MWABUKUSI ASHINDA RUFAA, KUWANIA URAIS TLS

  Рет қаралды 1,665

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea Boniface Mwabukusi dhidi ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ambapo Wakili Mwabukusi alikuwa akipinga uamuzi wa kamati ya rufani kumuengua kugombea urais wa chama hicho katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi Agosti mwaka huu.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 3
@user-el1eh6xn6w
@user-el1eh6xn6w Ай бұрын
Hongerera wakili msomi naamini sehemu ya wanasheria itaimarika na MUNGU akulinde
@ignasmwamwenda3154
@ignasmwamwenda3154 Ай бұрын
Hiki kikosi kimenipa Raha sana wote, ila zaidi nimefurahi sana kumuona Bob Chcha, huyu TATA namfurahia sana .
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Fear of ccm leadership trying to crush mwabukusi because of ccm fear now it has become behavior of ccm leadership don't agree with pasonol who agest Rong people steps on tanzania constuetion only that creat ccm lmotion to mwabukusi voice
Real Or Cake For $10,000
00:37
MrBeast
Рет қаралды 60 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
Marekani yatoa tahadhari ya mashambulio ya kigaidi jijini Nairobi
0:37
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 16 М.
Musk See TV | Elon, Inc.
25:22
Bloomberg Podcasts
Рет қаралды 834
Real Or Cake For $10,000
00:37
MrBeast
Рет қаралды 60 МЛН