watatowa huyuu ni mwaka wao. ishaalla. tafadhalini. watoto wetuwasiwe wajinga nawaaminiya. sana mungu awape nguvu. haswa kwenye kutanazwa. hapo ndipo penye maneno. nassro. wewe ni muungwana. pole kwa majukumu. uliyo
@IbrahimAbram-z8s10 күн бұрын
❤
@AbdallahNassor-j5sАй бұрын
Wapo Wenda wazimu walokuwa hawaitakii mema znz wapenda madhila yaendeelee znz lakini inshallah tutaikombowa znz vijana tuwe pamoja
@SuolFatАй бұрын
Hongera kiongozi mzalendo mazurui
@mozakhamis7253Ай бұрын
watatowa huyuu ni mwaka wao. ishaalla. tafadhalini. watoto wetuwasiwe wajinga nawaaminiya. sana mungu awape nguvu. haswa kwenye kutanazwa. hapo ndipo penye maneno.
@hassannyatoАй бұрын
uhakika
@FaridaAly-r5nАй бұрын
InshaAllah ALLAH atupe nguvu tuitoe znz yetu kwenye hili balaa
@JumaHamad-i3fАй бұрын
Mm munanikera munajifanya munataka haki lakn munamkufuru ALLAH miziki imekatwazwa siasa mumesoma wap
@OthamanOmar-w7xАй бұрын
Mungu tusimamie
@nassorsoltero3072Ай бұрын
Allah ajalie kila lenye kheri
@FaridaAly-r5nАй бұрын
Amiin
@saidabdalla-l8fАй бұрын
Mwandazimu ni docto huseni ndo alodanganya watu fly ova kumbe kajenga brige secnecha kashatuibia wazanzibar
@FaridaAly-r5nАй бұрын
ALLAH amdhalilishe pale atakapotudhulumu
@thamratysuleiman3053Ай бұрын
Kwisha chama hiki .maalim ndi mtu pekee alie kua na haiba na mvuto wengine aaaah wapiii.
@YahayaKiobyaАй бұрын
Katiba mpyaaaaaa tunataka
@SaidShaban-o2eАй бұрын
Muungu sio othmani Ila Mara hii wataitoa serekali wanitaka wasitake muungu akitaka ishallah
@SaidShaban-o2eАй бұрын
Ishaallah sisi tunamtegemea muungu
@FaridaAly-r5nАй бұрын
ALLAH atufanyie wepec
@mozakhamis7253Ай бұрын
ali hasani mwinyi alisema hata wafe wote lakini mwanawe awe raisi. ila mkubuke. ni raisi bandiya tu ni sifuri 000 wazanzibar hatumtaki sote. na tutashinda. mungu mkubwa ishaalla ikiwa hawatafanya walio yafanya bara. mungu awalaani huu ndio mwisho wao. samiya tuachiye wazanzibar tuamuwe usiongope hao hawajuwi mungu samiya najuwa unamjuwa mungu wachaaamuzi yetu. wenyewe.
@ashaiddi644928 күн бұрын
Jisemee pekeako usiseme wazanzibar wote
@ndimimaskati3641Ай бұрын
Ccm iondoke ZANZIBAR iwaachie WAZANZIBARI UHURU wao na nchi , wachahgue viongozi wanaowataka.
@MuyazakhMohammeidАй бұрын
Mambambano yaende lee⚔️
@allymansur8155Ай бұрын
Kama ni kweli kila siku wapeleke vijana kumi kupata vitambulisho, utakapo fika hio 2025 utakuwa na idadi tosha, lkn uko kwenye jukwaa ukiamini chuma cha pua utakiangukia. Jijusanyeni kwa njia hio pekee ndio matumaini yalipo.
@mozakhamis7253Ай бұрын
sefu hajawahi kushindwa
@FaridaAly-r5nАй бұрын
ALLAH atufanyie wepec
@rashidmbarouk7661Ай бұрын
Tutashida lakn kwa % ndogo safari hii sababu nahisi wananchi wengi wa Zanzibar wameshakata tamaa kabisa hata kupoga kura wengi hawataenda kupiga kura licha ya hv lakn ushindi kwa Zanzibar utapatikana inshallah lamsingi tuchukue hatua ya kuhamasisha kupiga kura t
@AliHaji-i3rАй бұрын
Hao vijana wa 2 hawaonekani
@AbrahmanAbrahman-l7hАй бұрын
NASSOR AHMED MAZRUI MBONA MANENO YAKO NA YANAYOZUNGUMZWA JUU YAKO NI MBINGU NA ARDHI HAYAFANANI?UNAONEKANA BADO UNA SPIRIT YA KI UONGOZI NA MAPAMBANO?
@Jal210Ай бұрын
Haki gani mnataka nyie Subhannallah acheni kihamasisha mgombea wenu hana lolote
@aliabdalla9297Ай бұрын
Kama unajua maana ya haki basi kaa kimya wacha kuropokwa
@GeneGoodkidАй бұрын
Zanzibar haitoki Haikufaa rangi Itakuwa chokaa CCM mbele kwa mbele OMO ya juguu
@fahmysaid-zw4npАй бұрын
jina lako tuh linajieleza sio shida zetu
@AliHaji-i3rАй бұрын
Hao vijana wa 3 hawaonekani kwisha ACT
@fahmysaid-zw4npАй бұрын
jipee moyoo
@muharamijuma1569Ай бұрын
KASHÌDWA SEÌF ÈNDEĹEZA POROJO USHINDI ZIŔO 2025
@iFly-t9bАй бұрын
Kashindwa Firauni, Kwa Allah hakuna kubwa
@w4058Ай бұрын
Kiasi muropokwe nyie Chama Cha Maharamia mafaataani wezi wadangayifu Ali Karume CCM mwenzenu kasema wazi hamjapata kushinda muharami mnafiki mmoja Hasbunallah Waniimal
@w4058Ай бұрын
Nyie mumemshinda huyo firauni majambazi wa kisiasa Hasbunallah Waniimal Wakiil
@w4058Ай бұрын
Mnajuwa hakika hakuna uchaguzi wowote ule mloshinda lakini udhalim wenu na hao polisi makhabith msomuogopa hata MMungu maana yeye ndio alokataza dhulma na bado mnadhulumu mchana kweupe muteke watu muuwe watu kisha wana Maharamia wakubwa