MWANDISHI WA HABARI WA MZEE KARUME AILILIA ZANZIBAR

  Рет қаралды 26,180

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Жыл бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 89
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 Жыл бұрын
Al fatah huyo mzee enzi mwiteni tena ana mengi ya kutufunza watu kama huwa adimu sana
@user-xh3sq7vr1d
@user-xh3sq7vr1d Жыл бұрын
Mzee Talib hongera kwa historia hii,na una kumbukumbu sana kwa umri huo,tunaomba hii story iendelee part 2,3 na zaidi,Mzee Talib anaelewa mengi.
@georgemwasyeba1891
@georgemwasyeba1891 11 ай бұрын
ÀSANTE SANA MZEE WANGU KWA HISTORY NZURI YA ZANZIBAR
@ommyhassa
@ommyhassa 10 ай бұрын
Shukran sana mzee wetu Allah akubariki na kupe na afya na mwisho mwema. una kumbukumbu nzuri sana kupita sisi vijana tunaomba uandike kitabu
@mms9158
@mms9158 Жыл бұрын
Mashaalla una story inafaaa uandike kitabu cha history ya zenj. Alla akupe umri mrefu kaka
@user-gv2bw8ef5o
@user-gv2bw8ef5o 11 ай бұрын
Hongerasana babuyetu mungu akupe umrimref
@yassinmohd7439
@yassinmohd7439 Жыл бұрын
Nimasikitiko makubwa mno leo hii kukosa dola yetu ya Zanzibar
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 11 ай бұрын
kwa hio sehemu kubwa ya historia tunayofundishwa ni uongo wa kina Mapuri
@dwiseman6665
@dwiseman6665 Жыл бұрын
Taifa la Zanzibar halikuasisiwa 1964
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 Жыл бұрын
Nashukuru sana leo nimeongeza kits katika hstry ya Zanzibar
@sleyumalgheithy3268
@sleyumalgheithy3268 Жыл бұрын
Aloondoa utunwa zanzibar ni Said Sultan 1824 badae Said Bargash alifunga soko la utumwa. Na waloanza utumwa ni wareno karne ya saba mbona hamsemi
@juma2979
@juma2979 Жыл бұрын
History nzr sana mana kuna wtu wanasema eti wazanzibar tulikuwa watumwa kumbe ni propaganda
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 11 ай бұрын
EWE ZANZIBAR!! UMEPOTELEA WAPI???😢
@utaani1
@utaani1 6 ай бұрын
Hamna mzanzibar hata mmoja aliwahi kuwa mtumwa enzi hizo Zanzibar ni nchi
@user-mq5rc5sr1l
@user-mq5rc5sr1l Жыл бұрын
Yaani kama si mapinduzi zanzibar ingekuwa tahiti na ingeendelea kiuchumi lakini leo wapi nchi tumewakabidhi wa tanganyika,
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 11 ай бұрын
Duh!!! Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni...mtu analilia kuwa mtumwa??!!!
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 10 ай бұрын
​@@mamboshepea8888Kwani hivi sasa sio watumwa? Mbona sisi ni watumwa wa Tanganyika maana kila kitu wanatuamulia wao na huu ndio utumwa sasa
@Zanzibar-LandOfBlacks
@Zanzibar-LandOfBlacks Жыл бұрын
sasa watu ndo wanaanza kuelewa habari za waarabu na weusi tulipigw changa la macho.
@kamanyolabilajasho3833
@kamanyolabilajasho3833 11 ай бұрын
Kumbe Ikulu ya Dar es Salaam pale Magogoni ilijengwa na Seyyid Majid!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Enzi twalibu abud alikuwa mwandishi wetu wa gazeti la uhuru na mzalendo kati ya mwaka 1973 nk na alizaa alimuoa mwandishi wa habari mwenzie anaitwa mama mshuza alikuwa mkristu alimbadilisha dini hao walikuwa waandishi wa habari wa wanawake wa uhuru alikuwa mama Rajabu mama Kasambala nawengineo namjua vizuri sana
@hamidakhatib9777
@hamidakhatib9777 Жыл бұрын
Mashallah
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Kweli kabisa Mzee Talib,"Mapenzi haina Dini"na watu wengi duniani hawajui hiyo.
@user-gv2bw8ef5o
@user-gv2bw8ef5o 11 ай бұрын
Maashallah
@wakwetu2444
@wakwetu2444 Жыл бұрын
Historia nzuri
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 Жыл бұрын
Yaani waliofanya mapinduzi ndio waliotufilisi maisha yetu
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Naam 🙌🙌
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Kabisa
@utaani1
@utaani1 6 ай бұрын
Hiyo kali wametufilisi maisha yetu! Umenifanya nicheke wallahi
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Muongano ukitoa tu waaslamu wa ulimwengu NA waarbu matajiri wataijenga zanzibari bure kutokana NA historia nzuri ya zanzibari basi ikatekwa upia milele baada ya kupata uhuru kamili kutoka ungereza 63 dola ilikuwa NA bendera NA kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani NA sarafa NA
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
Tumesoma Tip Tip hakuwa Mwarabu ikiwa nakumbuka vzr,alikuwa mnegro
@IDDIALIHAMADI-if1rq
@IDDIALIHAMADI-if1rq Жыл бұрын
Historia tamu sana
@nassirjuma5780
@nassirjuma5780 11 ай бұрын
Kumbe ubaguzi warangi ulikua toka zamani 😢 ndio mana eti
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Kwahio tangu yapite mapinduzi hakukua na masheikh wakubwa tena mpk leo imebakia stori tuu tunakosea wapi kurudisha hadhi ya masheikh wetu wawe masheikh wakubwa km walopita wa kupigiwa mfano hata kufikia kuitwa makka ndogo 😢
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 Жыл бұрын
Si yupo Mohd BACHU 😂
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
@@sleemhamoud4394 😂😂 unafanya maskhara ww umefikiria nini
@gangmore9091
@gangmore9091 Жыл бұрын
Katka hao Mashekhe mmoja wapo Mufti wa Oman 🇴🇲 mapinduzi yameondoa neema kubwa Zanzibar huzuni
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
@@gangmore9091 inaskitisha saana kwa kweli 😢
@barwani890
@barwani890 10 ай бұрын
Na wengine wamekufa
@salehalmamry5765
@salehalmamry5765 11 ай бұрын
Mbona kasahau kumtaja mfalme jamshed aliyekuwa mfalme.wa mwisho Aliyekimbilia uingereza nasasa yuko oman
@solomonadams6337
@solomonadams6337 Жыл бұрын
Hakuna tena nchi inayoitwa Zinjibar makosa makubwa kafanya Father K katutawalisha kwa wakoloni weusi Tanganyika Wazanzibar siku zote wanauliwa kwa dubuashana hili linaloitwa Muun'gano.
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Wewe tena nyamaza kabisa usitoe wakoloni weusi sisi hina maana yeyote wewe
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 11 ай бұрын
Hivyo ni kusema kuwa Zanzibar iliitawala Oman
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 11 ай бұрын
Huyu mzee mwengine naona siyaamini
@user-bo3vi8xv6s
@user-bo3vi8xv6s Жыл бұрын
Mke wa mfalume aliekonda ni znz na mke wa masikini alienenepa ni tanganyika
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
Mzee wewe kweli unafaa kwa interview Kama hii, wewe ndio unoijuwa kweli Histry ya Zanzibar bila ya kudanganya waskilizaji. Siyo wale wanoichafuwa histry ya Zanzibar kwa interview za OWONGO
@nassorali8040
@nassorali8040 Жыл бұрын
Usultani ulikua unatolewa na waengereza hawakua wakijichagulia wenyewe
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 11 ай бұрын
Tukaeni Leo kwa pamoja tuulizeni uhuru wa mwaka 1963 ambao unaitwa uhurubandia uliosababisha vitabu vya historia kuchomwa ili tuamini uhuru wa mwaka 1964 huu wa 63 tuliupata vip hapondipoinapo anza istoria yake
@user-bo3vi8xv6s
@user-bo3vi8xv6s Жыл бұрын
Miaka yote ww mzee ulikuwa wapi ukisikia unafiki ndio huooooo
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Tena mnafiki mkubwa kabisa ninyi ndiyo mnajua kusema leo mbona wakati wa enzi zenu hukusema mnafiki mkubwa wewe
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Itakua kanyimwa fungu lake katika serikali tuliyonayo, kama Ali Karume vile.
@jumasabour5886
@jumasabour5886 Жыл бұрын
Naomba kupatiwa alau jina la kitabu ambacho kitanisaidia kuipta history ya Kweli kuh Zanzibar. Maana niko dilemma 🤔
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 11 ай бұрын
Huyo Mzee Enzi ni mshenzi mshenzi TU. Anakaa michenzani jumba namba 8. Maadili zero kabisa huyo.
@francisrobert9652
@francisrobert9652 11 ай бұрын
safisana mzee anaakili sana
@mussajuma7460
@mussajuma7460 Жыл бұрын
Ndugu mtangazaji zanzibar sio kisiwa zanzibar ni visiwa angalia uzuri
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d 11 ай бұрын
Nnakuku balia kisiwa kilikua na nema nyingi kwa sababu watawala walikua warabu
@sleyumalgheithy3268
@sleyumalgheithy3268 Жыл бұрын
Na Salma hakuwaleta yeye wazungu hakupata misada kwa ndugu zake kwa kubadili dini .
@111dudi
@111dudi 11 ай бұрын
Huyu mzee,haijui historia vizuri. Hivi hajui kama waliokuwa wananunua watumwa walikuwa wazungu, wanawapeleka Amerika? Haijui Changu Island.tipu tipu hakuwa mfanya iashara ya watumwa, ni waafrika wenyewe ndio waliokiwa wakiwaleta watumwa pwani. Hajui lolote
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 11 ай бұрын
Tupe ya kwako nayo tusisikie
@111dudi
@111dudi 11 ай бұрын
@@mohamedsheikh6618 hiyo. Nimeshakupeni. Mauaji waliyayofanya wareno na wajerumani Afrika Mashariki hayazungumzwi. Utumwa uliofanywa na waingereza,wajerumani na wafransa afrika mashariki haufundishwi mashuleni. Mnalojua ni kuimba warabu walitufanya watumwa. Mkiulizwa kama mlikuwa watumwa nani alikuwa bwana wenu, mnakosa jibu. Kuna historia gani mwarabu aliuwa mwafrika? Hamna jibu. Waarabu walifika pwani za afrika mashariki ka la ya wabantu,ambao walikuja toka kusini wakawa wanakula watu. .sikilize rais museven,aliyekiri kuwa ni waafrika wenyewe.ndio waliowauza ndugu zao. Lakini mnachojua ni kukaum warabu masikii wa mungu, waliooana na waafrika na kuishi kwa amani karne na karne. Wafaransa na wabelgiji wameshaomba msamaha, kwa utumwa wao. Mbona hamuwasemi wahindi waliokiwa wafabya miashara ya watumwa wakubwa kama familia ya akina Topan,mbona hamuwasemi washirazi waliokiwa wanafuga watumwa ? sensa iliyofanywa miaka ile,ilipnesha washirazi walikuwa wanamilioi thelutji mbili ya watumwa zanzibar. Hebu mtukome
@drhalimalmaskari
@drhalimalmaskari Жыл бұрын
Seyyida Salma hakuwahi kua maskeen na hukueleza kua alikwenda UK kupatanishwa na kaka yake
@ommyhassa
@ommyhassa 10 ай бұрын
kweli alikuwa maskini nenda kasome kitabu chake mwenyewe
@user-rq7hr8ee7i
@user-rq7hr8ee7i 11 ай бұрын
Aaaa kumbe amakweli ukitakakumuambwa mpejina baya
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 11 ай бұрын
watu kutoka saudia tabuki na iraki wa yaman hao umewasahau
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 11 ай бұрын
Nikweli watumbatu wapo wabajuni wap wa shirazi makahatwani na makabila mengi umejitahidi
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 11 ай бұрын
Enzi talibu kwao ni bwagamoyo na mafia niwatu ambao zanzibar wa tanganyika
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Kwahiyo mzee anasema mtu mweusi hahukubalika kuwa mfalme.
@xxl5239
@xxl5239 Жыл бұрын
Ni dhana tu hiyo ambayo inabomolewa na ukweli kwamba hata huyo Sayyid Khalifa hakuwa mweupe
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 11 ай бұрын
Binaadamu bwana mnampa hingera ya nn na historia ya zanzibar bado hajaisema huyu
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 11 ай бұрын
Ni Bandar Salaam au Daru Salam? neno Bandar ni kipersia au kifursi kwa maana hiyo hiyo ya Bandar na Daru ni kiarabu kwa maana ya nyumba
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Mzee waambie wajue wao sio waarabu na muarabu hamkubali mtu mweusi lakini tunajisahau. Nitafuatilia sehemu ya pili. It is very interesting. Kwahiyo anakataa damu yake kwasababu ya rangi. Wow
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 11 ай бұрын
Mzungu ndio anamkubali mtu mweusi?
@fatimaalhabsii1728
@fatimaalhabsii1728 Жыл бұрын
Pengine alikuwa hajatafutwa huyu mzee
@MohamedAhmed-ix3mf
@MohamedAhmed-ix3mf Жыл бұрын
Diplomasia ndio maana haipati nafasi znz kumbe muanzilishi alikua kafiri aloritadi salme ndio laana inaitafuna znz mpaka leo
@canibalgazaboy8325
@canibalgazaboy8325 Жыл бұрын
Akili ndogo sana wew kiumbe ni kwasababu ya jina lako tu maana kama unatumia jina la kiongozi muongo unazani utakuwaje😂😂😂
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l Жыл бұрын
ENZI TALIB NI MNYAGATWA NA ASILI YAKE NI KILWA NA MAFIA SAWA SAWA NA ZAKIA MEHGJI. NA YEYE PIA ALIKUJA KUTOKA BARA. PIA HUYU HANA GENERATION MBILI HAPA. HUYU MTU MIONGONI MWA WATU WALIOFIKISHA HAPA ILIPO ZANZIBAR
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 11 ай бұрын
Kama hayo yako ni sawa unashauri nini tupe ushauri wako, kwasababu mfumo wa ulimwengu watu wa visiwa ni wahamiaji tu kutoka sehemu mbali mbali
@muddaththirhamoud1240
@muddaththirhamoud1240 Жыл бұрын
Saivi hamna tena maulamaa zanzibar ? Mbona naskia kama wapo bado..
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 11 ай бұрын
Muhamad bacho
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Usurutani wa nzanzibar ulikuwa ukoloni wa waarabu kwa weusi. Twambie jina la mtumbatu ambaye alikuwa mfalme wa hiyo dora ya nzanzibar.
@utaani1
@utaani1 6 ай бұрын
Hatukufahamu unaongea nini maana hujui kiswahili sidhani kama wewe ni mzanzibar
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 6 ай бұрын
@@utaani1 Sasa wewe mswahili na mzanzibari mbona kiswahili hujui. Haunifahamu au haunielewi?
@utaani1
@utaani1 6 ай бұрын
@@husseinmkanga7794 ndio maana yake kuwa hamna mtu anakufahamu. Mambo ya wazanzibar waachie wenyewe maana wewe si mzanzibar
@khamisjuma3760
@khamisjuma3760 Жыл бұрын
Sasa Mzee wetu kwani sasa msisomeshe hizo historical vizazi vyetu wakajuwa miye binafsi mengi nimesikiya leo
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 11 ай бұрын
mkifundishwa historia ya kweli mtapendana mtajuwa wamoja
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 11 ай бұрын
Bwana Enzi wewe ni Mwandishi ingefaa utuandikie historia ya kweli siyo Ile ya Mapuri iliyokataliwa. tunajitaji Historia isiyokuwa ya kinafiki.
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Story zile zile za kibaguzi, nani kaja mwanzo nani kaja mwisho. Yaani anatoa story kama wao ndio waliteremshwa na Zanzibar, yaani hawakuhamia.
MWANDISHI MKONGWE ZANZIBAR AIBUA YALIYOSAHAULIKA (SEMA NASI)
43:13
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,1 М.
JE, BODABODA NA BAJAJI WANAONEWA MJI MKONGWE?
8:23
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,1 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
IGIZO: NDOA YA KACHARA NI AIBU.
15:30
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 205 М.
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
WAFANYABIASHA WA AMANI WAILILIA CCM.
7:13
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,3 М.
HAWA NDIO WANAWAKE WA MAANA KWA WAUME ZAO
17:33
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1,6 М.
Tour of Historic Stone Town in Zanzibar, Tanzania 🇹🇿
26:10
Jason Billam Travel
Рет қаралды 71 М.
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 73 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН