MWAKINYO AMPIGA MUARGENTINA TKO, REFA AMUOKOA AMALIZA PAMBANO

  Рет қаралды 298,899

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 377
@REYN240
@REYN240 3 жыл бұрын
Congrats..greeting from Philippines..we love boxing..keep it up
@superkaliJonas
@superkaliJonas 3 жыл бұрын
Welcome brother 🇹🇿👍🏾🙏🏾
@SuperMan-yu4kv
@SuperMan-yu4kv 3 жыл бұрын
Welcome Tanzania
@REYN240
@REYN240 3 жыл бұрын
@@superkaliJonas asante sana hongera
@REYN240
@REYN240 3 жыл бұрын
@@SuperMan-yu4kv asante sana
@victortarimo1943
@victortarimo1943 3 жыл бұрын
Jamaa anapiga ndio ila naona refa amekatisha mechi time ambayo muargentuna bado alikua na stamina ya kufight utaona adi coach wa muargentina anamfuata refa kulalamika, ila still ata mechi isingestopishwa makinyo angemnickdown rounds ya tatu au angeokolewa na bell.. pia jamaa alikua anafight sana kwa kurudi nyuma confidence yake imeonekana baada ya kumwangusha jamaa kwa mara ya kwanza.. anyway me nahisi amepata advantage ya kua na refa mtz so mechi ikazimwa malema, ila makinyo anapunch aisee, am proud of him and I pray atupeperushie bederayetu mbali na ainyanyue boxing ya tz
@lildrick9361
@lildrick9361 Жыл бұрын
Acha siasa na wewe sasa ulitaka jamaa afe au, kusoma mchezo ni jukumu la refa sasa muagentina ni alikua anajikaza tu lakini ubongo ulisha hama ndo mana akawa anrusha ngumi kiholela
@eliswed7812
@eliswed7812 3 жыл бұрын
Tanzania tuna Diamond, Sammata na Mwakinyo wanaipeperusha benderaa vilivyo Mungu azid wabariki....
@sarahhamisi2070
@sarahhamisi2070 3 жыл бұрын
Nikweli😂😂😂
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
na Twaha
@moosala5702
@moosala5702 3 жыл бұрын
Muna laana tupu hakuna ibada
@emmanuelben456
@emmanuelben456 3 жыл бұрын
Muongo mbona unamwacha gwaji boy
@arababs
@arababs 3 жыл бұрын
Umemsahau magu
@rehemaisrael8404
@rehemaisrael8404 3 жыл бұрын
Congregations Tanzania one well done , clear humiliation am proud of u brother!!!!
@adilmohamed1784
@adilmohamed1784 3 жыл бұрын
It's congratulation not congregation which means mukutano in swahili,kwahivyo congratulation ndio hongera
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
@@adilmohamed1784 hahahaha i can see😂😂😂😂
@jrm9448
@jrm9448 3 жыл бұрын
@@adilmohamed1784 😂😂😂😂😂 labda alimaanisha 'mkusanyiko'
@frankrwegoshora4705
@frankrwegoshora4705 3 жыл бұрын
nadhani kuna shida kidogo. Refa kumaliza mapema sana mchezo wakati mpinzani hajazidiwa sana kivile ni kutukosesha uhondo. Suppose angekuwa ktk kurevange? Nimeona coach wa muagentina amelalama kidogo. Marefa wanatakiwa kutuhakikishia beyond doubt kuwa mtu hawezi kuendelea na pambano. Hongera mdogo wangu Mwakinyo, ila refarees watch on it
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
Hii ni TKO sio lazima achakae asiweze kuendelea na pambano KO hii kama hajaweza kurusha ngumi kwa muda fulani refa anamaliza pambano ili kumlinda mpigwaji ukiangalia vizur jamaa kabla hajakalisha hakuweza kurusha ngumi yoyote na alivyoinuka vile vile
@emanuelfocus2353
@emanuelfocus2353 3 жыл бұрын
Akipigwa akafa???
@mufamozmufash166
@mufamozmufash166 3 жыл бұрын
Refa angeacha hizi ngumi zilikua zimeanza hapo,bt Alhamdulilah all the best champ
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 3 жыл бұрын
Angeumia sanaa
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Huu mchezo nusu uhai nusu kifo sipendi hata ndugu yangu acheze kabisa #hongera mwakinyo
@superkaliJonas
@superkaliJonas 3 жыл бұрын
❤️🇹🇿👍🏾
@nassorhamad5225
@nassorhamad5225 3 жыл бұрын
Ata asicheze kama kaumbwa atakufa na mm na ww pia
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
@@nassorhamad5225 kila mtu na maoni yake kwa hiyo usikurupuke
@joetz2019
@joetz2019 3 жыл бұрын
HASSANI MWAKINYO NI TANZANIA ONE 💪💪💪💪💪💪💪
@hassannasoro6114
@hassannasoro6114 3 жыл бұрын
I am tytttttttttttttyytyp,
@hassannasoro6114
@hassannasoro6114 3 жыл бұрын
I am tytttttttttttttyytyp,
@robisonmabaso4720
@robisonmabaso4720 3 жыл бұрын
Kwa Mimi sio mdanganyika mwakinyo angepigwa tu ila refa kaingilia pambano watu wako kwenye move kawakatisha Hadi huyo jamaa wa muagentina akawa anashangaa haelewi nini kimetokea Wabongo acheni usanii michezo haiwezi kuwa hivyo kwanini mwakinyo anabebwa tangu kwa mfilipino mnaharibu michezo kila mahali usanii bana
@constantinekessy8054
@constantinekessy8054 3 жыл бұрын
Mwakinyo anesogeza bandera kwa miguu kama umeona gonga like hapa
@anthonykigombola6870
@anthonykigombola6870 3 жыл бұрын
Pambano zuri, Big up kwa Mwakinyo amecheza vizuri, refa kamaliza pambano mapema
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 3 жыл бұрын
Mphilipino kuna ishara ametoa kwa kuongea kama kashindwa marefa wanajua afu pia ukiangalia yule kocha wake alienda kwa refa kama kapaniki kuna kitu kaambiwa akalud tena
@saidomari001
@saidomari001 3 жыл бұрын
Masha Allah alhamdulillah, insha Allah Mola akuzidishie usindi mwakinyo
@adamally8791
@adamally8791 3 жыл бұрын
Team Mwaki tujuane hpa
@championalways192
@championalways192 3 жыл бұрын
Alafu tukishajuana iweje? Tunapata ela au....? Acha udaku chalii
@arnoldedward5460
@arnoldedward5460 3 жыл бұрын
Mwakinyo ndo star watu anatuwakilisha vyema sana..big up brother
@jumaramathan2219
@jumaramathan2219 3 жыл бұрын
Hapa sawa, hapa umeshinda kihalali kabisa.
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 3 жыл бұрын
zote ameshinda kihalali Ngumi jiwe KUDADEKI
@mustaphagairo1936
@mustaphagairo1936 3 жыл бұрын
Hii ata nami nmekubar
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 3 жыл бұрын
Kubebwa ambako hakuna maana kabisa, sasa jamaa bado yuko fit refa anamaliza pambano
@shagebun4666
@shagebun4666 3 жыл бұрын
Refa kamaliza mapema sana ilibidi adi aombe pooo mwenyewe!!
@abdallahmohamed6310
@abdallahmohamed6310 3 жыл бұрын
Mwakinyooo oeeeee
@abubakaribyabato4384
@abubakaribyabato4384 3 жыл бұрын
Angekufa
@malbarahassan1232
@malbarahassan1232 3 жыл бұрын
Muda mwwngine unakosa hata muda uwo mwishowe mtu anakufa
@godfreymalinga1476
@godfreymalinga1476 3 жыл бұрын
Huu ni mchezo watu awatakiwi kuhuwana
@eddysimba6829
@eddysimba6829 3 жыл бұрын
Good fight. Refa kawahi kustop fight. Lakini ukiangalia mwakinyo amekuwa sana miaka iliopita. Ila bado kuna makosa mengi anafanya.
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Ni kwel refa kawahi sana, angeacha mchezo tuone ingelkuwaje, bt yote kwa yot, mwakinyo bado hata akipigana na kiduku atakimbia game kiduku ananguvu sana, mwakinyo amkwepe hivohvo
@erickrichard4292
@erickrichard4292 3 жыл бұрын
Kabisa yan huyu mqakinyo bado Sana
@erickrichard4292
@erickrichard4292 3 жыл бұрын
Kabisa yan huyu mqakinyo bado Sana
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
@@erickrichard4292 Uzani wao tofauti Kusema kiduku apunguze uzani mpaka wa Mwakinho ni ngumu kidogo
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 3 жыл бұрын
Hongera kwa kazi, uliochaguwa, na unafanya vzr
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 5 ай бұрын
uyo jamaa alikuwa ameshalewa ngumi ndio maan refa akakatisha pambano kwa kumuokoa uyo jamaa kwasaba mwakinyo anangumi zito sana kila ikitua kwa uyo mzungu ilikuwa inampa mazara makubwa sana kwaupand wangu refa kwafany jambo zuri sana
@thekingbudah3711
@thekingbudah3711 3 жыл бұрын
Mwakinyo kawamzuri mwepesi yule dogo amwenzi mwakinyo na Amshukuru refa bila hivo angeumia
@allynyangassa6880
@allynyangassa6880 3 жыл бұрын
Hongera Mwakinyo kwa kutubeba Watx. Ila mbon kma refa alistop pambano ambalo linaonekan bdo lilikuwa halijaisha
@erickendrick3330
@erickendrick3330 3 жыл бұрын
Noma sana. Tz tumetamba
@revocatusedward5739
@revocatusedward5739 3 жыл бұрын
HAKIKA RAISI JANA KAFURAHI SANA KAMA KAANGALIA PAMBANO HILI
@darusinganziulenge9363
@darusinganziulenge9363 2 жыл бұрын
Mwakinyo is good boxer
@ehraimkililo5089
@ehraimkililo5089 2 жыл бұрын
Nakubali Hassan mokinyi Ni tough boxer
@samsongechamet5374
@samsongechamet5374 3 жыл бұрын
Good,I love my Country to win always.
@bashirshabanissa220
@bashirshabanissa220 3 жыл бұрын
Kwann refa amemaliza gem wakat ndokwanza watu ndowanaanza kupata moto aah, misijardhika kwakweli.
@hamoudyahya7635
@hamoudyahya7635 3 жыл бұрын
Apigane kwanza na Kiduku ndio tumkubali kua Tanzania one
@RamaWest-dw9rn
@RamaWest-dw9rn 3 ай бұрын
Mwakinyo leo kapata mnyonge wake
@issadini7824
@issadini7824 3 жыл бұрын
Safi Sana mwakinyo kwakutuwakilisha vyema
@jeremiahzacharia7655
@jeremiahzacharia7655 3 жыл бұрын
Hongera kijana ila naomba ufanye mazoezi ya wepesi na ngumi zako zinakuwa nzito na ukirusha unachelewa kurudisha hvyo jaribu kumudu nguvu zako ili zisije kukuumiza mwenyewe
@ivanmbuyah9077
@ivanmbuyah9077 3 жыл бұрын
Yap!! Amekwiva sana this time 😎😎😎
@Subscribe_plz-445
@Subscribe_plz-445 3 жыл бұрын
Mechi ilikua bado kabisa huyo refa kabeba ngoja aende upinzani ndio mtaona kama mnajua boxing
@salminisalehe9417
@salminisalehe9417 3 жыл бұрын
Unajua Sheria Za Boxing Au Unajamba Jamba Tu Kisa Mkundu Ni Wako
@ukk9798
@ukk9798 3 жыл бұрын
Au mimi sioni vizuri, mbona refa kaingilia game mapema mno ni kama jamaa alikuwa bado ana nguvu au?
@xavierngullo1691
@xavierngullo1691 3 жыл бұрын
Mwenyewe nimeshangaa labda kwavile hawasogezi tungeona jamaa kala nyingi
@pesagang5196
@pesagang5196 3 жыл бұрын
@@xavierngullo1691 unaona vizuri refa kaaribu mchezo pale, maboksa wanapigana mpaka meno yanatoka na bado wanaendelea itakuwaje visumbwi vinne mchezo ukatishwe. wabongo wanapenda kushinda ata ikiwa ovyo ovyo
@derickfelix8091
@derickfelix8091 3 жыл бұрын
refa kazingua jamaa bado alikuwa anajiweza bhana
@ibrahimmodue7869
@ibrahimmodue7869 3 жыл бұрын
kweli kabisa
@superkaliJonas
@superkaliJonas 3 жыл бұрын
Usiweke upinzani Kaka,pokea matokeo kwa upendo tuu
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
hahahaha apo mimi siingilii maana walikua walisha chemka kweli kweli
@princemwamwenda8564
@princemwamwenda8564 3 жыл бұрын
Marefa mtasababisha siku mabondia wetu wakienda kupigana n'nje watafia ulingoni
@shaiburajabuhaxhmu9126
@shaiburajabuhaxhmu9126 2 жыл бұрын
Nakbal bro Kaz nzul
@rashidywandwi1543
@rashidywandwi1543 3 жыл бұрын
Refa ukusitahiri kumaliza jamaa bado alikua anajiweza kabisa
@rwenji22
@rwenji22 3 жыл бұрын
Real opponents for Mwakinyo wako Marekani.
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 3 жыл бұрын
Akapigane na wa Mexico kama anajua!
@alee4252
@alee4252 3 жыл бұрын
Kule mexico/ marekani mpaka upate nafasi ya kupigana na waataalamu kazi pevu lazima upigani na wadogo zao ili wakuangalie uwezo lol😂😂😂😂😂😂😂😉😉😉
@masudinangololo3672
@masudinangololo3672 3 жыл бұрын
Safi sana mwakinyo umetuwakilisha vizuri🔥🔥🔥
@benethmwenga8355
@benethmwenga8355 3 жыл бұрын
Sasa mbona refs amesimaisha penye ngumi
@sebajosephat1861
@sebajosephat1861 3 жыл бұрын
Mbona ameikanyaga bendera ya taifa au ni macho yangu bendera haisogezwi kwa mguu kamwe naomba wanaohusika na hilo pambano wampe adhabu kali sana kwa utovu wa nidhamu
@faudhiarashidi3657
@faudhiarashidi3657 3 жыл бұрын
Tz one hassan mwakinyo
@emmanuellucas
@emmanuellucas 3 жыл бұрын
Hapa sijamuelewa refwa tu.
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
Tanzanias' boxers are good we have been solving this problem. Now, we turn to the referees and judges actually these both sides quiet need recorrectios, otherwise they will dwell the boxing arena!
@rubnajuma7414
@rubnajuma7414 3 жыл бұрын
Noma Sana
@imathomas6531
@imathomas6531 3 жыл бұрын
Ushindi wa halali kabisa hongera sana
@tztanzania2262
@tztanzania2262 3 жыл бұрын
Leo nmekubal mapambano flan hukufanya vzur but leo hongera sana
@StephenSimwela-uu1jr
@StephenSimwela-uu1jr 3 ай бұрын
Hau alikuwa katika kiwango bora alicheza kwa akili kwan mpinzan Anangumi nzito na speed
@sebajosephat1861
@sebajosephat1861 3 жыл бұрын
Naomba achukuliwe hatua kwa kukanyaga bendera ya taifa na kuisogeza kwa mguu ili iwe fundisho kwa wote maana inaonekana hana uzalendo na taifa lake yuko kimaslahi
@salmajulius3022
@salmajulius3022 3 жыл бұрын
Mbona refa kamaliza pambano wkt jamaa hajazidiwa bado daah, hongera Mwakinyo umeipaisha bendera ya Tz.
@simoncords1173
@simoncords1173 3 жыл бұрын
Hawezi kuruhusu pambano wakati mtu haweki gad
@geoffreyjohn8228
@geoffreyjohn8228 3 жыл бұрын
Hamna kitu apo refa kawahi kumaliza pambano jamani mwakinyo kabebwa
@bilionealaucy8995
@bilionealaucy8995 3 жыл бұрын
Mwakinyoo 🇹🇿oyeeee
@trigachonse3486
@trigachonse3486 3 жыл бұрын
Refa msenge angeachia
@sylvesterpascal5205
@sylvesterpascal5205 3 жыл бұрын
Kaz ipo walemavu taifa stars utasema hua wanakula pamba hawana nguvu kabisa
@allyramadhani7555
@allyramadhani7555 3 жыл бұрын
Nice
@teresiapetro2548
@teresiapetro2548 2 жыл бұрын
Refa kiherehere kamaliza pambano mapema wakati jamaa alikuwa bado wamoto.
@mwasemajuma7171
@mwasemajuma7171 3 жыл бұрын
Refa kazingua
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 жыл бұрын
Kweli kabisa angewacha tuu mpaka jamaa aanguke tena
@ismailsaid8162
@ismailsaid8162 3 жыл бұрын
Kwel kbs ww umeona angemwacha
@allymanga
@allymanga 3 жыл бұрын
Refa kazingua kweli
@fundikirantabo746
@fundikirantabo746 3 жыл бұрын
Mwakinyo ana maweee
@TerryDodd-y7y
@TerryDodd-y7y 11 күн бұрын
Perez Thomas Robinson Deborah Johnson Michael
@luisspratus5423
@luisspratus5423 3 жыл бұрын
Leten mabondia wakari w nje cyo mnaleta maboxer ambao awna recod
@superkaliJonas
@superkaliJonas 3 жыл бұрын
Ndio tunatengeneza rekodi kupitia wao,tulia 👍🏾😊
@alee4252
@alee4252 3 жыл бұрын
Refa kasaidia... hili pambano la kujadiliwa, ngumi za mwaikinyo zilikua azimshawishi refa kumaliza mbano muargentina bado alikua anaresponce. Jamani hebu angalieni
@salminisalehe9417
@salminisalehe9417 3 жыл бұрын
Ile Chembe Hukuiona . Ngumi Hujawahi Kucheza Huwezi Kuelewa Kilichofanyika Pale Nakuchukulia Boya Mmoja Hvi .
@alee4252
@alee4252 3 жыл бұрын
@@salminisalehe9417 wewe unaweza kuwa unacheza ngumi au unafundisha ngumi au unachezesha ngumi (refa) na sheria usizijue kama kapigwa ya chembe asingeendelea kurusha makonde angeenda chini usiwe kama ujui ngumi hakuna ya chembe hapo hio clip niliiangalia mpaka kwa slomoshen hakuna ya chembe labda ulikua unasinzia wakati unacheki ngumi hahahahahahahah kubali refa kafeli. kwanza unazujua sheria za refa kumaliza pambano au unababwaja tu kama domo kaya nipe hata sheria moja tu nikuone unajua boxing nenda kwenye haki tuongee usiwe kama bendera inayofwata upepo
@alee4252
@alee4252 3 жыл бұрын
Wewe salmini hushangai refa katunyima KO
@mussamohamed9923
@mussamohamed9923 3 жыл бұрын
Huyu bondia kapingwa Ila hana kiwango kikubwa kabisaaa.
@walterkusaga4724
@walterkusaga4724 3 жыл бұрын
Hongeraa Sanaa Tanzania one Hasan mwakinyoo
@omarmhmammed216
@omarmhmammed216 3 жыл бұрын
Bado naona mnajishabikia tu .....mtafutieni bondia wa kimataifa anae tambulika vyema sio hawa wa vichichoron
@masanjakabindo9615
@masanjakabindo9615 3 жыл бұрын
Leo umecheza ngumi kweli kweli
@boniphaceexsavely1391
@boniphaceexsavely1391 3 жыл бұрын
Hahahahahahahaha! Et mwakinyo akipigw ngumi wanakaa kimy....
@superkaliJonas
@superkaliJonas 3 жыл бұрын
We mtanzania ila una roho mbaya kwa wananchi wenzako
@godlistenmwende2942
@godlistenmwende2942 3 жыл бұрын
nauona ushindi hongera Mwakinyo
@emmanuelidaudizinge6952
@emmanuelidaudizinge6952 3 жыл бұрын
nakubali kaka tanga juuuuuuuu
@yonaguitarist4695
@yonaguitarist4695 3 жыл бұрын
Safi ushindi huu haunaga ubishi wauwe wauwe
@mchellenmbunge55
@mchellenmbunge55 3 жыл бұрын
Kusema wengine wanapigana na walevi hizo shit za kitoto. Hongera Kwa ushindi Ila kudharau game za wenzio sio sawa. l
@majaliwapetro1114
@majaliwapetro1114 2 жыл бұрын
michongo ming, hakuna bondia hapo
@KhalidKhalid-zt1bc
@KhalidKhalid-zt1bc 3 жыл бұрын
refa kaharibu mchezo, amevunja pambano mapema
@hassansebe2061
@hassansebe2061 3 жыл бұрын
Sure bro
@muddyslayo6206
@muddyslayo6206 3 жыл бұрын
Mwakinyo katishaa mno nakuku bali san kk
@omarrajab2395
@omarrajab2395 3 жыл бұрын
Hongera
@ShabaniMmakuluja-fr1rv
@ShabaniMmakuluja-fr1rv 11 ай бұрын
Anauwa
@honestyerasto
@honestyerasto 3 жыл бұрын
Sijui sheria za ngumu ila kutokana na kuona mambano mengi naona kama refa kazingua. Angeacha kidogo anayepigwa adondoke au akubali mwenyewe kuwa hawezi kuendelea.
@salminisalehe9417
@salminisalehe9417 3 жыл бұрын
Kuna Hesabu Zinapigwa Idadi Ya Ngumi Utakazopigwa Na Ukashindwa Kuzizuia . Refa Lazma Atamaliza . Tu We Ulitaka Mpaka Akate Umeme Pale Pale Ndo Ujue Kapigwa . Mbon Yule Muengereza Hakunyoosha Mikono Mwenyewe Mpaka Refa Kagombelezea
@donaldmalongo1214
@donaldmalongo1214 3 жыл бұрын
Refa kaingilia game bhn... c mumeona mzungu kaenda kumlalamikia.... Amna kitu umo
@mnazitv405
@mnazitv405 3 жыл бұрын
Hahahahaa, kazi namba moja ya refa ni kulinda uhai wa bondia aliyepo ulingoni. Hapo alichokifanya ni sahihi kiufundi japo wengi wetu tulitamani asiingilie kati coz pambano lilikuwa ndo limeanza kunoga. Ila technically refa yupo sahihi coz yule muargentina alikuwa anapokea ngumi nyingi pasipo yeye kuzizuia hicho kitu kinaweza kuhatarisha maisha ya bondia ndiyo maana refa anaamua kuingilia kati kwa lengo la kuokoa maisha.
@abuurashid7708
@abuurashid7708 3 жыл бұрын
Duuh mwakinyo kanichapia m2 vibaya yan
@dayjamakangira2951
@dayjamakangira2951 3 жыл бұрын
Siku ya mwaki na kiduku ndiyo tutajua
@musakhamis6906
@musakhamis6906 3 жыл бұрын
Refer kqona uruma angeacha kwanz
@neltontias3827
@neltontias3827 3 жыл бұрын
Mu agenti n mcho......mlev apgne na twaha
@allykivava5133
@allykivava5133 3 жыл бұрын
Hongera dogo
@walterkusaga4724
@walterkusaga4724 3 жыл бұрын
Brother mwakinyoo una sali msikitinii kwelii unaka hurumaa ka mwenyezii munguu yani unampigaa mtu mzimaa kama katotooo kwelii jmn watanzaniaa tuwe na hurumaa jmn sio kwa kipigoo ikoo kama kakukuu kanaombako maji
@jozeecharles782
@jozeecharles782 3 жыл бұрын
Mwakinyo to the world
@marcuskapinga4338
@marcuskapinga4338 3 жыл бұрын
Kabadili mapigo
@luisspratus5423
@luisspratus5423 3 жыл бұрын
Ndyo Mana nje tunapoteza2 kwa sbu mnareta maboxer w nje ambao awna kitu wpo wakari kbao tuleten ata teofimo Lopez bs au shakhuru acheni zenu izoo
@johnchilimila7548
@johnchilimila7548 3 жыл бұрын
Umesahau tu. Mwaki alimchapa kidume Ellingiton kwao Ulaya.
@kalaluwakisaka3211
@kalaluwakisaka3211 3 жыл бұрын
Mbona twaha kiduku upigane nae
@chumamihambo8060
@chumamihambo8060 3 жыл бұрын
Ngumi jiwe
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 жыл бұрын
It's not fair at all ...
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 3 жыл бұрын
Huyu Jamaa anaweza fika mbali Mjanja Sanaa Mi naangalia mapbano mengi ya nje Amenivitia anavyooigana
@lawagustino1887
@lawagustino1887 3 жыл бұрын
Mzungu alikua anaweza kuendelea na pambano refa msenge
@deusmauka9626
@deusmauka9626 3 жыл бұрын
Refa kamaliza pambano mapema mpaka analalamikiwa, hii tabia isijirudie tena inabowa sana.
@ayubuali1772
@ayubuali1772 3 жыл бұрын
hongera kwa ushindi wako
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 3 жыл бұрын
Mwakinye leo kabadilika sana anapiga ngumi zinaonekana kabisa ngumi mashine afu leo alikua halud nyuma kama michezo iliyopita
@sarafinabenedicto6647
@sarafinabenedicto6647 3 жыл бұрын
Mbona Kam refa kaingiria pambano iv
@manlematz821
@manlematz821 3 жыл бұрын
Unajua Shelia za ngumi?
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 3 жыл бұрын
Umeitangaza Tanzania
@adilmohamed1784
@adilmohamed1784 3 жыл бұрын
Uppercut chembe kidevu lazima ukae💪
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 3 жыл бұрын
Hongera mwakinyo
@japharymagesa735
@japharymagesa735 3 жыл бұрын
Kijana wa TYSON
@mustaphagairo1936
@mustaphagairo1936 3 жыл бұрын
Ha haaaa
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 567 М.
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 11 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 84 МЛН
IP MAN Best Scene / Karate / Twister / Mike Tyson / Master Z
14:53
Oliver Kahn will never forget this humiliating performance by Ronaldinho
10:07
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 8 МЛН
HUU MWAKA HAUTAISHA KABLA YA TWAHA KIDUKU NA MWAKINYO KUPIGANA
4:15
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 567 М.