Dah. Hii ngoma noma sana. Mangustino yuko wapi now days
@MorickMwasaga Жыл бұрын
Ahsante sana kwa hii nyimbo, nimeitafuta sana kwa muda mrefu mpaka nikahisi hata wewe mwenyewe umeipoteza!!!
@barakasalumkhalfan4381 Жыл бұрын
naitafut hii albamu ya TOLEO LIJALO ilikua hatari sana
@mathewnicholaus25222 ай бұрын
Wakati anaachia hii album alikuwa anadai eti anaacha mziki. nilinunua nikijua sitosikia ngoma zaidi toka kwake.
@faisalmohd46742 жыл бұрын
HipHop,,, enzi hizo nipo shule najiita FaLsAFa Nikisimama Mbele ya class naimba nyimbo zote za MwanaFA darasa lote kimya Wananiskiliza mimi.
@feisalmhina7146 Жыл бұрын
FA Noma sana
@christianmichael533110 ай бұрын
Hii nyimbo inapatikana kwenye Albam Ya Toleo lijalo Kazi nzuri sana tungo tata mno akili nyingi hisia Kali
@christianbihemo8211 Жыл бұрын
Hii nondo ilikuga tafu sana uanidish mkubwa japo kitambo IMAM ABAS WAP MZEE , FALSAFA HUMU ILISIMAMA NAIBU WAZIRI ,MTAMBO NOMA ISEEH, iheshimiwe sana hii ngoma jasho la fikra ,deep sana ilikua mbele ya mda much respect kwa wote humu ndani.
@fredymushy96742 жыл бұрын
Safi hizi ndo ngoma
@lazalonzo46072 жыл бұрын
Bro took me back in 2005 🙌🙌🙌
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
The golden boy mwana f.a## Binamu ✌️✌️✌️✌️✌️🔥🔥🔥🔥
@mimosapudica18942 жыл бұрын
Hiyo flow inasound ni ONE TAKE 🙌🙌🙌
@nellylwitiko63772 жыл бұрын
Vya Kale Dhahabu
@mohammedaliabdallah55082 жыл бұрын
Real Philosophy BINAMU 👑. Salute
@kondeboysfasi81242 жыл бұрын
Fresh sna kaka🔥🔥🔥
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Dope song
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
13.2.2023🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙏 😻😻😻😻😻😻😻😻
@mubarakhassan26182 жыл бұрын
Broo acaunt yako imehakiwa mbona nyimbo zakizazi canyuma sana