaficha wahalifu
@BMboss108
@BMboss108 4 ай бұрын
Utamwambia nani na polices watakutaja tuu.uje kuuliwa na una watoto..wataachiliwa tuu kazi ya bure..heri wangepigwa tuu mawe na raia wafilie mbali
@khamisisuedi1056
@khamisisuedi1056 4 ай бұрын
@@BMboss108 Raia ni waoga apo huo mtaa una watu kibao na sio mara ya kwanza hii ni mara ya pili huyo mtu kuchomewa duka lake
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 4 ай бұрын
Yes sometimes criminals work with police....unareport wanakuseti...
| MAKASISI WABAKAJI | Wasichana wakiri kubakwa na makasisi
16:12
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,7 МЛН
Arafat Manyoka afuga nyoka na mamba kama walinzi wa boma lake Ukunda
5:36
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 62 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
When Animals Go On A Rampage And Got Caught On Camera !
16:28
WOW TV
Рет қаралды 24 МЛН
Wapelelezi wa DCI wamtambua mwanadada anayeaminiwa kuua Eric Maigo
3:58
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 691 М.
Sababu ni Mapenzi : Mzungu akabiliwa na umaskini Malava
4:08
KTN News Kenya
Рет қаралды 253 М.
Police injured in Southport riots after stabbing of children
2:03
Channel 4 News
Рет қаралды 193 М.
Apocalypto (2006): Great Escape Scene
5:58
I Love A Different World
Рет қаралды 22 МЛН
| GIZA LA UTAJIRI | Mtandao wa watu wenye ushawishi Nairobi
16:54
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,2 МЛН
Monday Special: Away from Home
24:43
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 285 М.