Mwanafunzi Law School apinga uteuzi wa mkuu wa Chuo hicho kuwa Jaji, kufungua kesi ya Kikatiba

  Рет қаралды 7,172

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@RGM132
@RGM132 Жыл бұрын
Bro, tafuta chuo nje ya nchi ukamalize shule yako. Lakini hongera kwa uthubutu watanzania tuna la kujifunza kutoka kwako.
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 Жыл бұрын
Sahihi
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc Жыл бұрын
Mwanafunzi anamshitaki mwalimu wake.maajabu kweli
@lusajo
@lusajo Жыл бұрын
Mwanasheria unayeiishi sheria, Endelea kupambana Barunguza. Historia hutengenezwa na wenye uthubutu
@amosmahona433
@amosmahona433 Жыл бұрын
Aiseeee !!!
@Azikiwe-qi6jd
@Azikiwe-qi6jd 8 ай бұрын
Make no mistake, in this country hutokaaa umalize iyo law school, amini labda uende law school kenya lakini hapa forget it
@neyjohn923
@neyjohn923 Жыл бұрын
Njoo na hapa Juco kuna wengi wa kufunga
@neyjohn923
@neyjohn923 Жыл бұрын
Dah!br.umeupiga mwingi.ila tulia tuu
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Жыл бұрын
Angalau kuna chembechembe za uthubutu
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Tundu Junior
@denisyohana8104
@denisyohana8104 Жыл бұрын
👏👏
@success-only
@success-only Жыл бұрын
🤣🤣🤣 Jaji mwenyewe katoka pembe na Samia ni mpemba Kazi unayo Kaka ila ukishindwa kapige shule utatoboa
@Shammy-rn3tn
@Shammy-rn3tn Жыл бұрын
Sio kweli bro Dr. Ben Haji hatoki pemba
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 Жыл бұрын
Barunguza umejitahidi kuthubutu, sijawahi kusikia tangu nizaliwe mtu akapinga uteuzi wa Rais.
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Tatizo ni rais mzanzibar watanganyika wanakereka sana
@elishafiti1659
@elishafiti1659 Жыл бұрын
Anyway one day yes
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Muwe na uvumirivu mwaka huu tutaona mengi bona kipindi cha magu murikuwa kimia sasa nini muwe na uvumirivu kaka
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Ungekua awamu ile mkuu wachuo na huyu mwanafunz wangeon cha mtemakuni... Unachalenj rais
@abdumpunda4026
@abdumpunda4026 Жыл бұрын
Unataka muhuri my brother wakati hujafaulu hii nchi inakwenda wap?
@mayaally2512
@mayaally2512 Жыл бұрын
YAAN WEWE NCHI IACHE KUFANYA MAMBO YAKE ETI USUBIRIWE WEWE ? WATANZANIA WAKUPE USHIRIKIANO WA NN PAMBANA NA HALI YAKO
@deboramarwa6036
@deboramarwa6036 Жыл бұрын
Kaka kasome utafaulu acha majungu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Ndo hufeli hawa chuo chenyewe kigumu. Unapinga uteuzi wa Raisi
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Kesho utasikia kajinyonga jamani uyu kaka na wajua vijana wasasa jamani nakuwomba uwe mvumirivu soma kaka yani namanisha komaa kaka
@abdumpunda4026
@abdumpunda4026 Жыл бұрын
Acha majungu soma wewe utafaulu unaonekana utakuwa mwanasheria uchwara!
@Nabiikatakatatz
@Nabiikatakatatz Жыл бұрын
Hakika ushindi ni Shelia na Shelia ni mlango wa haki na haki uipate mala moja
@syliviakente9460
@syliviakente9460 Жыл бұрын
Sheria
@PascalFullgence-xh4dt
@PascalFullgence-xh4dt Жыл бұрын
Huyo mama hamefeli kudili na wafanyakazi yake sio rais mzuri wa watanzania kwanza kafeli kudili na walarushwa sasa hanamuongoza nani, kama kafeli na walarushwa sasa hanaweza nini
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 Жыл бұрын
Hakuna Rais iliyewahi kuwaweza walarushwa
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Muwe na uvumirivu mwaka huu tutaona mengi bona kipindi cha magu murikuwa kimia sasa nini muwe na uvumirivu kaka
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 4)
13:27
Steve Mweusi
Рет қаралды 2,3 МЛН
Nelson Mandela University Faculty of Law Moot Court Final 2017
15:40
Nelson Mandela University Faculty of Law
Рет қаралды 294 М.