Mwamba Ustadh Said Shirazy mwalimu wa Bachu huyu hapa! Maulidi masjid Nunge Dodoma 21sep2024

  Рет қаралды 13,488

SEYFULLAH TV

SEYFULLAH TV

Күн бұрын

USTADH SAID SHIRAZY AKIZUNGUMZA NA WAISLAM WA MASJID NUNGE DODOMA KWENYE HADHARA YA KUMSWALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) ILIYO FANYIKA RAREHE 21/sep,2024
#ustadh_said_shirazy
#kenya
#tanzania
#musica
#love #duet
#live
#islamicpreacher
#construction
#fitness #duet #film #makkah
‪@AlIhsaanTv‬ ‪@ktnnews_kenya‬ ‪@IslamicTeacherOfficial786‬ ‪@PRF_Muhammad_Bachu‬
‪@saudia‬ ‪@seyfullahonlinetv‬ ‪@Zinjibartvzanzibar‬ ‪@BABDEOMILADU‬

Пікірлер: 104
@SmilingBackgammon-pc6jr
@SmilingBackgammon-pc6jr 8 күн бұрын
Nimekuelewa sheikh vizuli sana nampnda mtume Muhammad sw
@khalifamohammedkhalifa1578
@khalifamohammedkhalifa1578 13 күн бұрын
Shkuran Fadhilatu Sheikhe Allah akuhifadhi naakuzidishie elimu yenye manufaa
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 12 күн бұрын
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAYYIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI ALLAHUMA SWALLI ALA SAYYIDINA MUHAMMADIN WAALI SAYYIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM. Barakallahu Feek Akhi
@HarithIdrissa
@HarithIdrissa 9 күн бұрын
Shukran mwalim wa bachu wape darsa wana salafi
@BinAli-m8e
@BinAli-m8e 12 күн бұрын
Masha Allah habib nakupenda bure
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 11 күн бұрын
Kwakwel usufi niuzandaqa
@MohammedJuma-d2w
@MohammedJuma-d2w 13 күн бұрын
Mnashindwa kumuelewa hajasema kwamb mtume sws ndie anatoa riski au anafuta dhambi au au ila sababu kupiti a yeye ndio makusudio yake
@aminaosman3315
@aminaosman3315 12 күн бұрын
,Allah halali wala hasinzi. ,wala hasahau tunamwachia yeye Hakim WA haki
@faiswalhamza7761
@faiswalhamza7761 9 күн бұрын
Huyu haifai kuskilizw chcht ktk mas,Ala ya dini na mtu anapta dhambi atakae jikita ktk kumskiliza huyo adui wa Allah. Dalili. Aya 22 mujaadilah. Tafsiri ibnu kathiir.
@HuseniChina
@HuseniChina 6 күн бұрын
@@faiswalhamza7761 jee kuna tafsir nzury kama ya imamu suyutu acha
@aminaosman3315
@aminaosman3315 12 күн бұрын
,mashekh WA Ansar tunawashtakia kwa Allah kwa kushirikiana kuwadhulumu yatima WA marhum said janjira yeye Yuko ndani ya😊
@MudiMshindo
@MudiMshindo 14 күн бұрын
Bachu soma kwa mwamba huyu,
@seyfullahonlinetv
@seyfullahonlinetv 14 күн бұрын
😅
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 12 күн бұрын
Sasahpo kunamwalimugan wakumfundisha Bachu
@Sheba4651
@Sheba4651 12 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/gmHapYN9Zpx4nrcsi=5m7yaHVPn5YdVPaS
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 12 күн бұрын
@@kasimubangu1875 Mimi hata namshangaa akisema bachu asome kwa hawa masufi
@abiabi9353
@abiabi9353 11 күн бұрын
​@@kasimubangu1875wewe ulikuwa unajua hayo?
@aminaosman3315
@aminaosman3315 12 күн бұрын
,mashekh wanaojidai watu suna wote tunawashtakia kwe mahakama ya Allah kwa kuwadhulumu yatima WA marhum said janjira wote NI watu WA dhulma wao hawatakufa watasimama mpaka siku ya giyama wanamwone kwakuwa Yuko ndani ya tumbo la ardhi wanajigamba hospitali NI yao Leo mnakarabati wakati marehem aliweka kila lakini hakimu WA haki NI Allah
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 11 күн бұрын
@@aminaosman3315 kiazi kweli
@SALIMTV-vo7es
@SALIMTV-vo7es 12 күн бұрын
Hamna kitu huyo ni msaniii tu anaichukua dini wanavyotaka
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 12 күн бұрын
Wazushi bwana,
@HemedSerious
@HemedSerious 12 күн бұрын
Wewe mwenyew mzushi namba moja
@mchakhamis-fr5nc
@mchakhamis-fr5nc 14 күн бұрын
Mashaallah
@hassanaboud8442
@hassanaboud8442 13 күн бұрын
S 🌟🌟 A ❤❤🌟 W 🌟❤️✨✨
@CoComelod123
@CoComelod123 12 күн бұрын
Uzuri ameelewa na akatangaza mwenyewe kuwa maulidi ni mlo na pesa. La ajabu bado Yuko humohumo kwenye kikundi Cha maslahi
@Bosezizunae
@Bosezizunae 13 күн бұрын
mashallah🎉🎉❤
@homeboyvr8184
@homeboyvr8184 13 күн бұрын
Huyu anaongea shiriki hamna kitu umu ndugu zangu waislamu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 13 күн бұрын
​@@homeboyvr8184wewe ndio hujui shirki nini, hebu tueleze shirki ni nini kwa ufahamu wako?
@abiabi9353
@abiabi9353 11 күн бұрын
​@@homeboyvr8184wewe kama kidume kweli wakiwahabi onyesha shirki hapo ikowapi
@RamaMkongwe
@RamaMkongwe 12 күн бұрын
BINGWA
@RashidiYahaya-dv6rj
@RashidiYahaya-dv6rj 12 күн бұрын
Mbona mbona wenginnewanatukana
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 12 күн бұрын
Unazungumza shirk na munafurahika ee ndugu ka someni uislamu mujue dini safi.
@HemedSerious
@HemedSerious 12 күн бұрын
@@nassirzamzam9312 wewe unajua iyo shirki lkn
@hamisiizadini3938
@hamisiizadini3938 4 күн бұрын
Mmmh mwenyezimungu angeamua kumteremshia huo wahy kwa mtu yeyote angeweza, kwa maana kwamba sisi tungepewa wahy kama angeamua, the choosen alikua mtume, sijui anaongelea nini
@أبوعبداللهراشدمحمدناصرراشد
@أبوعبداللهراشدمحمدناصرراشد 13 күн бұрын
Haya ni maneno ya Shirki na lau kama nayasema mimi basi ningekuwa kafiri ila huyu jamaa Anamashubha yanamsumbu anachokisema ni chakufru lakini sisi yeye kama yeye hatumkufurishi
@HemedSerious
@HemedSerious 12 күн бұрын
Mwehu
@haddardismail2689
@haddardismail2689 12 күн бұрын
Bidaa kubwa ni " usalafi," umezushwa baada ya mtume
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 12 күн бұрын
Wewe saydiii Allah akuongie !!!! Waleta talbiis wakati mtume ashushiwa wahyii wahaakufa kafa tusemavyo hatutawasali kwa alokufa!!!!?
@HuseniChina
@HuseniChina 6 күн бұрын
Wewe umeongoka
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 13 күн бұрын
DJ SAIDI MPOTOSHAJI
@aminaosman3315
@aminaosman3315 12 күн бұрын
,ñyinyi mnasema serikali yote ya jamhuri ya muungano imo mifukoni mwenu Allah naye mtamuhonga
@MuhyiddinMngazija
@MuhyiddinMngazija 6 күн бұрын
Anayesema saidi ni mwalimu wa bacho huyo ni mgonjwa
@HarithIdrissa
@HarithIdrissa 9 күн бұрын
Kwani tu hujaelewa nini apo
@yusuphhamisi504
@yusuphhamisi504 8 күн бұрын
Atujibu Kuhusu ما ليس فيه riwaya ya imaam abuu daawuud. Sisi tunafatilia msitufanye mazuzu huyo alisema mtume hakusema maa laysa fiihi. Akasomewa riwaya sahihi amesema mtume. Amekaa kimya ishara kwamba sio mkweli hivyo huyu Bora kumuacha tuu labda tumuombee dua ya hidaya.
@saidisaidi4502
@saidisaidi4502 13 күн бұрын
Asalaam Aleykum huyu Hana cchte ni polojo zenu masufi na mohamedi bachu ndio mume wenu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 13 күн бұрын
saidisaidi4502 labda mume kwenu sisi hatuna wanaume vikojozi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 13 күн бұрын
Swali moja tu lilimkojoza kitini akakimbia
@jakuabdull34
@jakuabdull34 13 күн бұрын
@@saidisaidi4502hii ndio sunna astaghafirullah
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 12 күн бұрын
@@jakuabdull34 eti leo mwajuwa kuuliza hiyo ndio Sunna wakati ule wanazuoni kutukana kulaani na kukufurisha watu kuwatia motoni juu ya Mamimbar mbona hamusemi?kuweni makini ktk munayosema
@MuhammadMuhammad-lq2um
@MuhammadMuhammad-lq2um 11 күн бұрын
Mume wako msenge
@AwessAbbass
@AwessAbbass 14 күн бұрын
Sheikh anaelimu lkn kila atakalo liongea anawasema watu flani, hajui kama anatengeneza chuki.
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 13 күн бұрын
​​​​​@@AwessAbbass ndugu yangu ni watu gani flani anawasema?na kama umedhamiriya hao watu flani unaowajua ndio wanao wasema!na mimi nakuuliza hao watu flani ambao wanasemwa wakati na wao wakipanda majukwaani na kutukana wanazuoni na kuwakufurisha watu kuwaita Mushrik ushawahi kusema hao wanao semwa mbona wanatukana wanazuoni na watu kuwakufurisha? ndugu yangu kuwa kwenye Haki usiseme upande Mmoja tu kama wataka haki
@hadimbokeleni
@hadimbokeleni 13 күн бұрын
Hhapa kakangu huyo shehke amezama sana ktk sira .Kwa kua elimu imegawanyika kakangu Kwa hiyo anamjua mtume kama kazaluwa nae Kwa hiyo bahari za elimu ziko tofauti wengine wamesoma Sheria za dini,
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 12 күн бұрын
Uongo huo angemjua mtume asingepiga vinanda
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 12 күн бұрын
@@kasimubangu1875 كان أبو مُوسى الأشعريُّ اليَمانيُّ رَضِي اللهُ عنه - حَسَنَ الصَّوتِ بِالقرآنِ، وذاتَ لَيلةٍ استَمعَ النَّبِيُّ صلَّى اللهُ عليه وسلَّم لِتِلاوتِهِ، فَأعجبَهُ صَوتُه، فقال له: «لَقَدْ أُوتِيتَ مَزْمارًا مِنْ مَزاميرِ آلِ داودَ»،الراوي : أبو موسى الأشعري | المحدث : الألباني | المصدر : صحيح الجامع | الصفحة أو الرقم : 7831 | خلاصة حكم المحدث : صحيح | التخريج : أخرجه البخاري (5048) واللفظ له، ومسلم (793)
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 12 күн бұрын
@@kasimubangu1875 ukielewa Hadithi ndio utajua kama yuwamjua Mtume SAW au hamjua! Kisha labda wewe ndio humjui ukimtaja Mtume SAW mpe Darja yake usiandike Mtume kavu kavu malizia na S.A.W hata Mwenye Ezi Mungu ktk Quran hakumwita kavu kavu alimpa Daraja
@HuseynDaudi
@HuseynDaudi 13 күн бұрын
Duuuh jamaa mwaka jana alikua atetea bid’aa tu , mwaka atetea shirki sasa Allaah twaomba hidaya
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 13 күн бұрын
HuseynDaudi hebu tueleze Bid'aa ni nini au ipi? Na shirki ni ipi?
@abdurazaqiamisi1463
@abdurazaqiamisi1463 12 күн бұрын
Mawahabi bwana kumbe sheikh mwamufautilia !
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 13 күн бұрын
Mushrikun nyie.huyu sheikh tunazo pia story zake za kuvuja
@yusuphhamisi504
@yusuphhamisi504 8 күн бұрын
@@lordenoughforme4417 sijakuelewa akhy
@HuseniChina
@HuseniChina 6 күн бұрын
Bado huja sema
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 13 күн бұрын
Pumbavu hamna dalili kwanza mnamzushia mtumi
@omarulfarouq3578
@omarulfarouq3578 12 күн бұрын
@@babatidaawa6550 amemzushia nini mtume
@IssaKabelwa-zs2ct
@IssaKabelwa-zs2ct 13 күн бұрын
Niup umwamba wake huyu mpaka leo kashindwa kutete uwongo ulio ndani ya kitabu ( BARZANJI)
@JumaMohamed-u4y
@JumaMohamed-u4y 9 күн бұрын
Hawa wanaojiita salafi wanaufaham mdogo sana katika dini huyo bachu aliyejikojolea bachu anajipya gani.
@HarithIdrissa
@HarithIdrissa 9 күн бұрын
Salafi ufahamu mdogo hawa tena hulazimisha wanavyoelewa wao tu
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 13 күн бұрын
Huyu mquburi hakujibu su'ala alioulizwa ku husu ushirikina ya bazraji badili kujibu na kuteta ushirikina ndani ya bazranji akatumua ujanjawake kujenga su'ala ju su'ali aliuluzwa
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 13 күн бұрын
hassanmohamedabdalla4108 wewe ndio hukuelewa, Swali ilikuwa sio ushirikina ktk Barzanji ni urongo kama anavyo dai bachu ndio maana bachu alishindwa kuthibitishia urongo wa Barzanji, kwa sababu Hadithi ipo na yeye mwenyewe bachu kaitowa Hadithi na ktk makubaliano ya masharti ukileta kitu ukitole na Dalili sasa yeye ametowa Hadithi kisha hakuitolea Dalili urongo uko wapi
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 13 күн бұрын
@@abubakaromar6101 sasa ww nipe jibu dalili kwa daba zimepeanahabari mimba yamtume
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 13 күн бұрын
@@hassanmohamedabdalla4108 ndio maana nikakuambia hukuelewa Swali, Dalili ni hiyo Hadithi aloitowa mwalimu wako
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 13 күн бұрын
@@hassanmohamedabdalla4108 ndio maana nikakuambia hukuelewa Swali Dalili ni hiyo Hadithi aloitowa mwalimu wako kwa sababu hiyo ni Hadithi na ina isnadi na wapokezi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 12 күн бұрын
@@hassanmohamedabdalla4108 ndio maana nikakuambia hukuelewa Swali Dalili ni hiyo Hadithi aloitowa mwalimu wako kwa sababu hiyo ni Hadithi na ina isnadi na wapokezi
@homeboyvr8184
@homeboyvr8184 13 күн бұрын
Huyu anashida sana nyie masufi huyu shekhe anampa mtume sifa ambazo si zake hizo sifa anazompa mtume niza allah tyuuu someni tawhidi msipende kuongopa huyu anaongea shiriki
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 13 күн бұрын
homeboyvr8184 waweza tuambia hapo shirk iko wapi? hujasema Mtume SAW ni Mungu au wewe umeelewa vpi?
@ArabiMuchande
@ArabiMuchande 13 күн бұрын
Shika dalili zitolewazo itikadi itakutesa shika dalili
@kabeketv
@kabeketv 12 күн бұрын
Tuekeze ni zipi sifa mbazo hana mtume ili tusimsifie
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 12 күн бұрын
@@homeboyvr8184 sisi kwetu Tauhid twaisoma haina vigawanyo, lkni nyinyi kwenu uwahabini Tauhid ina vigawanyo!sasa kati ya kumsifu Mtume SAW au Kuigawanya Tauhid ya Mwenye Ezi ipi ndio shirki?
@HemedSerious
@HemedSerious 12 күн бұрын
Basi ni za kwako tukupe wewe mwehu
BACHU ATANDIKWA TENA NA SHEIKH SAID, WANYAMA WALIZUNGUMZA
21:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 37 М.
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 41 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 28 МЛН
KAMA HUKUUMIYA KWA HAYA WEWE UNAPATA DHAMBI
20:12
arkas online tv
Рет қаралды 20 М.
TUMTETEE MTUME WETU(S.A.W) | USTADH SAID SHIRAZY
9:20
Al Ihsaan TV
Рет қаралды 4,7 М.
PASTER Ashindwa Kujitetea mbele ya Ust.KESEDE
21:58
ShamsuddinTV
Рет қаралды 8 М.
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН