MWANA TULIA (Official video)By Tumaini Swai (FM)

  Рет қаралды 17,888

TUMAINI SWAI

TUMAINI SWAI

Күн бұрын

Karibuni nyote tufurahi na kumwimbia Mtoto Yesu ili azaliwe mioyoni mwetu kipindi hiki cha Noel na siku zote za maisha yetu.
Mtunzi & Organist: Tumaini Swai(FM)
Sound Engineer: Shimanyi & Luseba
Director: Shimanyi FM
Audio & Video by CGen Pro
#christmas #kwayakatoliki #gospelmusic #africangospel #catholicsongs #art #artist #christian #church #catholicmusic #trending #viral #foryou #christmasmusic #christmascarols

Пікірлер
@EmmanuelKihiyo
@EmmanuelKihiyo 22 күн бұрын
Wow ,wimbo mzuri sana ,pongezi kwako mwalimu swai,nawaona na marafik Zang wote hapo ,Mr Deo , mwalimu hendry, madam katunzi,na wote ambao cijawataja hongereni sana wimbo mzuri, lala kitoto Cha mbingu ,lala sinzia ,MWANA TULIA,🙏🏿
@kmb_sombetini
@kmb_sombetini 22 күн бұрын
Asante endelea kuburudika kaka Emmanuel
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana mkuu
@pedromburu7691
@pedromburu7691 20 күн бұрын
Aisee Swai umeupiga mwingi🎉🎉🎉 Nota zimepangika kama ziko Vienna😊
@EmmanuelKihiyo
@EmmanuelKihiyo 6 күн бұрын
@@kmb_sombetini Amina tch
@frankmhoja2460
@frankmhoja2460 6 күн бұрын
Nyie kuwa mkatoliki saf asee....huu wimbo una hisia sana..barikiwa sana wanakwaya asee these are blesse
@DjTijay254
@DjTijay254 19 күн бұрын
Wonderful....heri njema za krismasi 🎉🎉🎉
@MussaMabogo
@MussaMabogo 18 күн бұрын
Utunzi mujaarabu!! Hongera sana Mwl Tumaini Sway
@AngelHonest-b4z
@AngelHonest-b4z 21 күн бұрын
Hongera sana wimbo mzuri sana
@frankmhoja2460
@frankmhoja2460 6 күн бұрын
Namuona kijana huyo...baada ya miaka kadhaaa atakuwa na kipaji saf..barikiwa sana mtoto ni malez
@PATRICKKYALO.SacredVoicesKenya
@PATRICKKYALO.SacredVoicesKenya 20 күн бұрын
Kazi iloenda shule isee🎉
@ludwinamramba
@ludwinamramba 6 күн бұрын
Pongezi nyingi kwenu waimbaji
@JohnDaniel-j1z
@JohnDaniel-j1z 17 күн бұрын
Hongeren san kwa kazi nzur Mungu azidi kuwa inua
@veronicamutuku5439
@veronicamutuku5439 11 күн бұрын
Kazi safi kaka
@hezekiabendera7146
@hezekiabendera7146 21 күн бұрын
Huwa nakukubali sana Tumaini Swai utunzi wako
@luciajuma8336
@luciajuma8336 20 күн бұрын
Hongeren San wimbo mzuri ❤ Mungu awabariki san
@OrganistjamesKtZ
@OrganistjamesKtZ 21 күн бұрын
Safi Sana Mwalimu Tumaini,na Waimbaji wote
@rahabmacharia5020
@rahabmacharia5020 21 күн бұрын
Hongera sana Mwalimu and friends kwa kazi nzuri.
@alphamulokozi35
@alphamulokozi35 19 күн бұрын
Hongera sana Maestro
@benjaminmmand92
@benjaminmmand92 20 күн бұрын
Mungu awabariki sana wimbo umetulia mno,hongereni sana watayarishajii❤
@Rafaeljay76.
@Rafaeljay76. 21 күн бұрын
Swafi sana.
@godfreykamzola5805
@godfreykamzola5805 21 күн бұрын
Safi
@leonickochieng606
@leonickochieng606 22 күн бұрын
Safi 🔥🔥
@reginamndeme1546
@reginamndeme1546 21 күн бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri
@ShidaLeonard-c2m
@ShidaLeonard-c2m 20 күн бұрын
Mbarikiwe sana
@textileengineer6213
@textileengineer6213 19 күн бұрын
Wow! Wonderful. Very good
@jamesmtuka8618
@jamesmtuka8618 20 күн бұрын
MWANA TULIA kazi nzuri sana mwalimu Swai na vijana wako❤
@apebanotetz
@apebanotetz 22 күн бұрын
Hongera sana Master🎉
@lizmwendwamusic
@lizmwendwamusic 21 күн бұрын
Congratulations, very sweet song. 🙏🙏
@mabogocharles6824
@mabogocharles6824 19 күн бұрын
Bro hujawahi kukosea kwenye utunzi wako hongereni Sanaa Kwa kazi nzuri 🎉🎉
@AngellaLuke-gl5ro
@AngellaLuke-gl5ro 17 күн бұрын
Well done Mr Swai. May God really bless you for the work you are doing
@dorcasodire4564
@dorcasodire4564 18 күн бұрын
Another lovely one.❤❤❤Hongera
@BurudikaKikatoliki
@BurudikaKikatoliki 22 күн бұрын
Hongera sana ❤
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana
@antoniavicent2827
@antoniavicent2827 22 күн бұрын
Good job congratulations kaka🎉🎉❤❤❤
@bintishirima6213
@bintishirima6213 22 күн бұрын
Hongera San my kak Kwa utunzi mzur🎉
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Karibu
@signeyshirima7877
@signeyshirima7877 22 күн бұрын
Kazi Nzuri sana, Mungu awalinde
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Amina
@dominicakimbe
@dominicakimbe 21 күн бұрын
Kanzi nzuriiii ,,,,,Hongeraaaa Mwl 🎉🎉🎉🎉🎉
@jontap.i.6980
@jontap.i.6980 21 күн бұрын
kazaliwa kweli kweli swai hongera na kwaya yetu kwa ujumla
@ewaldshauritangasway2159
@ewaldshauritangasway2159 22 күн бұрын
Huyu Tumaini Sway Huyu.... Yaani fingering yake tuu baaaass.... Mungu akubariki tumaini
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante Oswald
@hellenathadeo
@hellenathadeo 22 күн бұрын
Hongera sana Tumaini Wimbo mzuri mnooo
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana
@francismuoki3897
@francismuoki3897 22 күн бұрын
Kazi safi kabisaaa
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante
@davidmuthaka8772
@davidmuthaka8772 22 күн бұрын
Saaafi sana mwalimu Mentor
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante
@salliesmedia
@salliesmedia 22 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ Lala kitoto sinzia. Christmas mode activated
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Waoh! Continue enjoying.
@MaryThomas-v2j
@MaryThomas-v2j 22 күн бұрын
🫡 to the composer unajua alafu unajua tenaaa🎉🎉🎉
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Thanks be to God
@titusbujeje1753
@titusbujeje1753 22 күн бұрын
Safi sana mtaalamu ❤❤
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante mkuu
@johnmtui910
@johnmtui910 22 күн бұрын
Hakika mwl Swai hongera sana kwa utunzi mtamu na kinanda safi ikindikiza xmass njema
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana Mwl. Johh Mtui
@maryflaviournafulasifuna6347
@maryflaviournafulasifuna6347 21 күн бұрын
🎉🎉❤
@kikemumbinda3225
@kikemumbinda3225 22 күн бұрын
Kazi safi mcheza kinanda wa dunia and your team. You have given justice to that song...Ni tamu sana. Tunakusherehekea
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana Kikemu
@hughomarenge993
@hughomarenge993 22 күн бұрын
Hongera kazi nzuri sana mbarikiwe
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Amina
@VitalisBasso
@VitalisBasso 21 күн бұрын
​@@tumainiswai_fm❤❤❤❤❤,,
@paulmziba1060
@paulmziba1060 22 күн бұрын
Kazi nzuri
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Amen
@lawrence_kameja
@lawrence_kameja 22 күн бұрын
Kazi safi sana hongera rafiki yangu hongereni sana mtaalamu mwenyewe Tumaini swai 🎉
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante soloist wa dunia😂
@adamshirima5880
@adamshirima5880 20 күн бұрын
Bro shikamoo. Ukipata nafasi itika 🔥🔥🔥🔥🔥
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 19 күн бұрын
Naam kaka
@bahatimashalo4335
@bahatimashalo4335 22 күн бұрын
Waooh hongera sana kwa utunzi mzuri hakika mambo ni moto🎉
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana Bahati
@BagwanCargo-gg3uv
@BagwanCargo-gg3uv 22 күн бұрын
Hujawahii kukosea🔥🔥
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Amina
@Arati3
@Arati3 22 күн бұрын
Hongera kaka😊 kazi safi 🔥👏
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana
@epiphanmakauki
@epiphanmakauki 22 күн бұрын
Hongera mkuu kazi nzuri
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana
@jonsonsolezi8779
@jonsonsolezi8779 22 күн бұрын
Upo vizuri kiongozi wangu,hukosei ukiamuaga jambo lako linakuwa kama lilivyo, barikiwa sana 🙏
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Amina mwalimu
@nelsongabriel6324
@nelsongabriel6324 22 күн бұрын
Hongera Sana kwa utunzi muzuli hasa sauti yatatu nayo imbaga mpaka nimekumbuka kuimba kwaya 🎉🎉❤❤
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Safi sana
@nelsongabriel6324
@nelsongabriel6324 21 күн бұрын
@@tumainiswai_fm Asante Sana 🙏🙏
@BlessedHarmonyVoices
@BlessedHarmonyVoices 22 күн бұрын
Wow!!.. Interesting.Perfectly done.Happy holidays to all of us tukibarikiwa na huu wimbo.
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Amen
@salomemahembega9420
@salomemahembega9420 22 күн бұрын
🎉🎉🎉❤🎉🎉Naam hongera sana kaka mdogo ❤🎉 KAZI nzuri mno
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana mwalimu wangu Salome
@donaldnyandigaomondi9015
@donaldnyandigaomondi9015 22 күн бұрын
Kazi safi mkuu tuma nota pale GSR
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Nishatumana mkuu😂
@waromokello
@waromokello 22 күн бұрын
Wow great melody, harmony from a great man @tumainiswai❤❤🎉🎉
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Sifa na utukufu ni kwake Mwenyezi Mungu
@waromokello
@waromokello 22 күн бұрын
May you be blessed with more wisdom ​@@tumainiswai_fm
@poncegk5263
@poncegk5263 22 күн бұрын
Barikiwa sana
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Amen
@innocentmakoi462
@innocentmakoi462 22 күн бұрын
Always on top 💥💥💥
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Amen
@VeronicaAdamu
@VeronicaAdamu 22 күн бұрын
Hongera sana kaka kazi nzurii❤❤🎉🎉
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Thanks
@rubyccatholic
@rubyccatholic 22 күн бұрын
Wow ❤
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Welcome
@dorothydeclan6995
@dorothydeclan6995 20 күн бұрын
❤🎉
@emjay4689
@emjay4689 22 күн бұрын
Always on point 🔥🔥 hongera kaka
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana
@emanuelsaqware587
@emanuelsaqware587 17 күн бұрын
👊
@edwardobreymarunda496
@edwardobreymarunda496 19 күн бұрын
Huyu dogo nayemwona hapo mbele ni INNOCENT TUMAINI SWAI? 😂
@prosperthomas5672
@prosperthomas5672 17 күн бұрын
Hongera sana kwa wimbo mzuri
@Mwalimutito
@Mwalimutito 22 күн бұрын
Hapo sawa Kabisa mkuu Wangu , Hongera Sana 🎉🎉🎉
@tumainiswai_fm
@tumainiswai_fm 22 күн бұрын
Asante sana
NJOONI TUSIFU (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:59
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 705 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Thousands of Christians Convert to Islam After Humiliating Muslim Boy
17:20
AFRICAN HOME: UNEXPECTED PREGNANCY (PART 1)
28:17
SamSpedy
Рет қаралды 3,3 МЛН
YESU AMEZALIWA (Official video)-Kwaya ya Mt.Joakimu-Babati
4:59
KWAYA YA MT. JOAKIMU BABATI
Рет қаралды 39 М.
MIMI NA WEWE DAMDAM By F.M. Shimanyi (Official Video)
4:53
CGen Pro
Рет қаралды 234 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 8 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН