Manshallah sheikh wangu Mungu akulinde zaidi nakupe ridhki
@yusufrichardomuna54523 жыл бұрын
naomba Allah anipe jannah pamoja nawe Doctor,tibu baba
@kassimmgona-vx9tr Жыл бұрын
ALLAAH akuzidishie kheri na baraka tele Dr. sure na akulinde zaid, tupate kuelimika zaidi juu ya ALLAAH., kupta ukweri. wa DINI ya hakii .
@ZegiyBusara10 күн бұрын
Nimependa sana hii historia🔥🔥🔥
@jeanpaulkwizera3216 Жыл бұрын
Yesu Aja mutabiri uyo mwenye munaita prophet ata Mungu mweye we hajamutuma Muhammed
@gu-away5246 Жыл бұрын
Hiiii vidéo imejibu maswali yangu yote niliokua najuuliza kutokana Na biblia moja kwa moja Mwenyezi Mungu akulipe kheri kubwa sulle 🤝
@titusmachelela75502 жыл бұрын
Nakukubali docta sule kwa kuwa Mimi napenda kujifunza na sio kuponda maana wengi tumefunzwa kuponda uislamu mungu atubusuru
@othmanally12302 жыл бұрын
amiin
@rizikiyahya5254 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuongoze..mko wachache wa aina yako
@HassanAli-lt4xm3 жыл бұрын
Nimekubali Dr.sule mkali ,Allah ampe umri mrefu na amlinde
@IsaacNzai-e7s3 ай бұрын
Yesu alimtabiri roho mtakatifu sio mohammed😂😂😂😂
@salimobeid14703 ай бұрын
@@IsaacNzai-e7smrakarifu neno gani lake alopewa na mungu?
@sawdaasawdaa79033 жыл бұрын
Sheikh wetu jamani twawapenda nyote kwa ajili ya Allah Allah awape hafya nakuzidisha watu wa ki elimu ya lili kundi lenu lote liendeleye mpaka kiyama inshaallah naona na keya na rwanda wameanza utamu wakufunza uisilsm
@hajirinibakari253 жыл бұрын
Dr sule kunajamaa anachafua mazingira kwenye tv ya davista anapotosha sana kuhusu uislamu naomba fatilia iyo tv utusafishie anadai alikua sheikh nakuomba fatilia
@pungopungo4112 жыл бұрын
Mtapamba na watu wangapi eti fatilia. Lazima mpakwe kinyesi nyie sababu mnalitaja jina la yesu kipuuzi. Anarudi
@kristofuraha3 ай бұрын
Hiyo Yeremia uliyonukuu hapo inaelezea ujio wa Yesu Kristo.
@MarkNyongesa-f9p17 күн бұрын
Hawa jamaa ni nini mbaya nao, lazima walazimishie Muhammad katika biblia?😅😅😅
@mukhtaromar-g5p5 ай бұрын
Masha Allah mwalimu mzuri sana ❤❤❤❤❤❤
@nyanziratatou54043 жыл бұрын
Allah Akbar Hadi raha . Ubarikiwe Dr Sule upewe hero zake.
@loysamwel63082 жыл бұрын
Njoo kwayesu
@elizabethmaleko78872 жыл бұрын
Da! huyu jamaa anapotosha sana yani yesu katabiri coroan mimi nimesoma coron nimesoma chuo chabibilia unayo ongea nikweli kwa hstoria ila kwa utabiri njoo tukufundishe na ninaapa Mungu anajua hili Yesu hakutabiri uislamu na hamjui muhamad
@thadeozacharia84282 жыл бұрын
Ww muuongo
@muksinsaidi48922 жыл бұрын
Elizabeth, yesu ni mungu kwa mujibu wa ibada zenu, anashindwaje kumjua muhammad, achana na utabili kama kweli yesu ni mungu bila shaka anatujua wote,
@muksinsaidi48922 жыл бұрын
Na quran uijui usidanganye apa, labda ulifundishwa baadh ya aya ili ukejeli uislam, maana ndo kaz yenu munapoamua kuisoma quran
@JohnMahela-n8j3 ай бұрын
Jazakallahu khayran
@omarshaban17212 жыл бұрын
Mashallah shekhe upo vzri
@neemafelister95842 жыл бұрын
ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA. Mungu wa Ibrahim, Isaack, Isiraeri ndiye Isa masiah aliye kufa msalabani ni ISA (INRI
@saphinalutaha907710 ай бұрын
Mungu anakufa?
@chikuiddy99466 ай бұрын
Mungu anatahiriwa..!?
@mohammedrajabumwamba13222 жыл бұрын
Jazaakumullahu khaira 🙏
@jumasalum26773 жыл бұрын
Jazaakallah khaira
@tambweomary34563 жыл бұрын
Kheri na salama ya allah izidi kuwa nawe kipenzi cha muumba
@petermwijage98822 жыл бұрын
ubarikiwe
@pungopungo4112 жыл бұрын
Mnashindwa kutangaza uisilsm wa kweli kazi nikupekuapekua mambo msioyaelewa
@salimobeid14703 ай бұрын
Sule hapa ni balaaa sule umeuwa
@samuelngogo55722 жыл бұрын
Danganya umati Muhammad Yesu alituonya na manabii wa uwongo
@saphinalutaha907710 ай бұрын
😂😂😂😂 manabii wa uongo mbona ndo wanaowaogoza Sara zenu
@chikuiddy99466 ай бұрын
Makanisani ndo wanaongoza kwa hao manabii😂😂😂
@isihakajarika26682 жыл бұрын
Mashallah
@fatwimatzahrau23273 жыл бұрын
MashaLLAH
@kelvinpius-ne9rz6 ай бұрын
sisi hatuhitaji vitabu eti ndo tumjue Mungu, Yesu Kristo wa Nazareth ni Mungu mkuu na ametawala milele na milele
@Givenall.com_Official_Acco-w5yАй бұрын
Kabisa
@MaryamIssa-y7v5 күн бұрын
Sasa kama YESSU ndio Mungu mwenyewe hebu jiulize hafu ujijibu mwenyewe,kabla ya YESSU hajazaliwa na bi Mariam Mungu yupi aliyeumba mbingu na ardhi?
@NuhuM-s1x5 ай бұрын
Hayo sio maneno ya kuongea ndugu yangu kama umemsikiliza dk sule auja muelewa usikejel unapo mtaja mtume wetu umeutaja uislam mtu akimkejel yesu utakubal sio maneno mazur acha chuki kama auja muelewa dk sule wacha usiandike uchochez
@yusufrichardomuna54523 жыл бұрын
MashaaAllah
@SunguraShabani Жыл бұрын
HAKUNA SEHEMU YESU ALIMUTABIRI MAREHEMU
@zuberisalum2004Ай бұрын
Pole Sanah hata yesuu nimaerehemu
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Makafir wabishi Sana njoon kwenye haki Uislamu ndio din ya haki ache I ubishi shehe wetu waambie yote
@IsmailBobG-wi3vy Жыл бұрын
Uislm raha sana
@gideonlangat50352 жыл бұрын
Mdomo tu na kelele mingi, mwalimu mjinga kabisa Kama marehemu gaidi (Alie oa mtoto) Muhammad.
@salumkigoya58919 ай бұрын
Apo uwezi elewa maana ni kisomo TU sio kelele na kukaririshwa,,apo lazma ukae darasan mwamba
@chikuiddy99466 ай бұрын
Chuki binafsi
@ChandeSaid-s7yАй бұрын
Saw
@AbdulkhaliqInaHajjyAbdulkhaliq29 күн бұрын
Acha makasiriko elewa historiat@@ChandeSaid-s7y
@ChandeSaid-s7y12 күн бұрын
Kuma lala mama ako mkundu
@aminially51233 жыл бұрын
Ukisoma isaya 18 1-7 utagunduwa kwamba mayahudi og wako katika nchi za maziwa makuu ngambo ya mto nile.
@daawaonlinetv44863 жыл бұрын
MAASHALLAH MADA NZURI SANA ALLAHUMMA BAARIK LAKA
@ibrahimmchuka67302 жыл бұрын
We
@matukutajuma1563 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe uhai mrefu kaka
@swalehsalim55767 ай бұрын
Acha kupindua maandiko ‼️
@josephwilliam58133 жыл бұрын
YESU KUMTABIRI Muhammad ni sawa na MKUU WA WILAYA KUMTEUA RAIS WA NCHI
Kafiri tubu bila kimusilim nakufanya mema huendi mbinguni
@josephwilliam58133 жыл бұрын
@@sawdaasawdaa7903 kama mbingu ya bibi Yako sawa
@Simulizitulivuu3 жыл бұрын
Mnamacho lakin amuoni nyie wana wa paulo @Joseph wiliam
@josephwilliam58133 жыл бұрын
@@Simulizitulivuu WAna WA Muhammad,,,unadhani kwa kitendo Cha Aisha kuolesa akiwa na miaka Sita kwa Hali ya ubinadam inaitwaje?
@loysamwel63082 жыл бұрын
Sule muwongo sana
@TomAyodi5 ай бұрын
Uongo uongo uongo
@HollySantoz9 ай бұрын
19:27
@loysamwel63082 жыл бұрын
Wasamu pingiya muhamadi debe
@editrudesmbonde90512 жыл бұрын
YESU hajatabiri ujio wa Muhammad acha uongo wako,hata ukisoma theologia bila ROHOMTAKATIFU huelewi kitu,hata wewe unachokiongea hujui.😎
@Footballer-19923 жыл бұрын
Fuata mwenye anakuombea Kwa Mungu si mwenye ako kaburi anaongoja kiyama.
@PeterMarwa-hj5yh4 ай бұрын
Huwezi ukauelewa ukristo kwa namna hiyo mpaka uwe mkristo, ndiyo maana biblia inasema onjeni muone BWANA yup mwema.
@Space-f9y Жыл бұрын
Na hao watakao amini neno lao yaani watakao amini injili ya wanafunzi wa yesu baada ya yeye kuondoka , sio hicho unacho tafsiri
@peterkipkirui-jt5pvАй бұрын
Unabii huu,wa Daniel 8:9-14,23-25 ni wa nani kutimisa?!!, unabii wa math 24:14-20 ni wa naniii?!!!, unabii huu wa Isaiah 29:6-13, ni wa nani?!, unabii huu wa Deuteronomy 32:20,21,na Rumi 10:19,ni wa naniii?!wao wenywe wa islamu wanafanya upande wao ya majukiso kinyume na baraka ya Ibrahimu,isaka na yakobo.
@IsaacNzai-e7s3 ай бұрын
Yesu alimtabiri roho mtaķatifu sio mohammed Acha kueka viraka wewe 😂😂😂😂😂
@essaumpuma29812 жыл бұрын
Angalien waislam wanavyotapatapa kutafuta ushahidi WA kiislam ndani ya kitabu kitakatifu cha biblia
@Michoarbah2 жыл бұрын
Vzr sana tunafurah umefatikia mungu akuongoze...
@Martindavid-g5x2 ай бұрын
Huu ukwel kabis
@graduationtv30725 ай бұрын
Haukma mahala mohamad anapatikan kwenye biblia japo mtu wa kwanza kutafsiri Biblia ni Muislamu wa Mombasa kisha akachomeka mskiti na arabu
@josephmuchiri31802 жыл бұрын
Daaaa?uyu jamaa anazungumza nn?shule muhimu sana akyamungu
@salimrangi70265 ай бұрын
Hayo maneno unayapata shule gan kama shule muhimu usichanganye elimu ya dini na elimu ya shule yesu alisoma shule gan
@josephmuchiri31805 ай бұрын
@@salimrangi7026 iyo ni kenge acha kuisikiliza
@prochesernest54393 жыл бұрын
Katika watu wanafiki wew ni namba moja unamsingizia Bwana Yesu kumtabili Muhammad Hana vigezo kwenye Hilo andiko halfu unasema mnamuamini Yesu wakati kifo chake mnakikataa kuwa Mwana wa Mungu muongo
@fatwimatzahrau23273 жыл бұрын
Hawa ndio wale Alowasema MWENYZMUNGU summun bukmun ghumyun ww kama ulkua wataka kujua haki usingeleta matusi ungefwatilia ukajua haki iko wapi
hawandowale walikuwa wakipiga zogo darasani yani mpakaleo wameendeleya naujinga wawo soma ww siounapiga zogotu
@prochesernest54393 жыл бұрын
@@lileoh3893 usikubari kuonekana mginga tena wa mwisho hiyo Yohana 16 hakuna ushaidi wa kuwepo mtume Muhammad hapo Soma hapo hakuna jina Muhammad usiwe kipofu na Mimi nipo naisoma
@prochesernest54393 жыл бұрын
@@lileoh3893 Muhammad anaitwa Roho Mtakatifu akiitwa Roho Mtakatifu nasilimu Sasa hivi nakumia namba yangu ya sim nionyeshe
@michenjembikamichenje138813 күн бұрын
Dr Sule nusaidie mashia ni waislam wenzetu? Na je Maulid ni haramu au ni bidaa kweli maana Misri wanayasoma, hii imekaaje?
@Footballer-19923 жыл бұрын
Soma kwa Quran
@macrinajoseph14223 жыл бұрын
Huna kipimo historia ya.yesu kabla ya kuzaliwa na baada ya kuzaliwa yatosha kujua ukweli.wa.mungu. .hicho ndicho kipimo . Unatafuta kujua alipotabiliwa.muhamadi. Unalazimisha biblia on ikubali .muhamadi. Ninabii wa mungu. Ukweli upo wazi kwako usilazimishe bila yesu hakuna msamaha wa zambi. YESU AMUWEKA. WAZI. MUHAMADI . YOHANA. 5;38. 47 MATHAYO. 24:. 26
@selemanmakau59673 жыл бұрын
Yesu Hana mamlaka ya kusamehe dhambi kea sababu ni binadamu ambae alifungwa Bambino,alikunya alitahiliwa, mamlaka ya kusamehe dhambi ni ya mungu alomuumba yesu,alomuumba wewe na alowaumba wazazi wako,yesu hakuumba hata mbu,hawezi
@MarkNyongesa-f9p17 күн бұрын
Ni nini mbaya na nyinyi waislamu, hakuna mahali biblia inasungumzia Muhammed, kwani lazima kuunga unga maandiko? 😅😅😅😅
@BonifaceIrungu-fv9pf11 ай бұрын
Wewe ndio hujui Thiology kwa sababu ufahamu unaojengaa wewe hauendani na maandiko
@saalongophilip702 Жыл бұрын
Utoe evidence sio maneno mengi
@chrispinkundaeli17523 жыл бұрын
Mh bibilia gani hio jamaa anayoisoma hapo?cku za usoni utakuja kuwa Mkristo
@ambarnelly63042 жыл бұрын
Yni ulivyo potea ndugu ata biblia yako huijui ndo shida ya biblia kuandikwa kwa matakwa ya binadamu mpaka huelewi
@chikuiddy99466 ай бұрын
Watu wanaijua vzuri biblia yenu
@maziyaofficialke24122 жыл бұрын
Uyo shehe hana elimu yoyote ya biblia,iyo story amesema yote,ni vle wasabato waliuliwa na wakatoliki,kwa ivo soma vizr acha kudanganya watu bure
@georgekimasaofficial16299 ай бұрын
Waislam bhana et Yesu alimtabiri Muhammad 😂😂😂😂😂 sure huo u doctor wa Uongo umeutoa wp?unachekesha. Afu hutowi maandiko ambayo Yesu kamtabiri Muhammad Moja kwa Moja kutoka kwenye Bible zaidi ya kutoa maelezo ya Uongo tu.😂😂😂. Pia unapo soma hilo andiko Yeremia 8:8 na kulitafasiri kimakosa. Afu unadai Quran ipo kwa ajiri ya kuinyosha Bible huo ni uongo uliopindukia.😂😂😂😂 Ulicho takiwa nikutoa Aya Yesu kamtamka Muhammad, siyo kusoma Bible kipande kidogo afu ukaingiza mawazo yako ili uhalarishe unacho taka ili kupoteza zaidi wenzio😂😂😂😂pia ukumbuke Quran 10:94 inamtaka mtume wenu Muhammad kusoma vitabu vilivyo tangulia kabla yake ambavyo ndiyo Bible ili kuthibitisha ukweli wa utume wake ikiwa anayo shaka leo nyie mnasema et Quran iilekebishe Bible sinikioja hicho😂😂😂😂😂😂
@salimrangi70265 ай бұрын
Biblia kitabu cha mungu toa andiko au aya inayosema biblia ni kitabu cha mungu sisi tunaijua injili ya yesu ndo kitabu cha mungu hyo biblia haipo na kama ipo toa andiko
@editrudesmbonde90513 жыл бұрын
Jamani hapo YESU hajamtabiri Mtume wenu,msiwe waongo jamani. Hata wewe hapo Thelogia hujui.😂😂
@zaburi23863 жыл бұрын
Jamaa wanachota watu akili hawa😅
@editrudesmbonde90513 жыл бұрын
@@zaburi2386 Umeona eeeh!! Yaani wanatumia uongo ili kuhalalisha mapungufu yao! Eti wao wasome sana elimu ya Biblia kuliko Quran,ulisikia wapi???? 🙏🙏🙏
@Footballer-19923 жыл бұрын
Just read King James Version mzee. Si kitabu cha catholic.
@Footballer-19923 жыл бұрын
Kumbe Yesu wanaombea????? Na Muhammad anafanya nini????
@prochesernest54393 жыл бұрын
Kak huyu shekh anaangaika Yesu ni Bwana hakuna Bwana mwingine kila goti la kila mwanadamu litapigwa na kukiri Yesu ni BWANA siku inakuja
@fatwimatzahrau23273 жыл бұрын
Hata Mtume Muhamad anatuombea tuko na bahati tunaombewa na mitume
@fatwimatzahrau23273 жыл бұрын
@@prochesernest5439 jaribuni kufwatilia mijadala yakina mazinge na wengineo Mtajua haki tu siku moja
@davidmaisely74873 жыл бұрын
Uwa mnatumia nguvu sana kudanganya watu !! Biblia imejitosheleza Ukristo umejitosheleza ..
@prochesernest54393 жыл бұрын
@@davidmaisely7487 safi sana kaka ubarikiwe Yesu akurinde
@piterlaiza55763 жыл бұрын
Sule, Kila nikiangalia KZbin nakukuta tu unamuongelea bibilia na YESU. Okoka maana ni nafasi ndio inakusuta kwamba Mohamed hawezi kua njia ya wewe kuingia mbinguni, wewe mwenyewe ni shahidi okoka. Maana nakuhakikishia ukweli hakuna mwislamu yeyote atakaeingia mbinguni. Sure, hakuna mwislamu yeyote atakaeingia mbinguni. Okoa nafsi yako kwa kumpokea YESU KRISTO.
@selemanmakau59673 жыл бұрын
We unasema mbinnguni, mbona huko mbali nyie kabulini kazi munayo kwa ukafiri wenu,siku hiyo ndo utajua fungu lenu waabudu binadamu mutakwenda wapi,uyo anakuelewesha wewe,unasema mungu anamtoto,
@Simulizitulivuu3 жыл бұрын
Kwani yesu alikuwa mkristo au
@Footballer-19923 жыл бұрын
Kumbe unajua Bwana ni Mungu. For your information. Yesu ni Bwana.1Peter 1:3. Kubali Yesu utapata usima wa Milele
@subrahhamimu23773 жыл бұрын
Acha ukafiiiiiiiriiii,, kafiri wewe
@prochesernest54393 жыл бұрын
@@subrahhamimu2377 mtu ambaye anaemjua Mungu Hana matusi ubadilike
@charlesjoseph20923 жыл бұрын
Duuh sulle, huna unachojua ila waislam wanaokusikiliza wanaona kama umesema kitu
@kibaikiramadhani14753 жыл бұрын
Ww unajua nn maana kristo nina ma yesu vp ufsnye dini?acha mihemko
Ww mkristo sikia mandiko na history ujifunze ukristo sio dini ya mungu ww soma vizuli bibilia
@charlesjoseph20923 жыл бұрын
@@kibaikiramadhani1475 Ukisoma Qurani 33:56 inasema Hakika allah na malaika zake wanamsalia nabii Enye mlioamini msalieni nabii na msalimu kwa salamu, Swali mungu anasali?? Je anasali kwa mungu gani ikiwa yeye ndiye allah je allah nae husali???
@babazfirenaya71712 жыл бұрын
@@charlesjoseph2092 wacha uongo na fitina soma hyo aya vizuri Quran 33.56 Hakika Mwenyezi Mungu anamneemesha Mtume na Malaika wake. Enyi mlioamini, muombeni [Mwenyezi Mungu amfikishie rehema] na mwombeni [Mwenyezi Mungu amfikishie rehema].
@PeterMarwa-hj5yh4 ай бұрын
Huwezi ukauelewa ukristo kwa namna hiyo mpaka uwe mkristo, ndiyo maana biblia inasema onjeni muone BWANA yup mwema.