Mwana FA - KISASI NDO KAZI YAKO / UNAKANYAGA WATU KINGUVU / USIABUDU HELA

  Рет қаралды 78,235

LilOmmyTV

LilOmmyTV

5 жыл бұрын

Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy

Пікірлер: 127
@mannyelectechm.e.t421
@mannyelectechm.e.t421 5 жыл бұрын
Ndio maana anaitwa Mwanafarsafa. Very intelligent dude, street smart with humility a down to earth dude. Safi sana @mwanafa @lilommy
@koffiarnold9592
@koffiarnold9592 5 жыл бұрын
#Baba_lilommy_Tanzania hakuna mtangazaji mkali kama ww ukovizuri!!!!!
@anelkaking9342
@anelkaking9342 5 жыл бұрын
Kwa tanzania sijaona mtangazaji mwenyewe maswali mazuri kama lilommy, i like you bruda and big up kwako, nawachukia awa watangazaji wanao uliza maswali ambayo ayana msingi. Zao choko choko. Nawaomba watangazaji wengine waige jinsi lilommy alivyo. You're the really king bruda lilommy much love from zanzibar.
@mussamakange7421
@mussamakange7421 2 жыл бұрын
Hakika kak mung amlinde huy mwamba💪💪💪💪💪💪
@biza60
@biza60 5 жыл бұрын
Much respect my brother lil omy maswali yako ya uchunguzi Sana, unaitendea haki tasnia yako wewe balaaa nakuelewa Sana...unavyo chimba Maswali kwa undani upo tofauti na watangazaji wengine
@idrisashelimo307
@idrisashelimo307 4 жыл бұрын
👍
@nuuhsavage7722
@nuuhsavage7722 5 жыл бұрын
Mwana fa anajibu vzr mnoo
@johnmwangi2435
@johnmwangi2435 5 жыл бұрын
Ya kizazi sana namkubali sana mwanafa
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 3 жыл бұрын
God bless you and your family mwana f a one day we will singing together,
@Yegon254
@Yegon254 5 жыл бұрын
Much respect Omari Tambwe maswali yako ni ya kizazi sana, kabla ya interview unafanya utafiti kwa faida yetu mashabiki.
@jacobiejonnied_13
@jacobiejonnied_13 5 жыл бұрын
Huwa najua show kali au sio kali kwa kusoma mesej kwanza kabla ya kutazama🤣🤣🤣
@awadhtevez2918
@awadhtevez2918 5 жыл бұрын
Kichwa kimeja madini nakukubal Mwana FA among of very very powerful MC
@nasryshabany7204
@nasryshabany7204 5 жыл бұрын
M.fa dah upo vizuri sana mm shabiki yako shoh love
@oconnorcruz4672
@oconnorcruz4672 5 жыл бұрын
W nikioo chawa tangazaji😃😃😃 Lv u bro**** O'Connor from sandton
@evansmallya5525
@evansmallya5525 5 жыл бұрын
As You Have Said Mwana..UR A VERY GOOD PERSON MUNGU AKUBARIKI..Hats Off
@brightonsalim3111
@brightonsalim3111 5 жыл бұрын
Mwana FA anatunga sana yaani anatisha💥big up @lilommy
@andrewmtalemwa6970
@andrewmtalemwa6970 5 жыл бұрын
Lily Ommy is f genius man
@bashirusalehenandoro3128
@bashirusalehenandoro3128 5 жыл бұрын
Yes ile sound isee nilkuwa najiulza how abibad make it sawa namkubal na ni mkalii ila ile imeenda extra kidgo big up kwa big P majan touch zake ni majan tu ndio anazo
@Zaidiyanusumedia
@Zaidiyanusumedia 5 жыл бұрын
Mwana mwenye falsafa zake🔥🔥🔥
@mortishavida5170
@mortishavida5170 5 жыл бұрын
Nisaidie nielewe maanake ya" Falsafa" plz!
@barakakambi1469
@barakakambi1469 5 жыл бұрын
From the word philosophy in Swahili Falsafa
@malewoemmanuel7236
@malewoemmanuel7236 5 жыл бұрын
Kuna wasanii ,halafu kuna Mwana Fa...
@straightkonect1613
@straightkonect1613 5 жыл бұрын
Msanii pekee aliyejipa jina linaloonesha uhalisia jamaa ana FALSAFA si ya kupima.Ommy sikuiti Lil coz unafanya mambo makubwa Kizaz sana
@faresaconga2158
@faresaconga2158 5 жыл бұрын
Ikiwa kuna mtu atakubishia kama kuna mwanamke anyeimba kama lady jaydee,basi mpige ntakuja kukutowa polisi,nipen likes hapa jaman hata kum10
@mussamussarajabu4016
@mussamussarajabu4016 5 жыл бұрын
Kzazi sana hom boy
@hassanmaganga1544
@hassanmaganga1544 5 жыл бұрын
We jamaa ni noma nakuombea kwa Allah na huko marekani uchukue mtangazaji bora
@jameschanja8304
@jameschanja8304 5 жыл бұрын
You never let me down my brother lilyommy appreciate you mwamba
@tarsissingano9693
@tarsissingano9693 5 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua kuinterview musicians aisee. He is doing analysis first on the particular musician. Keep it up DJ the ommy
@munakatonga8546
@munakatonga8546 5 жыл бұрын
Congratulations lilOmyTv uko vzur brouda
@kurwajuma2492
@kurwajuma2492 5 жыл бұрын
King of interview lily ommy
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV 5 жыл бұрын
👊
@anelkaking9342
@anelkaking9342 5 жыл бұрын
Like you lilomy. Big fa nice interview.
@honeyjerrylugose3312
@honeyjerrylugose3312 5 жыл бұрын
I love this man
@yohanabaraka8192
@yohanabaraka8192 5 жыл бұрын
Maongez ya kikubwa sana haya....salute to ya' all
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 жыл бұрын
Big up mwanaF
@ashamambo9502
@ashamambo9502 5 жыл бұрын
Nakupenda sana
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 5 жыл бұрын
Nakukubali sana liliomy good interview
@emmanuelahmedbyona2353
@emmanuelahmedbyona2353 Ай бұрын
LilOmmy TV huaga ana stali yake special ya interview 🎉🎉🎉
@mwendwamjukuu9468
@mwendwamjukuu9468 5 жыл бұрын
Hapa kwa lilommy lazima uwe umejipanga na majibu yakutosha
@bekadavid7391
@bekadavid7391 5 жыл бұрын
yani broo wewe kwama inta viu Mimi na kukubari sana
@khamisramadhan5133
@khamisramadhan5133 5 жыл бұрын
Sure umekagua vizur ngoma za Somu Yangu.... (kuhusu 'pesa' kwenye mistari
@AlexanderMutuku
@AlexanderMutuku 5 жыл бұрын
Interview ..... Kizazi sana !!
@pastorycelvin2447
@pastorycelvin2447 5 жыл бұрын
#LilOmmy ni sumu na nusu upo deep sana mzazi
@gineuspaul
@gineuspaul 5 жыл бұрын
yaani Msanii ikienda Clouds au kwa liliommy inabidi ujipange vizuri sana
@deebrown7908
@deebrown7908 5 жыл бұрын
Kwa lilommy tu ndohunatakiwa ujipange
@charlzzesonconsciousness6685
@charlzzesonconsciousness6685 5 жыл бұрын
Lil ommy anajua sana
@mclize7381
@mclize7381 5 жыл бұрын
Kweli tambwe unafanya kitu ambacho kiko moyoni huwa huongei usichokijua saruti kwako bro mfuasi wako Niko nyuma yako siku zote
@rojasramadhany1209
@rojasramadhany1209 5 жыл бұрын
Brother so is good all music
@fizzojay7441
@fizzojay7441 5 жыл бұрын
Bg up ommy
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 жыл бұрын
MwanaFA and the #KingOfTheBestInterviews NAWAKUBALI MPAKA MWISHO WA DUNIA 🙌🙌🙌
@mytelecom2019
@mytelecom2019 5 жыл бұрын
aya bwana ramseyy tumekusomaa
@Nico-ek3nq
@Nico-ek3nq 5 жыл бұрын
interview imefanyika baada ya utaft ambao upo deep sana, big up lil ommy & fa
@azizimakotha4929
@azizimakotha4929 5 жыл бұрын
Sanaaaaaaaaaa aiseeee
@binamubinamu1151
@binamubinamu1151 3 жыл бұрын
Aiseeeee lilyommy unatishia Aman aiseeee
@rihanjama1643
@rihanjama1643 5 жыл бұрын
Lilommy 🙉🙉🔥🔥🔥🔥🏆
@alvinmalle9624
@alvinmalle9624 5 жыл бұрын
Much respect F A..👊
@simonmuga2083
@simonmuga2083 5 жыл бұрын
The Master Mind him self
@allyking324
@allyking324 5 жыл бұрын
Ommy wejamaa nihatar
@blackseason599
@blackseason599 5 жыл бұрын
Sinung'uniki Sina Viatu Wenzangu Hawana Miguu. FA tatizo kubwa Tz.
@fadhilinyengo7853
@fadhilinyengo7853 5 жыл бұрын
Faida ya kusoma vitabu hiyo utaikuta kwenye THE MAGIC OF THINKING BIG cha DAVID J. SCHWARTZ
@bakarinamayano6622
@bakarinamayano6622 5 жыл бұрын
Mtu yeyote hatakaekumbia yupo msanii wa kike anae imba vizuri kibongobongo kumpita lady Jay dee we mpige fa hatakuja kukutoa police!!!!!!!
@sameersaid5058
@sameersaid5058 5 жыл бұрын
Hii ikiisha tu ipost in full manake lazma ni iwatch plz
@patrickmabula3407
@patrickmabula3407 5 жыл бұрын
Amazing show,,,
@mukangwapaul3113
@mukangwapaul3113 5 жыл бұрын
Super interview
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV 5 жыл бұрын
Appreciate
@gaganog7299
@gaganog7299 5 жыл бұрын
FA is genius overflow 🙌👑
@lusekelomoses9200
@lusekelomoses9200 5 жыл бұрын
Respect lily ommy Your Genius 🙏
@stevewanga957
@stevewanga957 5 жыл бұрын
Yaani Interview za FA zimekomaa ni mtu watamani kumskiza,haboeshi kabisa... Alafu King interview pia anajipanga sana... Interview ya kibabe 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦
@muftiachuu6676
@muftiachuu6676 5 жыл бұрын
Omy nakukubali nauy mtoto wakitanga ndio msii bora kwangu ki tz
@gerrywin2194
@gerrywin2194 Жыл бұрын
..."napenda sana harufu ya noti hasa zikitoka benki, nazirudisha huko ila kwenye akaunti tofauti'
@saleheramadhani9399
@saleheramadhani9399 5 жыл бұрын
Uyu jamaa lilommy nibonge la mtangazaji maana atajipanga sana kwenye maswali
@saidnasihu540
@saidnasihu540 2 жыл бұрын
Yes i get money japo sio kama za fifty (50 cent) cousin ni genius
@franknurudin8456
@franknurudin8456 5 жыл бұрын
Fa anajbu kwa weledi sana
@lowasamollel9852
@lowasamollel9852 5 жыл бұрын
#FA mkali kila wakati
@patyndugaja7014
@patyndugaja7014 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 5 жыл бұрын
Falsaaafaaaa
@fasanitzfasanitz9631
@fasanitzfasanitz9631 5 жыл бұрын
@lilomy moto FA heshima milele ujawai kosea
@minahqassim8031
@minahqassim8031 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@bakarikishaa4889
@bakarikishaa4889 4 жыл бұрын
Mwana fa.. God bless you
@dutchballaka3422
@dutchballaka3422 5 жыл бұрын
We endelea tu
@oneboyjahman1440
@oneboyjahman1440 4 жыл бұрын
Ommy did his homework damn it!
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV 4 жыл бұрын
👊
@zuhrasulyman5701
@zuhrasulyman5701 5 жыл бұрын
binamuuuuu
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 5 жыл бұрын
Fa
@mmungalubunga4404
@mmungalubunga4404 5 жыл бұрын
Unafatilia sana
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 5 жыл бұрын
Tambwe we ni genius
@mwlrobinson
@mwlrobinson 2 жыл бұрын
Tambweeeee
@ramlaameer2057
@ramlaameer2057 5 жыл бұрын
Mwana f.a l.s.a.f.a ukipenda nasso z show tym niite zeyzey wa2 wanakwenda na ward........... dah
@ramlaameer2057
@ramlaameer2057 5 жыл бұрын
Kizazi ssana
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 жыл бұрын
Jamaa ana akili san ana mashairi yakisomi san
@hamismalimungu9959
@hamismalimungu9959 5 жыл бұрын
Humu lazma kutakua namadini acha niichek
@abdallahjumannekisalo8699
@abdallahjumannekisalo8699 5 жыл бұрын
Makin
@beatricesalama9808
@beatricesalama9808 5 жыл бұрын
Unazingua hamisi yani mpaka baadhi ya wasanii wapitie kwa dozen ndio aje kwako tena umfanyie interview ndio nini hvyo????
@juliusdaniel3514
@juliusdaniel3514 5 жыл бұрын
Hahaha dada Beatrice Dozen ile ni brand nyingine kubwa
@asrymohd6690
@asrymohd6690 5 жыл бұрын
Lly bigup sana ila kilasiku Waite ss shabikizako tupo sis sio wbc
@Mandenge
@Mandenge 5 жыл бұрын
Kama unakumbari wasafi media ni like afu tu hone niwa ngapi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tuta mbaki juuuuuuuuuuuuu
@honeyjerrylugose3312
@honeyjerrylugose3312 5 жыл бұрын
Mdwanzi tuu
@nehemiabilphon2759
@nehemiabilphon2759 5 жыл бұрын
Mshamba wa wapi sijui
@hilalmtangi5241
@hilalmtangi5241 5 жыл бұрын
Let's me handle this #WeEndeleaTu
@bahatisteven2826
@bahatisteven2826 5 жыл бұрын
Watu tuna majibu nashangaa watu hawaulizi maswali, duuuh! Huyu jamaa kibongo bongo sijui kama kuna mtu anaweza kumwelewa kirahis kulingana na misemo yake
@jumalove2631
@jumalove2631 5 жыл бұрын
Naomba Leo unijibu kwann msanii akitoka clouds anakuja kwako Teena kufanya interview
@djmorefire5154
@djmorefire5154 5 жыл бұрын
Juma Love ni ratiba za artist tu i think broo
@andrewmtalemwa6970
@andrewmtalemwa6970 5 жыл бұрын
Ikiisha xxl inafata the playlist so msanii anaamua kufanya xxl then the play list
@user-pv6ih4nq5p
@user-pv6ih4nq5p Ай бұрын
Mwalimu
@alvinmalle9624
@alvinmalle9624 5 жыл бұрын
Apo kwenye viatu tu match mzee
@michaeljeremiah634
@michaeljeremiah634 5 жыл бұрын
Lil ommy akuna kama ww najifunza kupitia kwako
@charlzzesonconsciousness6685
@charlzzesonconsciousness6685 5 жыл бұрын
#Falsafa
@masongatz
@masongatz 5 жыл бұрын
Yeah ni maneno yanayoonesha msisitizo, lugha ya picha namuelewa sana kzbin.info/www/bejne/qKPJmWusat2Ch7M
@hasijoh4805
@hasijoh4805 2 жыл бұрын
E bwana e mi sana uyu fa majibu yake sijui kwawengine
@nonstopafrica
@nonstopafrica 5 жыл бұрын
Comment ya 100
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 5 жыл бұрын
🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@NestadonNestadon
@NestadonNestadon 5 жыл бұрын
kwani hufanyi interview na diamond
@deebrown7908
@deebrown7908 5 жыл бұрын
I think Diamond he too busy
@sebariberio9621
@sebariberio9621 2 жыл бұрын
unyama
@idrisahamza1023
@idrisahamza1023 5 жыл бұрын
Umesahau amin
@KiooTvOnline
@KiooTvOnline 5 жыл бұрын
Ammygal stop looking @lilommy when u ask qns look at ur respondent
@abdulbakari4122
@abdulbakari4122 5 жыл бұрын
Falsafa za mwanafalsa fundi mashair ila jamaa unajua sn kuuliza maswal yaan wew bonge la mchunguz wa mashair ya binam yng.
@hammynassor3028
@hammynassor3028 5 жыл бұрын
FALSAFAAAAAAA
@mortishavida5170
@mortishavida5170 5 жыл бұрын
Falsafa maanake ni nini?
@mvungigaming
@mvungigaming 5 жыл бұрын
MwanaFA
@mrs2918
@mrs2918 5 жыл бұрын
@@mortishavida5170 mwana falsafa ni kirefu cha Mwana FA, moja ya majina anayojiita au aliyojiita
@andrewmejja6354
@andrewmejja6354 4 жыл бұрын
Hakuna MC mkali bongo land kama FA
Mwana FA - HAKUNA WIMBO UNAOWEZA KUFUNGIWA / NAWEZA KUWABANA
32:18
REARRAGE MY SITTING ROOM AND MORNINGS WITH ME 😘😘
3:42
JASINTA MAKWABE
Рет қаралды 593
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 58 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
MSASA PODCAST
Рет қаралды 59 М.
Salama Na Lil Ommy  Ep 1 | Air Tabora Part 1
27:23
YahStoneTown
Рет қаралды 131 М.
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 20 МЛН
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop time
0:32
dednahype
Рет қаралды 5 МЛН
I meet Mr.Beast
0:15
ARGEN
Рет қаралды 26 МЛН