MWABUKUSI KIBOKO AMVAA RAIS SAMIA USO KWA USO "WATU WANATEKWA NA KUUAWA NA KESI HAZIELEWEKI

  Рет қаралды 190,810

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

MWABUKUSI KIBOKO AMVAA RAIS SAMIA USO KWA USO "WATU WANATEKWA NA KUUAWA NA KESI HAZIELEWEKI"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер: 393
@DavidpaulWideworld-p4c
@DavidpaulWideworld-p4c 6 күн бұрын
Mwabukusi you're so very blessed kwa kuanza na kutambua uwepo wa Mungu na sio Kila shukurani kwa Samia kama ilivyozoeleka. I respect ❤❤❤❤❤
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 6 күн бұрын
Leo mh Mwabukusi nimependa speech yako well balanced
@ZiggysebahZiggysebah
@ZiggysebahZiggysebah 6 күн бұрын
Huyu Mwambukusi ni tunu ktk taifa la Tanzania. Mungu Aendelee kumwongoza na kumpigania ktk utendaji wake.watu kama hawa ni wachache.tumwombee daima
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp 5 күн бұрын
Hongera sana mh. Mwabukusi UMEONESHA UMAHILI WAKO. MUNGU WETU WA HAKI AKUTANGULIE KATIKA MAPITO YAKO. HAKIKA UNASTAHILI KUWA RAIS .LINDA RASLIMALI ZA TANGANYIKA. ((WAPENDA DHURUMA WOTE NJIA ZAO Z IWE GIZA NA UTELEZI)))
@majigeedward955
@majigeedward955 6 күн бұрын
Hawa ndio viongozi wanaofaa kuiongoza nchi hiii,,,hongera sanaa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 күн бұрын
Wachache ndio wanaelewa hayo uyaonayo.
@laninjeje8290
@laninjeje8290 2 күн бұрын
Labda kuongoza nchi ya tukuyu na wanyakyusa wote kwa ujumla😂
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 20 сағат бұрын
Kabisa.tuna watu wengi wazuri,nje ya ccm, basi tu.lakini,lingalipo Tumaini.
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 20 сағат бұрын
​@@laninjeje8290Tatizo bado ni kubwa sana,nchi hii,sijui ni tumbo,au mizimu?
@greenngusa872
@greenngusa872 5 күн бұрын
Hongera sana Wakili msomi Mwabukusi kwa hotuba nzuri.
@Facilitator-Reeves
@Facilitator-Reeves 5 күн бұрын
Excellent! Mwambukusi ni Kiongozi👋👋👋
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 6 күн бұрын
VIVA B. Mwabukusi , huyu ndiyo rais wa TLS.umetisha sana🎉
@SalumRwambo
@SalumRwambo 5 күн бұрын
Daah huyu kaka anaongea kisomi hongera broo
@ExodusMarcStanley
@ExodusMarcStanley 5 күн бұрын
Kwanza kabisa nimshukuru mama. Mwabukusi hapigi hiyo wa kwanza ni Mungu
@PherollanceErnest
@PherollanceErnest 5 күн бұрын
Genius,stay blessed.
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 20 сағат бұрын
Surely!
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 5 күн бұрын
Congratulations sana B. Mwabugusi mwanaharakati mwema sana TLS
@DenissJulius
@DenissJulius 5 күн бұрын
Tanzania tuna vichwa ila bc tu,vinaharibiwa na wanao jifanya nchi ya kwao peke yao,
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 20 сағат бұрын
Aisee,lakini lipo tumaini la kutumia Elimu za wasomi wetu wazuri.
@yonahabel2737
@yonahabel2737 5 күн бұрын
Great and ambitious speech, may God bless you.
@davidwambura5915
@davidwambura5915 5 күн бұрын
Hongera kwa hotuba nzuri iliyojitosheleza
@echizua606
@echizua606 5 күн бұрын
Good speech
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 5 күн бұрын
Viva mwabukusi I appreciate you✍️
@MaryFeeso
@MaryFeeso 6 күн бұрын
Safiii sana Salam zimemfikia
@YusuphJkitia
@YusuphJkitia 6 күн бұрын
Huyu mwabukusi cheo kinachomfaa pekee ni urais
@laninjeje8290
@laninjeje8290 2 күн бұрын
Rais wa tukuyu 😂😂
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 20 сағат бұрын
Sawa kabisa.tatizo ni urasimu na mizimu ya nchi hii.
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 5 күн бұрын
Hongera sana wakili Mwabukusi
@kheriakida3309
@kheriakida3309 5 күн бұрын
Yahh mwambukusi Hongera sana sana,Umenyooka vizuri mno
@kaundavyoseena6514
@kaundavyoseena6514 4 күн бұрын
Wewe jembe bro. Composure, confidence and message well delivered. Keep on Hon Mwabukusi.
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 5 күн бұрын
Yuko vzuri mwamba
@jumamkwanda8031
@jumamkwanda8031 5 күн бұрын
Miongoni mwa Mawakili Bora kabisa Tz, Mungu akupe Umri mrefu wa Tz tufaidike na uduma zako
@chrissviyenja7105
@chrissviyenja7105 5 күн бұрын
hongera sana kaka
@edivithamachumu6751
@edivithamachumu6751 5 күн бұрын
Hongera President Mwabukusi
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 3 күн бұрын
Mwabukusi unafaa kuwa kiongozi mkuu hapa Tanzania pokeaa mauwa yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@emmanuelmziray1073
@emmanuelmziray1073 6 күн бұрын
Kudos
@ZuzuTheGreat-e8d
@ZuzuTheGreat-e8d 6 күн бұрын
Mungu akubaliki Sana mwabukusi mbeya home watatumaliza ccm
@slymsameer5415
@slymsameer5415 4 күн бұрын
Shida unatia na ukabila sasa
@josephminja7953
@josephminja7953 4 күн бұрын
Nimzungumzaji mzuri ana hoja zaweled❤
@fidelonesmo7465
@fidelonesmo7465 6 күн бұрын
Hapo kwenye vifurushi mwabukusi Mungu akulinde kwa kulisemea Hilo na tunaomba usiishie hapo ufatilie zaidi
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 5 күн бұрын
Kweli Bonifas Mwabukusi ujasiri na ukweli umekufikisha pazuri Mungu akutunze
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 5 күн бұрын
Mwabukusi strong uko vizuri sana Na unajua unachoongea stay blessed
@VolvoMwamakula-ci2we
@VolvoMwamakula-ci2we 5 күн бұрын
Bro mwabukusi ujawai kushindwa kuwakilisha jambo juu yetu wananchi au juu ya taifa letu ❤
@SamsonMolly-h3v
@SamsonMolly-h3v 5 күн бұрын
Iyo ndio ukweli mtupu 🎉🎉🎉
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 5 күн бұрын
Upo sahihi broo
@rithaurassa
@rithaurassa 5 күн бұрын
Daaah hizi comments mbona kama huyu mwamba anatisha sana sii kwakumimina 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ hivyo jaman ila yuko zaidi yetu amtiae nguvu zaid yetu tena MUNGU.
@HassanSaburi-ge6ej
@HassanSaburi-ge6ej 6 күн бұрын
Hotuba nzuri sana imepenya Kila Kona safi mwabukusi
@LaurentMagesa-iv5yt
@LaurentMagesa-iv5yt 6 күн бұрын
Hongereni viongozi wetu mungu awape hekima nying mnapowatumikia wananchi wenu
@frankgama1374
@frankgama1374 5 күн бұрын
Hongera sana kwa uwakilishi mzuri kwa Kiongozi wetu wa Nchi @Mh. Rais wetu Mama SHH , na huo Ufafanuzi ndiyo unatatakiwa haswa kwa Jamii yetu. Viva rais wa TLS .😊
@OlopiroMollel-p3e
@OlopiroMollel-p3e 5 күн бұрын
Hongera mwamba mwabukusi wakili machachariyi
@EliaHiluka
@EliaHiluka 5 күн бұрын
Hongera sana mwabukusi wewe ni jiwe na mkweli mpenda haki Mungu Yuko upande wako watanzania wanaimani na uongozi wako
@EdwardMasalu-fk5se
@EdwardMasalu-fk5se 4 күн бұрын
Safi sana mungu akubariki,Jitahidini kuishauli serikali
@samwelmollel5934
@samwelmollel5934 4 күн бұрын
Hongera sana Mhe Mwabukùsi kuwakilisha vema na viwañgo TLS.
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 5 күн бұрын
Great!... 🎉🎉
@hekimaoscar6527
@hekimaoscar6527 4 күн бұрын
Kama utakuja kugombea ulaisi tz unakura 2 yangu na mama watoto wangu God bless you m.k
@marymremi1051
@marymremi1051 6 күн бұрын
Naipenda tanzania yangu na viongozi wake maana hapa ni kwangu na vizazi vyangu nawaombea viongozi na taifa langu Mungu ibariki tanzania na watu wake amen
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 6 күн бұрын
Unaumwa kapikie watoto
@hakizawasaniinaceleales6238
@hakizawasaniinaceleales6238 6 күн бұрын
Sasa hapo kakosea wapi😂😂😂😂​@@JohnJoseph-qq7ow
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 6 күн бұрын
Haupo sawa
@shinipapaya846
@shinipapaya846 5 күн бұрын
​@@JohnJoseph-qq7owsasa anaumwa nn kuma yako matakoni 🤣
@shinipapaya846
@shinipapaya846 5 күн бұрын
​@@GraceDeo-g1nyupo sawa mwezio shida ipo kwako na hizo jinsia zako mbili 🤣🤣
@BinKhatib-o8i
@BinKhatib-o8i 5 күн бұрын
Hoja nzuri,imebeba mambo ya msingi HONGERA sana
@DausonShensherwa
@DausonShensherwa 6 күн бұрын
Mh mwabukusi mungu akubaliki tunataka viongozi kama wewe si bora kiongozi kama ware tuliowazoea
@onesmomahenge9025
@onesmomahenge9025 5 күн бұрын
Vitu vya tunu ya Taifa, dhahabu iliyojificha. Hongera sana Mwamba
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 3 күн бұрын
Akili mingi MH.MWAMBUGUSI songa mbele kama ulivyo mtanguliza mwenyezi Mungu 🙏🏼
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 5 күн бұрын
Mwabukusi you have blessed brother, smart brain with full confidence 🎉
@batwelamon8213
@batwelamon8213 5 күн бұрын
Safi sana mwabukusi
@IssaRwechungura
@IssaRwechungura Күн бұрын
A highly calculated Impartial professional SPEECH.!! Profession plus TALENT coupled with valuable Practical EXPERIENCE. You deserve PRAISE.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 5 күн бұрын
Mwabukusi kiongozi makini na mzalendo wa kweli! Hotuba yako ni nzuri na ushauri wako kwa mhe.Rais ni mzuri sana. Sasa je hayo uliyoyazungumza yatafanyiwa kazi??? Au mkitawanyika hapo ndiyo yabakia hapo hapo??? Mungu akulinde daima, Ameni.
@qwertqwerty1239
@qwertqwerty1239 5 күн бұрын
Mnayo yajadili kwenye vikao vyenu mnayafanyia kaz 😂😂😂😂
@willymgaya7618
@willymgaya7618 6 күн бұрын
MH.MWAMBUKUSI , HONGERA SANA KWA UNAYONENA,YAKITEKELEZWA, NCHI ITAKAA VIZURI.
@joshuamatagane
@joshuamatagane 5 күн бұрын
Wako wapi Wasomi wenye akili kama huyu hapa nchini??? Kudos my shem, B.M
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 6 күн бұрын
Hongera Sana mwabukusi kwa ushauri wako mzuri kwa mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 6 күн бұрын
Mpendwa kwako kwetu samia ni shetani hatumtaki hata kwa bahati mbaya MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI atusaidie sana samia atoke madarakani
@deluxermahyono5290
@deluxermahyono5290 5 күн бұрын
Kwani huyo Mwambukusi sio Muheshimiwa?
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 5 күн бұрын
@@JohnJoseph-qq7ow unateseka ukiwa wapi wewe choko?
@shufaamnyoty5626
@shufaamnyoty5626 5 күн бұрын
Kwenu na nani?​@@deluxermahyono5290
@Kutaila99
@Kutaila99 4 күн бұрын
Na bado mtaweweseka sana Samia ndo huyo 5 tena yaan had mseme
@drancko
@drancko 5 күн бұрын
Huyu mwamba me namuona magu kwa mbalii sijui nyie jamna
@OnestiMuzyenge-j5t
@OnestiMuzyenge-j5t 6 күн бұрын
Hongera kwa speech nzuri lakin shida iliyoko TANZANIA tunaishia kusema maneno mazuri na sio vitendo tutambue NCHI saiv imejaa wasomi kila kitu kinachoendelea wanajua.
@damianmcba9525
@damianmcba9525 4 күн бұрын
Km ujuhi wanachofanya TLS chini ya uongozi wake hasa vijijini huko, basi utazani maneno mazuri tu,, hapo anawakilisha kwa raisi jinsi ambavyo bado wanahitaji msaada ili kuendelea kutoa huduma kwa wananchi wasio na uwezo wa kumlipa mwanasheria kipindi wana matatizo
@SaidiSwaleh-ex9nn
@SaidiSwaleh-ex9nn Күн бұрын
mungu akubariki mkuu
@denisshimela169
@denisshimela169 6 күн бұрын
Vivaaa mwambukusi
@allynguza-dr4gi
@allynguza-dr4gi 5 күн бұрын
Jamaa anamuita muheshimiwa au mgeni rasmi ingekua machawa wengine muda wote Dr samia dr samia
@festokemibala5832
@festokemibala5832 5 күн бұрын
Hawajui namna hotuba au taarifa zinavyotakiwa kusomwa au kuwasilishwa!!
@AwardHakimu
@AwardHakimu 4 күн бұрын
😂na hii nchi Ina machawa wengi
@RahimMagulati
@RahimMagulati 5 күн бұрын
Bonge la speech🔥
@DenisHassan-b5x
@DenisHassan-b5x 6 күн бұрын
Yote kwa yote ni kumuombea maana hii nchi ngumu sana
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe 5 күн бұрын
Kweli kabisa
@denischarles8117
@denischarles8117 Күн бұрын
Hotuba nzuri sana kutoka kwa Rais wa TLS
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 5 күн бұрын
UKO VIZURI mwabukusi umebalance LAKINI umefikisha UJUMBE
@AwardHakimu
@AwardHakimu 4 күн бұрын
Kumbe umegundua amebalance lakini ujumbe umefika akili izo
@christophermboya7676
@christophermboya7676 5 күн бұрын
Anafaaa kuwa Rais wa Nchi
@FestoLalata
@FestoLalata 6 күн бұрын
Mungu ibariki Tanzania ili kila mtu ajue kutenda haki hasa wale walio kwenye nafasi za kisheria na kiserikali
@JohnDaniel-q2h
@JohnDaniel-q2h 5 күн бұрын
Hakika kamanda mwabukusii nimekwelewa sana
@anthonyluhumbika4693
@anthonyluhumbika4693 3 күн бұрын
Be blessed Mwabukuso
@EdwiniOsward
@EdwiniOsward 6 күн бұрын
Viva mwabukusi
@ecabelmwai3474
@ecabelmwai3474 5 күн бұрын
This man is a genius
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 6 күн бұрын
Hekima kubwa sana
@mikidadikiga90
@mikidadikiga90 5 күн бұрын
Daah ❤❤ nimependa
@akeloonyango1987
@akeloonyango1987 5 күн бұрын
Very well
@HumphreyNkya
@HumphreyNkya 6 күн бұрын
Hawa ndio tunawaitaji ndani ya hii nnchi
@peacemwesiga
@peacemwesiga 5 күн бұрын
Mwabukusi❤❤❤❤❤❤❤❤
@raphaelmvukiye1938
@raphaelmvukiye1938 5 күн бұрын
Hongera kwa hotuba nzuri sana
@AlexMshota
@AlexMshota 5 күн бұрын
Nchi ni yetu sote tuijenge kwa Kushirikiana hongera kwa MH Rais Samia na viongozi wote wa Tls
@BintSwai
@BintSwai 3 күн бұрын
Msomi wa Sheria wa Hali ya juu🎉
@King_186
@King_186 5 күн бұрын
Mwabukusi ni kiongozi mzalendo mpigania haki,,na ni moja ya watu muhimu kusaidia hili taifa
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 6 күн бұрын
safi sana kijana
@jastinefaustin9982
@jastinefaustin9982 5 күн бұрын
Jembe
@FadhiliSaidi-s8q
@FadhiliSaidi-s8q 4 күн бұрын
Tumuombe mungu atuletee wa2 wa namna ii kua viongoz wakubwa wa nchi yetu
@JamesNzunda-x1g
@JamesNzunda-x1g 5 күн бұрын
Here we go mwabukusi rais wtu
@anosiata8242
@anosiata8242 6 күн бұрын
Safi sana wakili Mwambukusi hotuba nzuri sana mungu akutunze.
@JemisLaizar
@JemisLaizar 5 күн бұрын
Safi.san mwambukusi kweli unajaribu kuwaambie lakini hii inchi yetu inaleta changamoto
@RukizaClavery
@RukizaClavery 5 күн бұрын
Aisee
@AgabaLufulani
@AgabaLufulani 6 күн бұрын
Hongera sana Mwabukusi kwa mchango wako wa ushauri mzuri
@bellashafta
@bellashafta 5 күн бұрын
Yaani lazima mama akuite urudie hii hotuba. Wote kimyaaa. Mama anakusikiliza kwa makini sana.
@MiriamAbdala-q8f
@MiriamAbdala-q8f 5 күн бұрын
Haliwezi hili
@priscamwakatobe1070
@priscamwakatobe1070 5 күн бұрын
Mungu akulinde kaka
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 5 күн бұрын
Mungu atusaidie!!!
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 5 күн бұрын
Mheshimiwa Raisi watu kama Mwabukusi apate nafas hata ya uwaziri mkuu
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 6 күн бұрын
Mwabukusi mtu wa maana sana pamoja na TUNDU LISU MUNGU ATUSAIDIE SAMIA ATOKE MADARAKANI
@EmmaroseJoseph
@EmmaroseJoseph 5 күн бұрын
Big up Mwabukusi kwenye raslimali umenifurasha sana
@DeusMbalamwezi
@DeusMbalamwezi 2 күн бұрын
Saf❤🎉
@MasdoniusRwiza
@MasdoniusRwiza Күн бұрын
Kaka mwabukusi tunaokuerewa niwengi sana enderea kututetea wananchi wa Tanzania mungu akusogezee nafasi kubwa zaidi ya hiyo ili utusogeze mble zaidi
@estomiailomo7844
@estomiailomo7844 4 күн бұрын
Sina neno zaidi ya kusema wewe ni mtetezi wetu mungu akutunze na ungefungua na chuo cha kuwafundisha vijana ili tupate watu wenye uchungu na inchi yetu kwenye mali
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 5 күн бұрын
Awa ndio viongozii ndio tunao wataka mungu msimamie mwabukusi tuvushee
Balozi Liberata Mulamula: Chanzo cha Mgogoro wa Congo (Part 1)
26:10
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
VIDEO MPYA IMEVUJAAA: Huyu hapa, Aliyempiga Lissu RISASI!!
20:09
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 6 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН