Akili nyingi sana Boss Mwenyezi akuinue na amshindie Luhaga Jelson Mpina dhidi ya udhalimu
@margarethsaramaki396612 сағат бұрын
Safi sana mh Mpina kaonewa kwa kweli Tumesikia bunge LIVE kuna uonevu Bunge la hovyo
@edsonmnego40304 күн бұрын
Akili nyingi kiongoz wangu njoo mbea uchukue fomu lazima upite
@abdallahkihanza482Күн бұрын
Chuki binafsi, mpina yupo vizuri mungu atamlinda
@AmosRugaimukamuКүн бұрын
Akili kubwa sana jembe Safi
@generosennko83434 күн бұрын
Asante mwabukusi. You are among the best few. Ukiongea i pay attention. Na unaeleweka clearly
@christianmwabukusi8132Күн бұрын
Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, Msumbiji, Kongo sukari iko chini…
@MatesoMatanga-bs3bt2 күн бұрын
Safi sana
@OdiloMagungu-uf5is2 күн бұрын
Bunge dhaifu huzaa maamuzi yasiyofaa
@davidchiduo2194 күн бұрын
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
@user-tn5ym5gd6sКүн бұрын
Good 👍
@abdallahkihanza482Күн бұрын
Wabunge wote ni machwa
@jiwekichwa28574 күн бұрын
Mpina kaonewa..
@clemencemkondya856112 сағат бұрын
Mwabukusi ungekuwa umeshika nafasi kubwa yoyote hapa Tanzania sijuwi ungekuwaje kila kitu Unajua .Tatizo la mpina sihoja zake au madai yake Bali nikuongea na vyombo vya habari juu ya kumpeleka ushaidi aliopeleka .Achakumdanganya mpina .
@barakakevela24523 сағат бұрын
KWENYE HILI TUKO PAMOJA
@josephlorri4312 күн бұрын
Hiki kichwa tunakihitaji bungeni haraka sana... atamsaidia Rais kufikiri (hata Rais akitoka chama tofauti na chake).
@festinamwakipale39194 күн бұрын
Wakina mwakabusi.Tanzania.inawategemea.kwanini usisimame kati.ya spika na mpina usipende kusimama.upande moja mwakabusi Mungu.alikuamini funguka saizi.kipindi.tulichonacho dunia imesaini ushoga tulipo.sipo.uangaliage na upande wa.kwanza.wa Mungu
@dignakanje45083 күн бұрын
Kaka kunawatu wanarohoo ngumu mpka unashangaa nakujiuliza wanahisa namungu.Lakini ukiwakuta kanisani utasema hwa ndio wanapaa kwambawa zao mbinguni.Tuishi kwakuomba sana.
@yordanyona12344 күн бұрын
Mwamba
@timothymwalongo70283 күн бұрын
Me naona shida ni katiba 2 ila Kama ww wakil msaidie kulud bungeni mpina
@user-rh9bo3kh2g3 күн бұрын
Tuko nyuma yake kweli kweli
@MathewsSikazwe-up4qd4 күн бұрын
jamani tutasema Sana, lakini amna kitakacho fanyika, la mhimu nikuingia msituni.
@user-jc8el6je5e3 күн бұрын
Msitu gani Tanzania.
@YahayaKishakwi4 күн бұрын
Ujawi kuongea ujinga sema unao wambia
@HashimYahaya-hd3zm4 күн бұрын
Mh
@victorkisenha5933Күн бұрын
Wew uligraduate vyema, na sio spika sijui ulipataje phd?
@jayzeem14Күн бұрын
Spika msomi na ana akili sana huyu Mheshimiwa kwa usomi ni msomi tafuta hoja nyingine!
@festokemibala58324 күн бұрын
Mawakili kwa nini hamwendi Mahakamani kutafuta tafsiri?
@jiwekichwa28574 күн бұрын
Bashe ni mpigaji tu..
@jiwekichwa28574 күн бұрын
Spika ni kichwa maji.
@clemencemkondya85613 күн бұрын
Uliwahi kuwa mbunge au spika .Acha kujimwambafai huna lolote
@rahimsadru-ct4ot3 күн бұрын
Ww zombie tulia kichwa kama papay
@user-bi7gk7im4f3 күн бұрын
Hahahaha
@edustudiotz38793 күн бұрын
Ukiwa mbunge na ukiwa spika inakuwaje? (Nategemea na wewe umewahi kuwa mbunge au spika , vinginevyo majibu yako na wewe yatakosa mantiki)
@josephlorri4312 күн бұрын
Chawa wa Tulia hebu tuliza kinyeo..
@omaryyusuph7877Күн бұрын
😂
@generosennko83434 күн бұрын
Asante mwabukusi. You are among the best few. Ukiongea i pay attention. Na unaeleweka clearly