Shekh kishk tukopamoja walahukopekeako Allah akujalie maisha marefu inshaallah
@SarhaSaid3 ай бұрын
ALLAH amzidishie shekhe wetu Kishki
@ntendindaaasab74053 ай бұрын
MashaAllah Kaz nzur akh wafkishie
@abdallahazizi9993 ай бұрын
Naomba Mwenyezi Mungu akupe nguvu kwakuipiganiya dini ya Allah Nikopamoja nawewe ni Abdou Marecani
@JamalManzi3 ай бұрын
Nachompendea mm Shkh Kishki huwa habadiliki kwa kuiga watu, cku zote anasimama ktk ukweli wa mafundisho ya dini, hawa ndio maulamaa wa kweli wa Allah, Basi Allah azidi kukupa umri mrefu shekh ili watu wazidi kuvuna ilmu inshallah
@AbdullahOmar-be4wy3 ай бұрын
@@JamalManzi amekosea sana kumzalisha muislamu mwenzake wakati yeye kukosolewa hakubali kukosolewa
@JamalManzi3 ай бұрын
@AbdullahOmar-be4wy Mmh sidhani, maana Shkh Kishki ni msikivu sana na mnyenyekevu hata kwa maamuma
@HalfanHemedi-r8z3 ай бұрын
@@AbdullahOmar-be4wysema kweli japokua chungu ujumbe umefika kazi kwao waache hau waendelee kwaviburi kazi kwao wako wenhi
@SarhaSaid3 ай бұрын
@@AbdullahOmar-be4wyMuongo ww
@AbdullahOmar-be4wy3 ай бұрын
@@HalfanHemedi-r8z kasome dini kwanza nikuulize wewe hivi mfano ww unajiuza mimi ndio shekhe nikae msikitini nikuseme kwa sababu sema ukweli japo chungu au nije nikufuate tuzungumze ndugu yangu Halfan nizungumze kwa heshima na ww bila kukuita Malaya au lugha mbaya ipi njia mzuri kwako ww
@PasserbyMan-ju8ky3 ай бұрын
Allah akulipe sheikh kishki
@MochammdHadija-pn7nn3 ай бұрын
Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi
@salisali37383 ай бұрын
ووواااااووو شتقناليك مرحبا بك
@ShabaniMussa-f8j2 ай бұрын
Safi sana sheee
@mussaally74843 ай бұрын
Swadackta.
@AllyKipende3 ай бұрын
Nimeoenda hii video post ya shekh shafi, yaani dini yetu ni kamili kabisa, nasisi tumekuwa umma bora kwa kukatazana mabaya na kuamlishana mema, kwahiyo haitakiwi kumuogopa yoyote anapofanya maovu katika dini yetu. Allah ambariki shekh shafi na shekh kishki katika hili. Endeleeni kusema kwa yoyote anaeleta ushirikina katika waislamu
@alidingongo4433 ай бұрын
Sheikh shafi uko wapi
@SmithSalumu3 ай бұрын
Allah akuzudishiye kila la kheri sheikh wangu ? Nurdin kishk
@HamadSaid-m8g3 ай бұрын
Allah akulipe sheikh
@ismailsoud36342 ай бұрын
Naaaaam swadakta, stara za kina mama zinaondoka. Kutokana hawa masharif feki. Allahu Akbar Mwenye awadharilishe fi dunia wal akher.
@djumasuleimanisuleimani27242 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@FadhilaMwema3 ай бұрын
Naona shekhe unapiga kwenye mshono
@DhaharaniJongo-gt2un3 ай бұрын
Uislam ni dini ya haki kishk tupo pamoja na wewe
@Mariam-ke4og2 ай бұрын
Kweli kabisa shekh wetu waambie hao NI SHARIFU FEKII HUYU ANAKAZI YA KUWATAPELI WATU
@michaelthobias99672 ай бұрын
Dili na imani yko
@Zafarmohamedy2 ай бұрын
🤔🤔
@jimmyhabarugira42323 ай бұрын
Waislam tuko wengi tunakuunga mkono kwa kuokowa UMMA
@Zafarmohamedy2 ай бұрын
Sawa sawa eet walii wa shaitwaan 😂
@FariduJuma3 ай бұрын
Ukoswadkta shekhekishik
@ramadhaniswami61523 ай бұрын
watu siku hizi wanawaza kutafutia tumbo tu hakuna mkalifu chini ya jua wote njaa zinatusumbua
@AmoIslamicTv3 ай бұрын
Sheikh Kishki yupo kwa ajili ya Kutetea Uislamu na sio kwa ajili ya Pesa kama Kuma Masheikh wengine. Kiukweli Kishki anauchungu juu ya wapotodhaji katika dini
@FadhilaMwema3 ай бұрын
Shekh shafi mbona uko kimya kwenye uozo huu au na wewe uko pamoja na masharifu
@ramadhaniswami61523 ай бұрын
mtume hakufaya upako wala mafuta .alifundisha kutenda mema na kuacha mabaya. shida ya waislam wa leo hawasomi imani yao. kazi ubishi simba na yanga tu .kunaimani yao vichwa maji
@michaelthobias99672 ай бұрын
Shida una chuki zidi ya imani nyingine
@joezeno83 ай бұрын
Afadhali na nyie waislamu, baadhi yenu kama Sheikh Kishki anawakemea Masheikh, Masharif na Madokta FEKI, sisi Wakristo hakuna Kiongozi anaye Wakemea hawa wanaojiita Mitume na Manabii! Sulle anajiita Doctor hata Sekondari hakumaliza, Mazinge PROFESOR, Mwaipopo anajiita Sheikh, Firdaus Sharif 😂
@Catherine-mh8sw3 ай бұрын
Lakini lazima wakemewe si vizuri wanavyofanya
@AbdullahOmar-be4wy3 ай бұрын
Kishki jifunze kulingania bado unahitaji kujifunza hivi huyo unayemsema kabla hujamsema yupo dar na ww upo dar uliwahi kumfuata ukazungumza nae km muislamu mwenzako uislamu hauja fundisha kumvunjia heshima mtu hivi wewe angelikufanyia km unavyofanya wewe ungekubali mbona ww ukikosolewa hukubali uislamu haujafundisha hivi
@abdulrahmanmaiga93863 ай бұрын
Alichokisema ni haki au sio haki vip mtu afatwe faragha na wakati aliyasema hadharani
@AbdullahOmar-be4wy3 ай бұрын
@abdulrahmanmaiga9386 bc firauni alikuwa anatangaaza hadharani na anajulikana tena anatisha kwa nn Allah alimwambia Mussa nenda kazungumze nae maneno laini sembuse waislamu kwa waislamu sio kila haki inasema na sio kila ukweli unasemwa na sio pahali unasemwa huu ndio uislamu umetufundisha
@HalfanHemedi-r8z3 ай бұрын
Acha kutetea ujinga tatizo wako wengi watafuatwa wangap
Kishki amesema hadhalani na kwa faida yetu sisi tusiojuwa kuhusu haya mambo lau kama angemfata faragha badi sisi tusingepata faida na tungeenda kwa masharifu wengine fake nakuendelea kumkosea ALLAHA
@ramadhaniswami61523 ай бұрын
ivi maana ya shalifu ni nini mi sielewagi hilo
@Zafarmohamedy2 ай бұрын
Doh 😅
@JamalManzi3 ай бұрын
Nachompendea mm Shkh Kishki huwa habadiliki kwa kuiga watu, cku zote anasimama ktk ukweli wa mafundisho ya dini, hawa ndio maulamaa wa kweli wa Allah, Basi Allah azidi kukupa umri mrefu shekh ili watu wazidi kuvuna ilmu inshallah