MWANACHUO KUTOKA SAUDI ARABIA AMALIZA UTATA KUHUSU VIGAWANYIKO VITATU VYA TAWHID:ALLAH AMUHIFADH

  Рет қаралды 13,824

QANAATU SUNNAH TV

QANAATU SUNNAH TV

Күн бұрын

Пікірлер: 388
@sh.mohamedhussein4148
@sh.mohamedhussein4148 14 күн бұрын
Masha Allah, allah amhifadhi sheikh, darsa nzuri sana. Wengi hapa wanahitaji darsa kama hii.
@ahmetmwandu8499
@ahmetmwandu8499 12 күн бұрын
Sheikh Ally Jumanne,, MashaaAllah
@AllySibila
@AllySibila 12 күн бұрын
Kule Allah si kasema Faalam annahu laailahaa illah llah kwa uchache wangu wa elimu nlionao nina dalili kibao za kuonesha tawhid Laaaaaaaaa Taqsam
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 15 күн бұрын
Waislamu tusigombane kila mtu akinahi kile atakachojirisha nacho. Lau ALLAH A'ZZA WAJALLA Angelitaka Angewaongowa watu wote. Tusitukanane,tunamuomba ALLAH SUBHANAHU WATAALA Atuongoe katika njia ya Haqqi.
@darajanida
@darajanida 15 күн бұрын
amin na hilo ndo muhimu lakin ndugu zettw mawahabi hawataki kama wako tayar kuwacha hayamamambo na sisi tutacha bila hivo utataswameh akhiy
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 14 күн бұрын
tena kwa taarifa tu ukipoteza moja kati ya hivi vigawanyo haujatimia uislam wako jamani tusiwe mbulula elimu imetufikia kwani fardhi za udhu nguzo za swala hizo pia wamegawa maulamaa ktk kuelimisha umma na tunafundishwa tusiwe wabishi tupende kukiongezea ilmu
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 14 күн бұрын
​@@khamisjuma7616 Hata Maulid Pia Dhikri Wamesma Wanawachuoni Tena Wakubwa Mbina Nyie Hamtaki Hayo Na Kuwatukana Watu Kila Kukicha Mkiaacha Nanyie Mtaachwa
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 14 күн бұрын
Huo ni upumbavu mkubwa mno Tawheed ni msingi wa dini na hutakiwi kuchezewa. Wanachuoni wamegawanya elimu ya Tawheed katika sehemu tatu baada ya Tawheed kuchezewa na watu kufanya ushirikina huku wakijiona wapo sawa. Washirikina inawauma elimu ya Tawheed kubainishwa vizuri
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 14 күн бұрын
@Kekulebenzene Kabla ya jazba zako na joto la hasira ulilonalo wafahamu (jamii). Hawa wanaopinga:"Aqsam Attawhiid" wengi wao ni watu wajinga,wachache tu ni wajuzi. Na hawa wajuzi wanificha Haki hali ya kuwa wanaijua. Elimu ya Usuli kwa mujibu wa Kitabu na Sunnah inatutaka tuwaelewe wale tunaofikishia. Kupinga vigawanyo ni kama uchochoro tu wa kuipinga. Tawhiid ni mwiba mkali kwa Ahlul hawaa. Sisi tunawahitaji wasioijua Tawhiid ktk hawa wajinga waijue, kwani wanapotoshwa na watu wa matamanio. Hivyo basi busara za Usulubu Daawa zinahitajika ili umma Tawhiid. Watu wengi ni wajinga na ndo maana wanamuabudu ALLAH SUBHANAHU WATAALA wengi wao na hali ni washirikina.
@sh.mohamedhussein4148
@sh.mohamedhussein4148 14 күн бұрын
حفظ الله الشيخ ونفع به الأمة .
@LushweKuandika-lm9zc
@LushweKuandika-lm9zc 14 күн бұрын
Nmejifunza neno la kiswahili, kumbe kupekesha ndio sahihi kwenye kiswahili, Namshukur Allah kwa kunijaalia kuwa muislam na kuwa mtu anaye Fata sunnah.
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 13 күн бұрын
ALLAH AKUBAARIKI SAANA NDUGU YANGU MBORA NA AKUTHIBITISHE KATIKA UISLAMU NA SUNNAH MPAKA UNAKUTANA NAYE
@mudrikJuma-s1b
@mudrikJuma-s1b 13 күн бұрын
Masha Allah maana masufi wao hata uwape dalili 1000000 bado watasimamia msimamo wao alhamdulillah kwakubainisha
@ر.ج.ب
@ر.ج.ب 15 күн бұрын
MAa Shaa Allah sheikh said Al hiliil
@abuumunyrelbatwaawy7490
@abuumunyrelbatwaawy7490 13 күн бұрын
Nimefurahi sana, masheikh kuitangaza hakki katika itikadi sahihi na tawheed. Hasa juu ya uwepo wa Allhaah juu ya arshi yake. Allaah awabaarik masheikh na awalipe ujira mkubwa mno.
@shabansaid2323
@shabansaid2323 12 күн бұрын
Yupo kwa dhati yake au sifa yake?
@ABDINURA-hb9ky
@ABDINURA-hb9ky 12 күн бұрын
Peleka shubuhat zako mbali kapsaa​@@shabansaid2323
@nasampro7759
@nasampro7759 12 күн бұрын
itiqadi za kumpa Allah viungo unasema ni zahakki subhna Allah , itiqadi za mayahudi walikua wna imani ya kuwa Allah ana viungo na Allah amekaa kitako .. mumezichuwa wapi hizi itiqadi hata museme ni za hakki
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 14 күн бұрын
Maashaa Allah darsa nzur sana❤
@IbnHassan-k5b
@IbnHassan-k5b 14 күн бұрын
حفظ الله الشيخ ونفع به
@ramadhanikuhanga3324
@ramadhanikuhanga3324 14 күн бұрын
Jaman achen haya MARAD umma unapotea kuna wanaojiita waislam wamemwona nabii ISSA huku mmekazana TAWHIID vigawanyo VITATU HUYU MOJA
@abdallahhamoudalmughayri4583
@abdallahhamoudalmughayri4583 14 күн бұрын
Wako wapi hao,,?
@jumajuma1324
@jumajuma1324 14 күн бұрын
Nimejifunza kitu kwa nyinyi masufi ,huo @Raya ali anasema wanakataa kwasasababu sisi tukipewa aya na hadithi kwenye maulidi hatuzitaki kwa hio na mumeona ukweli ila mnapinga tu ili mupate ushindi , yahitaji mukae mufikiri kila mtu atasimamisha pekeyake mbele ya mula wake makumdi ya washabiki hayatokusaidia . والسلام
@kibakombe1020
@kibakombe1020 9 күн бұрын
Kiufupi kabisa bado hajamaliza, hapo katoa maelezo tu, hajatoa dalili hata moja kuhusu vigawanyo.
@abuuaminah
@abuuaminah 9 күн бұрын
Bidaa mpaka katka akida😅😅😅
@Zanzibar0001
@Zanzibar0001 15 күн бұрын
Isome suratul Fatha kwa kina na ufaham wa hali wa juu utaona Tawheed ni moja na imejigawa ktk kuifanya hyo Tawheed sehem kuu Tatu
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 15 күн бұрын
huelew ulichoandika.Na hakieleweki hasa. Jarib Kuongea kwa kupambanua.
@HUSSEINALLY-b7f
@HUSSEINALLY-b7f 15 күн бұрын
Utatu mtakatifu😢
@HemedSerious
@HemedSerious 14 күн бұрын
Acha uongo ktk suratil fatha hakuna vigawanyo vya tauheed
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 14 күн бұрын
Hahahah Lete Hivo Vigawo Sio Porojo Hawa Mamaimu Waliopita Hawakusoma Suratul Fat Ha Kwa Kutulia Wewe Mtu Mwaka 2000 Ndio Umesoma Kwa Kutulia Hahah
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 14 күн бұрын
Half ukisha sema neno tawheed maanske niupweke Sasa upweke unagawika tumia akili kwa kutulia utakuta tunarudi kulekule kwa ndgu zetu katika ubinadamu yaan makafiri wanaambiwa mungu ni mmoja lkin amegawanyika sehem tatu hakuna tawheed tatu tawheed nimoja tu
@FatuNahimana
@FatuNahimana 14 күн бұрын
Kinacho takiwa apo wa limu zetu mashekh zetu wa umini wa ki islam tunaomba tawukhiidi ifundishwe kwa wingi watu wamjuwe allah kisawa sawa nguvu zina tumika kwa kutangaza dawa za nguvu za kiwume kupata bahati kupata mali zitumiwe katika kuyi somesha tawukhidi watu wamjuwe allah kisawa sawa na kisomo cha fiQihi ili tuyi fahamu dini kisawa sawa na khadithi za mtume wetu rehema na amani ziwe ju yake ili tu pate kuji funza tabiya nzuri
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 13 күн бұрын
Kumjua kwa vigawe vitatu ndio kumjua kisawa.
@ر.ج.ب
@ر.ج.ب 15 күн бұрын
Maulamaa ni warithi wa mitume tuwaheshimu
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 14 күн бұрын
Kabisaaa Hata Kwenye Maulid Pia Tuwaheshimu Au Wale Sio Ulamaa
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 13 күн бұрын
Ulamaa wa Kisufi? Wa MTUME KAFUNGA WAO WAONA WALE??, MTUME WETU KAPANDISHA NGUO MPK KATIKATI YA MUUNDI WAO WAO KUBURUZA NDIYO NJIA??? MTUME AMEACHA NDEVU WAO WAONA KUZINYOA WAISLAMU NDILO JAMBO LILILOBORA??? NA MENGINE MEENGI AMBAYO MTUME WETU ANAYAACHA WAO WAYAFANYA NA ALIYOYAFANYA WAO WAONA WAYAACHE AU WAYAFANYE WAKIONGEZEA NA YAO...HAWA NDIO MAULAMAA??????????????? KHAAAAA!!!!
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 14 күн бұрын
Mm nashangaaa hapa tz shehe kisa kakatazwa maulid anaamua kupotosha hasira tu duniani kote wanafaaam tawhid na vip imegwk
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p 14 күн бұрын
Dunia ya kiwahabi labda
@jumannekassimu5410
@jumannekassimu5410 12 күн бұрын
​@@YaziduIddy-u7pMashia wanapoteza ummah
@Abubakar-cb1er
@Abubakar-cb1er 12 күн бұрын
Mawahabi wanapenda kulazimisha vitu vyao ndio iwe sahihi wangine wakisema ni bidaa
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 14 күн бұрын
TAWHED Nİ ELİM NA KUGAWANYA ELİM SIO BİDAA MASUUF HUCHANGANYA KATİ YA TAWHEED NA MUNGU( ALLAH) ENZŞ YA MTUME NA MAS'HABA HAKUKUA NA ELİM BALAGHA WALA NAHAU.... LKN LEO TWAXİSOMA İLİ TUELEWW QURANİ.. KWA ELİMU YA TAWHEED İLİ UİELEWE SAWASAWA NDIO IMEGAWANYWA SEHEM TATU KWA MUJIBU WA QUR'AN SURATUL FAT'HA NA ZİNGİNE... ZINAELEZEA KUMPWEKESHA ALLAH KTK NYANJA 3 Swali Tawheed; Nİ ELİM YA KUMPWEKESHA MUNGU Nİ MMOJA TU ! katika nini??????????? JİBU LA SWALİ HİL NDIO UTAGUNDUA WANAZUON WAMEGAWA KTK MAKUND 3 . 1- Ktk UUMBAJİ 2- ktk KUUUABUDİWA 3-Ktk MAJINA NA SIFA ZAKE
@AllySibila
@AllySibila 12 күн бұрын
Tunafahamu tawhidi ni elimu lakini haina vigawanyo
@shabansaid2323
@shabansaid2323 12 күн бұрын
Kamaliza utata au ameongeza utata???
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 15 күн бұрын
Maaashaallah
@commandokhalidi5284
@commandokhalidi5284 12 күн бұрын
Ivi mawahabi wapi mnakwama?😅
@abuuaminah
@abuuaminah 9 күн бұрын
Kubalini ni Utatu ni Bidaa
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 14 күн бұрын
Masufi watasema katumwa na Muhammad Bachu
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 13 күн бұрын
​LAZIMA IWAUME WASHIRIKINA HAWA KWA SABABU NDIYO HARAKATI ZAO HIZO MPAKA WANAWAPELEKEA WAISLAMU AWWAAM WAINGIE KATIKA MAS-ALA YA KUABUDIA MAKABURI NA KWENDA KWA WAGANGA HAWA WAKIONA NI JAMBO LA KAWAIDA TU KUMBE LAWATOA KATIKA UISLAMU. YOOTE HII KWA AJILI YA HII MISHEHENA MIZUSHI MISHIRIKINA... TAHAMAKI MUISLAMU ANABAINISHIWA MAMBO NAYE ANALETA TUHOJA KUWA WATU WAKAE KIMYA WASIGOMBANE. HUU NI MTIHANI NDUGU ZANGU HILI JAMBO NI ZITO LAZIMA LISEMWE. NA MISHEHENA YENU LAZIMA UIMUE SASA WEWE USITUMIA COMMON SENSE ZAKO ENDELEA KUWASHABIKIA UTAJA JUA PALE UTAKAPOJIKUTA NA MAKAFIRI KATIKA MOTO NA KWAMBA HUKMU YAKO NI KAMA WAO TU KUWA UTAKAA MOTONI MILELE. ZINDUKA EWE MUISLAMU
@darajanida
@darajanida 12 күн бұрын
ninani annaeabuudiuykkabur
@AllySibila
@AllySibila 12 күн бұрын
Tafuteni kitabu kinachoitwa INTABAH DIINUKA FII KHATWAYA ndo utaona hoja za hawa mawahabi kuhusu tawhidi yao ya utatu na shekhe alivyozivunja kwa aya nzito nzito hawa watapata wale fata upepo ila sio tunaojua
@darajanida
@darajanida 15 күн бұрын
naamu maalim mwenyezimungu yupo bila ya mahali
@IsmailGavara-r5s
@IsmailGavara-r5s 15 күн бұрын
Bro. Hamna yeyote ktk ulamaa waki shia. Sufi. Bohora. Makadiani.mahizbi.maibadhi.mpaka mayaudi.na makufar wengine ana aya swarih tena ya wazi inayo vunja msimamo wa qurani yakwamba Allahu azzawajallah yuko juu ya arshi yake swali kwani juu ni sehemu au sio sehemu??? Usituambie Allah yuko pasina sehemu bila dalili.bro leta hoja yakielimu wafaa kusema Allah yupo sehemu pasina kuitajia sehemu bali sehemu ndio yamuitajia hapo maneno yako ktk mustawa wake sio kutuambia Allah yupo pasina sehemu!!! Masalafi hatukuelewi
@IsmailGavara-r5s
@IsmailGavara-r5s 15 күн бұрын
@@darajanida hio sio aya bali nima dai tu yama sufi nama shia yakudai Allah yupo pasina sehemu hawana aya wala hadith.nandio mmeshindwa vunja hoja zama salafi hao wana dalili ya aya na hadithi tena mutawatir kwamba Allah yuko juu hadith ya jaria..pamoja na aya nyingi hii yenu hayupo sehemu mmetoa wapi??
@darajanida
@darajanida 15 күн бұрын
​@@IsmailGavara-r5s mtume s.a.w. anasema alikuwepo mwenyezimungu na hapakuwa na chochote kisicho kuwa yeye mepokea imamu bukhar na imamu baihaki
@darajanida
@darajanida 15 күн бұрын
​@@IsmailGavara-r5syani wewe ni jahih hadithi jaria unasema ni hedithi mutawatir kivip emu tueleweshe mimi namini hadithi jaria huijuwi mpaka kusema ni hadithi mutawatir ni waz hiyo hadith huijt-wi au hujuwi istwalahat za hadithi
@IsmailGavara-r5s
@IsmailGavara-r5s 15 күн бұрын
@darajanida kweli kabisa Allah niwa azzal kabla ya chochote alikueko wala sidhani kama kuna mtu wakupinga hilo bro ktk masalafi hamna.. tunacho pinga ni eti Allah yupi pasina sehemu hio wamaanisha kwa njia yamkato Allah hayupo na hio ndio madai hewa hayaja jengwa juu ya misingi ya kielimu sisi qurani yatuambia yupo Allah tena juu ya arshi vunjeni hii hoja kielimu mbona tu madai...
@hajiameir3832
@hajiameir3832 10 күн бұрын
Ndio she ndo mwamsikia huyo
@allymtito8117
@allymtito8117 14 күн бұрын
Allaah yuko mbinguni juu ya arshi yake, quruan yote ukisoma hakuna aya inayo sema Allaah yuko kila mahali
@HemedSerious
@HemedSerious 14 күн бұрын
Mm najua Allah yupo kila mahala kwa utukufu, uwezo, mamlaka , maamuzi, usimamizi na udhibiti wa kila kitu. Nyny mnadai Allah yupo mbinguni mki mnasibisha na maumbile yupo yeye kimaumbile km msemavyo ana mikono na mdomo eti Kwa vile anasema. Mna ufahamu mbovu sana, Yani , aya ikisema ''Allah anaona na kuskia Kila kitu'' ndio mnasema ana macho na maskio. Yan mna mnasbisha na viungo? '' eti utaskia sheikh linsema Allah ana mokono na miguu lkn sio kma yetu'' hata tembo ana miguu lkn sio kam a yet acheni kumnasibisha Allah na viungo... Eti yupo mbiguni, haya kabla ya mbinguni alikuepo wapi? Kabla ya Kila kitu alikuepo wapi? Allah hafananishwi na chochote.
@HemedSerious
@HemedSerious 14 күн бұрын
Toa ufafanunuzi , yupo juu ya kiumbe chake? Maana arshi kaumba yy na ni kiumbe chake.. Allah hategemei chcht
@YussufOthman-wj3lu
@YussufOthman-wj3lu 14 күн бұрын
​@@HemedSerious Kwa hiyo Quran ikitaja allah ana mkono sisi tuseme nini?? Kwa hiyo tuipinge Quran?? Au tuitafsir kama unavyotaka ww?
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 14 күн бұрын
Acha kuisingizia qur an 7wongi hakuna Aya inayosema mungu Yuko juu ya arshi wala mbingu ufahamu wako wakimwehu
@YussufOthman-wj3lu
@YussufOthman-wj3lu 14 күн бұрын
@@SaidiMohamed-bj2wg elezea ulivyofahamu ww na utajo waliokutangulia na huo ufahamu wako. Maana mnachojua ni matusi na sio maneno ya hekma Ajabu ilioje ya anaezungumzia dini kisha akatokwa na maneno ya ovyo
@RashMash-l1b
@RashMash-l1b 15 күн бұрын
hawa wanao kataa tauheed 3 bado ni wale wale makhurafi tu,ili ety mbona mawahabi mwapinga maulidi so kuping kwao tauheed tatu nakama wanalipiza kisasa,so utakuta wapo katika ushabiki wsl hwakusudii kuikubali haki.
@ArabiMuchande
@ArabiMuchande 14 күн бұрын
Sasa mawahabi mnashangaza maulidi mnataka aya ya wazi ila tauhidi mnatumia aya za kuuuungaunga mna khiyana katika dini
@Rabbihdini
@Rabbihdini 13 күн бұрын
Huyu kamaliza utata ama ameongeza utata
@drruhanitz8161
@drruhanitz8161 12 күн бұрын
Bidaa kama bidaa Zingine tu ima shirk
@MohamefMullah
@MohamefMullah 14 күн бұрын
MUISLAMU YOYOTE ANAEAMINI TAUHID 3 AMEMZULIA MTUME UONGO NA AMEKUFURU KWA SBB MTUME NDIE MWALIMU WETU KATIKA DINI HII YA KIISLAM NA HAKUFUNDISHA UPOTOSHAJI HUU, TAUHID TATU NI UVUNDO KWENYE DINI
@MuhsinAbdalla-q6f
@MuhsinAbdalla-q6f 14 күн бұрын
Duuuh kunywa chai urudi ukalale
@hafidhsalum-jp2mw
@hafidhsalum-jp2mw 14 күн бұрын
Na kwenye maulid pia utumie nguvu hiyo hiyo kupinga
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 14 күн бұрын
Bila shaka utakuwa Mshirikina
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 14 күн бұрын
@@hafidhsalum-jp2mw hawa watu hawana akili kabisa
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 14 күн бұрын
Hahahh😅😅😅😅 nacheka kama mazur vaa pampas kwanza usije ukajikojolea mana naona kama vichwa vako vimewehuka wajiropokea2
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 15 күн бұрын
MASUFI UFAHAMU WAO NI MBOVU
@IsmailSanga
@IsmailSanga 15 күн бұрын
@@HashimSalim-qj7zn Tabia zakuiga mayahudi ndo hizo,Utatu mtakatifu unaletwa kwenye dini!
@IsmailSanga
@IsmailSanga 15 күн бұрын
@@HashimSalim-qj7zn MAWAHABI ufaham wao ndo mbovu,Ndo maana wamezusha TAWHID 3.
@musakibwana4596
@musakibwana4596 15 күн бұрын
Kama kuukataa utatu wa manasara ndo ufahamu mbovu nabaki nao
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 15 күн бұрын
@musakibwana4596 Pole yako Allah akuongoe
@musakibwana4596
@musakibwana4596 14 күн бұрын
@@HashimSalim-qj7zn Kama ambae wewe ni katika kumi walo bashiriwa pepo, masikini jidogoshe atakae tuhukumu ni mola babu usijipe uhakika. Sote twalilia rahma zake na sio matendo yetu yatakayo tuepusha na adhabau zake....
@Kassim-li4mv
@Kassim-li4mv 14 күн бұрын
Wacheni zenu
@MohamefMullah
@MohamefMullah 14 күн бұрын
TAUHID 3 NI UOZA KATIKA DINI TAUHID 3 NI UYAHUD NA UNASWARA
@MuhsinAbdalla-q6f
@MuhsinAbdalla-q6f 14 күн бұрын
Duuuh nenda ukapimwe akili
@hafidhsalum-jp2mw
@hafidhsalum-jp2mw 14 күн бұрын
Kivipi hebu tuambie Wap umeskia tauhid 3 mana ake miungu wa 3 Punguza uchizi uo kaa chini soma acha upuuzi
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 14 күн бұрын
​​​​​@@hafidhsalum-jp2mw Pole kwa kuwa haujafahamu makusudio ya vigawanyo vitatu vya tauheed, haimaanishi mungu watatu, bali ni tauheed yako iwe kamili mpaka umpwekeshe Allah katika mambo matatu: 1. Umpwekeshe Allah kuwa peke yake ndie mlezi(tauheed rubuubiya) 2. Umpwekeshe Allah kuwa peke yake astahiki kuabudiwa(tauheed uluuhiya) 3. Umpwekeshe Allah kwa sifa zake na majina yake mazuri(tauheed al asmaai waswifaati). Kigawanyo cha kwanza cha tauheed ambacho ni tauheed rubuubiya hata makafiri wako nacho, kafiri yoyote ukimuuliza ni nani anakupa rizki au aliumba mbingu na ardhi atakuambia ni Allah, lakini kukubali kwao katika kigawanyo kimoja cha tauheed hakitawaokoa na adhabu ya moto mpaka wakubali vigawanyo vyote vitatu.
@AbuuMulhat
@AbuuMulhat 14 күн бұрын
Mh!!! Sio kosa lako wazazi wako ndo walikosea kuto kukufundisha dini ukawa nauoni wa dini yako, ikiwa hunaupeo wa wa elimu ya dini kaa kimya
@AbuuMulhat
@AbuuMulhat 14 күн бұрын
Manaswara wanakusudia myungu watatu je umeambiwa tauhidi nimyungu watatu???
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 14 күн бұрын
Usalafi ndani ya ngome ya maibadhi allah awaongeze kwenye manhaj salaf
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 14 күн бұрын
اللهم آمين يارب العالمين
@idrisamara6510
@idrisamara6510 14 күн бұрын
Hivi hapo anapoongea huyu shaikh ni kwenye msikiti wa Ibadhi?
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 14 күн бұрын
@@idrisamara6510 ndio
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 13 күн бұрын
​​@@idrisamara6510ndio nimeshangaa kwann maibadhi wamempa fursa sheikh wa kisalafi hali ya kuwa wanajua watapigwa vibaya kuhusu tawhidi
@ArabiMuchande
@ArabiMuchande 14 күн бұрын
Mawahabi ni khatari maulidi wanasema bidaaa kwakua hakuna mtume alipozungumzia maulidi lakini kwa masikitiko wao wanagawa tauhidi tatu hakuna mtume alipogawa ila ni aya za kuuuungaunga tyu lengo wawatie waiislamu wenzao katika ukafili
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 14 күн бұрын
Yan unaita aya za Allah zakuunga unga mbuzi wewe unajihurumia lkn ww ivi ndani ya Qur an kuna aya zakuunga unga au ufaham wako ndo finyu wakuunga unga استغفر الله من كلامك الخبيث لقد قلت بهتان و إثما عظيما
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 14 күн бұрын
Huu sio mwenengo wa dini yetu ya kiislam akhui, ikiwa unaona kakosea mkosoe kwa maneno mazuri ya kumfahamisha, kutukana kwa kumuita majina, ambayo hata ukiiwa wewe ni kosa na utakereka​@@abdulkarimabdallah9536
@LushweKuandika-lm9zc
@LushweKuandika-lm9zc 14 күн бұрын
Tukisema masufi kila siku wanakufuru wanakua wakali, hivi katika Qur'an kuna aya za kuunga Unga kweli? Au unamaanisha nn ndug yeng muongope Allah kama huelewi bora ukae kimya sio dhambi
@IbrahimHassan-tu9lg
@IbrahimHassan-tu9lg 14 күн бұрын
Dini ya Allah ipo bayana kabisa ukitaka kuijua vizur acha ushabiki kaa chini usome
@LushweKuandika-lm9zc
@LushweKuandika-lm9zc 14 күн бұрын
@IbrahimHassan-tu9lg elimu ni ufunguo wa maisha kwani hili watu walikua wanaimba tu hawaelewi
@ZubeirHamada
@ZubeirHamada 11 күн бұрын
Sasa huyu Mwarabu si aje apige magoti Zanzibar na asomeshwe na mabwana
@alkhalilmussa5633
@alkhalilmussa5633 12 күн бұрын
Nyie ofisi ya mufty hamueleweki mnawakaribisha mawahabi wanaleta itikadi chafu bwana
@reallystationary7171
@reallystationary7171 10 күн бұрын
Allah akuongoe ndungu
@RashidiAlly-cl7fo
@RashidiAlly-cl7fo 14 күн бұрын
Uzushi usiokuwa na kifani miongoni mwake ndio kama huo
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 14 күн бұрын
Wakupinga kua tauhidi haigawanyiki ktk sehem 3 ee
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 14 күн бұрын
Waislamu wa Tanzania tuna kasumba ya kuwa thamini mno waarabu hata akija na elimu yake ndogo sisi tunaona raha tu. Akisema kidogo tayari sifa tele kuwa anajuwa. Hili nie tatizo matokeo yake tunapondana wenyewe kwa wenyewe hatimaye tunaondoka katika musingi ya Mola wetu. Tangazeni kutafuta watu wenye elimu tujitokeze. Tazama huyu Sheikh anacho zungumza ni kile kile masheikh Wetu hapa huzungu vizuri , lakini kwa sababu ni mwarabu ameonekana vema sana. Watanzania tubadirike. Kwa mujibu wa takwimu za utiifu ndani ya dini Tanzania tunaongioza tunasumbuliwa na umimi yaani ubinasi tu. Wa hadha asalamu a.kum.
@MuhsinAbdalla-q6f
@MuhsinAbdalla-q6f 14 күн бұрын
Ni kama humfahamu uyu sheikh alie toa hii khutba.... bora unyamaze
@hafidhsalum-jp2mw
@hafidhsalum-jp2mw 14 күн бұрын
Acha roho mbaya na choyo mzee Hiyo dini imeshuka kwao kwanza ndio ikafika kwetu uswahilini kwaio apo tu inaonesha kua wao wamepewa kipao mbele mana aya zimeshuka kwa lugha zao
@HemedSerious
@HemedSerious 14 күн бұрын
Sio hivyo tu hata wakifunga tunawafata
@HemedSerious
@HemedSerious 14 күн бұрын
Sio hivyo tu hata wakifunga tunawafata
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 14 күн бұрын
@MuhsinAbdalla-q6f sasa kigeni kipi labda kigeni yeye ni mwarabu, lakini hapa wapo wazuri zaidi japo hawajiamini.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 15 күн бұрын
Hivi mi nashangaa itikadi za ndugu zetu hawa sijui wanaziokota wapi, kusema allah yypo kila mahali, Wakati itikadi ya mitume wote kuanzia adamu hadi mtume etu muhammadi, waliashiria allah yupo mbinguni, na tunaona mtume wetu swala alienda kuookelea ikulu kabisa ya allah, mbinguni na akiongozana na jibril mpk mbinguni, na ndo itikadi ya sisi ahlsunnah, wal jamaa imeenda sambamba na manabii wa allah, kuanzia adamu nuhu, waliwalingania watu kumuabudu allah wakiashiria yupo mbinguni, ukisoma injil ya nabii issa anawaambia bani israel, mungu wenu ni mmja mungu wangu na mungu wenu, hakuna hata mmoja wenu alotupa jicho lake mbinguni likamshuhudia yeye, ndugu zetu wazushi masufi kama kawaida yao kwenda kinyume na itikadi sahihi, wanakuambia allah yupo kila mahali, mimi nashukuru mungu kutoka kule maana ni hatarii itikadi kama hizoo, ni humpelekea mtu maangamivu badae
@BurahaKessi
@BurahaKessi 15 күн бұрын
الله اكبر
@darajanida
@darajanida 15 күн бұрын
soma uwelewe hakuna itikadi ya ahalu suna kuwa mungu yuko mbingun hii ni itikad batwil
@IsmailSanga
@IsmailSanga 15 күн бұрын
@@AbdulIssa-o7e Wacha uhuni wewe!,Lete hadith inayosema mtume aligawanya tawhid Mara tatu,au lete dalili swahaba gani akiefundisha kua tawhid imegawanyika Mara 3.
@SalhaAlly-x8q
@SalhaAlly-x8q 15 күн бұрын
INNA LLAAHA `ALAL `ARSHI STAWAAA
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 14 күн бұрын
@darajanida kwani hatuwajui ninyi ashaira, na masufi kazi yenu kupinga sifaa za Allah unasema batwil wakati Allah kujifunuwa katika aya mbali mbali, nyi mapote walopotea na hakki sijui mpoje kazi yenu kumpinga sifa za Allah, tuuh ninyi hamna tofauti na kundi la jaamia, wanasema Allah hatoonekana kiama, wakati mwenyewe kajifunua kwenye quruani waja wema watamshuhudia Allah, itikadi za kufru hizo, kupinga sifa za Allah na hapa ndipo mlipoingia masufi, kusema Allah yupo kila sehemu, bali twarika zingine za kisufi zikachupa mpk kabisa, kusema Allah ndo viumbe na uingia ndani ya viumbe inamana mambwa, mapaja Allah anaishi humo, ndomana madaruweshi wengi akili zao mbovu sana, et Allah anaishi ndani ya viumbe na viumbe ndo Allah subuhana lllah, kama wafalme wa duniani maraisi, wanaikulu yao ya kuishi vipi mfalme wa wafalme,Allah aketi kila sehemu itikadi batwili na mtume alipomuuliza yule mjakazi aliulizwa na mtume aina Allah yupo wapi Allah? Akamuashiria mbinguni, Allah yupo mbinguni, mtume akamwambia na mimi nani wew ni mtume wa Allah, vipi ninyi mnao pinga sifa za Allah, ni itikadi mbovu sana na batwili, kuwa Allah yupo kila sehemu subuhana llah, mtume wetu swala 5 alipaizwa mbinguni alipo mola wake na jibrili alimsindikiza mpk mbinguni ninyi, wakaidi wa sifa za allah.masufi kundi potovu xana itikadi zenu za kupinga pinga tuuh.mjuwalo ninyi kuimba na kucheza ngoma so mambo ya tahweed kumjuwa mola wenu
@RayaAli-y9j
@RayaAli-y9j 15 күн бұрын
Tawuhidi Tatu bidaa
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 15 күн бұрын
Kila asiekua na akiri timamu ndio anasema hivyo
@IsmailSanga
@IsmailSanga 15 күн бұрын
​@@AbubakarAlly-th6opWacheni uyahudi,Hakunaga tawhid 3.
@adamhashim3352
@adamhashim3352 15 күн бұрын
Mtume hajazifundisha😂😂
@RayaAli-y9j
@RayaAli-y9j 15 күн бұрын
Hakuna hadithi yatauhid Tatu
@wardinizuri
@wardinizuri 15 күн бұрын
Sio hadithi tu... ukitaka aya tunakupa. سورة مريم 65
@darajanida
@darajanida 15 күн бұрын
​@@wardinizuri hiyo aya maswahaba hawakuiyona wapiwamegawa
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 15 күн бұрын
​@@darajanida Ndo walijua kuitekeleza jinsi ilivyo. Ikiwa na vigawanyo vyote.
@aooshosho4255
@aooshosho4255 15 күн бұрын
​Sikio lafa kufa halisikii Sawa.
@aooshosho4255
@aooshosho4255 15 күн бұрын
Halisikii dawa
@mussaissa6796
@mussaissa6796 15 күн бұрын
HAKUNA CHA TAUHIDI TATU WALA NINI!! TAUHIDI NI MOJA TU, NA NDIO MAANA IMEITWA TAUHIDI.
@MudathirMohammed-e2f
@MudathirMohammed-e2f 14 күн бұрын
Uyu sheikh umemuelewa lakin
@saidimpako5186
@saidimpako5186 14 күн бұрын
@@MudathirMohammed-e2f huyo sio hoja
@nassor6333
@nassor6333 14 күн бұрын
Kwani kitabu chenu cha Tawheed nyinyi masufi kinaitwaje?
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 14 күн бұрын
TATIZO LA MASUFI HUWA NI KUBISHANA PASINA HOJA,WAMEKUWA KAMA WANASIASA TU
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 14 күн бұрын
Wewe leta Hoja Kuwa Twahidi Mtume Kaisema Au Qur Aan Au Swahaba Hapo Tutajua Masufi Hawana Hoja
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 14 күн бұрын
Wanajua wanachokifanya, Hao ni Washirikina, vigawanyo vitatu vya Tawheed vinawaingiza kwenye kufuru na kuwatoa kwenye uislamu
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 14 күн бұрын
@@hafidhseif1686 Hoja hii mngeitumia kwenye mabidaa yenu ya maulid, mazishi, hitma nk mngefanikiwa sana kuacha bidaa
@MohamefMullah
@MohamefMullah 14 күн бұрын
Hata kama huyo sheikhe kasema kuna tauhid tatu, hakuna ushahid kutoka kwa mtume wala swahaba na huyo sheikh si swahaba ni kama masheikh wengine wananukuu tu kutoka kwa masheikh wengine, na wahabi wote duniani hata awe sheikhe shekhena itikadi yao ni moja ya utatu, utatu ni mila na itikadi za mayahud na manaswara za mungu baba mungu mwana na roho mtakatifu, Tauhid tatu ni katika bidaa bidaa kubwa zilizopinda na hakuna sheikhe wala sheha atakae leta ushahid kutoka katika Quraan au hadithi ya mtume kuwa kuna hata mtume mmoja alifundisha tauhid 3 hizi ni porojo tu za kuwakufurisha waislam na mawahabi wengi ilimu yao ni finyu
@hafidhsalum-jp2mw
@hafidhsalum-jp2mw 14 күн бұрын
Ubongo ukichanganyika na mavi ya ng'ombe matokeo yake ndio kma hivi
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 14 күн бұрын
Mm ni salafy nakuuliza kwanini unatukana allah anakataza msitukanane toa ufaham wako usimtukane mtu kwa comment nitabiya mbaya tunayo yasema na kutenda yanaandikwa na malaika namuomva allah anisamehe mm na wewe ❤❤❤❤❤❤
@RayaAli-y9j
@RayaAli-y9j 15 күн бұрын
Alla hayuko mbinguni alla yko kilamahali suratul mujaadila Aya 7
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 15 күн бұрын
Mpaka chooni hongera mzee kwa ufahamu wako Mzur
@wardinizuri
@wardinizuri 15 күн бұрын
Eeee... kwa ufahamu huo manake Allah yupo mpaka baa na wazinifu huko
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 15 күн бұрын
Huo niulewa mbov mno Aya nyingi zinathibitisha Allah Yuko juu
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 15 күн бұрын
Kasome uko
@عثمانصديق-ظ4ظ
@عثمانصديق-ظ4ظ 15 күн бұрын
Je yupo kweny fuko la uzazi la ngombe ,je yupo mpaka kweny sanamu la Bikira Maria!? تعالى الله عما يقولون علوا كبيرا
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 14 күн бұрын
Sasa ikiwa mwanachuoni ametoka Saudia eti kwa kusema amemaliza utata wa vigawanyo vya Tauhid haijakuwa kuwa Tauhid ina vigawanyo vitatu huyo mwanachuoni ni hao hao wakiwahabi alete Dalili kutoka kwa Mtume SAW ndie aloteremshiwa Quran na akatufafanuliya haya ni mas'ala ya Akida hatutaki ufafanuzi wa wanazuoni wa kiwahabi. Yaani hivi hao wanazuoni wanajuwa zaidi ya Mtume SAW kuwa hizo Aya ziko na Taqsimu Tauhid vigawanyo vitatu?
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 14 күн бұрын
Hahahhaahahhha Subir mfungo 6 ule ubwa bwa unenepeane kuhusu mas ala ya tauhidi achana nayo hakuna unachokielewa Mlafi wewe ushafaham😅😅😅😅
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 14 күн бұрын
@abdulkarimabdallah9536 kula ubwa ubwa ipo ktk Ambri ya QURAN
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 14 күн бұрын
@@abdulkarimabdallah9536 wewe ndio hujui kitu hujielewi hao mashekhe zenu si huwa wanasema wapi Mtume SAW amefanya Maulid hawataki kauli za wanazuoni,ndio pale na sisi twauliza wapi Mtume SAW aligawanya Tauhid Tatu pia hatutaki kauli za wanazuoni
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 14 күн бұрын
@@abdulkarimabdallah9536 kila siku Maulid Bid'aa Mtume SAW hakufanya,haya nayo Taqsimu Tauhid Mtume SAW wapi aligawanya tena ukumbuke Tauhid ni mas'ala ya Akida
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 14 күн бұрын
@@abdulkarimabdallah9536 أما القسطلاني ( ت923ھ)، (شارح صحيح البخاري) فيقول: "ولا زال أهل الإسلام يحتفلون بشهر مولده عليه السلام، ويعملون الولائم، ويتصدقون في لياليه بأنواع الصدقات، ويظهرون السرور، ويزيدون في المبرات، ويعتنون بقراءة مولده الكريم، ويظهر عليهم من بركاته كل فضل عميم. ومما جُرِّب من خواصه أنه أمان في ذلك العام، وبشرى عاجلة بنيل البغية والمرام، فرحم الله امرءا اتخذ ليالي شهر مولده المبارك أعيادا...".
@RayaAli-y9j
@RayaAli-y9j 15 күн бұрын
Sisi tunakataa kwa sababu kila siku katika maulid mwataka hadith namukpewa hadith na Aya hamuzitaki
@wardinizuri
@wardinizuri 15 күн бұрын
Shida ni kuwa maulidi hayamo hata kwa bahati mbaya kwenye Quran wala hadithi. Tauhid kwa aina zote tatu zimo kwenye Quran. سورة مريم 65
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 15 күн бұрын
Uelewa wa baadh ya masufi umepinda sana ndio shida
@muhammadhariz1100
@muhammadhariz1100 15 күн бұрын
Shida masufi waliiyadha billahi kama wakristo hawataki kuelewa
@darajanida
@darajanida 15 күн бұрын
​@@wardinizuri wapi mtume kagawa wapi aya imegawa
@wardinizuri
@wardinizuri 15 күн бұрын
@@darajanida wewe kipofu? Nishwambia aya ni hio na sura nimekutajia, bado unauliza wapi Allah kagawa? Au hujui Quran wewe?
@paulmushi2428
@paulmushi2428 14 күн бұрын
Waislamu wanautatu nao😂😂😂😂😂😂😂
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 14 күн бұрын
Ujinga unakuandama. Kwani Tawheed ni jina la ALLAH? Yaani kumpwekesha ALLAH ni kumfanya utatu?
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 14 күн бұрын
Waislam wa wp hao Em tuache kdg
@amaroo1220
@amaroo1220 9 күн бұрын
Fuata lako, kaolewe na pasta mume mwenzio. Ninyi yenu yamekwisha kitambo mbona.
@IsmailSanga
@IsmailSanga 15 күн бұрын
Hizo nimila zakiyahudi,Hakuna tawhid tatu katika uislaam.
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 15 күн бұрын
Din umeisom wapi ukosefu wa maarifa nd tatizo
@adamhashim3352
@adamhashim3352 15 күн бұрын
​@@AmourAmour-ux3nm we lete aya😮
@SheikhYussuf-iv6lo
@SheikhYussuf-iv6lo 14 күн бұрын
Kasome tena wacha kukariri km kasuku soma ndugu ndio utajua acha kua mjinga
@IsmailSanga
@IsmailSanga 14 күн бұрын
@SheikhYussuf-iv6lo Utatu mtakatifu Mtume haujui ni uzushi uliopitilza kuwasaidia mayahudi
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 14 күн бұрын
@@darajanida angalia ujinga wako Yaaan ikiw ktk ibada inakuwa Hasana nakujib hakuna aya wala hadithi iliyokuj imetaya taqswiim swariih ila ni instibaatw walioifany wanawazuoni kupitia aya za Allah na hadithi ukapatikn mkusanyiko wa tauhiid rubuubiyyah, tauhiid uluuhiyya na Tauhiid asmaai waswifaaat.....pinga Katk hayo matatu hakuna Katk Qur-an
MAJIBU YA SH.MSELLEM JUU YA KUIGAWA MAKUNDI TAWHIID
10:28
MK MEDIA TZR.
Рет қаралды 9 М.
JE KUSOMA  MAULID NI BIDAH AU NIREHMA -SHEIKH OTHMAN MAALIM-SEHEMU 01
15:01
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 19 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 24 МЛН
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32
MTOTO WA BACHU APANDISHA MASHETANI NA KUTANGAZA UGANGA HADHARANI
59:34
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 4,9 М.
BACHU BAADA YA KUMJIBU SHEIKH AFUNDISHWA NA MWANAMKE ZANZIBAR
17:57
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 41 М.