MWALIMU YANGA: MUTALE NI MTOTO KWA CHAMA SAJILI ZA SIMBA HAZINA MACHO "MUTALE SIO LEVO YA CH

  Рет қаралды 15,072

S500 TV

S500 TV

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@DULLAMWEMA
@DULLAMWEMA 3 ай бұрын
Uko sahihi sana mwalimu yanga
@ankojuma1714
@ankojuma1714 3 ай бұрын
Neno la mungu hujui hata moja unajua ujinga tu😂😂
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 3 ай бұрын
Nkubali mwalimu yanga
@nurdiniabdillahi3558
@nurdiniabdillahi3558 3 ай бұрын
Kweli huyu choko kila siku alikuwa anamponda Chama leo anamsifia kweli uchoko ni maradhi
@KhamisKinobad
@KhamisKinobad 3 ай бұрын
Jamaa namuelewaga sana
@saidilindukwa
@saidilindukwa 3 ай бұрын
Kuitaja Madrid si kwamba ndio Yanga Ni mfano mbona hata Mtt WA chekechea angeelewa Tu,ni shida kweli😂😂
@leoninga-y8i
@leoninga-y8i 3 ай бұрын
Anawazingua Simba wao hawaamini chamakuondoka
@HashimuMussa-t9k
@HashimuMussa-t9k 3 ай бұрын
Sana mwarimu yanga
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 3 ай бұрын
Tch noma sana nakukubali sanaaaaaa yni bora ww kuliko Gb 64 bom ndo mana magu alimtumbua😂 tch wetu kichwani kumejaa madini tu safiiiiiiii
@vicentsimba4315
@vicentsimba4315 3 ай бұрын
Yusufu Ismail"Bana",Nurdin Bakari,Saidi Maulidi,Ramazani Waso
@lukasjelamisanana6770
@lukasjelamisanana6770 3 ай бұрын
Nawew umesahau niyonzima na morison mbona ulipokonywa
@NasamMzee
@NasamMzee 3 ай бұрын
Hana ishu yanga tu naoooo
@AmmyMakita-bt4ip
@AmmyMakita-bt4ip 3 ай бұрын
Jaman msifananishe Madrid na uchafu chura wanajifananisha na madridi
@bonifacelugo2941
@bonifacelugo2941 3 ай бұрын
Mchezaji mzuri anasaini mkataba mwaka mmoja
@NasibuAlban
@NasibuAlban 3 ай бұрын
Kwa hiyo unatakaje wivu tu
@peterpain5594
@peterpain5594 3 ай бұрын
Yani mashabiki wengine hawanaga kumbukumbu kabisa uyu jamaa amesahau juzi katoka kumkosoa chama kisa pacome leo anamsifia duuuuh!!! Ndio maana mm sitakagi kulopokalopoka
@Codeboy_dml
@Codeboy_dml 3 ай бұрын
Sifia chako
@JoshuaJackisoni
@JoshuaJackisoni 3 ай бұрын
Sasa mbona zamani ulikuwa usemi
@Emanueli-vz6fd
@Emanueli-vz6fd 3 ай бұрын
Ukitaka kuuwa mbwa wako mpe jina baya haujui😅😅😅
@GamaRacing123
@GamaRacing123 3 ай бұрын
alikuwa hatuhusuuuu😂😂😂😂😂😂
@AmmyMakita-bt4ip
@AmmyMakita-bt4ip 3 ай бұрын
Madrid ni inatakiwa kufananisha na team nyngne
@komboarts7110
@komboarts7110 3 ай бұрын
Mbona hukua unamsifia Leo akiwa kwako siku zote hukuwahi kusema mnafiki wewe kajamaa
@MsafiliNhabe-ll2vx
@MsafiliNhabe-ll2vx 3 ай бұрын
Iv mandunduka mbona hawajiamin
@lukasjelamisanana6770
@lukasjelamisanana6770 3 ай бұрын
Kumbe
@saidilindukwa
@saidilindukwa 3 ай бұрын
Ukimtukana mwalimu Yanga unajitekenya mwenyew,Sasa mlitaka amsifie Chama akiwa Kwa makolo? Impossible,Mpira si matusi wewe TOA, views zako, Advice yako na comments zako,stop matusi Hakuna cha uchoko hapo Wacha amsifie Chama wake😂😂msumari umekuingia wee kolo😂😂dadadek
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 3 ай бұрын
Chama kasain yanga !!!!!!!! Ama anabaki Simba?????? Mo anakanusha jamani
@abufirdaus4254
@abufirdaus4254 3 ай бұрын
Hapana kaka ..anaenda azam....
@YohanaaroniYohana
@YohanaaroniYohana 3 ай бұрын
😂😂😂
@SaidEmmanuel-dl6er
@SaidEmmanuel-dl6er 3 ай бұрын
Xaxa unataka upewe paswed ilili ubaki na wachezaji wazuli wachezaj wazuli wote tz wanatakiwa wawe yanga mjiongeze makolo wajinga ndo waliwao
@zainahassani3966
@zainahassani3966 3 ай бұрын
Huyo MO yupo Tanzania acha ujinga wewe
@nurdiniabdillahi3558
@nurdiniabdillahi3558 3 ай бұрын
Kweli huyu choko kila siku alikuwa anamponda Chama leo anamsifia kweli uchoko ni maradhi
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WAZICHAPA  CHAMAZI KISA WAAMUZI
2:26
JAKAYA KIKWETE AZISHAURI SIMBA NA YANGA
7:30
Wasafi Media
Рет қаралды 10 М.
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН