Yesu Kristo ndiye njia ya kweli na uzima. Mungu anakupenda
@DavidKabati9 ай бұрын
Maudhui chanya yenye uhalisia, waigizaji waliovaa uhusika, hadithi nzuri fupi ijirudiayo katika maisha ya wanafunzi. Inaburudisha na kuelimisha kimaadili na kielimu (Hisabati) GOOD CONTENT. Niko tayari kuchangia kwa namna moja au nyingine...
@marcojibuta1621 Жыл бұрын
MwanFunzi ndevu kibao kama ostaz😂😂😂😂
@tato8979 Жыл бұрын
😂😂😂
@WeddyWeddy-vg1nr27 күн бұрын
Kwanii ķpara ni mwanafunzi jamani😊😊😊😊😅😅😅😅😅
@hilarymariki5696 Жыл бұрын
Daah eti vinajikutaga vibinti vya kusomaa mmepatia snaa kama shule kabsaa😂😂
@issaomari529711 ай бұрын
Huyo jamaa mwnyew ni mwal by professional
@simonandrew1489 Жыл бұрын
Mpo Vizur Big Up
@mughishajohn3287 Жыл бұрын
wanafunzi hai jameni nomas dana lakini hii nimzuli mnafundisha vitu ambao vip then hongera sana
@user-eb3sr5wi5v Жыл бұрын
Mamaaaaa eti huyu ni wakupiga ,kama tunapiga nyoka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mussaproduction6137 Жыл бұрын
msisikilize Koment zawatu mpo vizuri tunawakubali kama wao wanaona hamjui wafanye waoo nyie fanyeni kazi mpo vizuri
@sharifamahamudu182 Жыл бұрын
Uyo fundi vocha anatengeneza nn kwenye vocha jaman Khaa 😂😂😂😂😂😂ww kaka🙌
Jameni watanzania mtatuuwa wakenya na kicheko,acheni ujinga.
@jeanclaudenshimirimana750111 ай бұрын
ninzuri saana
@manisobblowi8894 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂aki nyny mtanimaliza jameni😂😂😂😂😂😂
@rahmah6635 Жыл бұрын
Mko sawakabisa
@user-js9vi3pv7o11 ай бұрын
Wapi wasomiii
@fubufilmskaliua11 ай бұрын
Jaman 😂😂😂😂😂😂😂😂
@soka_la_kulevya11 ай бұрын
Ester mchomeshaji😅
@user-ss5rm1ik9y Жыл бұрын
noma babu😅
@yusufumlawa-rq6lc9 ай бұрын
Huyu Fetty aolewe tu
@JonhNdege Жыл бұрын
Mko vizul sasa acheni kuweka pacha za watu kwenye kali zenu
@user-eb3sr5wi5v Жыл бұрын
Mapenzi mubashara,jamanieee eti shule hiyo😂😂😂😂😂😂❤
@UpendoIbamba-uk2hd Жыл бұрын
Oho love
@UpendoIbamba-uk2hd Жыл бұрын
Jamani toeni like hata moja tu
@meshackjackson28389 ай бұрын
Mswaki wa kigwendu uloisha
@eastermbiku2763 Жыл бұрын
JIFUNZENI KUIGIZA VIZURI ACHENI KUTUMIA SURA ZAWATU WENGINE HALAFU NYIE MNABORONGA MBONA MLIKUA MNAKUJA VIZURI TU PAMBANENI HATAWAO WALIANZA KAMA NYIE UBUNIFU ZIROO UWEZO ZIROOO KABISA
@iamFestanny-tz Жыл бұрын
Mbona binti waona Gere jameni
@AminaHemedi-kz7zt Жыл бұрын
Una pendezewa tyu kuekty mwalimu madevu
@denotheactor Жыл бұрын
Nimecheka Hadi nikapasua Simu ok Maggine
@personpeter2221 Жыл бұрын
Chiz wewe cyobre
@DanielChaula-ys9be10 ай бұрын
ASLAY
@denotheactor Жыл бұрын
Mmmm 🥰
@seanicemarion958410 ай бұрын
Walinu niwalewale
@najryaautbya2774 Жыл бұрын
❤❤❤
@user-ek2ex9ni2o Жыл бұрын
Hiyo swali si ni ya class 4
@niyonkuruChadrack-uh1wq10 ай бұрын
Hhhhhh😆😆😆
@rosemaryier Жыл бұрын
MIMI NISHABIKI YENU SAIVI HATA MKIZINGUA NAJUA NIBAHATI MBAYA LAKINI MNAJUA KUNIFURAHISHA NAWAPENDA
@yuui1878 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@believemwakasege70310 ай бұрын
Wabongo bhn......uhalisia....uhalisia....uhalisia hao wadada hizo nywele ni za wanafunzi was shule gan?????