Kakoso hajawai kuniangusha we ndo goat wa madairector wote big up sana kaka mungu akupe umri mrefu.
@directorkakosoАй бұрын
Ameen 👏
@BeatriceInnocent-hd1kfАй бұрын
@@directorkakosobig director fundi kabisa...naomba uwe unamaliza move
@franciswairimu965525 күн бұрын
Kipara na kizungu,wapi na wapi😂😂😂
@mwalisuleih1164Ай бұрын
Yan huyu sandra ndo kiungo kikubwa kweny hii movie jamn tuwahurumie wanaume ak ❤❤❤❤❤❤❤❤❤hongereni xan kw bonga la movie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-zw7mr6jo9bАй бұрын
Aaa 😂 how kipara kaongea kisungu😅😅😅
@DIRECTORJOHN435Ай бұрын
DIRECTOR KAKOSO NAKUKUBALI SANA 🎉🎉🎉
@AtwonBanksАй бұрын
Bonge la kazi yani iko juu sana.. ila niungane na wachache wanaokosoa kwene umaliziaji.. umekokota vizuri mpira ukawachambua wapinzani hadi unabaki wew na nyavu.. tatzo umefunga goli la mkono.. all in all good job
@Blessedboi8019Ай бұрын
Hii movie immenda shule. Kakoso naomba uboreshe tu upande wa sauti
@ayshananiАй бұрын
Team mbwela hongereni Sana kwa filamu nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤
@chunaamina878Ай бұрын
Mzuri sana... Huyo kipara Ana kingereza chake cha ki Asili cha nyumbani 😂😂🥰
@tausimctАй бұрын
Jamani kama mmeona hii muvi tumepondwa sana wanawake utasema wao hawana kasolo mtuache jaman kama hamjapenda kusemwa sie wanawake like tujuane apa
@AlhajiIssa-jb9hrАй бұрын
Michepuko wenzio wata like tu.
@yussufally866820 күн бұрын
ata na ww unaonekana una mchepuko
@AlhajiIssa-jb9hr20 күн бұрын
@@yussufally8668 hahaha 🤣😂😂
@abdulsalim1069Ай бұрын
"BUTUA" bn ett washa moto ucku 😂😂
@ShatoneTvАй бұрын
We kakoso umepigaje hapo
@meresianaunami8337Ай бұрын
Aaaanh wap nanyie dhaifu mfano wake ni huyo aliejipa kesi kisa mapenz🤣😂
@AmusedAtom-kj5ycАй бұрын
Ila huku Kenya kipara😂😂😂mzungu
@nationaltrendingmedia4603Ай бұрын
Kakoso Hii kazi ikuje baada ya snake boy....
@MasikaAbdalla-gy4nx10 күн бұрын
We kipara na icho kizungu chako unanikosha kW qwel,,,,great job guyz keep it up,,,
@ZolufaMas-ie4un20 күн бұрын
Movie nzr sana 🎉🎉
@nurusaid4698Ай бұрын
Mwanamke Mpumbavu Uvunja Ndoa Yake Kwa Mikono Yake Mwenyewe Aya Jipange Ila Ssi Marafiki Bwana
@christinemkesh9367Ай бұрын
Kizungu cha kipara kinanimbaba😂😂😂😂
@dadaamwazewe1299Ай бұрын
Kwakwel ukiwa umefatilia mwanzo mwisho basi nakama umejifunza vitu vingi kulingana na hii movi NIEKEE likes apo❤ bt hongeren kwa kazi nzur❤🎉
@user-zr2xw8yv8g17 күн бұрын
❤❤
@SarahAimedy-us7ifАй бұрын
Fuzo zuri sana mwanamuke pubafu wa bomowa yumba yake kwamikono Yaki mweyewe🎉🎉🎉
@husnansabimbona449617 күн бұрын
Kipara nakutakia maisha marefu😅😅
@DellMjamoАй бұрын
First person kakoso nipe like 🤲 Nairobi 🇰🇪🇰🇪 ndanii
@JoramkatanaАй бұрын
Kazi nzuri...ila kizungu cha Kipara ni ukwaju tu...Bora angeongea tu kiswahili😂😂😂. Zatiti alikuwa mshauri mbaya Sana kwa Sandra .. Thank you for the amazing piece of art .
@user-ee8xb1tl5n10 күн бұрын
Kipara jaiva😂😂
@mejubagu682522 күн бұрын
Mbweha muongo sana🤣🤣🤣🤣🤣
@yussufally866820 күн бұрын
Wanawake wote mlokuwa hamjaolewa na mlokuwepo ktk ndoa chukueni mafunzo ayo haya mambo yapo sana ktk jamiii yetu
@abdulsalim1069Ай бұрын
We kipara acha kuchekexha bn "UNG'ENG'E" unakutoka tu😂😂
@Bassam_KEАй бұрын
Nakukubali sana director wangu kakoso pamoja n bravo the genius and mr kipara ,mbwela star💥🔝
@NasraSalim-kx5tj25 күн бұрын
❤️❤️mko vzr sana
@NdikumanaJibril-gs7mqАй бұрын
Kazi nzuri sasa
@centrinemusirikwa6331Ай бұрын
😂😂😂is the English for me😅
@Kib-jsanleyАй бұрын
Eeeeeh aujourd'hui aujourd'hui aussi ce notre jour 😂😂😂sheilah😂😂😂 wafatiliaji 😂like basi kama unajuwa iyo kauli
@dapheenndege719124 күн бұрын
Kipara ameamua ni kingereza tupu😂😂😂😂
@Kib-jsanleyАй бұрын
Tuichi nao kwa akili😂 Wana ume ama vipi like basi
@VeronicaYunusАй бұрын
Kinge cha kipara 😅😅
@ameenaalameena4968Ай бұрын
Move nzuri nimeipenda ❤❤
@husseinbakromar5865Ай бұрын
Safi Sana kuna chakujifunza aliesema mwanamke kiumbe dhaifu alikua usingizi
@RaphiaKassamaly-sd3ukАй бұрын
Kazi mzuri sana
@EdwardKabongoАй бұрын
Ktk hii movie nimemkubali sana kipara ametoa mafundisho makubwa sana kuhusu wanawake bw kipara kazi nzuri sana mungu atakubariki ktk kazi zako zote
@herongwikwi1021Ай бұрын
Kipara unazingua sana😂😂😂
@fatumakushonda4277Ай бұрын
Mko vizuri next plz
@joymkenya2359Ай бұрын
Kipara ...kazungu sielewi 😂tamka polepole tuendane,,, tuletee umbea kenya 🇰🇪❤❤
@user-fr4lj7jw9gАй бұрын
Hii inaitwa mtaka yote ukosa yote😂haya wekeni likes zangu hpa
@maylucson001Ай бұрын
Nimejifunzaa apa jamn ❤❤❤😂😂😂
@yussufally866820 күн бұрын
Na iyo ktk jamiii ipo sana tuuuu aiseee
@MdachiJumaАй бұрын
Kipara iki kizungu vp kwanza Aya maneno unayatolea wapi ndugu mana ata haya rhyme kbsa
@user-uj9lz7wt8yАй бұрын
😂😂😂😂ebanae
@SmartVicenzoАй бұрын
Ichi kingereza cha wanaman mnakisikia au nimim tu Naombeni likes kwa mnao kisikia
@emmilianstanley7614Ай бұрын
Mi nakipenda😂😂
@HoseaNgugeАй бұрын
Asee!!! Mpka Nachoka na hii kingereza ya huyu man
@justblackcodeАй бұрын
Tuna upgrade. Tulitoka kumamake, tukaenda kubaabake, tukaenda kudaadeki, sasa hivi tupo kudadadamu 😂😂
@user-zc5nm8gw2fАй бұрын
😂hio talaka ama barua
@prisikachandeАй бұрын
amna mwanamke alokutana nashetani kiparagwe mungu tu ndo anauwezo wakumuona alafu mbona wanaume wengine kama mabint
@mwalisuleih1164Ай бұрын
Kaz nzur xan washiriki ❤❤❤❤❤❤❤❤Masha'Allah
@mwalisuleih1164Ай бұрын
😂😂😂Yan ww kipara jamn haya tuwaheshimu wanawake na pia tuwaogope wanawake ndo jawabu kbxa😢😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ Asanten xan
@frankphiri111Ай бұрын
Nice bongo movie
@hamisimaningi4758Ай бұрын
From Kenya 🇰🇪 mombasa....
@PrettySalmah-tt8bh23 күн бұрын
Kingereza cha kipara typing and deleting 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@joycemachibya4380Ай бұрын
Mbwela huwa ni mkali dada😂😂atakupigaaa usimjibu ivo
@user-ms3lu6gr2iАй бұрын
Yote kwa yote sie wanaume ndo wahusika wa yote
@ananiadaxo8678Ай бұрын
Kipara 😂😂😂 your people going as if tomorrow Your relax congratulations 😂😂😂 😂😂😂😂
@joymkenya2359Ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya we love you ❤you really entertain us 🎉
@user-fr4lj7jw9gАй бұрын
Bwela 😂mkuki kwa nguriwe kwa binadamu uchungu😂😂😂usiwe na hasira 🙌
@GodefreyLaurentGasper24 күн бұрын
kazi nzuri sana director
@mapesaomary-ip3vfАй бұрын
Bila kujali inabidi zitoke kaz nyingine nyingi mkiwa wote
@jovintandala2332Ай бұрын
Hicho kiingereza cha kipara kinanifurahisha sana😂😂
@chandeyusufu957022 күн бұрын
Nakuona zungu kama haji manara
@hamisimaningi4758Ай бұрын
Safi sana......!!!
@LuluRamadhan-ys6wrАй бұрын
Kizungu cha kipara duh😂😂😂
@GibranMwanyaloАй бұрын
Vipi kuhusu part 2
@johndavid6034Ай бұрын
Kipara na kisungu hicho duh,,😂😂😂😂😂100,1%,,
@saumumhina222528 күн бұрын
Mh kiingereza Cha kipara kinaniacha hoi jamni kah😂😂😂
@mwalisuleih1164Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤Mbwela mbwela mbwela eti mkuki kw nguruwe
@DishaniDisha-zm2gm27 күн бұрын
Kazinzuri sana
@chandeyusufu957022 күн бұрын
Nawafatilia sana move zenu nikiwa dubai
@nurusaid4698Ай бұрын
Mla Cha Mweziwe Na Chake Uliwa Bwela Tuliza Mshono Ulivokula Cha Mwenzio Ulitegemeya Nni😂😂😂😂😂😂
@Bassam_KEАй бұрын
4rom kenya here❤ love kwenu big up snaa➡🔝
@PendoJoseph-vm1oc14 күн бұрын
Bwelaaaaa inauma eee
@joseambrosio1503Ай бұрын
Gostei muito com vosso trabalho 🎉🎉
@sharifushabani3906Ай бұрын
Dah respect sana kakonso
@PendoJoseph-vm1oc14 күн бұрын
Chaupele nampenda uongeaji wake
@GeradhAdiliano16 күн бұрын
yaaani ni kama hajierewi kiukweli unaakili zako unafata ya kuambiwa mhhh wanawake baaathii hawjierewi sana tuuu
@Kib-jsanleyАй бұрын
Best naso wana wake wabaya🎉🎉
@fatmamohammed8346Ай бұрын
mr kakoso huwa unatumia akili nyingi sana,,,hongeqra kwa hilo na nimejifunza vingi mnoo
@directorkakosoАй бұрын
🙏
@Emmy-b9eАй бұрын
Mmmmmh yang macho😮😮😮😮😮
@scoutpwanimchangani6711Ай бұрын
Ninaamini hii kazi yote ya Kakoso
@SadaMohamed-xl9rcАй бұрын
Nimeipenda sana hii movie ❤
@MagrathMgwesaАй бұрын
Kazi nzuri sana inaelimisha hongeren sana.
@IrakozeSafina-te6qfАй бұрын
Kwakweli movies ina mafunzo.👌
@saidahmed9688Ай бұрын
good movie
@AishaSalumu-bm7nd23 күн бұрын
Naona leo kipara uzungu mwingi
@SmartVicenzoАй бұрын
Uyu jamaa mbwela naona ni kiboko Kila ye ndo wakumega wake wa wenzie
@RivaTataАй бұрын
Wa star wa clam Vevo courages sanaa
@yohananyamaruri9105Ай бұрын
tunahitaji Part two
@zipporahzilpahmungohe9763Ай бұрын
how I wish there was part 2
@IslahiMohamed-qi2jfАй бұрын
Apo mbona imemaliza fresh zungu mpelelezi kajua kila kitu cha mauwaj Sandra hawezi kutunza cr ila waswahili wanataka wajue kila kitu kionekanike
@YunusMahmoudАй бұрын
Big up but video haiko on standard mostly kwa finishing
@ALFREDMWAMBAMUPWEАй бұрын
❤
@RamaNevi-fs6zrАй бұрын
Yaani kipara aachagi umbea😮
@PaulineSheeАй бұрын
Wow good one
@PurityAyumaAyumaАй бұрын
Kipara hicho kingereza😂😂😂😂
@irinemmasy8387Ай бұрын
Kipara hicho ni kingereza au ninini😂😂😂
@neemacharles-us3xpАй бұрын
Kaz nzur bro 🎉
@KITUFEАй бұрын
Unyama kka 🎉🎉🎉🎉🎉
@divinegospelministry862825 күн бұрын
Picha ilianza vizuri lakini umaliziaji Bado haukurizisha