Ukisikia neno mwanamke upande wa kushoto tafadhali pita kulia
@jackobuna43856 ай бұрын
Hapo kweli, kweli wamaanisha
@menaatz7 ай бұрын
Pamojaaa boss
@KILESHOJNR.0017 ай бұрын
Super Director Kakoso
@muhamadmachude7 ай бұрын
leo wakwaza kutoka mozamique naombeni like zango
@Dorcaskw7 ай бұрын
😂😂 kipara kizungu si mdomo yako😂😂😂😂
@gabrielmnangala78227 ай бұрын
Mwasi kafungasha aiseee
@SophieAbel-vu6hv7 ай бұрын
Daaaaaah imeisha naomba iendelee
@fhugghi41097 ай бұрын
Kazi nzur 🔥🔥🔥
@SaidiAbdallah-nd2wm6 ай бұрын
Wow the final is already here.... Its amazing
@damasmayanja29307 ай бұрын
THE SUPER GENIUOS DIRECTOR KAKOSO
@SaidiAbdallah-nd2wm6 ай бұрын
Amazing words from chibu
@KILESHOJNR.0017 ай бұрын
Napenda sana hii movie
@salummsabaha74297 ай бұрын
Ila kakoso wa kike ana mshep hatar
@SaidiAbdallah-nd2wm6 ай бұрын
Kakoso the super director
@RehemaSalim-d3g7 ай бұрын
Mwasi.mashallah,❤❤❤❤❤❤
@gabrielmnangala78227 ай бұрын
Kipara na hcho kiingerz hahaha
@Aswan-f8r7 ай бұрын
Much love from Kenya guys like back❤😂
@BaruMasimango-zo2se7 ай бұрын
Kakoso tunakukubali saana apa congo
@aishaomar22877 ай бұрын
Kipara sijapendraaa,ati mwanamke ndie mtu pekee alikutana na shetani! Aaaweeeeh
@jackobuna43857 ай бұрын
Mwasi yuapiga shughuli vizuri sana
@Lastybonyshoka7 ай бұрын
Asnte Director kakoso kwa kutumalizia kazi ila tuna subiri series nyengine❤❤❤
@umaima11787 ай бұрын
Kakoso🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@kakosobrand7 ай бұрын
Super Director
@asiansky97676 ай бұрын
Khaa hii ni 🔥🔥🔥
@جونفيرالبروندي7 ай бұрын
Ulikawiza sana
@OfficialAggy-p1k6 ай бұрын
Kazi nzuri japo episode ya mwisho umechelew
@rajabummeoramsey7 ай бұрын
Kwemye umaliziaji kakoso angeonekana ingenoga zaidi...!! Au alie malizia angesema Ushahidi wote nimeutoa kwa Kakoso licha linafaamika hilo. Anyway big up sana Bonge moja la idea + Actions
@gabrielmnangala78227 ай бұрын
Kakoso eeenh ulisem uwa unafuatlia comment zetu me nipende kuwapongeza kwa kaz nzr but dah uyu Sandra pisi aiseee
@directorkakoso6 ай бұрын
😅
@Mwinyi_yanga7 ай бұрын
Sandraaaa🎉🎉🎉
@majaliwaking45007 ай бұрын
Kingereza cha kipara haha duh
@OfficielBig277 ай бұрын
Wakwaza jameni
@Alimusamusa-wd6jx7 ай бұрын
kakoso kazinzuri
@hafsaabdallah19354 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri
@husnaabdullah30097 ай бұрын
Sante Sana ila nilisha isahau
@RomainMaki-mb5uu6 ай бұрын
This Mr ROMAIN from DRC, nice Job
@felixnelsen37776 ай бұрын
From kenya eko bwana direkta👊
@joefilmcompletenfrancais24907 ай бұрын
wakwaza leo kutuka conco nipeni like❤❤❤❤ zangu sasa
@ANNAMdttz7 ай бұрын
Xo xiri nkimwona kipara nakumbuka umbea wake tu
@fatumajuma93886 ай бұрын
Leten season 2 ya hii movie plz 😢😢much love from 🇰🇪💗
@SaidiAbdallah-nd2wm6 ай бұрын
We missed this episode
@paternesonofgod7 ай бұрын
❤🇧🇮🔥🇧🇮🔥🇧🇮🇹🇿❤
@GHgh-hq3zj7 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤
@SarahWanyonyi-dz6hq6 ай бұрын
Kakoso wa snake boy Leo amengara 😂😂😂😂😂🤔
@fathmakajo26627 ай бұрын
Maskini jaden
@HabibaKassim-ot3jg6 ай бұрын
Mimi nimempenda zungu kwa sababu katoka dar😂😂
@JoramXbbg6 ай бұрын
Mwasi unajua kuingiza
@Jozfin22Jooozzfin7 ай бұрын
❤❤❤❤
@Supershopdubai-ck8td6 ай бұрын
Wangu sandra pamoja San
@KamalHassan-jp6kn6 ай бұрын
Kafanana na ndauka
@hamzaamry62517 ай бұрын
Ila kipara inaonekana anatabia ya umbea umbea mbali na move ukiskia kiingereza chake bas unajua ni mbea mbea
@AgnesMasoud6 ай бұрын
😂😂😂😂😂all in Oro just do it 😅😅😅😅 kipara umeshinda
@theophilwhiteheart19976 ай бұрын
😢😢😢ndio mwisho
@luckylucky71537 ай бұрын
Mashallah
@BillyPeter-pl9je6 ай бұрын
Kipara Na kizungu🤣🤣🤣💔
@jeskaoscar94236 ай бұрын
SEMA sadra na mwasi nindugu mbona wanafanana san
@Mpakauseme7 ай бұрын
Kipara endeleza huo mtindo wako wakingereza cha uwongo na hiyo I'm sorry ifanye zaidi itakuwa icon yako ukiachana na sina tabia za umbea umbe
@SalimSadiq-p4s7 ай бұрын
5
@KishepPambe6 ай бұрын
Sasa mbona hamjatuonesha Sandra kauwaje na wamejuaje