No video

Sheikh Nurdin Kishki I Mwanamke anaweza kujivua katika ndoa yake (Talaka) - Eda yake ni muda gani?

  Рет қаралды 14,027

cupping expert cupping

cupping expert cupping

Жыл бұрын

Пікірлер: 14
@user-gs7gm8ry9c
@user-gs7gm8ry9c 2 ай бұрын
Daah alhamdulillah nimejaribu sn kusema hivi Ila Hadi wazazi wananichukia kisa nadai talak kisa mume wameniozesha kwa kumpenda wao mm simpend ata kumuona namuona km mtu to wakawaida
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 7 ай бұрын
Barakh Allah fikh wa jazakh Allah Khair
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 6 ай бұрын
nakukubali shekh kwasasa umeacha kuwafarakanisha waislam Allah aendaelee kukuingoza inshallah
@AishaJudy-bu3ug
@AishaJudy-bu3ug 11 ай бұрын
Kishky tufafanulie sasa hii kali aty ukiota kama mko katika sherehe mnapika nyama Kisha mnakula aty we mchawi na ujui😢
@user-vg6gp3bz1f
@user-vg6gp3bz1f 10 ай бұрын
Jazaakallahu khayr🤝
@maase2023
@maase2023 10 ай бұрын
Na nyie sio kila jambo mnaunga mkono mbn hamtafuti ukweli wake? Mijitu mingine ovyoooo
@FatumaAbdilrahman
@FatumaAbdilrahman 6 ай бұрын
Assalam aleykum, Sheikh wangu nimepata somo.nilinalonigusa, mimi nimemkinai mume wangu, juu ya ulevi na kunidanganya ameslimu wakati haswali, anakunywa pombe, anakula nguruwe, na hata ukipiga simu muito wake ni kwaya, lakini hataki kuniacha, nimerudi kwetu niende wapi nijivue katika hii ndoa? Pia hata mahali hakunilipa tulidanganya katoa nusu, hata robo hakutoa.
@hashirsuleyman
@hashirsuleyman 3 ай бұрын
Fatma
@hashirsuleyman
@hashirsuleyman 3 ай бұрын
www.youtube.com/@hashirsuleyman
@RukiaAliy-xg6ok
@RukiaAliy-xg6ok 2 күн бұрын
Dada fatma . nend mahakama ya kiislam kwan wapi mashehe maalum kwa ajil ya kuskilz kes k.izo na kuzitolea hukumu . inshallh mungu atakusaidi
@maase2023
@maase2023 10 ай бұрын
Hawa ndio wanaohamasisha wanawake kujiachisha na dhamira yao watu hawa hatujui ni nn au ni elimu ndogo inayowasumbua na kupoteza umma mkubwa
@user-jt5cg5nq2d
@user-jt5cg5nq2d 6 ай бұрын
Siyo elim ndogo nisahih Kam hampendi Tena siatazin na anae mpenda bol kujivua
@maase2023
@maase2023 6 ай бұрын
@@user-jt5cg5nq2d kwa wanawake usaliti na uzinifu ni kawaida kwao hawajali kama yupo kwa ndoa au la
@maase2023
@maase2023 10 ай бұрын
Haya na huyu mwingine kazi kuongelea mitalaka tuuuu huku waislam wenzetu wanauwawa na wamekaa kimya tu kuongelea fatwa za talaka ambazo pia hawajui
#LIVE: JE, MKE NA MUME WAKITENGANA KWA MUDA MREFU NI TALAKA? - FADHAKKIR
46:14
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,6 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
SABABU YAKUOMBA TALAKA
8:05
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 12 М.
KUMREGELEA MKE KATIKA EDA
22:42
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 10 М.
NDOA HIZI HAZIKUBALIKI
15:49
Kishki Online TV
Рет қаралды 193 М.
KUJIVUA MWANAMKE KATIKA NDOA NA RAI ZA WANAVYUONI-USTADH HUDHEIFA
23:15
USTADH HUDHEIFA
Рет қаралды 3,3 М.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,6 МЛН