Big up My brother Hon. Patrick Advocate of the Champions
@MathewNathan-yb2bz4 ай бұрын
Haki itendeke na yanga yetu iendelee kuwa salama.Mungu na azidi kuibariki yanga.
@RoseMalley-dt9ub4 ай бұрын
Amina
@muunganopetermtemi15354 ай бұрын
Jamani yanga ilikuwa yabakili sasa imekuwa yanga imara watu wanaanza chocho chocho lengo kuturudisha nyuma,jamani tusikubari hali hiyo iendelee,
@abedihussenikhalfan40074 ай бұрын
Huyuuu mzeeee ananjaaaa sanaaa fanya kazi mzeeee uza ata kahawaaa
@johnmmbwanga52514 ай бұрын
Huyoooo mzee mchawii
@bethmahela21824 ай бұрын
Asante mwanasheria umefafanua vizuri
@amanimwalimu12934 ай бұрын
Wazee noma sana
@martinlema41924 ай бұрын
Nimegundua hata mimi nawezakuwa hakiku jamani... mnikumbuke!
@dullywa99734 ай бұрын
😂😂
@salmamustapher56114 ай бұрын
hakiku ndo nini
@masoudmpenda90584 ай бұрын
Ss tunataka maendelee ya yanga hao wazeee njaaaa ila muwasameee yanga ilivyo moto hata kama waliingia kwa mtutu wa bunduki kwetu ........ ❤❤
@mkudemkoba14894 ай бұрын
Wasizan kuongoza timu ni sawa na kuongoza familia. Safi mwanasheri kwa ufafanuz wako
@benedictodaniel18424 ай бұрын
Niwachawi hao mungu kuweka kifo alikuwa sawa,
@Maryc2G4 ай бұрын
Hao wazee hatuwataki kuongiza timu. Tunaupenda uongozi wetu wa sasa wa ENG Herse Saidi
@AbdallahMgaya4 ай бұрын
Kila la kher Inshallah😢
@HalimaMaulidi-sv7le4 ай бұрын
Juz mlicheka ya mangungu leo kwenu ama kweli mwenzio akinyolewa zako tia maji leo kwenu chekeni xaxa
@josephlorri4314 ай бұрын
Mashauri mawili tofauti..
@MwajumaNgaruma4 ай бұрын
Mlungu chibiduuuuu 😂😂
@ANAFIMATUMLA4 ай бұрын
Haujitambui wew sabab hazifanan
@AishaJuma-py7ve4 ай бұрын
😂😂ubaya ubwela
@SwediramadhaniJuma4 ай бұрын
Acha wajichanganye tu sisi kwetu furaha
@khalifasaidi70014 ай бұрын
Kiukweli hawa watu sio wa kuwaacha salama lakini swali langu kwa viongozi kwanini timuyetu inakumbwa na mambo ya kisheria ya mala kwamala? Mnge tafakari hili kama panapwaya tafuteni watu sahihi inatuumiza sisi wanayanga
Hao wazee walimletea noma Marehem Manji, na kuna tukio manji aliwafokea waka nyamaza. Mie nnafikiri wanahisi kuna watu wanafaidika sana na mafanikio team inapofika kwenye pick wanasahau kuendesha team ni mziki mnene.
@Daniel_89_894 ай бұрын
Why press, kapambaneni mahakamani kwa hoja na nyie mahakama itoe hukumu
@mamboleoomary27234 ай бұрын
Yanga bhana eti Kila kitu wanakanusha wanasheria gan wanasubiri hadi kesi itolewe uamuzi ndio wanaamka usingizin,wanasheria wa utopolo sijui kama wana vyeti halali
Hao wazee hawawezi kuiongoza yang ni njaa tu inawasumbuua
@Shafikimanga74 ай бұрын
Kitaalamu imekaaje hii. Kesi ilishaamriwa na mpaka imefika kukazia hukumu ndio muombe kuingezewa muda. Lakini pili what if mahakama ikatupilia mbali ombi lenu. Lakini swali la kiakili ni kweli watu wanawezaje kuendesha kesi mahaka kuu taarifa zisiwafikie kipindi chote mpaka kumalizika kwake hasa ukizingatia ukubwa wa timu na upana wa mashabiki waliokuwepo katika kila kada? Nina wasiwasi na hili.
@josephlorri4314 ай бұрын
Kama yanga sporting club haikuwa na wito wala taarifa yoyote kuhusu kesi hadi ikatolewa hukumu labda kuna yanga nyingine ilopelekwa mahakamani..
@iptisamismaill-f6h4 ай бұрын
Uyo mwanasheria muongo sana ... yaan kaongea utumbo mtupu nna wasiwasi na elimu yake
@josephlorri4314 ай бұрын
@@iptisamismaill-f6h tatizo ni viongozi wa yanga kumdharau mzee magoma na team yake..mwanasheria anasubiri agizo la viongozi. Magoma alikaa na hukumu yake tangu mwaka jana akisubiri yanga wavurunde kwenye ligi,yeye achochee kuni..akaona kwa usajili huu, ni sawa na kusubiri meli Airport kwa yanga kupata matokeo mabaya.. akapata usaidizi wa simba ili kuitoa yanga kwenye mstari..ubaya ubwela. Mzee kayatimba
@geofreymwinuka-zu3fw4 ай бұрын
Mdaa wotee huu kesi inaendeleaa mlikuaa wapi kama wanasheriaa hadi hukumu inatokaa ya upandee 1
@barakamachard19444 ай бұрын
Walikua hawajui kitu
@iptisamismaill-f6h4 ай бұрын
Eti sain zimegushiwa ina maana mnataka kuwafanya mahakama kuu ni wajinga sana 😂😂😂 au hawana ueled na kaz yao
@FloraMunis-nt7lf4 ай бұрын
Jamani wafatilieni hao watu wanataka kututoa kwenye mudi yetu tena wnatakiwa watuache kbis
@abdillahimohd86144 ай бұрын
Kweli kizuri hakidumu Kweli njaa mbaya
@hakimundabila79404 ай бұрын
Hayo unaonaje ukayapesleka mahakani badala ya kwenye vyombo vya habari
@EmmanuelChrispin-bo5xh4 ай бұрын
Wapolowapolo wahuniii!
@dietrichoswald344 ай бұрын
Ukubwa wa taasisi ya yanga uendane na uwezo wa wanasheria wake kukabiliana na maswala ya kisheria, iwe kitaifa au kimataifa. Kujirudia rudia kwa matatizo yanayohusu mikataba na kesi za ndani na kimataifa ni kiashiria tosha kuwa tunahitaji kujiongeza capacity, exposure na experience ya ku handle legal matters za klabu kubwa tena kisasa. Kitengo kiongezewe nyenzo na competent supporting staff.
@ErickRichard-kh7tj4 ай бұрын
Hakuna aliyebushi sahihi. Inavyoonesha walisaini kweli Lkn mmewatafuta mmewapa ela wakane sahihi zao Tena mnawakana wanayanga wenzenu Tena mnajificha kwenye kivuli cha kusema ety makombe na vyote ni batili Kiongozi kamili huwajibika ili kutoa funzo Mkiongea mbele za umma ni muhimu kuzingatia aina ya watu mnaowafikishia ujumbe sio wote ni akili kisoda
@adelnabukuku71444 ай бұрын
Wasione vyaelea vimeundwa jamani tamaaa itawauwa kiukweri yaani time imekaa vizuri wanaanza kuleta chokochoko
@KitumbiAbraham4 ай бұрын
Mbona unatumia nguvu nyingi kujieleza. Maneno yako yanaoneasha Kuna shida ndani ya Yanga.
@ZainulKiondo3 ай бұрын
sio waliojiita wanachama wa Yanga hebu nyoosha kiswahili
@JescaMartha4 ай бұрын
Mzeeeee fanya kazi bwana
@SHIJADAVIS4 ай бұрын
Hapa kuna walakini, hata kitengo cha sheria cha sheria kujitathimini maana Yanga sc kuna kesi nyingi klabu imeshndwa kwenye kesi za wachezaji. Hapo kuna kitu.
@josiacharles27784 ай бұрын
Yani izi timu zetu zinapenda kiki, jambo linatengenezwa tu ili kufuraisha watu
@iptisamismaill-f6h4 ай бұрын
Ili swala sio swala la propaganda ni swala la kisheria..... note this points wanayanga
@batistamkwele20614 ай бұрын
Wanamchango gani katika yanga hao wazee wala mihogo
@YustardNkongoki4 ай бұрын
Wafukuzwe na tena wachukuliwe hatua kali ya kisheria wanataka kuvurugia furaha zetu
@chescomolla55574 ай бұрын
Uongozi wa yanga uko kiboya sana inakuaje jambo limeanza 2020 hadi leo hawalijui ngoja wangolewe na midude isiyojua hata kusoma na kuandika ndio itajua
@johnmwasilu70874 ай бұрын
Ujuaji mwingi
@DStarTz-if2ko4 ай бұрын
Wanawadanganya mbuz wao si waishtak mahakama kama wanaonew
@EzekiaMichael-jn5np4 ай бұрын
Akakae ndani huyu Mzee mchawi huyo sio bure
@amiroamiroboa87244 ай бұрын
Wazembe sana Yanga yaani Kesi inafikia hatuwa hiyo nyiye Viongozi Hamuelewi nini kinaendelea 😦😦😦 Club itauzwa na Hamuna Habari 😀😀😀Hata mukishinda kesi hii lakini Munafaa Kujiuzulu na Kuwaomba Radhi Wanachama na Wapenzi wa Yanga..
@EkaeliNassari4 ай бұрын
Hao watu wanaoibua uvunjivu wa amani Kama wakidhibiti bc Sheria ifuate mkondo wake wanakuwa Kama watu waliotumwa
@britishsaid17004 ай бұрын
Ali komwe kibarua kimeota nyasi
@fazo-kl9fu4 ай бұрын
Jaman aje mikoan uyo ndo atajua Kaingia Cha jeshi
@IssaFilimbi4 ай бұрын
Jopo hili ndiyo lilimshindwa Bm3 Wanasheria uchwara hawa
@ibrahimkasim9224 ай бұрын
Huyu mwanasheria anayeongea hapo ana njaa Kali anatetea kibarua chake wakat ameshindwa kutetea kisutu
@johnmwasilu70874 ай бұрын
Kweli kabisa na muongo mkubwa
@RevoVkiiza4 ай бұрын
Injiner hersi piga kazi mwamba usitishiwe nyau
@NasibuAlban4 ай бұрын
Utapeli mtupu
@RamadhanMohamed-g5r4 ай бұрын
Njaa mbaya mzee
@BarbaraPatience-qt9cc4 ай бұрын
Mimi ni mkenya lakini NI Yanga damu! Hao wazee wasiwatishe,mkitaka tuwaletee GenZ huko wa deal nao!!
Mijitu mingine kuma kweli sasa hawaoni injinia amefanya yanga leo hii timu tishia Africa
@EliezaRichard4 ай бұрын
Kwa hiyo yanga inakatiba mbili nyosheni maelezo
@danielandrew98924 ай бұрын
Ndio kwanza mechi bado mbichi utopwinyo mmekosa wanasheria
@bakarirajabu37834 ай бұрын
Hatutoki relini kamwe nyie fanyeni yenu hao wa zee ni wachawi wametumwa na makolo njaa nyingi
@iptisamismaill-f6h4 ай бұрын
Mwanasheria umepuyanga sana yan umejaribu kupindisha ukweli lakin hayo mambo ni ya kisheria sio ya kishabiki na mahakama kuu imeamua kisheria , maelezo yak hayaoani pili unaelezea uko unakwama kwama ni waz unajarib kuongea kuwalizisha wanayanga that is too bad lete hoja lete fact lete evidence
@veraisaria4 ай бұрын
Ikiwa kweli walifoji sahihi aisee jela inawaita😂😂😂
@MataulaMikusi4 ай бұрын
Wataiweza Tim au wanatafuta migogolo,2
@allidehunter32234 ай бұрын
Team magoma - tukutane kwenye like apaaa. 👇
@RajabuMkonje4 ай бұрын
Hivi ile kesi ya mkuu wa wilaya na changudoa imeishaje jamani , kesi ya mwijaku na kipanya imeishaje jamani, kesi ya mkuu wa mkoa imeishaje jamani
@rexgodwill73534 ай бұрын
Rita nao wanasema hii katiba ya 2020 iliyowaweka viongozi kwenye madaraka ni batiri kwa maana haijasajiliwa je hii nayo Rita niwahuni pia?
@Francylau4 ай бұрын
Nyumba ya jilan imeangukaa huko 🤣🤣😁 uwiii
@EzekiaMichael-jn5np4 ай бұрын
Mzee huyu sio mzima kabisa
@bethmahela21824 ай бұрын
Tena wakigundulika wachukuliwe hatua ili iwe fundisho kwa wengine
@HanifaBruno-lv1qf4 ай бұрын
Hao wametumwa waharibu amani ya time yetu washenzi Wakulla mbona engenea yup oragt
Hilo zee ambalo halina akili lifikishwe mahakamani
@NyorokaNyenge4 ай бұрын
Mimi ni wa simba lakin wazo langu naomba haki itendeke.hawa wazee wanyooshwe ili iwe fundisho kwa wengine.
@VictorChangula4 ай бұрын
Daa kidogo roh imetulia maana duu
@Saidi-x4h4 ай бұрын
Mi nawatakia kila la heri chama langu
@SospeterFrancis4 ай бұрын
kwani kuna shido???😂😂😂
@fazo-kl9fu4 ай бұрын
Yaaan kama wakijitokeza hazaran du Bora tuwapige mawe
@benOfficial364 ай бұрын
Nyie siasa ni mbaya sana, Hawa wazee ukweli wametumwa na SIMBA na sio kitu cha ajabu 😂😂
@salmyhussein62554 ай бұрын
Kama timu ni yao wapeni, mushakula pesa sana ni mda wao sasa
@bakarirajabu37834 ай бұрын
Yana kuhusu wewe
@ManenoMwakyoma4 ай бұрын
Watoke TU yanga ni yawatu wengi sio ya kikundi
@NyabasindiRutayagi-q3i4 ай бұрын
Ee mungu tusaidie haya yapite
@kanchuninja4 ай бұрын
🔥🔥
@JoshuaeliasLugwisha4 ай бұрын
Hebu jaman tuache janjanja kwann hao watu wsichukuliwe hatua jaman maana moja wanawachafua viongozi wetu pamoja clumb yenyewe na kugushi nyaraka za clumb
@JoshuaeliasLugwisha4 ай бұрын
Hao watu wanatakiwa kuchukuliwa hatua mara moja
@kazinaimwishehe-ec3xu4 ай бұрын
Acha ujanjaujanja watu tunajua kinachojiri
@halidmauga964 ай бұрын
Kama ni kweli hawa jamaa waliogushi mambo watapata tabu sana
@HamisiBwela-t3e4 ай бұрын
Habar hiiyo mwambe are kalimantan shamba
@shaameshaame28374 ай бұрын
Wananchi tumfunge mtu tuweke mbali ubinadamu. Kufoji sahihi ya mtu tuikomalie maana wajinga wapo wengi ili tuwakomeshe
@abdallahmzee43354 ай бұрын
Unaushaidi na hilo ?
@shaameshaame28374 ай бұрын
@@abdallahmzee4335 ukweli ukidhihiri uongo utajitenga mama Fatma karume yupo hai kama wamemsingizia atakuja na sahihi yake
Hakuna anayebisha kuhusu uwezo wake mkubwa lakini hana uhalali kikatiba
@JacksonBayyo-uo3eg4 ай бұрын
@@johnmwasilu7087 sisi lengo letu sio katiba ni mtu anayeleta matokeo chanya
@dullaswahiba8434 ай бұрын
NYIE MAKO MNAPO MZUNGUMZIA RAIS WA YANGA MNAZUNGUMZIA DUDE KUBWA LINALOISHI ANGANI SIKU LIKISEMA LISHUKE LITAIFUNIKA DUNIA MZIMA 💪
@AmirAbdul-v5f4 ай бұрын
Mhhhhhhhh mpaka nimeshanga Kwan kuna panapovuja wambie wazee hao hawatofika mbinguni make ni wa hovyooooooooooo injinia jipange kuiongoza yanga miaka 100
@deodatusmatwegula53644 ай бұрын
Hao ni wa kuwafukuza uwanachama na wapelekwe mahakamani
@DStarTz-if2ko4 ай бұрын
Mh kwa ss weny akili tunaona unatuingiza chaka iv mahakama mnaichukuliaje na inamaniaha kesi haikusikilizwa pande pande 2 .kiufup wale wasioelew hakuna mahakama inayohukumu bila kusimama pande 2 mpka wameshinda ujue mahakama imejiridhisha mpka hapo mnatakiwa muikosoe mahakama koz washhkumu wadangany mbuz wenzio
@MISHELIMSAFIRI4 ай бұрын
Hao wazee niwauni sana ko wasituvuruge wasubilie uongozi umalize mdawao ko watuachie ujinga
@RehemaSaid-rg5mr4 ай бұрын
Sasa watawezaje kuzungu mziya kesi wao TU pamoja akim bira viongozi wetu
@martinlema41924 ай бұрын
Naweza kuwa hakiku hata mimi!
@johnmwasilu70874 ай бұрын
Mwanasheria anatapatapa ngoma nzito. Anaongea kuwapoza wananchi lakini ukweli usemwe viongozi ni batili
@adudeswalehe87244 ай бұрын
Unasema sio wanachama wa yanga halafu mnachunguza muwapeleke mkutano mkuu wa club ??? 😂😂😂 sema KIMEUMANA
@Machozihussen-er8cp4 ай бұрын
Mpira wa Bongo ni siasa na upuuzi mtupu uchunguzi gani ufanyike kuhusu uanachama wao? Wakati ukiingiza jina tu kwenye system itaonyesha kwamba huyu si mwanachama au huyu ni mwanachama halali mwenye kadi ooxxy hivyo y mnawafanya wadau wa soka hawajitambui hata kidogo? Issue ya kughushi sahihi huenda nikakuelewa kidogo, baadhi ya viongozi wa soka Bongo janjajanja nyingi sana na hiyo AFCON ambayo tutakuwa wenyeji kama hatutobadilika tutatolewa mapema sana, klabu tunazotegemea sana kutoa wachezaji wenye uwezo wa kupambana kwenye international football ni simba, yanga na nyinginezo, mara Leo uwekazaji wa batili, mangungu na try again hawafai, kesho Hersi na jopo lake la uongozi wapo kibatili yaani! Stupid kabisa!!!
@DulaMudi4 ай бұрын
uyu akimu inabidi apimwe akiri
@JosephTibu4 ай бұрын
Nabado hamjasema yani mpaka mseme
@DulaMudi4 ай бұрын
unataka useme nini tupe ncakusema mbeya wewe ee Yako yame kushinda u
@JosephTibu4 ай бұрын
@@DulaMudi bundi kahamia kangwani
@NasibuAlban4 ай бұрын
Sio wanao jiita sema wanachama
@MkuuuJafari4 ай бұрын
Anawatetea mabosi zake nawe ni batili😂wazee hawakujuwi😂 (Principle )