Mwamposa NI MTUME wa kwanza kuvaa Bukta, Watu wa Kinondoni Fanyeni sana Toba

  Рет қаралды 199,722

MuniraOnline Tv

MuniraOnline Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 576
@khairiyyahsultan-vm1fk
@khairiyyahsultan-vm1fk 10 ай бұрын
Ustadh mazinge Allah akujaalie kila la kher unafanya kazi nzur sana . Achana na watu wanaokukashifu kiukweli unafanya kazi nzur sanaa Allah akulipe kher❤
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 10 ай бұрын
Huyo Mzee moto jehanam unamhusu,
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 10 ай бұрын
Vikundi vya ukaidi,ndio picha halisi anayoongea huyu mzee,Mbona sisi wakristo tuna aman sana,hatuna chuki na wakristo,nenda Zanzibar asilimia 90 ya wanawake Wana majini,shuleni na vyuo ,wanapandisha majini kelele shule nzima
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 10 ай бұрын
MDA WOTE WAKRISTO MAKAFIRI WAKRISTO HAWANA HAKI YA KUISHI ,MWISLAM NDIO ANA HAKI YA KUISHI,MMEKUA MUNGU KILA MTU AHESHIMU DINI YAKE,
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 9 ай бұрын
@@savinosalamba9174 Sawa inawezekana wakawa na majini ni kweli hayo maneno ni ya Mtume wetu Mohammad S.A.W alisema majini yanawashambulia wanawake na watoto kwa kiasi kikubwa sana kuliko wanaume hata upande wenu kwa Mwamposa wanawake wenye mapepo ni wengi sana na watoto ukilingalisha na wanaume,mapepo wa chafu kwa lugha nyingine ni majini waasi yaani masheitani,sasa point yako imerenga nini?
@Daidizz01chinga
@Daidizz01chinga 6 ай бұрын
Muslim respect ❤❤❤❤
@HusseinMwazani-ct9qk
@HusseinMwazani-ct9qk 9 ай бұрын
Wonderfully, mazinge.mungu akuzidishie maisha na akuĺipe mema dunia na akhera .
@alimasiallyalimasially5202
@alimasiallyalimasially5202 7 ай бұрын
Nakkubali sana mazinge mungu akujalie mwisho mwema
@olivyechambikwa425
@olivyechambikwa425 9 ай бұрын
Nyinyi mnamtukanashehe nyinyi washenzi acheni ujinga shehe mazinge hongerasana wambie makafiri wazidi kuumwa presha haowajinga
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 4 ай бұрын
Nafurafi sana maneno ya Mazinge
@husseinfaringo3068
@husseinfaringo3068 7 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi Kwa kila Jambo lako ostadh mazinge
@NASRAKHALFAN
@NASRAKHALFAN Жыл бұрын
inashangaza sana kukashifu dini zawenzao ivinabi anajua atauona ufalume wamungu dinizote kwasasa zinatuacha njiapanda walimwengu tusimame wenyewe kukuomba mungu hizi niskuzamwisho tuwemakini sana
@NgareliChacha-d2p
@NgareliChacha-d2p 2 ай бұрын
Wew fanya yako ya kumtukuza mungu na sio kujifanya mungu mtu acha machungu au ume kosa neema ya mungu 😎
@mwljoshuajgahuha808
@mwljoshuajgahuha808 Жыл бұрын
Naaam!!!! wewe ni mtumishi wa Mungu mzurii lakini okoka leo ili ujiepushe na moto wa milele maana umejaa CHUKI, FITINA NA DHARAU lakini sisi tunakupenda Sanaa wakristo wote 💕
@MathiasKunnanga
@MathiasKunnanga 11 ай бұрын
Lakini mimi nawaambia waombeeni wanaowaudhi
@KudraRashid
@KudraRashid 8 ай бұрын
Ww tatizo ujui maana ya kuokoka nenda ukatafute kamusi utafute ni nini maana ya kuokoka maana ya kuoka ni mtu ambaye yupo kwenye moto unamunguza ndio anatoa neno hilo kwamba nitoeni nimeokoka na moto yaan nitoeni naumia lkn wakriato wanaona kuoka ndio kupona akili zenu bure sana
@alimasiallyalimasially5202
@alimasiallyalimasially5202 7 ай бұрын
Acha usenge ww ukirsto ni dini?
@mussasebatiano4787
@mussasebatiano4787 6 ай бұрын
Umerogwa au umetumwa sikuhizi mnapenda uongo mkiambiwa ukweri munaanza visa yani rugha ambao imekutoka sio nzuri
@Daidizz01chinga
@Daidizz01chinga 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mazinge iyo baba
@daudifesto5592
@daudifesto5592 Жыл бұрын
Hubiri habari za Mungu... Watu waache maovu watende mema....
@KhadijaMohammed-z8c
@KhadijaMohammed-z8c Жыл бұрын
Ata mungu kasema tukumbushane mashekh zetu wanafanya vizur mungu awalipe ujila mwema
@BensonMpomo
@BensonMpomo 10 ай бұрын
mazinge we Wachane achana na wanao kukashifuu na tunakuombea Kwa allha akupe maisha marefu ili uendelee kutoka dawa
@YehudabanYerushailēm
@YehudabanYerushailēm 10 ай бұрын
Mungu hamjaribu hasiye wake
@WeddyBwayTz
@WeddyBwayTz 10 ай бұрын
Mungu akuongoze❤❤❤❤
@KelvnJohn-w5t
@KelvnJohn-w5t 11 ай бұрын
Mazinge mungu anakuona achahivo
@leonarmkaka
@leonarmkaka 10 ай бұрын
Tuache kuingiria kazi ya Mungu wakuhukumu ni mungu pekeyake tufanye yakwetu mwenyezimungu atujalie mwisho mwema hakuna binadamu aliyekamilika
@nasramohamed6973
@nasramohamed6973 10 ай бұрын
Sema professor 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@GerardMarco
@GerardMarco Жыл бұрын
Mazinge mpokee yesu acha ukafili
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Жыл бұрын
Uyo ndo profesa.hakika usilam ni dini ya haki.siyo makafiri
@AhmedMtumweni
@AhmedMtumweni 11 ай бұрын
Wee ujuw ila kunasiku utajuwa atakama ushakufa
@dorcusnsajigwa7499
@dorcusnsajigwa7499 10 ай бұрын
Nampenda San mwamposa n nitaendelea kumuamin kwa maombi yake amen 🙏
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 Жыл бұрын
LAKINI brother,unachuki sana na wakristo, MUNGU anakuona,
@abuusufian6506
@abuusufian6506 Жыл бұрын
😂
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
​@@abuusufian6506Mungu amulaani
@ibniabdalla4817
@ibniabdalla4817 11 ай бұрын
Sio chuki ila anasema kweli
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 11 ай бұрын
@@ibniabdalla4817 kumbe sikuiz kukashifu dini za watu wengine ni kusema ukweli?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 11 ай бұрын
​@RAMADHANMJA.Mazinge Hana ukweli wowote ila ana chuki na wivu kuona ukiristo unatamalaki daresalam
@mottoTv1
@mottoTv1 Жыл бұрын
Mtume wenu Muhammad kawapoteza sana mungu awasaidie muijue kweli ya kristo
@omarmakame3027
@omarmakame3027 Жыл бұрын
Mathayo 19:23-24 BHN Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu Hii ni bibilia ndio imesema Ivo sisi tunanukuu tu
@omarmakame3027
@omarmakame3027 Жыл бұрын
Angalia mathayo iyo kwanza Kisha ndio useme mtume muhammad
@omarmakame3027
@omarmakame3027 Жыл бұрын
.
@omarmakame3027
@omarmakame3027 Жыл бұрын
Mathayo 19:23-24 BHN Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Жыл бұрын
barikiwa sana mpendwa umenena vyema kbs Mungu azidi kukulinda,wenzetu awa wamepotezwa kitambo kazi wamebakiza ni kelele mtupu!
@ombenkallenge1924
@ombenkallenge1924 Жыл бұрын
Waislam MTACHELEWA SANAAAA TENA SIO KIDOGO kwanza kaa ukijua pepo yenu na yetu ni tofauti kabisa na mungu wenu na wetu ni tofauti pia .polen sana
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
Unaweza kuona mtu mzima kama huyu mzee mzima kama huyu mrefu mnene lkn anaongea mambo ya kipumbavu ya umbea kutukana imani za watu wengine za kikiristo kila siku kila siku asimamapo misikitini ndo ujue kuna wazee wa hovyo sana tanzania. Mazinge ni mzee wa hovyo sana na anawivu wa kimaendeleo kuona viongozi wa dini ya kikiristo tena wenye umli mdogo wamempita maendeleo ya kidunia na ahela. maana yeye na waislamu wote wanajua dini yao ya uislamu ni watu wa motoni na waKiristo ni watu kwenda kwenye uzima wa milele. Kwaiyo ana tapatapa mzee wawatu anajuta kwanini alizaliwa kwenye uislamu dini ya shetwani ndomana kila siku anawaonea wivu wakiristo anajua wakiristo ndio watakao kwenda kulithi uzima wa milele
@mahdisaid9764
@mahdisaid9764 Жыл бұрын
Astakafilullah hujielew ww mungu ni mmoja Allah na unadiliki kuiita dini yetu dini ya shetan hakika umepotoka pia nyinyi ndo hamjielew mnapelekwa pelekwa tuu
@HamzaMiraji-oe9cv
@HamzaMiraji-oe9cv Жыл бұрын
😊
@NasraMudy-ik1vj
@NasraMudy-ik1vj Жыл бұрын
Waislam hawajielew kabsaa
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
@@NasraMudy-ik1vj kweli dada hawa waislamu wana laana ya Mungu. kitendo cha kumkataa mwokozi wa ulimwengu Yesu kristo na kumfuata mhammad wamesha laaniwa na Mungu moja kwa moja na moto wa jehannam una wangoja
@YobCharles
@YobCharles 20 күн бұрын
YESU mnamtaja misikitin kweri n mkubw
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 ай бұрын
Amna kazi ninyi. Bora mngetafuta kazi ya kufanya..
@michaelmbeti5040
@michaelmbeti5040 11 ай бұрын
Shehe masikini sana wewe rohombaya unalana unachuki na wakristo Anza nawewe na huna roho mungu
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 11 ай бұрын
Hawachukii ila nyinyi ndio mnamchukia yeye kutokan na ukwel anaowaambia
@abilahishabani2753
@abilahishabani2753 9 ай бұрын
Si kanakwmba mazinge anachukia apan wakristo apan bali anaeapenda nd maan anawapigania ili ata nyie muingie kweny dini ya haki na dini ya kweli
@fibolychifunda6639
@fibolychifunda6639 Жыл бұрын
Ninachosikitika mm wanauzungumzia ukristo wkt hawaujui na inamaana hawaijui historia ya mtume Paulo,kabla ya utume kazi yke ilikuw kuua watumish wa Mungu Mwamposa alikuw anavaa bukta ni ishu ndogo sana
@mkojanielectricalsolution1195
@mkojanielectricalsolution1195 Жыл бұрын
Ww ni dini yako lkn huijuii
@MOUDXCLASS
@MOUDXCLASS Жыл бұрын
Hahaha haya uwaneni
@ommyfuture.3853
@ommyfuture.3853 Жыл бұрын
Wewe nawe huna unalojua kwani alichokizungumza ni cha uwongo
@Mohammedkinunga
@Mohammedkinunga Жыл бұрын
😊
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 Жыл бұрын
FANYA DHARAU,KEJELI,ONA WIVU MAENDELEO YA WATU,MUNGU AKUBARIKI SANA
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Жыл бұрын
Hakuna cha Mtume wala nabii kwa sasa hivi ni vyeo mwenyezi Mungu aliwapa waja wake kwa kazi maalumu. Acheni kujiita Nabi wala Mtume labda kama mtume wa kutumwa na shetani
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 10 ай бұрын
Endeleeni ugaidi duniani na kuua watu,kulipua maeneo ya mikusanyiko ya watu,na kudharau wakristo,MUNGU WENU HUYO ATAWAPELEKA MOTONI MOJA KWA MOJA
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 10 ай бұрын
Jihad jihad,motoni Moja kwa moja
@PauloLwena-ec2vi
@PauloLwena-ec2vi 10 ай бұрын
Yani kweriii safiii sana wachungaji wamchongo
@amiryhassan202
@amiryhassan202 11 ай бұрын
wallah kuna watu kweli ni inalilah wainaa ileyh rajiuna mtu unamwambia shekh Mazinge aende isio kuwa pepo kwanza unajua shekh kabla hajasem Mungu nisameh anasemehewa madhambi arobaini wewe na mimi jeee
@fikirimachela4778
@fikirimachela4778 11 ай бұрын
Allah akulinde inshaallah
@AidaMosha-nl6ix
@AidaMosha-nl6ix 11 ай бұрын
Waambie watu habari za ufalmme Mungu watakuelewa habari za Mwamposa ziache
@abilahishabani2753
@abilahishabani2753 9 ай бұрын
Ahaaaaa au sio kumbe inawagusa nyie mnaojiita mitume hv ata we ndgu yangu unakuwa tunakuona unahtaj uje uwe na mtume kama huyu mnyakyusa mwenzako au unahtaj uje uwasameh wazazi wako dhambi zao
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni 10 ай бұрын
Kiukweli watu wengi sana wanahubiri kwa masilah yao wenyewe ila shehe nataman sana umihubiri Yesu kristo ndio Mfalme wa wafalme hakuna na wala hata kuwepo wakimzidi yeye kwa mamlaka aliye pewa na Mungu karibu sana umpokee Yesu akae ndani yako
@abilahishabani2753
@abilahishabani2753 9 ай бұрын
We nd hujui ata dunia inaendaj hvi nabii issa anaweza akawa mfalume wa ulimwengu wte zaid Allah?
@BakarMohamed-w8g
@BakarMohamed-w8g Ай бұрын
Yes ufalme kaupata wap na kapewa na nani
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Shekhe mazinge sikujui hunijui lakini kuhusu mtume mwamposa ule sio mkono wa mwanadamu ni mkono wa Mungu ♥ kibaya zaidi wanao Amini na kuponywa na kufunguliwa na wanawake wanopokea ujauzito wengi wao ni waslam zaidi ya 75% wanao swali kwa mwamposa ni waslam ,kwahiyo Shekhe mazinge acha Mungu aitwe Mungu.,wachawi waganga nk nk wanarudisha na kuacha uchawi .Acha kubeza Shekhe
@frankisaya5498
@frankisaya5498 11 ай бұрын
Umepotea sana ndgu
@AmusedForestBridge-zo6ox
@AmusedForestBridge-zo6ox 10 ай бұрын
usimseme mtumishi mwezio na kuwashawishi watu tofauti
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 Жыл бұрын
Hizo kejeri zako subiri moto mungu atakavyokuchooma
@faridfrefre35
@faridfrefre35 Жыл бұрын
Sasa nawewe kweli kwaakili zako kuna mtume mnyakyusa
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 Жыл бұрын
@@faridfrefre35 simkafatilie vyadini yenu ya kislamu? Kila siku nikuwafatilia wakristo.mlishaona mkirsto anamfatilia muislamu? Alafu mashehe wengi ndio waganga wakienyeji Ila hakuna mkiristo anausemea uganga wa masheshe kwakua kila mtu anadini yake nakila mwanadamu atakufa nakuhukumiwa. Namungu kwamungu hatuendi nadini tunaenda. Na roho tu.
@AnthonyVitalis-iy5su
@AnthonyVitalis-iy5su 11 ай бұрын
Mimi ni mkirsto Hila kwa Sasa hivi akuna nabii ni wapigaji tu
@abilahishabani2753
@abilahishabani2753 9 ай бұрын
Duh unaongea kama vle karb na Allah mnaambiwa ukwel hamtaki kuelewa hakuna mtume mtamzani tena mnyakyusa
@LeticiaJames-m2c
@LeticiaJames-m2c Жыл бұрын
We mzee Mungu anakuona.fitina 2
@TimovenaMushi
@TimovenaMushi 10 ай бұрын
Mungu ni mmoja acha zarau,, kuzarau imani za wengine
@abilahishabani2753
@abilahishabani2753 9 ай бұрын
We huna iman yeyot we ungekuwa na iman usingekubali kudanganywa na mwamposa hv hjiulzi toka umezaliwa mpak unafika umri huo ulishawah kuskia au kumuona mtume katika taifa lako na tz? Mitume wte waliishi uarabuni huyu mtume huyu mtume anayeish tz tena mnyakyusa katokea wapi? Ukinijibu hilo swali kw ufasah nitaamin unaiman na huko ulipo walokpoteza
@nehemiamwasile8696
@nehemiamwasile8696 11 ай бұрын
Acha kuhukumu watu fanya kazi uliyo tumwa na mungu hiyo Kaz ya kuhukumu siyo Kazi Yako ni KAZI ya mungu ,kemea watu waache maovu kama huwa uwezo waachie wenye uwezo
@alexkatana5037
@alexkatana5037 9 ай бұрын
Ujumbe mzito sana.
@gracepaul4071
@gracepaul4071 10 ай бұрын
Mungu ni mwema
@MariamShagata
@MariamShagata 9 ай бұрын
Hakika 🙏🏾 allah atupe mwisho mwema 🤲
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂mazinge unajua unatupa furaha sana ungekua comedian nahis ungekua intanational
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
Siku ukiingizwa kaburini ndiyo utajua Mazinge alikuwa anachekesha au namnagani!
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Жыл бұрын
@@RamadhaniLukambuzi wewe ambae ushatoka kaburin ndiyo unipe experience
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
@@elbaricktv1632 Sio kutoka kaburi maandiko ya Mungu yanaeleza na yako wazi ndiyo maana Watu wanaifuta njia ya Mwenyezi Mungu iliyonyooka.
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Жыл бұрын
@@RamadhaniLukambuzi ndgu yangu we fata unachoamin wewe mi skiamin hata kdg mi njia yangu iliyonyoooka ni kumfuata Jesus Christ ndo njia iliyonyoooka kufika kwa mwenyezi mungu ila Mohammad yuko zake makah katulia kaburin me namfuata yesu aliye juu mbigun kwa baba
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
@@elbaricktv1632 Wewe unamfuata Yesu bila kujitambu kwa sababu Yesu alitumwa Israel Karne ya 6 kwa Wana wa Israel ambao walikuwa ni kabira 12:SOMA MARKO3:16/MATHAYO 15:24/MATHAYO 15:26/ YESU aliwatukana nyie mbao sio Waisrael ambao mnajipendekeza kwa Yesu wakati huo nyie hamukuwepo Israel hata katika kabira hizo 12 nioneshe kabira lako hapo!MATHAYO 15:25 Naye akaja akamsujudia,akisema Bwana,unisaidie.MATHAYO 15:26 Akajibu,akasema,Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.hapa alikuwa anamaanisha Wewe na wengine wanaojipendekeza kwa Yesu hivi leo aliwahita hivyo sitaki kurudia jina lako soma mwenyewe! Unaweza kusema kwamba nikuache uamini unachokiamini kwa upungu wako wa ufahamu wa maandiko,Bibilia inasema Yesu alitumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel leo Wewe Mtanzania unajipendekeza nampenda Yesu,Mkenya nampenda Yesu,Mganda Yesu Msomali Yesu ,Mexico Yesu,hamuoni mnavyopotoka kwa kukosa maarifa katika kutafasiri maandiko?Yesu ni Mtume wa Mungu aliyetumwa katika Taifa la Israel,Ibrahimu vile vile,Mussa vile vile na Mitume wengi walitumwa Israel kwa ajili ya kuwaonya kwa sababu walikuwa wanatenda dhambi sana wanauwa mpaka mitume hata Yesu walitaka kumuua lakini Mwenyezi Mungu alimunusuru!Yesu sio Mungu kama mlivyopotoka wala sio Mtoto wa Mungu wala Mungu hana sifa za kibinadamu bali Yeye anasifa ya kuumba viumbe kama binadamu,Mamba.nyoka,simba,kenge,chui,mbuzi,Kondoo,paka,majini,mijuzi na kadhalika basi kama mnasema Mungu anaye Mtoto wakati kaumba viumbe vingine mbona hivyo viumbe hamvihiti ndugu zenu make navyo vimeumbwa kama Yesu,mbona hamsemi ndugu zake Yesu?
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 Жыл бұрын
Nampenda mtumishi mwamposa na nitaenderea kumpenda kwa muumini wake
@hancekarma1623
@hancekarma1623 10 ай бұрын
badilika ndugu yangu tuliza akili Yako Ili umjue m/mungu
@sunwizy608
@sunwizy608 8 ай бұрын
tuliza akili utamjua mungu wa kweli.mungu ni mmoja tu jamaniiiiiiiiiiiiiii
@AhmadySaidy-j1f
@AhmadySaidy-j1f 4 ай бұрын
Nyie wote mnaesema yesu nimungu niweenda Wazim msojijua
@joshuayounam
@joshuayounam Жыл бұрын
Kumsema mtuuu alafu ye akujibu kama unajibiza. Najiwe vile inamaana kakupuuza
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni 10 ай бұрын
Bado wengi hamjui maana ya nabii nabii ni mtu yeyote anaye peleka ujumbe wa Mungu kokote wa kuhubiri habari ya toba na juu yakurud kwa Mara ya pili Bwana Yesu kristo
@MlungwanaAllan
@MlungwanaAllan 11 ай бұрын
Mazinge na ndio maama Wakrto hawakupendi kwakuwaunasema kweli kwakuwana wewe ulitokea kwenye ukristo unayajuwa mengi Yao nanakuombea Duwa Waslaam wote Duniani uishii Maisha malefu sana
@KamdonaKamdona
@KamdonaKamdona 10 ай бұрын
Dhahir shekhe
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Hayo ndiyo mawaidha toka msikitini au vijembe
@glorymasonga
@glorymasonga 10 ай бұрын
Unauniri au unagobana. Ubiri a watu neno la mungu acha uduanzi
@AlyMbusa-i1h
@AlyMbusa-i1h 3 ай бұрын
Oya ma sheh zetu piga kazi
@GILBERTMUSIBA
@GILBERTMUSIBA 10 ай бұрын
Hacha wivu Fanya mambo yako tangaza Imani yako
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 10 ай бұрын
Mimi ni mkristo Ila huyu comedian nampenda sana
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Жыл бұрын
Kwani kuna watu kila siku wanasema dini za watu wengine wao hawana dini au sio nzuri
@bibielroybibielroy8710
@bibielroybibielroy8710 Жыл бұрын
Toa mawaidha ya kuacha mabaya na kufuata mema achana na maisha ya watu na kutaja majina ya watu na cashfa
@akramumohamed7738
@akramumohamed7738 5 ай бұрын
Mashaallah
@KHALIDAKIDA-vh4ru
@KHALIDAKIDA-vh4ru Жыл бұрын
Mwanadamu mwenzio anakwambia yesu mungu ,hivi akili huna maarifa pia ,unakubali ,mungu ulimuona wapi ,yesu kaonekana yesu ni mtume wa mungu c mungu
@barakasimonmarandu
@barakasimonmarandu 7 ай бұрын
she mungu akusamehe mana huwo ni usengenyejaji shee na chuki
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 9 ай бұрын
Pesa zina nguvu sana
@AbbacMau
@AbbacMau 11 ай бұрын
Allahumma amin
@iwenikigodi5419
@iwenikigodi5419 Жыл бұрын
Tena we unaejifanya mtu mwema sana ndio mchawi mkubwa mbwa wewe fanya maisha yako wew wivu utakuua
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db Жыл бұрын
Mungu Akusameh makosa Yko,Mnyama Kumfananshia Mwanadam,Allah atamlnda Shekhe Wet2 Maznge,Allahu Akbar,Mnaambuwa Kwel Mnaumia
@DigallazKing
@DigallazKing 5 ай бұрын
Mbwa ni mamako aliekuzaa usitutukanie sheikh wetu shenzzz tit
@DigallazKing
@DigallazKing 5 ай бұрын
Mwenzenu anawafanya biashara tu hana unabii wowote munauziwa maji wewe kafiri unajua maana ya nabii wewe au unaongea tu kama nabii hayo maji na mafuta si angewapa bure mwenzenu munamtajirisha tu hana tofauti yoyote na babu wa loliondo ndio wale wale tu
@jembe34
@jembe34 Ай бұрын
Ungekua na akili ungeelewa unachofundishwa kwakua huna kaa ivo ivo unatukana
@HASSANSHEKUE
@HASSANSHEKUE Ай бұрын
Allah amuhifadhi shekhe wetu soma dini yako kijan kwanza ndo umtukane shekhe Allah ni 1 na muhammad ni mtume wake wa mwisho hao wengine ni matapeli kam yohana kuumpa yesu Uungu ili yeye awe mtume kasome bible ya 1952 ndo utajua ukristo ulianza vp
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge Жыл бұрын
Una mawaidha mazuri ila sio vizuri kuponda dini za watu
@AlbertMussa-lz2wf
@AlbertMussa-lz2wf Жыл бұрын
Wao hawajawahi kusifia
@brianmushi7004
@brianmushi7004 Ай бұрын
hamna siku hyuu jamaa ashawahi kuhubiri bila kutaja wakristo..kama hauwezi kusikilizwa bila kutaja wengine..hauna tofauti na mwehu
@yassinisuleimani
@yassinisuleimani Жыл бұрын
Hapa umekoseaa ndugu
@issafaquedalaura8279
@issafaquedalaura8279 Жыл бұрын
Ustaze Mazinge Mungu Akubariki Masha Allah 🤗🤗
@JanethDaudi-c7q
@JanethDaudi-c7q Жыл бұрын
Uwo niwiv mungu amemubalik
@mikerutto8164
@mikerutto8164 Жыл бұрын
You're just a comedian. Wewe ni muigizaji tu
@athumaniswedi
@athumaniswedi 10 ай бұрын
Why
@PascleShayo
@PascleShayo 9 ай бұрын
Waslam mmezid majungu
@adammwandambo4143
@adammwandambo4143 Жыл бұрын
We mzee sikia mwache mwamposa afanye yake na wew hubiria watu wako kwa staili yako ili waende mbinguni
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Жыл бұрын
Mtume wa mungu amechaguliwa na mungu kwa sasa hakuna mtume labda katumwa shetani
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 11 ай бұрын
Hata mhammad hakuwa mtume wa Mungu alijitangaza tu kuwa mtume kama alivyo jitangaza mwamposa
@noelimafwele602
@noelimafwele602 Жыл бұрын
wivu mbaya sanaaaa
@WachunyaTebeka
@WachunyaTebeka Ай бұрын
Wewe sheikh unamuombea samia, wakati walimu wetu wa kiislamu wanashida sana, huyu mama anagawa fedha kwenye mipila, alafu mazinge unamuombea kwa MUNGU, INNALIRAH WAINA LIRAH LIRAJUN.
@JustineKashililika-tc8sx
@JustineKashililika-tc8sx Жыл бұрын
Yesu akuponye mazinge
@MakataWaMakataniFX
@MakataWaMakataniFX Жыл бұрын
Hahahahaha 😂
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 10 ай бұрын
Yesu ni njia sahihi uwezi kumpangia MUNGU maamuzi yake fundisha hizo Hadith zako
@HezromSwai-bt7ez
@HezromSwai-bt7ez Жыл бұрын
Pole sana ,chukii tuu zinakuendesha
@MBAmir-bl9sd
@MBAmir-bl9sd 11 ай бұрын
Hii video haikuhusu wewe
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Kweri kabisa wakristo Wanamtania sana #nabii issa Hila watapata zambi sana
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 Жыл бұрын
DAH imewatach sana iyo
@feliciankimario2747
@feliciankimario2747 11 ай бұрын
Mazinge n tapeli
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Жыл бұрын
mnapenda kuwahukum binadam wenzenu mtadhani nyie ni wakamilifu sana
@glorymasonga
@glorymasonga 10 ай бұрын
Wewe naye mmoja wapo
@neemanziku5403
@neemanziku5403 10 ай бұрын
We mzee achakujihesabia haki hata we Ni mkosefu
@LilianNyakato-hp6wx
@LilianNyakato-hp6wx Жыл бұрын
Kwani Mungu dini gan,,acheni chuki hubirini habari njema tumjue Mungu acheni chuki😢😢😢😢
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
Ukifa ndipo utajua hiyo ni chuki au sio chuki,hapo maana yake tunakumbushwa kuhusu kifo kwamba hakiangalii mtu ana cheo gani au unapesa kiasi gani au Mtu ni masikini kiwango gani?Maana yake Mwisho wa Mitume alikuwa Mtume Mohammad karne ya 7 leo hii ukisikia Mtu anajihita Mtume ujue tapeli huyo!
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc Жыл бұрын
Matendo mema hawana Wana kelele nyingi.
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
@@AnethEdward-nf6sc Wakina nani hawana matendo mema?
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc Жыл бұрын
Yeyote yule hatuchagui dini, watu wanahubiri dini zao lkn ktk jamii hatukanyani ,hatukatazi matendo mabaya yameota mizizi dini zote zimeoza . Tunamsubiri alietuumba ndie atatuambia nani ni mwema .
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
@@AnethEdward-nf6sc Dini hazijaoza,useme watu ndiyo tatizo hilo ni namba moja,namba mbili Viongozi wa dini takribani zote mara nyingi wanakemea machafu ila wanaohubiriwa wameweka pamba masikioni hawasikii,tatu Mungu kaumba mwanadamu na akili timamu inambidi akae chini ajitafakari kwa nini kaumbwa na kuletwa duniani?Je mwanaume kaletwa duniani aje kuwa shoga?Je Mwanamke ameletwa duniani ili akawe jike dume?Je watu tumeletwa duniani ili tutoane rohoo bila haki?kulewa mapombe ovyo?kufanyiana chuki chuki?Kufanya umalaya?kufanyiana dhuruma?kulogana,husda,fitna ndugu wanafanyina rohoo mbaya na kadharika ukija kuangalia utangundua sisi wanadamu hatuna mazingatio kabisa,mtu akiambiwa mambo ya dini anakwambia hayo ni ya zamani dharau dharau tu. *Dini sio mali ya Mchungaji,Padiri wala Sheikh sio kwamba unamfuata huyo kiongozi matakwa yake;hapana ,unatakiwa uangalie muongozo wa dini yako unasemaje kama Wewe ni Mkristo angalia Bibilia yako inakuelekeza nini?Kwa mfano Bibilia inasema Yesu ni Mtu,inasema Yesu alizaliwa kama mimi na wewe,inasema Yesu alitahiliwa,inasema Yesu alipotea Mama yake na baba yake mzee Yusuph wakamtafuta baada ya mda akaonekana,Bibilia Yesu alisinzia usingizi kwenye jahazi kidogo lizame,Yesu alikula mikate na wanafunzi wake,Yesu alichoka lakini Watu wengi kwa kukosa maarifa ya akili Mchungaji anakuja anakoleza maneno anawaambia Yesu ni Mungu mara mtoto wa Mungu nanyie mnakubari kweli kwa sifa hizo za Yesu kweli Mungu anaweza kuwa na sifa za kibinadamu? *Mungu anaweza kutahiliwa na wanadamu aliyowaumba Mwenyewe? *Mungu anaweza kula mikate? *Mungu anaweza kuwa na njaa kama mwanadamu? *Yesu anaweza kuzaa mtoto?Je! Kama Mungu ana mtoto,mke wa Mungu ni nani? *Kwa mjibu wa maneno yenu mnasema Yesu alikufa,Je!Mungu anaweza kufa kama wanadamu wanavyokufa? ###Kwahiyo mizahaa hii ndiyo imepelekea watu wengi kuona dini ni kitu cha kawaida kawaida hivi,mtu anaweza kulala usingizi kesho akijihita Mtume,sijui Nabii wakati enzi za mitume zilikomea kwa Mtume Mohammad,kwahiyo toka karne ya 7 utume ulipokomea kuanzia hapo Mitume waliofuata ni Mitume weka mbali na watoto! ###Nimetoa mifano hiyo kupitia imani ya Ukristo kwa sababu Watu au Viongozi wake wanafanya mambo kwa matakwa yao ni tauti sana na Uislamu,hawezi akasimama Muislamu awe Sheikh au Imamu akajihita Mtume au Nabii Waislamu tukamfuata hii ni point 1moja,Namba 2 Hakuna Muislamu Yeyote anaweza kujitungia Quran ya kwake na Waislamu tukakubari,hatuwezi kukubari ujinga huo,Namba 3 Katika Uislamu Sheikh akipindisha hata ayah Moja Waislamu lazima tumvae vikali au atakakosolewa haraka sana. *Kwahiyo kama kuna Muislamu anafanya matendo maovu yatabaki ni ya kwake na Uislamu pamoja na Quruani vitabaki vimesimamia haki na Ukweli wa Mwenyezi Mungu,kwahiyo mtu anaufuata Uislamu na Quran kwa sababu hivi vitu viwili ni mali ya Mwenyezi Mungu kwa ajili ya Waislamu wote duniani na Quran ni moja duniani kote na maneno yake yote ni idadi ile ile kote duniani! *Kama kuna Muislamu anafanya maovu hayo maovu ni mali yake kwa sababu Quruani nikitabu kimebeba sheria kali za Mwenyezi Mungu na miongozo ya maisha ya wanadamu wote kwa mfano Quruan ni kitabu peke cha Mwenyezi Mungu kilichoelekeza kwamba mtoto akizaliwa anyonye kwa miaka 2 maziwa ya mama yake,hii aya huwezi kuipata kwenye Bibilia yeyote na Wasiokuwa Waislamu wanaifuata Quruan bila kujua hata sayansi ya Wazungu imekubariana na Quran.
@AmusedForestBridge-zo6ox
@AmusedForestBridge-zo6ox 10 ай бұрын
we unatamaa sana
@Hatibunganda-kj7hr
@Hatibunganda-kj7hr Жыл бұрын
Duh kwel kinondon kumelaanika
@davidmaisely7487
@davidmaisely7487 Жыл бұрын
Bwana akurehemu sheikh wetu
@octavinaalphonce6898
@octavinaalphonce6898 Жыл бұрын
Hebu kila mtu azungumzie kile chake tuachane na mambo ya wengine
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e Жыл бұрын
Na mashoga tuwanyamazie tuwaache
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f Жыл бұрын
Lkn ndugu Mazinge, wanasemaga hivi, ujanja ni kupata pesa. Sasa mazinge bana we mwache mwamposa wa watu ale na anywe tu!!! Wivu wa nini? Kama atahukumiwa bac we achananaye tu. Watu wanatafuta pesa bana.
@gregoryngwanije92
@gregoryngwanije92 Жыл бұрын
kwa mwamposa watu wanapokea majibu yao toka kwa Mungu. Sasa na wewe fanya zaidi yake uone kama hao unao wataja wataenda huko. Halafu pale hakuna dini una amini Mungu anakusaidia,acha porojo kila kitu kipo wazi anaonyesha kwenye TV. Acha asaidie watu kwa neema aliyopewa kama Mungu wako ameshindwa kuwasaidia watu.
@saumuyusufu
@saumuyusufu 11 ай бұрын
Jamani, jamani
@imachembele7043
@imachembele7043 8 ай бұрын
Comedian huyu daa ana chekeshaa sanaaa ndaro 😂😂😂😂
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Waambie mazinge
@glorymasonga
@glorymasonga 9 ай бұрын
Mnamba ujinga
@UpendoMollel-g3f
@UpendoMollel-g3f 10 ай бұрын
Jamani kweli kaburini hakuna amani
@josephlugala3182
@josephlugala3182 Жыл бұрын
Kumbe mazinge boya hivi Duuuh
@niahpike8593
@niahpike8593 10 ай бұрын
Sisi sote hatujui lolote Mungu atusamehe tu maana hakuna tujualo sisi ni wadhambi tu sisi sote hakuna mtakatifu ata Yesu alikataa kuitwa Mwema tulikumbuke Hilo Mimi ni Nabii wenu Nabii Coco
@mikerutto8164
@mikerutto8164 Жыл бұрын
Acha kupoteza watu ,waambie wamfuate yesu kwa sababu yeye ndiye njia ya ukweli na uzima. Sisi wakristo hatuabudu udongo. Tunamwabudu yesu. Wauza udogo hao sii wakristo bali ni mitume wa uongo
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 ай бұрын
Unaabudu mungu or yesu????
@AidanKostantine-o4p
@AidanKostantine-o4p Жыл бұрын
Maandiko wanayema watakuja nabii wa uongo ndo ayooo wakina mwamposa
@davidmatuhi7094
@davidmatuhi7094 Жыл бұрын
Kwa upande wangu shehe njaa ndo tatizo kwako Pia huna uwezo wa kuongoza jamii ukipewa hatamu yoyote watu watakufa kama kuku ,,(hujui nn useme nn usiseme na wapi utumie neno gan binafs nakushaur unaharibu uso wa Allah. huna sifa labda asiyejielewa ndo atakusikiliza broo.
@abilahishabani2753
@abilahishabani2753 9 ай бұрын
Nyie si nd walewale molokunywa uji wa mgonjwa na mgonjwa akandee
@SebastianJugle-lb7ob
@SebastianJugle-lb7ob Жыл бұрын
Mazinge ni shoga
@AlbertMussa-lz2wf
@AlbertMussa-lz2wf Жыл бұрын
Kama alivyo babaako
@mudidachi8616
@mudidachi8616 10 ай бұрын
😂😂😂 jazaqallah khair
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
SWALA LA UTATU LAZUA UTATA CHUONI
44:19
Straight Path Dawah
Рет қаралды 14 М.
MWAMPOSA TAPELI SHEIKH MAZINGE ALIPUKA
7:18
arkas online tv
Рет қаралды 40 М.
JOHN HECHE ATEMA CHECHE NI MARA BAADA YA KUIBUKA MSHINDI
11:46
SWALI LA Dt Pro MAZINGE HALIJIBIKI
17:03
arkas online tv
Рет қаралды 140 М.
5 Keys To Become Valuable Person | Joel Nanauka | Part 2
25:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 42 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.