TUNDU LISSU: NIMEPONA MUNGU NI MWEMA/KUMUAGA MKAPA KESHO

  Рет қаралды 12,996

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Makamu M/kiti Chadema Tundu Lissu amesema kuwa kwa sasa amepona na anamshukuru Mungu mara baada ya kuwasili Tanzania kutoka nchini Ubelgiji alipokuwa anapatiwa matibabu katika kipindi cha miaka mitatu baada ya kushambuliwa kwa risasi

Пікірлер: 72
@ritalisu455
@ritalisu455 4 жыл бұрын
Mungu walisu juuu
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 4 жыл бұрын
Tundu Lissu for President 2020. Asante Mungu kwa kumponya Tundu Lissu.
@salimmawiya6473
@salimmawiya6473 4 жыл бұрын
Pole sana Lisu kwa majaribu yaliyo kufika
@ritalisu455
@ritalisu455 4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@flaviankato1697
@flaviankato1697 4 жыл бұрын
Pole saaana tundu lissu
@michaelmahenyemuya164
@michaelmahenyemuya164 4 жыл бұрын
Ahsante mwenyezi mungu
@mozejcs9160
@mozejcs9160 4 жыл бұрын
Mzee baba anakuogopa sana!
@salummuhija4435
@salummuhija4435 4 жыл бұрын
Amuogope kwa lipi hasa
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 жыл бұрын
Itoshe kusema Mungu ni mwema Your the living miracles.🙏
@castromaro3103
@castromaro3103 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana lisu
@piuspuka5071
@piuspuka5071 4 жыл бұрын
Karibu nyumbani ndugu Tundu Lisu
@faustinepeter3139
@faustinepeter3139 4 жыл бұрын
Polesana baba
@ayubumgaya4131
@ayubumgaya4131 4 жыл бұрын
Asante ba2
@ferdinandmoshi9186
@ferdinandmoshi9186 4 жыл бұрын
Karibu sana kamanda na kipenzi cha wengi watanzania
@kelvntemu8317
@kelvntemu8317 4 жыл бұрын
MUNGU umejibu maombi yetu sana sana sifa na heshima ziikwako amina
@ulimwenguwamtwa6140
@ulimwenguwamtwa6140 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@nyambirotrueinformation7500
@nyambirotrueinformation7500 4 жыл бұрын
Pole Sana risu ndg yangu
@frankgibore9813
@frankgibore9813 4 жыл бұрын
Mungu anampango nawe,kazabutibaba
@arunamwaholi1351
@arunamwaholi1351 4 жыл бұрын
Daa hakuna kitu nimefrai km kumuona tundu lisu karudi akiwa hai na yuko fiti kwer mungu ni mwema sana
@ferdinandmoshi9186
@ferdinandmoshi9186 4 жыл бұрын
Hata mm na ni zaidi hasa kumuona Kamanda
@iddmohamed953
@iddmohamed953 4 жыл бұрын
kwenda kule kwani ww nani?
@ericeliudsimon3415
@ericeliudsimon3415 4 жыл бұрын
Achana na siasa ,,shughulikia vyuma ulivyonavyo mwilini mwako mzee
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
waliompga roho zinasuta sanaaaa
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 4 жыл бұрын
Amina, sote ni watanzania🇹🇿
@ritalisu455
@ritalisu455 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@hajimsangi959
@hajimsangi959 4 жыл бұрын
Mungu n Mwema SAn
@jordanmwenda1714
@jordanmwenda1714 4 жыл бұрын
Polesana lissu mungu nmwema
@filiberthkapembwa2227
@filiberthkapembwa2227 4 жыл бұрын
MUNGU ni mwema Sana hakika ukuu wake tumeuona kwako kiongozi CHADEMA.
@mangobase
@mangobase 4 жыл бұрын
Raisi wao...🤔mhn inabidi awe mwangalifu na maneno anger always is the window of evil
@mkizafelix8426
@mkizafelix8426 4 жыл бұрын
Asante sana muumba wa nchi na dunia.
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 4 жыл бұрын
acha kufuru
@mkizafelix8426
@mkizafelix8426 4 жыл бұрын
@@juliascherehani2330 Hii iko wazi kuwa mlikuwa na nia mbaya Mungu kawaumbua,aibu kwenu.
@emmanuelntwale7142
@emmanuelntwale7142 4 жыл бұрын
pole sana lisu
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 4 жыл бұрын
Mimi ningekushauri uachane na story za lisasi andaa sera juu najua chadema itakupitisha kugombea lakini ukizunguka na mfumo wa lisasi hutatoboa nndugu
@victorkumenyafilms716
@victorkumenyafilms716 4 жыл бұрын
Wewe kinakuuma nn akiongelea risasi??
@ankogeorge8972
@ankogeorge8972 4 жыл бұрын
Acha uongo
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 4 жыл бұрын
Kama ningepata nafasi ya kumshauri Tindu lissu nadhan kuna kitu cha kumshauri nin chakuongea nn chakunyamaza alafu apunguze mhemko
@gramsraymond4643
@gramsraymond4643 4 жыл бұрын
Wote ni watanzania kila mmoja anna haki kuishi na kkutoa hisia zake tuishi tu kw upendo hii ni nchi yetu wote
@kingkagusa8116
@kingkagusa8116 4 жыл бұрын
😓😓😢😢😢
@tecnonkwenda8240
@tecnonkwenda8240 4 жыл бұрын
Ifikapo 28/10/2020 kura yangu we chukua
@salummuhija4435
@salummuhija4435 4 жыл бұрын
Mwana kulitafuta, mwana kulipata
@musarichard2934
@musarichard2934 4 жыл бұрын
Empty headed
@gridkibanda2582
@gridkibanda2582 4 жыл бұрын
Lissu urais huwezi pata gombea kuongeza chachu ya ushindani na husiendeleze matusi ambayo ulimkashifu rais Magufuli uko nje serikali haitakufumbia macho
@ulafim2719
@ulafim2719 4 жыл бұрын
#mungunimwema #iposiku #tutaelewanatu
@ndeletwaswai3530
@ndeletwaswai3530 4 жыл бұрын
Magu chuma kimekuja hajafa bado hahhahaaha jaribio limeishia wapi baba????
@benedictkiteji5089
@benedictkiteji5089 4 жыл бұрын
Tukopamoja kiongozi Sitokufa balinitaishi.iliniyasimulie matendomakuu ya YAMUNGU
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 4 жыл бұрын
KARIBU HERO WETU SASA NDIOUWE NA KUONGOZA NCHI YETU NA KUWATOKOMEZA MADIKTETA WALE WALE MANYANI WENYE APODONIYA WATOKOMEZWEMBALO
@franklinmganga736
@franklinmganga736 4 жыл бұрын
kesho kamuage mkapa 😂
@josej9888
@josej9888 4 жыл бұрын
Kila jambo lina wakati wake.
@Hopestone_counselling_point.
@Hopestone_counselling_point. 4 жыл бұрын
Hiyo ndo ofisi ya makao makuu ya chama eh
@masala8099
@masala8099 4 жыл бұрын
Ulitakaje shoga ww
@Hopestone_counselling_point.
@Hopestone_counselling_point. 4 жыл бұрын
@@masala8099 👍 sinaga Kasumba ya kujibizana na wapumbavu
@hemedtimbulo9545
@hemedtimbulo9545 4 жыл бұрын
Bongo bana hatari hivi alipigwa na Smg ama na manati watanzania akili zetu muhim Sana juu ya huyu mtu
@benedictkiteji5089
@benedictkiteji5089 4 жыл бұрын
Minafikili ingekuvema kama ungemuuliza mamayako mzazi angekujibu
@husseinmillinga1920
@husseinmillinga1920 4 жыл бұрын
Hemed inawezekana ukawa ninmchawi
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
Mimi ni MLUTHERI na wala sitetereki wala kuhofia kitu. Lakini tunavyoendeshwa na hii serikali chafu ya kiBaguzi ya ccm ni UONEVU mkubwa wa haki za raia. Serikali ya ccm ya KIKATOLIKI ndio iliochukua Utawala baada tu ya uhuru ( uhuru wa bendera ) hadi ivi sasa ccm ya KIKATOLIKI wanaendelea kutawala inchi. Hakukuwepo wala musitegemee kuwepo na Raisi kutoka dhehebu jengine inchini Tanzania. Ata hao waislamu ni mizuzu tu isiojitambua hadi Leo hii. Wengi ndio waliopigania uhuru. Wengi ndio waliouwawa kwenye mapambano. Lakini wengi wao ivi sasa wanatumika kwa ajili ya KURA. idadi yao ni kubwa kwenye visanduku. Kwavile wanajulikana ni Maboya tu. Akili hakuna na Elimu hakuna. Tunaelewa agenda ya serikali ya ccm tokea ianzishwe ni KUWAWEKA WAKATOLIKI INCHINI NAFASI ZA JUU KATIKA KILA MAENEO. JESHINI. POLISH. MAGEREZA. WIZARANI.IDARANI. VYUONI. MAENEO NYETI YA IKULU . MAENEO NYETI YA UCHUMI. MAENEO NYETI YA MIHELA . Uyo aliefariki tunamjua ni mtu aliekuwa akiendeleza na kusimamia AGENDA na MAAZIMIO ya Mzee kambarage. Hatushangazwi kuona mazishi yake yakigarimu maBilioni ya hela za inchi katika kipindi ichi kigumu cha UCHUMI . Embu tusubiri mazishi ya Mzee ruhsa watamfanyia nini ^^^ ccm ni chama cha WAKATOLIKI ..kimeasisiwa kwa malengo malumu. Wapumbavu na Wajinga wataendelea tu kukipigia kura ili wapate kofia na sh 20, 000 .huku wakiendelea kula dagaa wakavu na sembe. Nguo zao viraka vitupu. Elimu kwao inaishia darasa la saba. Ili awe tu mjinga Asione mbele. Hakuna MLUTHERI aliepo ccm ila atakuwa zezeta hilo. Gfdfg
@zegelibilishanga4761
@zegelibilishanga4761 4 жыл бұрын
Ww Amos ni shoga ndy sera ya walioasi ukatoriki ,uliyojaza kichwani mwako ndyo aliyotokanayo maitin Rusa ,ila kwakuwa hujui ulisemalo tutaendelea kukuombea,Mungu akutangulie
@Hopestone_counselling_point.
@Hopestone_counselling_point. 4 жыл бұрын
Endeleza porojo utakipata unachokitafuta
@amryjuniorjr.9180
@amryjuniorjr.9180 4 жыл бұрын
Unafurahia Mtanzania mwenzako kuupata tabu hivo kisa itikadi za siasa uliyo nayo? Na bado unathibitisha ubaya kwa kusema hvo kuwa atakipata!...duuh unasikitisha kijana
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Usalama wa nchi yetu na ulinzi wa rasilimali zetu ni muhimu sanaaa kuliko tumbo na maslahi ya mtu mmoja..
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 4 жыл бұрын
tumechoka sana kila siku lisas nimegwa kwa ujinga wako
@lookfornews6161
@lookfornews6161 4 жыл бұрын
@mimi ni ccm ila xo kwa kiwango chako cha kutojali imani ya ccm ya kuheshimu utu,hapa tunasikitikia utu wa tundu lissu
@salmaayub61
@salmaayub61 4 жыл бұрын
WEWE ACHA USHAMBA MAGUFULI TUNAMKUBALI SANA USIZANI KAMA UTAPATA KITU KWA SABABU UMETUKANA SANA NCHI YETU HAUNA MAANA KABISA WEWE .
@Tiffany340
@Tiffany340 4 жыл бұрын
Na umeona mabadiliko makubwa kwenu.. chezea Tanzania 🇹🇿 Sasa baba ni ya magufuli babaa
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 4 жыл бұрын
ss unatafuta uruma za wanchi aupati
@frankndabila1726
@frankndabila1726 4 жыл бұрын
Pumbavu we umeichafua nchi yetu uko leo eti nimerud nyumban si ungekaa ukouko
@joramzosi4774
@joramzosi4774 4 жыл бұрын
Wee shika adabu yako!! Matusi ya nini?
@lookfornews6161
@lookfornews6161 4 жыл бұрын
hawa ni ccm wenzangu akili zao ni za kijinga
@nyambirotrueinformation7500
@nyambirotrueinformation7500 4 жыл бұрын
Matusi sio pow ndg yangu Kwa maongezi haya watanzania Tunasikiliza kwa umakini Sana Sana lkn tunazidi kumuunga mkono Mh Magufuri
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 105 М.
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 24 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 21 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 55 МЛН
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 13 М.
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
Why Turkey Has Finally Had Enough of Erdogan
9:48
TLDR News Global
Рет қаралды 256 М.
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 24 МЛН