Usalama Maskani | Jinsi magenge yanazidi kuhangaisha wakazi wa Mombasa

  Рет қаралды 38,571

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Magenge yanazidi kuhangaisha wakazi wa Mombasa huku vijana waliojihami wakiwavamia watu kiholela na kuwakata kwa mapanga.

Пікірлер: 51
@fhhfd8449
@fhhfd8449 Жыл бұрын
Siwachomwe na wauliwe vile walivyofanyiwa mtaa wa kongowea walikuwa wanatolewa kwa nyumba usiku na masungusungu wanauliwa kisha wanachomwa wakati huo kongowea ilitulia kindogo coz ukishikwa kabla uliwe wanataja wenzao wanaandikwa kwenye list
@charlesrachier5444
@charlesrachier5444 Жыл бұрын
Risasi piga mtu hakuna mchezo
@muhammadhariz1100
@muhammadhariz1100 Жыл бұрын
Kisha wakiuwawa muhuri yasimama nao ooh vijana wauwawa ovyoo na police
@tkk3852
@tkk3852 Жыл бұрын
Ama wapigwe copper. Wauwawe tu watuondokee.
@hassanajiruu5128
@hassanajiruu5128 Жыл бұрын
Wakenya wakenya wakenya Uhuru aliwambia Ruto hana lolote atakalo wafanyia wakenya Urais sio rahisi Ruto awezani nao Wawekezaji Amna Viwando Amna sababu Stima Bei juu Maji Bei Juu Ushuru Bei juu Hongo juu Wawekezaji Wana'guria TZ na UG. Kenya Ujambazi Utapeli Ufisadi Uwongo Uwizi kazi amna Ushuru wa juu NJAA TUPU.Matokeo yake USALAMA AMNA HATARI TUPU!
@danielkaruga7770
@danielkaruga7770 Жыл бұрын
ni watu wengi sana hawana kazi yet they aren't stealing
@evalynewanjiru9685
@evalynewanjiru9685 Жыл бұрын
Jesus,vile wamebebea binadamu mapanga😭😭nikama wanataka kukataa nyasi
@syliviahgesare2911
@syliviahgesare2911 Жыл бұрын
Wakali kwanza weeeee then mateja
@felister2457
@felister2457 Жыл бұрын
Kazi ni kazi ruto alisema!!
@teechake_0018
@teechake_0018 Жыл бұрын
hivyo ndo tunaishi huku,tukiwaletea mnawaachilia alafu mnajifanya wachambuzi...polisi muna mchango mkubwa sana kwenye uhuni,watu wanauwa mbona msiwaue ama kuwahukumu? Kama utendakazi wenu ni huo mnaleteana mazoea na wahuni uhuni hautaisha mombasa...hamuwajibiki ipasavyo,mtamaliza magenge lakini sio uhuni.
@ericabaga9738
@ericabaga9738 Жыл бұрын
Wazazi weengi wanatetea watoto wao
@ericabaga9738
@ericabaga9738 Жыл бұрын
Kama hakuna kazi lazima wawe wezi?Kuna wenye wameandikwa kazi lakini bado ni wezi.wacha kutumia madawa ya kulevya kama kizingizio.Wazazi wengi wanapenda kutetea watoto wao wakati wameshikwa na police.
@mkaliwacoast5476
@mkaliwacoast5476 Жыл бұрын
Kazi zote wanazo WAooo lazma vijana waangaike wajitaftie ndo hayo sasa
@joycepeter1284
@joycepeter1284 Жыл бұрын
Proverbs 29:2 When the righteous are in authority, the people rejoice: but when the wicked beareth rule, the people mourn
@Godsfavourite.1507
@Godsfavourite.1507 Жыл бұрын
Very true
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 Жыл бұрын
Is The Bible from God?if it's from God why there is Soo many contradictions and confusions and God he is NOT the author of confusion
@Godsfavourite.1507
@Godsfavourite.1507 Жыл бұрын
@@hamadmohamed3056 Yes the bible is Gods own words. And God does not contradict himself so Confusion is not from God. It is the devil who brings confusion so as to mislead God's people.
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 Жыл бұрын
@@Godsfavourite.1507 if it's from God why there is alot of confusion and contradictions in your Bible and God can't Contradict himself??✅ do you wanna base your Salvation on a scripture with fully of corruptions and confusions?
@Godsfavourite.1507
@Godsfavourite.1507 Жыл бұрын
@@hamadmohamed3056 where is the bible contradicting my brother? I have never read a verse that support corruption
@bernardoloo2023
@bernardoloo2023 Жыл бұрын
The government of now is focused more on religious prayers than INDUSTRIALISATION...God will still open a door
@goldenbabluuz202
@goldenbabluuz202 Жыл бұрын
The king pin who is controlling these gangs his or her family is living a good lifestlye, For me police officers to be secretly selected under cover to stay at certain place with firearm,hidden camera n speaker,radio call to alert police in patrol shift or workiñg shift . Ap,GSU,swat,are in good numbers they can secure than bulking in accomodation sleeping , These gangs are young age ,parents whom kids are in the gangs never complain why was he killed or done something else . FINAL MESSAGE TO THE KING PIN YOUTHS NEEDS BETTER JOB OF RESPECT. MUGOKAA TO BE BANNED TO BE SALE IN MOMBASA REGION . WE NEED GOOD IMAGE NOT ZOMBIES OF MERU MOGOKAAAA.
@joycepeter1284
@joycepeter1284 Жыл бұрын
When your belly is full you do not need to involve yourself with crime... hunger makes people get involve in crimes. When the righteous are in authority, the people rejoice: but when the wicked beareth rule, the people mourn
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Жыл бұрын
Police wenyewe wanshusika wanafanya biashara wanashika kijana wNapiga simu ww mama leta pesa ama tunampeleka kotini mama apeka kesi hakuna ob hawandiki kitu
@elijahthuram
@elijahthuram Жыл бұрын
Eti ni umaskini unafanya waibe? Shame on you, hawa watoto wakishikwa mamazao hutoa hata laki ili waachiliwe na polisi. Huku msa mpaka watoto wa matajiri hupiga watu mapanga my frd. Hata polisi wanawajua wengine kwao ni matajiri na wakishikwa hela sio tatizo kutoa bora wawe huru.
@sarahokoth
@sarahokoth Жыл бұрын
yah wanakata wabara tu mapanga lakini waislamu hawashikwi
@gaza1677
@gaza1677 Жыл бұрын
Piga hawa vijana kabisa
@azamazam3279
@azamazam3279 Жыл бұрын
Wavivu
@adamabdulrahman7426
@adamabdulrahman7426 Жыл бұрын
Suluhisho vijana hao wapewe makazi ya kuangalia usalama ea sehemu zao kwa kuajiriwa kama county police officers na wapewe mishahara na mahitaji mengine kama vile serikali kuu inavyofanya hapo utaondoa ujambazi na utumiaji mihadarati gavana wetu kijana mshupavu anza sasa mradi huu kama wataka kufaulu kuweka serikali yako ikamilike uwe na hawa vijana kama county police officers chukua hiyo
@Faizamideva-bv6oo
@Faizamideva-bv6oo 10 ай бұрын
Kabisa
@dominicat3
@dominicat3 Жыл бұрын
Wauwawe wote, hii serikali ina mchezo sana
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Жыл бұрын
Hio sio sababu ya kazi watoto WA miaka chini yamiaka kumi na nane hata kitambulisho hauna utapata wapi kazi hao bunduki ndio muhimu ashikwae na kisu ,panga auliwe
@omarrajab6498
@omarrajab6498 Жыл бұрын
Tuna sema ukosefu wa ajira wakati kuna watu wanarauka kongowea kubeba mizigo haya yote yana changiwa na wazazi wenyewe kushindwa kudhibiti watoto wao tusiseme hakuna kazi ni wangapi ambao hatuna kazi na hatuibi tafuteni kazi vijana
@sarahokoth
@sarahokoth Жыл бұрын
wakiambiwa waende shule hawataki na pia hawataki kazi za mkono...ni wastarehe na bado wanataka pesa. creating jobs will not help the situation...iwe ni ukipatikana wafanya haya maovu ni uuliwe tena mbele za watu ndio iwe funzo.
@daprince7545
@daprince7545 Жыл бұрын
Kwanini serikali haezi kukabiliana na drugs.
@nobertkarisa2380
@nobertkarisa2380 Жыл бұрын
Kilakitu ni ruto
@victoriamima2547
@victoriamima2547 Жыл бұрын
PRESIDENT MESSED KENYANS WHEN HE SAID "KAZI NI KAZI" NIFIKISHENI 1K PLZ
@cecilykimani4400
@cecilykimani4400 Жыл бұрын
Watoto wa mombasa wapenda sitarehe
@SilasNjoroge-xr9ue
@SilasNjoroge-xr9ue Жыл бұрын
No no
@nelsonomollo5154
@nelsonomollo5154 Жыл бұрын
Mimi nashangaa na haapa mombasa ,kwani wale watoto wa congo ,Tanzania , Uganda, wanakuja hapa na wanauza mandazi na chai ,mtaani kwani mbona watoto wa mombasa kwa nini wasiuze chai ,🖕🖕🖕🖕🖕
@tatujuma8781
@tatujuma8781 Жыл бұрын
Upumbavu na ujinga wa kenya
@gabrielkabogo1050
@gabrielkabogo1050 Жыл бұрын
0
@shukabol8438
@shukabol8438 Жыл бұрын
Piga hao mateja risasi ama mtupe baharini..Swahili poor parenting is the reason behind these shitholes.
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Kweli wanafaa kutiwa adabu kisawasawa bt nakuambia tu kwa heshma don't victimize the word SWAHILI hapo unakosea...hukumu mtu kwa tabia yake bt sio useme Swahili 👍
@swabrisoud7307
@swabrisoud7307 Жыл бұрын
are they only swahili these kids i guess they are frm all ways
@charlesrachier5444
@charlesrachier5444 Жыл бұрын
Kabisaa
@sohrabtajadin3402
@sohrabtajadin3402 Жыл бұрын
ZAENI TUPENI WATOTO. WANAKUWA CHOKORAA NA MONGOKAA. SASA KULENI MATUNDA YAKE. MUNASHINDWA NA PAKA HURAMBA WATOTO WAKE.
@eriminahmshai
@eriminahmshai Жыл бұрын
Mama hàpo uwongo usema eti ameshindwa na ulezi la hasha makazi hakuna vijana wanatabika sana na si wakiume pekee hata wakike ana umri wakuwa awe na kazi yako mwenyewe hana wakubwa nao pia kazi za vijana wamechukuwa hayo ndio majibu hayo mama uwache kuongea vibaya kwa ukalelewa,
@jameskaze
@jameskaze Жыл бұрын
Bottoms up economy inabidi kutumia ma drugs na pombe kukill stress.
@Dillie-dally
@Dillie-dally Жыл бұрын
Mwanasiasa ndo mlanguzi
Mwanaume ashambuliwa na wahalifu Mtopanga, Mombasa
10:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 51 М.
Naibu Rais Rigathi Gachagua amuomba Rais Ruto msamaha
3:33
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,8 М.
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 70 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,4 МЛН
SOKO LA MARIKITI NI KIVUTIO CHA WATALII MOMBASA
3:05
VOA Swahili
Рет қаралды 2,4 М.
Watu wawili waokolewa baada ya gari kuanguka baharini
2:43
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 38 М.
Waandamanaji wa Mombasa wanalaumu msimamo wa serikali
3:40
NTV Kenya
Рет қаралды 3,7 М.
Naibu Rais Rigathi Gachagua asema mali anayoshutumiwa kumiliki si yake
2:26
Usalama umeendelea kuyumbishwa na vijana mjini Mombasa
10:39
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 24 М.
Bonge la meli yatia nanga Mombasa
5:49
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 116 М.
Mwanaume aliyerekodiwa akiteswa Mombasa ajitokeza
3:09
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 94 М.
Watu wanane wanauguza majeraha baada ya kuvamiwa na genge huko Mombasa
9:45
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН