MWANAMKE (1)

  Рет қаралды 55,760

DIRECTOR KAKOSO

DIRECTOR KAKOSO

Күн бұрын

Пікірлер: 162
@KIPARABRAND
@KIPARABRAND 9 ай бұрын
Kazi mzuri sana kaka
@barakamwasi7442
@barakamwasi7442 9 ай бұрын
🎉
@BiesAgostinhoBiesAgostinho
@BiesAgostinhoBiesAgostinho 9 ай бұрын
Manaman nakwelewa sana kaka piga kazi. . Lakini usitowe asiri ya mzee Kakoso, Sababu unapenda umbea umbea😂 From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AmisseBuraimoCanamo
@AmisseBuraimoCanamo 9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉​@@barakamwasi7442
@SamtzMwailusu-im5hs
@SamtzMwailusu-im5hs 9 ай бұрын
I like your efforts to your job be blessed
@SossoSolange
@SossoSolange 9 ай бұрын
Hello
@Arnasir_1
@Arnasir_1 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana huyu Director Kakoso sio wa nchi hii jamaa anajua sana nahisi huyu ndio kairudisha imani ya watanzania kuanza kuangalia yena film kazi zake ni bora sana tumpen muda mtakuja kuona ana haki ya kujiita super Director brother chukua maua yako 🖐
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 9 ай бұрын
Nimefulai kumuonatena sandra namkubali san🇧🇮🙏💐
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 9 ай бұрын
Sandra na chibu nawapendaa
@SamtzMwailusu-im5hs
@SamtzMwailusu-im5hs 9 ай бұрын
Oa ni kamakawa director tupeleke mbele kakoso mungu akupe nguvu
@FarajastevetzMpulila
@FarajastevetzMpulila 8 ай бұрын
Hongera
@niyonkuruismail5288
@niyonkuruismail5288 8 ай бұрын
nice one
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 9 ай бұрын
Kaz nzuri directory kakoso
@EMMANUELPITER-h5l
@EMMANUELPITER-h5l 9 ай бұрын
Mbonge moja la move hiimeeda
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 9 ай бұрын
Balaaa zito limeanza sasa
@ahmedmohammed9394
@ahmedmohammed9394 9 ай бұрын
😂😂😂😂👍
@Greatest9141
@Greatest9141 9 ай бұрын
Mwanamke ni mwanamke tyu
@Greatest9141
@Greatest9141 9 ай бұрын
Hatare sana hii movie imeenda 🙌
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 8 ай бұрын
Lete mwendelezo mwanamkee iko vizuri
@MayaOuthman-bd8bg
@MayaOuthman-bd8bg 9 ай бұрын
Fomu Burundi nawapenda sana
@mremachaina1899
@mremachaina1899 9 ай бұрын
From
@sengomk
@sengomk 9 ай бұрын
Kaz Kaz
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 9 ай бұрын
hongera director
@everdhekay4924
@everdhekay4924 9 ай бұрын
Good job, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chidaga_tz5653
@chidaga_tz5653 9 ай бұрын
duuh sema vipande vyenu mnaweka vifupi sanaa
@nasraally4740
@nasraally4740 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana ❤❤🎉🎉🎉
@NehemiahNdimgwango-i5i
@NehemiahNdimgwango-i5i 8 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nimekubal kazi yenu move ya kujifunza toa ep nyingiii nipo na ww Kila siku kwenye hii movie
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 8 ай бұрын
Pole kwa kuchelewa kuwakubali😅 kaitafute na best friend ❤
@AhmedChitema
@AhmedChitema 9 ай бұрын
Hii drama ni mzur sana,,,Ina mafundisho yenye kujenga kweny jamii yetu,,,👏👏👏!!
@ramsmkongaramazani
@ramsmkongaramazani 9 ай бұрын
good job, twende mbele zaidi
@NiyomwungereJustlin
@NiyomwungereJustlin 9 ай бұрын
Nawatakiy kira rajher ❤ kazi njem
@vascotalent
@vascotalent 8 ай бұрын
Swadackita nimekpenda sana dada kwaushauli wako mzuli
@joshuasakwa1548
@joshuasakwa1548 9 ай бұрын
Director Sandra wa Leo mpole , mnyonge mnyonge, next ningetamani yule Sandra napenda, kichwa ngumu, lakini kazi Iko sawa
@badmanvibees
@badmanvibees 9 ай бұрын
Uhalisia utatoka wapi
@Mwitasamwe
@Mwitasamwe 7 ай бұрын
Am from Kenya getting our show 💪💪💪💪
@raiswakigomatz5553
@raiswakigomatz5553 9 ай бұрын
Kazi iko poa kabisa🇹🇿
@EricMbazumutima257
@EricMbazumutima257 9 ай бұрын
Kazi nzuri saaaana nimependa hii kutoka Burundi 🇧🇮 nawafuatilia sana
@aishaomar2287
@aishaomar2287 9 ай бұрын
Mpo vizur 🎉🎉
@Kenyanboy-v6s
@Kenyanboy-v6s 7 ай бұрын
Tupe episode ya 7 nakukubali bro..kazi nzuri sana 💕💕
@OMARMANUEL-cc4nu
@OMARMANUEL-cc4nu 9 ай бұрын
Kazi mzuri sana Kaká 🇲🇿💤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 ай бұрын
Sipendi marafiki mimi khaaa ,,kamshauri mwenzie aombe talaka😢
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
⚘ usaliti ni janga kubwa ktk jamii zetu kutokana na sababu mbali mbali. Ujumbe wa igizo ni mzuri sana na huenda aidia ikawa kubwa zaidi mbeleni maana angekuwa mtunzi mwingine ingeishia kwenye taraka. ❤ Ni kazi nzuri *LAKINI* kujenga CV na ukubwa wa Director ni kuja na aidia ambazo mtu hajawahi kufikilia. Kuna film waliocheza *Ebitoke, Mjeshi na Chalii wa Chuga* inaitwa *SEMA* japo aidia kama waliitoa kwenye film za nje lakini kwakitanzania mpaka leo ukiiangalia lazima usisimke na ukae makini kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa film halafu unajiuliza mbona haijaisha, part 2 ikowapi?. Ukitafakari vizuri unaona kumbe imeisha teyari maana atakayoenda kusimulia huko tumeshayajua yote kupitia EBITOKE... Zile ndizo aidia ambazo Director Kakoso unatakiwa uje nazo. Aidia za kimfanya mtu awe makini kila hatua na aone utofauti wa kila namna. Hizi za usaliti n.k zimeshachezwa sana. Na aidia zake sio ngumu kuandika kama ilivyo SNAKE BOYE. Ndiomaana ktk film zote ulizoziongoza yakwanza kabisa mimi nahesabu SNAKE BOY ndio kubwa, kisha namba mbili Big Boss. Kwasababu aidia ya Big Boss stori za free mason zipo tangu zamani. Kutoa kafara, kutokusaidia familia n.k Tofauti na Snake Boy.....❤❤❤ Pambana kaka lakini hii channel yako ilitakiwa uweke vitu vizito zaidi....
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 9 ай бұрын
Unaongea sana yan😂😂😂
@ZenaKambi-d6n
@ZenaKambi-d6n 9 ай бұрын
Aliomaliza kusoma hili gazeti aniambie kimeandikwa nn😂😂😂
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
@@ZenaKambi-d6n sijaandika ili watu wasome, nimeandika ili *Director Kakoso* asome. Hii ni video yake, kapost kwenye channel yake, kafungua comment kwaniaba yake aone wadau wake wanamaoni gani. Mimi sio muomba like kama ulivyo wewe najuwa lengo la kuangalia video sikurupuki kuangalia video.... 🙏 Endelea kuomba like kama wenzako mimi ninaandika kwaajili ya mwenye channel
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
@@JacquilineNoah sijatoa maoni ili usome wewe, bali nimeandika kwaajili ya Director Kakoso maana yeye ndiye mwenye channel na ndiye mwenye video anayenufaika na comment yangu. Au unataka niombe like?
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 9 ай бұрын
Kuna mda n muhmu kumuacha m2 il akajfunze mbele ya safar kulko kujtia magonjwa ya Moyo 😢
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 8 ай бұрын
Mnazingua sana binafs nitaacha kufatilia ,makaaaje week2 bila kupost
@Batuli-f4x
@Batuli-f4x 9 ай бұрын
Kuna wanaume jasir sana hana maneno meng tunafel wap wanawake
@AliMohamed-kl6bi
@AliMohamed-kl6bi 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana big up KAKOSO
@Zulpher-d1x
@Zulpher-d1x 8 ай бұрын
Good job guys
@TheeOnNet
@TheeOnNet 9 ай бұрын
Palipo Sandra nami nipo😂
@HoracioconstacioJoao
@HoracioconstacioJoao 9 ай бұрын
Kakoso nakukubali Sana kwa kazi yako
@BiesAgostinhoBiesAgostinho
@BiesAgostinhoBiesAgostinho 9 ай бұрын
Yuleyule wa Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿, tunanza pamoja na tutamalisa pamoja. Likes zangu jamani nipenii
@MrJohnblaiseBlaise
@MrJohnblaiseBlaise 9 ай бұрын
C cool 🇨🇩🇨🇩
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 9 ай бұрын
Mwanamuke anavujya ndawa yake kwamikono mieili❤️❤️❤️🇧🇮
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 ай бұрын
Ndawa ndio nini na wewe?
@Zainabu-q7v
@Zainabu-q7v 9 ай бұрын
​@@saumbliz8983😂😂😂 eti mwanamuke
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 9 ай бұрын
Marafk nao wivu ukzd na bchwa lako lkwa bovu pia unajharbia 😢
@FttRrff
@FttRrff 9 ай бұрын
Banda hil Lina tumiw na move ngap
@WeTrendztv
@WeTrendztv 8 ай бұрын
Wa mwisho mim jamani likes zenu from burundi
@Chinyavunyae-ll6iy
@Chinyavunyae-ll6iy 9 ай бұрын
Kazi nzuri ❤❤❤
@shufaamushil8886
@shufaamushil8886 9 ай бұрын
Kuanza tu Sandra umemliza chibu wangu, cjapendaa😢
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 9 ай бұрын
Nawaoenda sana hii team❤❤ nice work much love frm mombasa kenya
@bettynyasuguta5816
@bettynyasuguta5816 9 ай бұрын
Much love Dir. Kakoso from Kenya ❤
@DianaMkembelwa
@DianaMkembelwa 9 ай бұрын
Daaa hatari unampenda kuliko mumeo❤❤❤
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 9 ай бұрын
Ungegonga na iyo shoka😂😂😂ila juu uko na akili ukaamua tu kimuaja😢❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 9 ай бұрын
Kazi nzr sana❤❤🎉
@FirdausiAdam-np4ve
@FirdausiAdam-np4ve 9 ай бұрын
Mashaallah kaz nzur
@philohmutua2968
@philohmutua2968 9 ай бұрын
Kazi zuri sana😂❤❤❤
@gabrielmnangala7822
@gabrielmnangala7822 9 ай бұрын
Mwanamkeeee eeenh bhn doh
@willykijanaa004
@willykijanaa004 9 ай бұрын
Unatufundisha jambo mkuu ahsant🙏🙏🙏
@sebastiankabogo1025
@sebastiankabogo1025 9 ай бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@EzekielSweke-q6j
@EzekielSweke-q6j 9 ай бұрын
Hajawah kufel director kakoso
@belitomanuel6240
@belitomanuel6240 9 ай бұрын
Nice work
@mesumaujanja198
@mesumaujanja198 9 ай бұрын
Kazi ya moto kaka
@Mubag1997
@Mubag1997 9 ай бұрын
Unyama by muba g
@Kikwaya07
@Kikwaya07 9 ай бұрын
Kakoso badilisheni mazingira ya kuact hii nyumba ya anayoishi bravo ndio ile ile ulokuwa unaishi kwenye snake boy season 2
@Salahsamia-xj1ll
@Salahsamia-xj1ll 9 ай бұрын
Tunawabari sana tena sana❤❤
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 9 ай бұрын
❤❤❤❤kazi nzur
@jamesmboneko2952
@jamesmboneko2952 9 ай бұрын
Kakosooo oo👍👍👍👍
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 9 ай бұрын
Pongez san wahusika wote❤❤❤
@IrakozeNasra
@IrakozeNasra 9 ай бұрын
Waouuuuuu kazur il kafupi
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 9 ай бұрын
Hakuna mwanaume atakae kupenda ukiwa umeolewa dadangu huyo amekutamani 2
@BonithNimpagaritse
@BonithNimpagaritse 9 ай бұрын
Pongezi kwenu💯🇧🇮🇧🇮
@Izoodaddy
@Izoodaddy 9 ай бұрын
Vijiji vya kuektia vime isha maana apa c kwa kakoso on snake boy. Ni dagaa au kisamvu
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz 6 ай бұрын
Good Kakoso
@Baba_ZEBUU
@Baba_ZEBUU 9 ай бұрын
Mi wa 22
@x-loveprophet1020
@x-loveprophet1020 9 ай бұрын
Angusha mzigo wapili 2 from Australia 🇦🇺 apa tumetizama 🎉😂❤
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 9 ай бұрын
Dugh huyu dem nyoko kweli
@edwardouma1630
@edwardouma1630 9 ай бұрын
Good job bro
@LatifaRashidi
@LatifaRashidi 9 ай бұрын
God job ❤
@MeliusNgawa
@MeliusNgawa 9 ай бұрын
Iko viziliii❤
@AhadiBwanyungu-j6s
@AhadiBwanyungu-j6s 9 ай бұрын
Ndio wanawake wakonamapungufu ila sio mwamwanamuke Malaya
@YoungsHilary-xd2ml
@YoungsHilary-xd2ml 9 ай бұрын
Napenda San zatitii
@AbdulMahmud-ut7ee
@AbdulMahmud-ut7ee 9 ай бұрын
Movie nzuri Sanaa
@Ushindipeter
@Ushindipeter 9 ай бұрын
Waouh kazi kali🎉🎉🎉
@MosesActorTV
@MosesActorTV 9 ай бұрын
Hujawahi niangusha bro
@NancyKabibi-ip6gb
@NancyKabibi-ip6gb 9 ай бұрын
Mwendelezo kwa uharaka
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 9 ай бұрын
Skuzote mwanamke mjinga huvunja nyumba yake na mikono yake miwil sasa vunjaa nyumba yko alafu hyo swahiba aliyekupa ushauri atakucheka 2 ata labda yuamtaka yey hyo mumeo
@FarhatSuleiman
@FarhatSuleiman 9 ай бұрын
Huyu ni sadra ama macho yang t
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 9 ай бұрын
Kazi nzuri
@m-blackJérôme
@m-blackJérôme 9 ай бұрын
Wanawake jamani❤😂🎉😢😮😅😊
@madevujnr3383
@madevujnr3383 9 ай бұрын
Mwanamke 🎉❤❤
@sandrahnsengo1
@sandrahnsengo1 9 ай бұрын
Tupe mwendelezo bc ndugu director 😢
@YoungsHilary-xd2ml
@YoungsHilary-xd2ml 9 ай бұрын
Chibu nakukubali sana
@stevegitemi4289
@stevegitemi4289 9 ай бұрын
Kazi mulwa kabisa
@TH_FILM_TANZANIA
@TH_FILM_TANZANIA 9 ай бұрын
Haujawahi kuferi kaka
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 9 ай бұрын
Ni mrongo anakudanganya hyo swahiba wko uliona wap wew mtu akapenda mke wa mtu we chezewa alafu urudi kwa mumeo
@mamishabani7886
@mamishabani7886 9 ай бұрын
Shauri mbaya iyo
@MinzaMaduhu-f9r
@MinzaMaduhu-f9r 9 ай бұрын
Safi sana
@johnkipalile9679
@johnkipalile9679 9 ай бұрын
Mwendelezo Wakuu
@Eliamini-h1i
@Eliamini-h1i 9 ай бұрын
Tuletee mwendelez na pia tuongeze dakika
@danielmkama24
@danielmkama24 9 ай бұрын
Wap episode 2 jmn??!😊
@SalamaMussa-l5z
@SalamaMussa-l5z 9 ай бұрын
Ilo wazo lakudai talaka sijapend mpe ushaur mzur chama kutoka Qatar
@Abounz
@Abounz 9 ай бұрын
Kakoso good job
@AhmedChitema
@AhmedChitema 9 ай бұрын
Nice drama
MWANAMKE (2)
13:23
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 42 М.
Medick Chapa - Hadithi (Official Music Video)
4:38
MEDICK CHAPA
Рет қаралды 149 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
MTEGO |EPISODE 02|
11:30
DIRECTOR DC
Рет қаралды 13 М.
MALAIKA Ep {1}
31:13
MZEE KICHECHE
Рет қаралды 423 М.
SIMULIZI YA KWELI: HIKI KIJIJI NI BALAA
2:48:24
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 282 М.
MWANAMKE FULL MOVE
1:32:45
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 376 М.
THE LIES 02
10:08
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 52 М.
Barnaba feat Mbosso & Yammi - Nibusu (Official Music Video)
3:42
BarnabaClassic
Рет қаралды 7 МЛН
MWANAMKE 6
14:23
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 23 М.