MwanaFA - We Endelea Tu (Official Video)

  Рет қаралды 1,858,778

MwanaFA

MwanaFA

Күн бұрын

Пікірлер: 2 200
@smartmkambala5395
@smartmkambala5395 5 жыл бұрын
Anayesema uyu Jamaa, mistari yake ni ujumbe tosha, gonga like hapa twende pamoja
@raspadeiramichel5176
@raspadeiramichel5176 5 жыл бұрын
Watoto waliachiwa wakaharibu bongo fleva...sasa ma Legendary wamerudi...Mwana FA
@saidjuma9782
@saidjuma9782 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Duuuuhhhh umeniweza 😂
@festomishita3303
@festomishita3303 5 жыл бұрын
Kabisa
@mugadimon3563
@mugadimon3563 5 жыл бұрын
Kabisaaa wale wenye mziki wao wamerudi madogo wengi na wanahippop wanatuandikia kutuchania vitu vya ajabu
@slimpirate6020
@slimpirate6020 5 жыл бұрын
Baaas ukweli 🔥🔥
@marcsthinker3882
@marcsthinker3882 5 жыл бұрын
Hawawezi peke yao mkuu
@yusuphally131
@yusuphally131 5 жыл бұрын
Hata wachawi pia wanafiwa 😂😂😂😂😂😂 sharti nimevaa LA Jana ila gari nmebadilisha #FA unajua kinomaaaa mzeeee like 1000 kwa FA
@boniphacetv739
@boniphacetv739 5 жыл бұрын
hadi tuwatie mimba wake zao ndo wajue tuna Fanya kazi
@aminasaid9382
@aminasaid9382 Жыл бұрын
Piga kelele km umependa Mwana FA weeweeee🗣🗣🗣🗣🗣🗣
@noorsallum9093
@noorsallum9093 5 жыл бұрын
Naona bendera za kenya ziko nyingiiii hayaaa waTz🇹🇿🇹🇿gonga like hapa 🎶🎶🎶🎶🎶💣💣
@sanuka2557
@sanuka2557 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/p5S4qZevnLSebqs
@yusraally7264
@yusraally7264 5 жыл бұрын
Watanzania unafiki umetujas kwani hujui
@mercymusangi2804
@mercymusangi2804 5 жыл бұрын
Bendera ni mingi sababu Mwana FA ni mkali Ndugu! Kazi kali
@luvunodzunga5131
@luvunodzunga5131 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@onesboy5457
@onesboy5457 4 жыл бұрын
Nice
@venancekavishe9823
@venancekavishe9823 5 жыл бұрын
TANZANIA kimuziki tuko juu East Africa Soma hiyoooo 🇹🇿🔥
@Ambwenefilm
@Ambwenefilm 5 жыл бұрын
FAHAMU || NAMNA VIONGOZI KATILI NA DIKTETA DUNIANI WALIVYOKUFA (2) kzbin.info/www/bejne/n3aulXytrplrhZo
@petermakho673
@petermakho673 5 жыл бұрын
Kabisa
@ngugikarori8975
@ngugikarori8975 5 жыл бұрын
Wamlambez
@hamzasaidi9127
@hamzasaidi9127 5 жыл бұрын
Kaliii fa is back gonga like km umeangalia zaidi ya mala 2
@bonpol
@bonpol 5 жыл бұрын
Imekuwa tofauti na wasanii wengine kwa mfalame FA kila kukicha ndo anavyozidi kuwa mkali
@wesleyratemo7832
@wesleyratemo7832 Ай бұрын
Ndio hivyo...2024 mwisho mwisho
@seckhanjames7325
@seckhanjames7325 5 жыл бұрын
Wakikuuliza unaendeleaje wajibu zaidi ya jana....Legendary FA
@bakarimwinyi250
@bakarimwinyi250 5 жыл бұрын
Tafuta hela ta kutosha ila usipige nazo Picha.. FA mwisho wa mawazo
@Ambwenefilm
@Ambwenefilm 5 жыл бұрын
FAHAMU || NAMNA VIONGOZI KATILI NA DIKTETA DUNIANI WALIVYOKUFA (2) kzbin.info/www/bejne/n3aulXytrplrhZo
@josephmwachalula6134
@josephmwachalula6134 5 жыл бұрын
....maisha yanabadilika
@catherinenoga2
@catherinenoga2 5 жыл бұрын
Dope song
@wayamoja8576
@wayamoja8576 5 жыл бұрын
Kama ngoma umeielewa kama mm gonga like🔥🔥🔥🔥
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 2 ай бұрын
Waambie "Vizur zaidi ya jana, Vizur zaidi ya wao" mak hao
@nurudovino288
@nurudovino288 5 жыл бұрын
Waraaa nyimbo iko Safi zaidi ya sana hata mchawi huwa anafiwa 👍👍👍👍👍
@jmohamedjumanne
@jmohamedjumanne 5 жыл бұрын
Mzee... umetishaaa. Hakuna hata comment 1 inaepinga hii ngoma. Legendary... nakuita Hamisi
@manjaruujr8255
@manjaruujr8255 5 жыл бұрын
mwana MUZIKI hutoa ngoma bila kiki msanii ndo huangaika na kiki#WE ENDELEA TU#fa
@hilalomary7309
@hilalomary7309 5 жыл бұрын
Mw AF mm nakupaa big up wimbo endelea tu . Umetimia mashair na biti imetimia ila. IPO ndogo
@johnmgweno4254
@johnmgweno4254 5 жыл бұрын
Tuliorudia kuitazama hii video weka moto🔥🔥🔥🔥
@rickwilliams2641
@rickwilliams2641 5 жыл бұрын
mmbuyu ulianza kaa mchicha ila mchicha haujawai kuwa mmbuyu💣
@ahdakhalid3384
@ahdakhalid3384 2 жыл бұрын
Kichupa na nusu🔥🔥 falsafa unajua mpaka unajua tenaaaaa
@fredrickbenard7813
@fredrickbenard7813 5 жыл бұрын
This is madness Hata mchawi Hua anafiwa 😂😂😂 Kama message siipendi na mshoot mpaka messenger 😂😂😂 meen...... Gonga like ya kibabe
@40kstore
@40kstore 5 жыл бұрын
"anaejifanya anakuamua anakushika upigwe babu,mtie mitama siku nyingine ashike adabu" #weeendeleatu
@christophersoty101
@christophersoty101 5 жыл бұрын
Hili lijamaa linajua thamani ya mb zangu kwa ngoma hii Kwanini nisimalize bando 👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪💪
@barakambuya2902
@barakambuya2902 5 жыл бұрын
Endelea tuu Bonge LA nyimbo,falsafa katisha
@samwelcharles74
@samwelcharles74 5 жыл бұрын
Hahaha! Hata mm nimerudia zaidi ya mara 20..kweli huyu mwana FA
@zenchmathias6755
@zenchmathias6755 5 жыл бұрын
Haujawahi kufel bro,, nakukubal Leo kexho mpaka milele
@marionsteven8198
@marionsteven8198 5 жыл бұрын
Maisha siyo lazima yakubali kwani unayadai??? 😀 #falsafa ...we endelea tu...🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 5 жыл бұрын
Hahahahahaha big daddy #mtu mbaya #mwanaFa #big dady #mwanafalsafa # we endelea tu. We jamaaaa unatisha kama EBOLA ✈️✈️✈️
@mtumishihewa7595
@mtumishihewa7595 5 жыл бұрын
kama umetazama hii ngoma zaidi ya mara 40 WE ENDELEA TU!!!👊👊👊sema nn FA weeeee niii maaafyaaaaaaaa!!!!
@rehemanassor352
@rehemanassor352 Жыл бұрын
We endelea tu
@noelphilipmollel6355
@noelphilipmollel6355 5 жыл бұрын
Hii ngoma hatari sana....inapaswa kupigwa remix na malegends karibu wote..awa watoto waskuiz wanazingua sana....thanks for good music
@adamumkomwa2143
@adamumkomwa2143 5 жыл бұрын
Noel Philip Mollel real
@abdullytwaha978
@abdullytwaha978 5 жыл бұрын
Uko sawaaa
@maleop2950
@maleop2950 5 жыл бұрын
Hizi flow za kigadhabu achia warabu disi hip hop za wenye hip FA Whatsap
@maleop2950
@maleop2950 5 жыл бұрын
Miendo ya ngamia juu ya maji eeh ya filauni
@maleop2950
@maleop2950 5 жыл бұрын
Huku tunakanyaga tamu na kutetema, Kwangwaru kwa mademu sio mchezo Wa kusema
@emelmarry8354
@emelmarry8354 5 жыл бұрын
Mi nna mungu we endelea tuu safiii fa
@hawasalehe1233
@hawasalehe1233 5 жыл бұрын
Nakupend xana mwanafA .....unajuwa kaka. Anayebixha mbana pua.
@sammytz1540
@sammytz1540 5 жыл бұрын
subira haivuti bangi haigongi nyagi inavuta kheri tu haijawahi kubugi 🔥🔥🔥 nice jam
@emmanueljackson2844
@emmanueljackson2844 5 жыл бұрын
Miruzi mingi mbwa sipotei we endelea kuskiliza utaelewa tyu
@MajaxiFx
@MajaxiFx 5 жыл бұрын
I beleve in you Mwana Falsana lazima tujifunze kwa waliofanikiwa ili nasi tufanikiwe i swear nitatafuta pesa na nikipata Sipigi nazo picha ng'ooo We endeleaa tu
@Ambwenefilm
@Ambwenefilm 5 жыл бұрын
FAHAMU || Msitu hatari zaidi duniani || kuna viumbe wa ajabu (Romania) kzbin.info/www/bejne/iZWZi4mDqN1_rrs
@godifreymtaze1634
@godifreymtaze1634 5 жыл бұрын
Show
@josephdaudi4471
@josephdaudi4471 5 жыл бұрын
JD online
@Ambwenefilm
@Ambwenefilm 5 жыл бұрын
@@josephdaudi4471 nam
@meshackkangwe7744
@meshackkangwe7744 5 жыл бұрын
Kbsaa
@daudyjohnson3447
@daudyjohnson3447 3 жыл бұрын
We endelea tyu kwa mungu amna wanafki
@emmanuelahmedbyona2353
@emmanuelahmedbyona2353 2 ай бұрын
Mwana FA ni Manufaa ❤❤❤❤from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@zainabual_tz5623
@zainabual_tz5623 5 жыл бұрын
Bonge la nyimbo kama unamkubali mwanafa like hapa twende Sawa 👌🏼👌🏼
@esterwilliam3309
@esterwilliam3309 5 жыл бұрын
Oyooooooo... Wanao amini kwa MUNGU hakuna majungu.. waendelee tu... Like mingii hapaa
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
We endelea tuu kuninyima like, team mwana_f_a na team east_cost__team gusa like
@omaryjuma803
@omaryjuma803 5 жыл бұрын
Et amua mwnywe utazik au utasafirisha # mwana fa uko juuu mkubwa
@babaharunakipindula3895
@babaharunakipindula3895 5 жыл бұрын
Dah vijana wameharibu bongo flavor.... Asante ma legendary
@godfreyeugentarimo101
@godfreyeugentarimo101 5 жыл бұрын
Mm ninavyoon hii ndio itakua ngoma boraa sanaa katika huu mwakaa nani anabishaaaa
@beckarluhanga8421
@beckarluhanga8421 5 жыл бұрын
Sisi ndio wagosi tunaweza uza Ng'ombe kwa kesi Ya kuku lazima tushinde big up Mwana FA mgosi wa ndima Kama mbwayi mbwayi tu
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 жыл бұрын
Hatufeligi kindezi wagosi wa tanga
@johnsonjoshua6707
@johnsonjoshua6707 Жыл бұрын
Mshaanza ukabila mnataka kutambika au
@beckarluhanga8421
@beckarluhanga8421 Жыл бұрын
@@johnsonjoshua6707 😂😂😂
@sultanhassan7928
@sultanhassan7928 5 жыл бұрын
Hata kama hukipendi kukiheshimu inabidi🙌 Wangapi wamepata vibes za 2010 👇
@yusuphkaoneka3664
@yusuphkaoneka3664 5 жыл бұрын
Hata wachawi wanafiwa we endelea tu
@pitahkym8806
@pitahkym8806 5 жыл бұрын
Kenya tumekubali waambie wakanyange polepole wasije wakajikwaaaaaa!
@alifarah9459
@alifarah9459 5 жыл бұрын
Huyu Ndoo msanii namba 1 Bongo nzimaa hatarii gemuu imemisi hizi kaziii sio zogooo la Vumbi
@hilalmtangi5241
@hilalmtangi5241 5 жыл бұрын
We endelea tu kuachia Ngoma kimya kimya. Keeping the good music alive #WeEndeleaTu
@abubakermachatha5680
@abubakermachatha5680 5 жыл бұрын
anasema nini hapo eti, ...............,kishua au kimtaa ni kucheza na number kama mtu mbaya Salah.
@sadockmtwe4852
@sadockmtwe4852 5 жыл бұрын
Hilal Mtangi mbna biti zilezile
@mohamedkipingu4807
@mohamedkipingu4807 5 жыл бұрын
Nyimbo kali sana Mwana Fa sema hapo kwenye chorus angekaa G nako ingekuwa kizazi sana
@magambonyanusi3950
@magambonyanusi3950 5 жыл бұрын
G nako au belle 9 But tayr ipo kwa hewa
@isaacmhanga5101
@isaacmhanga5101 5 жыл бұрын
Sasa unadhani nani kama c gnako
@christophersoty101
@christophersoty101 5 жыл бұрын
@Ahmed Ally mawazo yako Kama yangu
@mwendwamjukuu9468
@mwendwamjukuu9468 5 жыл бұрын
Chorus angekaa mtu mzima belle tisa
@nickomdete7232
@nickomdete7232 5 жыл бұрын
its we ni mwanafalsafa maana duuh watoto hawawezi elewa ila ss wakongwe tunakupata 100%
@briankimtai3082
@briankimtai3082 5 жыл бұрын
🔥🔥ukiwa mkubwa utataka kuwa kama mimi. shati navaa la jana ila gari nabadili.🙌 we endelea tu
@deusfernandes9170
@deusfernandes9170 5 жыл бұрын
Hapa ndo unapoweza kutofautisha kat ya MwanaMUZIKI na MSANII.
@rashidyhemedy5110
@rashidyhemedy5110 5 жыл бұрын
wakikuuliza naendeleaje waambie vizuri zaidi ya jana,,,miluzi mingi ila kubwa la jibwa sipoteii,,,dah respect sana brooother💪💪💪💪💪
@iddidhidha1869
@iddidhidha1869 5 жыл бұрын
one of the best in E.A without a doubt! Hujawahi kutuangusha mafans wako!
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 5 жыл бұрын
Ndio kama unaanza vile kumbe ndio wamaliza homebwoy u have killed it
@sahirstimajr4394
@sahirstimajr4394 5 жыл бұрын
Kaka umewaza nini...... Tanga juuuuuuu
@eddymwalagho354
@eddymwalagho354 5 жыл бұрын
🇹🇿 🇰🇪 Ni Rehma za Mungu tu na maamuzi yake.. Kwa Mungu hakuna majungu mi nina Mungu. Mkongwe wa Hiphop Afrika!
@aysha4102
@aysha4102 5 жыл бұрын
ChoirMaster❗️
@zenjonlinetv4953
@zenjonlinetv4953 5 жыл бұрын
Dah naombeni like hata moja jmn
@tajisiraju4016
@tajisiraju4016 5 жыл бұрын
Toka mwanafalsafa,mwana Fa mpaka Fa,,nakubal sana Ghostwriter,Ngoma ni kali sana
@mwarabutoleolamwisho7879
@mwarabutoleolamwisho7879 5 жыл бұрын
naendelea kuJdhrishia na kuupa MOYO wangu uthbit kuwa wenYe maJna Ya HAMISI na waliobahatka KufanYa jambo fulan ktk jamii zetu wana uwezo mkubwa wa kutatafakari FALSAFA, bg up as FAR.
@ebrahimuselemanindani8079
@ebrahimuselemanindani8079 5 жыл бұрын
Mimi siyo mgeni hapa,najua miili inapozikwa/ Nina kitabu hapa,najua nini kimeandikwa. #WeEndeleaTu.
@stephanoedward6271
@stephanoedward6271 5 жыл бұрын
Msanii wangu bora wa hip hop tanzania ,,we endeleea kunifurahisha tuu
@falsafayohana4985
@falsafayohana4985 5 жыл бұрын
Kwani je haya ndo mambo sasa misamiati kama yote ::::: we endelea tu kwa Mungu hakuna majungu
@godfreymwita1708
@godfreymwita1708 5 жыл бұрын
mwanaFA Wee endelea tu usingesema wewe ningesema mimi
@bamatv651
@bamatv651 5 жыл бұрын
Mafundi sikuzote wanajua wanachokifanya....Heshima za kutosha kwako Hamisi Mwin'juma
@shedyjr3227
@shedyjr3227 5 жыл бұрын
Hawa ndoo ma legends sasaaaa.. mziki safi
@costantinerichard2095
@costantinerichard2095 5 жыл бұрын
Tuliikumbuka hii sauti na imeludi kwa kasi ya hatari 👑👑👑 nakuele mfalme mwana f.a we endelea tu kutuletea mistari bora Tanzania
@jaydallu3158
@jaydallu3158 5 жыл бұрын
hao walio dislike wanaujua mziki kweli au wamezoea zile video za marangi rangi na uchi uchii.... this is a good music
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 5 жыл бұрын
Waambie Watoto hawajakua
@charlesboniphace2343
@charlesboniphace2343 5 жыл бұрын
Hata me nimeshangaa sana una dislike nn sasa hapo
@maikusayi6460
@maikusayi6460 5 жыл бұрын
Hao wanao dislike walishazoea nyimbo za mikelele nyingi
@sylvestermihale2887
@sylvestermihale2887 4 жыл бұрын
*Kwa Mungu hakuna majungu* *Nouma sana,* *subila haivuti bangi* 🎶🎵🎼🎺🎷🎤🎧📽️🎥✔️☑️✅
@BarubinaNyoni-it9ol
@BarubinaNyoni-it9ol Жыл бұрын
Huu wimbo napenda sana hapa wakimuuliza naendelea je wambie vizuli zaidi ya jana vizuli zaidi ya wao subira aivuti bangi❤😂😂asee hi ngoma yangu pedwa
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
Nimerudi tena kuomba like we endelea tu kuninyima like
@chimamychimychimamy8482
@chimamychimychimamy8482 5 жыл бұрын
Nalikubali kubwa mwana fa from Kenya+254 kama unamkubali mwana fa ngonga like hapa big bro 😘😘😘😘
@straightkonect1613
@straightkonect1613 5 жыл бұрын
Nilikua nangoja sana Mzazy FA utapakua nini na lini but umeangusha mzigo mkali FA yuleyule misemo full kujiachia
@lyaruusiayako2642
@lyaruusiayako2642 5 жыл бұрын
Subira haivuti bangi, haigongi nyagi, inavuta heri tu na haijawahi kubugi.
@mbagatamaximillian2034
@mbagatamaximillian2034 5 жыл бұрын
Duuh bonge la song kwa mungu hakuna majungu ww endelea tu nimekuelewa mwana Fa usiongeze sauti
@definitionjr8069
@definitionjr8069 5 жыл бұрын
Kama una amin FA ndo Best MC wa muda wote gonga like twende sawa.
@mugadimon3563
@mugadimon3563 5 жыл бұрын
Huyu mzee yupo katika best mc wa all time
@winnermlaki2520
@winnermlaki2520 5 жыл бұрын
atar we endelea 2
@definitionjr8069
@definitionjr8069 5 жыл бұрын
@@winnermlaki2520 faya
@definitionjr8069
@definitionjr8069 5 жыл бұрын
@@mugadimon3563 mtu mbaya asiye na mambo mengi
@kisandusitta9986
@kisandusitta9986 5 жыл бұрын
Tafata her ira usipig nazo pch
@chrissymetics5132
@chrissymetics5132 5 жыл бұрын
Mi NAENDELEA tu kuwatch na nipo #FYN by falsafa🙌🙌
@karanidicky5338
@karanidicky5338 5 жыл бұрын
Imenyooka Mzazi, Kali i sei
@stephanomarwa3063
@stephanomarwa3063 5 жыл бұрын
Endelea tu kuchafua safi sana namba moja sasahivi hadi fraha naupenda sana huu wimbo
@merryn4891
@merryn4891 5 жыл бұрын
Ujawahi kukosea mwana FA
@kidunapoletano3118
@kidunapoletano3118 5 жыл бұрын
Uyu jamaa ajawai kuchuja mana mziki anaujua xana angekuwa anaupromoti mziki wake km wanavyo fanya wenzie wakina Mondi basi africa nzima kusinge kalika. Weeeeeee ENDELEA TYU. UMEUWAAAAA F. A. SAFI XANA. napenda xana mziki wako napenda xana mziki mzuri. Sichagui wala sibagui nasapoti mtu anae imba mziki mzuri basi
@mwanaidimsangi6275
@mwanaidimsangi6275 5 жыл бұрын
we endelea maisha co lazma uvalie kikoiii anajifanya anakuamua mshike mpge mtama ckunyngne acrudie kwa mungu hakuna majungu mwanafa
@mckobatz5861
@mckobatz5861 5 жыл бұрын
My big brother FA hujawahi kuyumba the best lyricist of all time
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 5 жыл бұрын
Mc KobaTz kabisa
@shabanibocho9610
@shabanibocho9610 5 жыл бұрын
Nakubali kaka uta amuwa mwenye uzike au usafirishe
@planbmauwezo4853
@planbmauwezo4853 Жыл бұрын
Ukisikia wahuni nd hawa cy muhun utembee na wembe good F A
@slimpirate6020
@slimpirate6020 5 жыл бұрын
The one man Army 🔥🔥🔥🔥🇰🇪👏👏👏 najua kuna wenye wameanza kustuka juu hii real hip hop come back💕🔥
@luvunodzunga5131
@luvunodzunga5131 5 жыл бұрын
From Kenya this Extravaganza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abdurahkhomeyn6999
@abdurahkhomeyn6999 4 жыл бұрын
second home kenya salute
@Dr.zaidi4
@Dr.zaidi4 3 жыл бұрын
This man mentions God in most of his songs like every beautifully crowned eternal soul
@ahdakhalid3384
@ahdakhalid3384 2 жыл бұрын
That’s why he’s called the “PHILOSOPHER” aka falsafaaa🥳
@bernadetanyendo1650
@bernadetanyendo1650 5 жыл бұрын
ANAEJIFANYA ANAKUHAMUA ANAKUSHIKA ILI UPIGWE BABU .MTIE MITAMA SIKU NYINGINE ASHIKE ADABU. SALUT 👑👑👑
@dfinaldavillagekingfinalki6170
@dfinaldavillagekingfinalki6170 5 жыл бұрын
Mwana cjuinikupe heshima gani wewe king wa flavor za bongo
@alloycemillinga1673
@alloycemillinga1673 5 жыл бұрын
Mwana FA forevaa yan ngoma kali saana jaman daah tuombe ipigwe saana kwa medea
@pigapesa1013
@pigapesa1013 5 жыл бұрын
Amua mwenyewe Utazika? Utasafirisha? (mwana FA).
@samirmussa3906
@samirmussa3906 5 жыл бұрын
Ila hii nyimbo ukifanya masihara unaweza usijue kilichoimbwa umu ndan,,,Bonge LA ngoma father...GOD BLESS YOU
@robertfrendrick
@robertfrendrick 5 жыл бұрын
Siki hizi una hela unapiga nazo picha badae utazitafuta 🔥🔥🔥🔥🔥
@kinjeathuman2350
@kinjeathuman2350 5 жыл бұрын
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz.... Nasema hivi hii ni yenyewe kbs 👐
@jumerramadhan1617
@jumerramadhan1617 5 жыл бұрын
All the way from 🇰🇪 the legend is back with a great message❤️❤️💯
@kyokweteisack1949
@kyokweteisack1949 4 жыл бұрын
Huwezi kutupangia. Tushavuta sana milango iloandikwa push..na trust me inafunguka.. You always make music feel easy maana mistari migum ila unaitema kama umezaliwa nayo. Big up FA. Keeping th good music alive.
@ridhiwaniselemani5106
@ridhiwaniselemani5106 5 жыл бұрын
"anayejifany anakuamua anakushik upigwe babu, mtie mitama skuingine ashik adabu" 🗣🗣Faaalsaaafaaa hatar sanaaa
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 5 жыл бұрын
Duu hatari mziki mzuri no matusi heshima kwako mwana fa bonge la ngoma balaa 💥💥💥💥💥
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 жыл бұрын
Wema Kalamu 🙌
@shizzybeiby4032
@shizzybeiby4032 5 жыл бұрын
Amua mwenyewe... Utazika utasafirisha.......umetishaaaa
MwanaFA - GWIJI ft Maua Sama & Nyoshi El Saadat (Official Video)
3:28
MwanaFA Feat Harmonize - Sio Kwa Ubaya (Official Music Video)
3:36
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
28:34
YahStoneTown
Рет қаралды 208 М.
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 13 МЛН
Joh Makini - Nusu Nusu (Official Music Video)
4:16
Joh Makini
Рет қаралды 1,2 МЛН
Banana Zoro - Zoba
7:43
Swahiliwood
Рет қаралды 1,4 МЛН
Billnass ft MwanaFA - Mazoea (Official Music Video)
3:24
Billnass
Рет қаралды 1,6 МЛН
MwanaFA Feat G Nako  - Mfalme (Official Video)
4:05
MwanaFA
Рет қаралды 1,5 МЛН
MwanaFA feat Linah - Yalaiti (Official Video)
5:34
MwanaFA
Рет қаралды 2,3 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН