Yani huyu shekhe amenigusa mashaallah..mungu akujaalie jannatul firidaus..na ss sote amini inshaallah
@Adamunjoka9 ай бұрын
Amiin
@bundalahamza89028 ай бұрын
Amefariki huyuu??Shekhe
@abdulbiro76568 ай бұрын
Ndiyo!
@SaidiAmini-m9v3 ай бұрын
Shekhe Allah akuhifadhi na maadui
@ZuleikhaAbdallah Жыл бұрын
Asante sheikh langu sheikh abbasi katika msikiti wako unatuletea watu wa uhakika sana Atwaala llahu umraka
@SaidiAmini-m9v3 ай бұрын
أسأل الله تعالى ان يحفظك من العدو يا شيخ عباس
@ismailjuma36925 жыл бұрын
Mashaallah PEMBA kuna masheikh wazito Allah atuwekee inshaallah na hii hali iendelee
@issamohammed24585 жыл бұрын
Kuna upungufu wa maendeleo ya kisasa ya kidunia wana nafasi nzuri ya kusoma na waalim wao wana hima ya somesha kwa malengo ya elimu ibaki.
@Omanzikra-ft5cr6 ай бұрын
Masha allahu sheikhe hapo kwenye imani umenena ss hawatujazi imani ndio kinachotusumbua
@endlessluvali21385 жыл бұрын
MashaAllah Mola awahifadhi masheikh wetu
@shadyahamad3724 Жыл бұрын
MwaLim wangu amenisomesha chuoni mwenyez mungu amfanyie wepes
@bundalahamza89028 ай бұрын
Yupo hai??
@BurahaKessiАй бұрын
Mashaallah
@shuhaidaomar33475 жыл бұрын
masha Allah mungu akuhifadhi twatakina mashekhe kma hawa bt sio tukimalza juzu amaa tushakuwa watu wakutoa fatwa twaigiza pepo na moto kaa ambao Allah Amechuachia ss kumiliki
@ummyilham1172 жыл бұрын
Mashaa Allah Ami Ally Allah akujaalie Kheri na baraka na wajukuu zako/watoto wetu wakurisi babu yao lnshaa Allah 🤲🤲
@الزغويالزغوي-ض3ن9 ай бұрын
ما شآء الله جزاك الله خيرا جزيلا وبارك الله فيك. KAMA ALIVYO MWANAFUNZI WAKO OTHMAN KHAMISI KILA ANAPO INGIA AHISI HAKUNA MJUZI ILA YEYE!
@shadyahamad3724 Жыл бұрын
Shehe wangu Ali bin iddi mwenyez yezi mungu azid kumbariki
@AzjaZakwan7 ай бұрын
Huyu sheikh nmechelewa kumjua mashaallah Allah amlipe kher
@allyjuma89254 жыл бұрын
mwenyezi mungu akulinde shekhe na sisi sote
@SoudShuraim4 ай бұрын
Mungu akuweke peponi shekh wetu
@ahmadbinally41463 ай бұрын
ان لله وانا إليه راجعون. Allah akupe kauli thaabiti shekh wng
@kingkiya66404 жыл бұрын
Swadakta yaa sheikh,,,Jazaakallahu khayran fyii haadhihi dunia wal~aakhera
@hassanomohamed78975 жыл бұрын
Walahi ni kweli imani ndio hatuna waislamu mwenyezi mungu atujaalie tuwe na imaan
@ramadhanmbunda55835 жыл бұрын
Kizazi cha masheikh kama hawa wenye imaan kinapungua sana. Allah akujalie kila lenye kheri akupe umri mrefu ili tupate maarifa mengi
@jamilasaid27184 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu shekh wetu yaarab
@jamilasaid27184 жыл бұрын
Mawaidha matamu kuzidi asali.
@AllyHilal3 жыл бұрын
MaashaaAllah. Allah akuhifadhi sheikh wetu.
@muddysasma30375 жыл бұрын
Sheikh maneno yako ni sawa kabisa na inshallah akupe umri mrefu uendelee kutupa neema ulizojaaliwa inshallah
@muhidinali81805 жыл бұрын
نعم. العقيدة الصحيحة. أول شيء في حياتنا اليومية. أسأل الله أن يحفظك
@adamkilembwe.5 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله
@MwanaJuma-o6r9 ай бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajioun allah akutilie nuru kaburi lako shekhe ali bin idd
@SoudShuraim7 ай бұрын
Kwn kafariki huyu?
@allymbaruku69305 жыл бұрын
kweli mashekh km hawa nakizazi hiki kinazidi kupotea ALLAH AKUHIFADHI shekh
@salimabdallah51767 ай бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@azizauledi41085 жыл бұрын
Shukrani sheikh swadakta maneno mjarabu
@seifjuma11265 жыл бұрын
Masha Allah
@majidbakar69225 жыл бұрын
Allah akuzidishie umri sheikh Ally uzidi kuunufaisha umma wa kiislam
@hamhamy6215 жыл бұрын
majid bakar naomba kuuliza huyu sheikh anapatikana wapi?
@abdallahkh.hassan64295 жыл бұрын
vjibwen
@sulenabwa93055 жыл бұрын
@@abdallahkh.hassan6429 Vijibweni sehem gani nipo kigamboni naomba kujua ili nimtafutee
@sulenabwa93055 жыл бұрын
Maa shaa Allah.. nasaha nzuri sanaa kutoka kwakee na yapo mengi ya kujifunza kutoka kwakee
@hajihassan54335 жыл бұрын
@@sulenabwa9305 Unakaa Kigamboni ya wapi, usijuwe Vijibweni?
@hujaj5 жыл бұрын
mashaallah, Allah akuhifadh sheikh wetu
@azizauledi41085 жыл бұрын
Mashaa Allah jazakallah khairani jazakallah .
@mikidadivindi4364 Жыл бұрын
Wallah huhu ni mwalimu mkubwa kabisa
@sabraham53085 жыл бұрын
Barakallahu feequm
@swalehabdulrahman41182 жыл бұрын
Mashaalah
@HajiMkemea8 ай бұрын
Mashaarrh
@محمدعلي-م4ص3ش5 жыл бұрын
Mashaallah Allah akulipe kila la kheri
@mirajiissa46035 жыл бұрын
Maa shaa allah ,,, sheikh nimekuelewa sawa sawa allah akuhifadhi unachokieleza waislam tumepungukiwa nacho snaa.
@ussikhamisussi48825 жыл бұрын
Shukran sana mwalim kwa darsa lako.
@fatihusaidi68735 жыл бұрын
MashaAllah
@allykirunginyamka91713 жыл бұрын
Alhamdulillah nilikuepo live.
@nuhusudi88955 жыл бұрын
Allah akulinde na akulipe kila la kheri inshaaAllaah,
@allymbaruku61902 жыл бұрын
Amin
@salehmadjidumk75975 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@ahdahmed83835 жыл бұрын
Maashaallah
@Omarjumanne-zm9zh4 ай бұрын
Mwalimu wa sheikh khamis
@ismailsoud36348 ай бұрын
Kweli, iimani ndio kitu cha kwanza kabisa ambacho Mwenyezi Mungu alicho mpa Mtume wake kukifanyia kazi, na ilimchukuwa miaka mingi, mpaka watu walipo jengeka ki imani ndipo Qur'an ikakaa kwenye vifua vya watu waliojengeka ki iimani. Pasinge kuwepo iimani, Qur'an isingekuwa na pa kukaa.maana Qur'an hukaa kwenye vifua vya wenye iimani. Ndipo wakafanya ibada zenye iimani. Inawezekana hivi sasa watu tu hunajitahidi kufanya ibada lakini. Ibada zetu hazina iimani ndani yake. Mdiyo majibu ya majanga haya. Yanayo tukuta kila kukicha mabadiriko.
@expressstudio54175 жыл бұрын
MASHAALLAH
@bukuruyassini2 жыл бұрын
👍
@classicwaisala66774 ай бұрын
Swadakta
@MhabeshiMaluja7 күн бұрын
Nataka kujua sifa za mwanachuoni kisheria na kilugha je mwanachuoni anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu.
@abu-hanifamwenda2365 жыл бұрын
maa Shaa Allah
@othumanlorenzo260Ай бұрын
sheikjh anaitwa nani waumin
@abdoulkarim5535 жыл бұрын
Allahuakhlll
@faizasaid82625 жыл бұрын
Mashallah shukuran
@mketoasma14015 жыл бұрын
Mashaallah
@muhrajovic7525 жыл бұрын
Duuh!قلت حق يا شيخ
@elimikanamadrasa54902 ай бұрын
KWA HIYO HUYU NI MWANAWACHUONI AU KUNA MWINGINE ⁉️⁉️⁉️
@mohammedamour4930Ай бұрын
Eti sheh sharifu fir daus
@SoudShuraim7 ай бұрын
Huyu ndo Mwanachuoni sasa
@saumuseif91894 жыл бұрын
Amesema kweli kabisa
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Huyu shekhe ni gwaji haswa mbobezi
@saadmbaraqa52722 жыл бұрын
Tunafata quran na sunna hatufati itikadi za imamu fulani
@yakobomkristo8722 жыл бұрын
Shekhe Husia Wako Ni Mzuri Lakini Huko Utajikuta Upo Peke Yako, Karibu Kwa Yesu Upate Wokovu Kamili Ukutane Na Wenye Imani.
@SoudShuraim7 ай бұрын
Kacheze ukuti
@yusufsingano62027 ай бұрын
Umepotea
@BahatiRutumo6 ай бұрын
Umbwa wwe 😊
@ShuaibuMsofe3 ай бұрын
Ushoga ndio dini yenu
@hajijumaaramadhani6555 жыл бұрын
Tena hao mashekh kwanza ndo wakaanze kusoma imani waive kwanza ili wawe na pawa ya kuisomesha vizuri imani
Tawhidi ya uhuliya na urububiya Mtume alifundisha hivyo
@jumadinya37966 ай бұрын
Kua mwanachuoni kuna kipimo kipi ndio uitwe mwanachuoni?kwani dini inapimwa kwa kusema sana au kigezo gani kunatumika tuache ujauja
@MsafiriCharange4 ай бұрын
Twaib shekhe umesemakwwli
@HamduniAbdulrazaki-wl5lg9 ай бұрын
Bakwata nzima ni mashekh majina ndo wanaowapa ungozi
@sudaissaid84282 жыл бұрын
Anagawa hadi pepo...Al hadi
@nurdinhoza2 ай бұрын
Suratu nnisaa Aya yamwanzo
@jamalishoo3802 Жыл бұрын
Chuma hicho
@kibwanaMAlly5 жыл бұрын
Twaibu
@dinocastico84954 жыл бұрын
Hakika maneno yako ni sahihi kabisa
@Rolemodel_wa_taifa5 жыл бұрын
Hawa Ndio walimu wa kufundisha
@ummutaswaufi39805 жыл бұрын
HASWAAA
@ariffalmas86705 жыл бұрын
Ndio mana Salafi huwa wapo sahihi Tawhiid kwanza.
@rayisadesigns26462 жыл бұрын
sio kweli masalafi ndiyo wanaoongoza kufundishana ikhtilafu ili kujijengea uwezo ktk mabishano yasiyoimarisha imani badala kufundishana uislam, pia masalafi wengi ni vinara kwa kujitangazia usheikh hata kama elimu bado ndogo kiasi kwamba imefikia mahali wanawavunjiana heshima wao kwa wao wakiradiana kila kukicha na kutoana ktk usalafi na hata kuwakejeli masheikh wakubwa ktk waja wema waliotangulia. leo kwenye usalafi kijana akisoma kidogo tu basi na yeye sheikh na anatoa fatwa.
@jakuabdull348 ай бұрын
Acha ujinga
@ShuaibuMsofe3 ай бұрын
Wenye kuufarikisha umma
@saidsoud59675 жыл бұрын
Tunamhitaji huyu Sheikh...gwiji huyu
@MhabeshiMaluja7 күн бұрын
Shekhe umesahau..يا أيها الناس اعبدوا ربكم الذي خلقكم......
@saidimrisho8835 жыл бұрын
يا ايها الناس اعبدوا ربكم الذي خلقكم والذين من قبلكم لعلكم تتقون، البقرة
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
لعلكم تتقون.
@yusufmohamed88742 жыл бұрын
Kapitiwa kidogo hapa
@salumahmadasalum1556 Жыл бұрын
UBINADAMU
@binmiraji21689 ай бұрын
Shekh yupo sawa kafanye bahthi vizuriا @@arqamibnarqam.7185
@sabraham53085 жыл бұрын
Sheikh bora usiseme unafuata mlengo gani,bora usiseme,kwamba unawafuata masahaba,salaf u saleeh,watakupiga vita,na hiyo hikma unayotumia ni nzuri.
@fakishaame65425 жыл бұрын
Hakika unachosema ni ukwel mtupu
@allysharrif52374 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@eddyhongeramaalimseifulipo66124 жыл бұрын
mashaallah huyu shekhe amesema ukweli mtupu mishehe mingi ni mishekhe ubwaubwa tu
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
Masha Allah
@dezainermedia10354 жыл бұрын
Maashallah
@peterambrose26575 жыл бұрын
Mashaallah
@sss3s8675 жыл бұрын
Masha Allah
@alush31382 жыл бұрын
Mashallh. Uweunatoa mawaidh kamamashekhe wengine upovizury mashallh