Mzee Makamba awa mbogo amvaa Mwandishi "Usihoji vitu usivyovijua" asepa zake

  Рет қаралды 75,858

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Ni kutoka katika mkutano mkuu wa 10 wa CCM unaofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo Desemba 7, 2022.

Пікірлер: 302
@bugabyarugaba3771
@bugabyarugaba3771 Жыл бұрын
Leo makamba anakoroma Kuna Jambo nyuma ya pazia rip magufuri
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 Жыл бұрын
Wenye nchi eti ndio hawa duuh r.i.p mzee wetu magu
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 Жыл бұрын
Magu ndo katuachia nchi ya kijani coz akuwa mkwel kwene uchaguzi kwaiyo ye ndo ametuachia ichi kitu.
@kilimohub580
@kilimohub580 Жыл бұрын
Acha tu kaka
@mwitasteven8759
@mwitasteven8759 Жыл бұрын
Kama hapa ndipo ushauri wa nchi unapotokea ngoja tuendelee kuwa kichwa cha mwendawazimu.
@godfreybikukana2079
@godfreybikukana2079 Жыл бұрын
Hunalolote mzeemnafiki mkubwa Sana wewe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mnafiki sana kwa vile mwanae kapewa uwaziri na kazi yenyewe haiwezi umeme tabu maji tabu vitu vyetu vinaungua
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Жыл бұрын
R.I.P JPM 🙏🏼 kiukweli ulisema tutakukumbuka na kweli yametimia na kwa Hali hiii 😭😭😭😭Mzee akiona maji yanatoka kwake na umeme anajua na huku kwetu upo which is wrong
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 Жыл бұрын
Magu sifa zilizindi akaiba uchaguz ndo aya matokeo ya chama kimoja
@shijahlaurent3100
@shijahlaurent3100 Жыл бұрын
Huyu mzee ni kichaa.
@mariamjuma6223
@mariamjuma6223 Жыл бұрын
R.I.P baba Magufuri bado tunapitia mengi ya kukumbuka
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Жыл бұрын
Ww ni mpuuzi
@mariamjuma6223
@mariamjuma6223 Жыл бұрын
@@antonywilliama2868 nikikujibu wewe watu wanaweza kutuona wote wa puuzi kabsaa sema iv nikwambie hongera wewe mwelevu wa kwa kupitia comment ya mpuuz
@alihamad1952
@alihamad1952 Жыл бұрын
Watanzania tuna kazi kubwa kwa wazee wa namna hii
@noahemanuel7015
@noahemanuel7015 Жыл бұрын
Nakumbuka ile kauli ya madebe lidai "sio kila mwenye mvi ana busara, hata wajinga pia wanazeeka",😋😋😋😋
@esterkomba4072
@esterkomba4072 Жыл бұрын
Kuhusu umeme sababu mwanae waziri wa nishanti
@IddyMustapha-tj4du
@IddyMustapha-tj4du 6 ай бұрын
Umenene vyema na ndomaana anakuwa mbogo
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 Жыл бұрын
Huyu mzee hovyo!!! Eti kuwa na shukrani kwa umeme unaokatika kila siku? Huyu mzee mlevi wa pesa tu!!
@mariamjuma6223
@mariamjuma6223 Жыл бұрын
Bas mzee kama uwez kujibu kwa kutulia bas Acha tu mzee haina aja ya kufokea
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 Жыл бұрын
Kwa kweli watanzania tunakazi kubwa Sana mafisadi haoooo.....kazini
@hatibusozi622
@hatibusozi622 Жыл бұрын
Makamba hivi umzima kweli
@placidchaka214
@placidchaka214 5 ай бұрын
Mpoto aliwahi kughani
@massjmalulu3862
@massjmalulu3862 Жыл бұрын
Sasa huyo mwandishi kakosea nini wewe mzee unamatatizo
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Wewe 2025 utafika??mungu tu aturehemu
@moseshaule586
@moseshaule586 Жыл бұрын
Gwajima alisema hizo chanjo tuzichunguze kwanza tusije kuwa nanihii, mnaona sasa..
@buchumizack934
@buchumizack934 Жыл бұрын
Kwelihuyu mzeehana akili hawando wazee wange sema wamezeeka
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Huyu mzee hana maana
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Lizee lenye akilimbovu hawandiyo tatizo lanchihii wauaji wakatili wenyeroho zakibinafsi, magufuli alitesa wapinzani yeyekashabikia akasema anawabatiza kwamoto kwakejeri ninashangaa jamii moja watzwamoja lakini tunauana kwawivu wamadaraka inatiaaibu Sana, lazima watz tuamke jamani hiininchiyetu sote , hila mbaya zamaccm zinarudisha taifa kubaya hawasominyakati Wala hawajifunzi kwalolote, raiawatz bilakuhofia tuwaondowe madarakani waovu hawamaccm wAbinafusi wachoyo nafitina zabure,
@amanimusa5744
@amanimusa5744 Жыл бұрын
Jamaa kambana kimaswali mpaka kasepa
@ephremmtuya3094
@ephremmtuya3094 Жыл бұрын
Taifa (Nchi) halifananishwi na familia ( Nyumbani) kwa kuwa baba hakusanyi kodi kwa mke na watoto hivyo ni tofauti sana kama watu wanalipa kodi wanahki ya kuhoji kwa nini tunakosa maji na umeme siyo kupata majibu ya kejeli eti umesoma wewe ? hapo ni sawa na kuambiwa swali la mjinga
@ericron6115
@ericron6115 Жыл бұрын
Text ya msingi Sana umetoka...huyu mzee
@desdelius
@desdelius Жыл бұрын
Zeee zima busara ziro
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 Жыл бұрын
Makubwa umeme kwako hauwaki?😳😳😳😳 Naona aibu Mimi ,
@peemsafi6068
@peemsafi6068 Жыл бұрын
Tanzania hii wakina mwijaku ni wengi sana
@robosia2915
@robosia2915 Жыл бұрын
Huyu mzee siku nyingi maneno yake ni ya dharau anajisikia watanzania ni wapuuzi tu toto wake kushika hiyo nafasi ndiyo kosa ole wetu watanzania wa kipato cha chini hatujui tunaelekea wapi. Huy
@mpajikulwa5629
@mpajikulwa5629 Жыл бұрын
Mzee makamba povu kinamtoka swali dogo tu la changamoto ya umeme na maji majibu hana. R.I.P magufuri wengine wapiga hela tu
@jeremiahmtui6822
@jeremiahmtui6822 Жыл бұрын
Mzeee kacharukaaaa sanaaa leo
@bigdad1816
@bigdad1816 Жыл бұрын
Miaka 61 ya uhuru tuna watu wanaoshindwa kujibu hoja bali kutukana na kujifanya wao ndio wanaojua wanafiki
@mgayamgaya1673
@mgayamgaya1673 Жыл бұрын
Eti mshauri wa RAISI that's FUCKING bullshit
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 Жыл бұрын
Ccm mnajitekenya wenyewe mnahaki kutokujiamini,kwahuu udhaifu,nanidham,mbovu.kaz naumri mnazeekea humor.
@epimackjohn461
@epimackjohn461 Жыл бұрын
Maneno yanayosikika yanafanana na UMRI wa mzungumzaji ?JANA ni leo na leo ni JANA? alitaka kufafanua jambo vizuri kauli aliyoitumia imechafua na ime-DELETE Kila zuri kwa HESHIMA aliyo nayo ,si vibaya akakaa chini kutafakari aliyoyatamka kama yangemlenga yeye au mnasaba wake yeyote .
@johnwenceslausmmbaga3917
@johnwenceslausmmbaga3917 Жыл бұрын
mzee makamba hajitambui
@ابنعثمن
@ابنعثمن Жыл бұрын
Yaani hayo ndio majibu ya Mheshimiwa kwa mwandishi: Atamkacho mtu ni kile kilichoujaza moyo wake. "...chuo kikuu umekijenga na baba yako?" Mioyo imejaa viburi tu.
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 Жыл бұрын
KWELI MSEMA UKWELI NI MPENZI WA MUNGU.JPM ALISEMA NAJITOA KAFARA KWA KUWAELEZA UKWELI.MAGENERATOR YALIKUWA YANAIMBA KAMA NYIMBO ZA BONGO FREVA,MARA DUUUDUUDUU,MARA KEEEKEEE........JPM HATOSAULIKA KABISA.HATA KAMA WAKIJIFANYA NDO WAZIRI.
@saumsaum1916
@saumsaum1916 Жыл бұрын
Magufuli kaondoka na vitu vyangu vyote. Treni ya mwendo kasi imeishia hewani
@marceljohnkimaty4986
@marceljohnkimaty4986 Жыл бұрын
Aliyekuweza ni Magu tuuu. Sasa naona jeuri imerudi!!!!!
@manko5627
@manko5627 Жыл бұрын
Huyu mzee abafikiri nchi nikama nyumbayake anaunguruma Kama yuposeburenikwake
@obedpeter6874
@obedpeter6874 Жыл бұрын
Haki ya habari iko wapi?maskini mwandishi wa habari kazalilishwa
@mosesembughi4284
@mosesembughi4284 Жыл бұрын
Kupe we liizi LA tz.huyo mzee ni shetani .mashetani waliouwa magu.ndio mmoja
@graceedward8129
@graceedward8129 Жыл бұрын
Watapeli wakubwanyinyi munawaza pesatu watu wanakufa maskini nani awachaguee nyinyi mjichaguwe nyinyi wenyewe mafisadi 😾😾
@rushurikarashid3018
@rushurikarashid3018 Жыл бұрын
Hii nchi Ina wazee wa ajabu sana. Akili zisharudi utoton huyu kiumbe
@stephanopeter8217
@stephanopeter8217 Жыл бұрын
Mzee Bure kabisa inchi mnafanya ya familia yenu vifo ndivyo vitawatowa,
@justinmkumbwa2330
@justinmkumbwa2330 Жыл бұрын
Kamatunategemea wazee kamàhawa mikopohaitaisha nchii
@Alfred-y3e
@Alfred-y3e Жыл бұрын
Ccm tumeichoka usjitie Tamaa hamn hofu ya Mungu mmelasniwa
@kenedynedy2615
@kenedynedy2615 Жыл бұрын
Usilopenda kutendewa usimtendee mwenzioo hukum nihapahapa nasiombinguni
@johnsonnade7476
@johnsonnade7476 Жыл бұрын
Jamani wandishi poleni huyu mzee mnamgusa mwanaye jamani ndo maana anashindwa kuwasikiliza fresh ccm kura zetu hamtaziona 25 dadeki
@omaryramadhani290
@omaryramadhani290 Жыл бұрын
Nikuiondoa tu ccm madarakani wameshindwa kuiongoza nchi
@mosesembughi4284
@mosesembughi4284 Жыл бұрын
Huyo hajibu hoja anatetea bibi take na kumsifu mwizi wa nchi.we mzee jibu kupe we usitukane wandishi eti bibi yako ankusaidia.mnaupiga kwingi kwa kuiba na bibi yako badala ya kujibu swali unatukana mwandishi.mpeleke kwenye vyombo vya sheria
@amNANGUJI24
@amNANGUJI24 5 ай бұрын
Makamba amechemsha. Majibu gani hayo. Ana kibri ili mwanawe abakie kule
@ashirafukitololi540
@ashirafukitololi540 Жыл бұрын
Kwako nyumban hauwaki?😄😄😄 dam nzito kuliko maji
@antondeengu3804
@antondeengu3804 Жыл бұрын
Ndio kajenga na baba yake kwa sababu wanalipa Kodi huyu mzee msameheni amesjichanganya
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 Жыл бұрын
Huyu Mzee anaongea kiubabe dah kama ni hivyo dah je uongozi Tah tat hatari utafikiri ni siku ya kupigwa kura,
@supersportonetanzania7249
@supersportonetanzania7249 Жыл бұрын
Mwandishi wa khabari pole na majibu hayo usife moyo Siku zote kubali majibu ya ovyo kwa mtu anae tetea uhali wake
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 Жыл бұрын
Vyote avipo wewe mzee muaache rais afanye kazi yake toka mwalimu nyerere upo tu. Maji akuna mbili kumbwa umeme
@kaguripenina63
@kaguripenina63 Жыл бұрын
Mbona unashambuliana na mwanahabari
@dennisdidas6629
@dennisdidas6629 Жыл бұрын
Dahh!! Nchi hii haipo huru Tena, wahuni wanaendelea kutuburuza
@saikomkumbwa4812
@saikomkumbwa4812 Жыл бұрын
Mtoto wake si ni waziri Sasa atasemje kiwkwete si mtoto wake waziri ata semaje Sasa umewasikia amabao Awana WATOTO selikalinj ataongea huo upuuuz umeme unasimamiwa na mtoto wake atasemaje unazani waaache wapige pesa hao
@ballackmasungura6753
@ballackmasungura6753 Жыл бұрын
Amna ubora howowote mzee umezee ka unapigania ugali wakina makamba waendelee nauwaziri watubiye umeme Amna kwavile nyie mna majenereta ajui umeme Amna
@Mnengatv
@Mnengatv Жыл бұрын
Ingependeza..zaidi endapo mzee wetu ungeomba radhi..kwa kauli hizi kibinadamu hazifai.
@josephkinyaga2383
@josephkinyaga2383 Жыл бұрын
Makamba unajikomba umesha zeeka hupati uwazili tena mpuuzi we
@alsam4881
@alsam4881 Жыл бұрын
Mzee acha ubabe na udikteta, kwani ulikaa miaka mingapi Serikalini na mbona haujatatuwa matatizo ya maji na umeme? Na je kwako huwa unapewa maji na umeme kwa mgao? Ukweli huwa unauma na Ndiyo maana unapanik.
@barakaelkaaya40
@barakaelkaaya40 Жыл бұрын
hapa Hamna kitu..hivi unahisi atamshauri nini mwanaye kwenye nishat ? ??
@jubilatemanase9050
@jubilatemanase9050 Жыл бұрын
Duuh!for me no comment itoshe kusema iko shida kubwa🤔
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 Жыл бұрын
Wote wapgaji2, mnaona kama hamtokufa,
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 Жыл бұрын
We maji hakuna Tanga.miaka 60 baada ya uhuru,maji hayapatikani mijini
@hildapenina815
@hildapenina815 Жыл бұрын
Wote mtalipwa hap hap dunian hipo sku yenu
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Жыл бұрын
Wanaponda kusifiwa sasa kapondwa kama kisamvu kanuna kaondoka sasa ndio mjue watz wameamka sasaaaaaaaaaa,,,
@ZoomZoom-kk1yr
@ZoomZoom-kk1yr Жыл бұрын
Anauza majenereta huyu....
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Mnamuhojiiiii mtu anayekula mema ya nchi anakula pension anatunzwa mtoto wake waziriii matatizo yenu atayaelewa eti eti kuna tatizo la umeme kwake kuna masola kama yote tatizo la maji kwake kuna matanki ya maji litre 30,000 yamejaaa ajui maatatizo yenu machinga wa kariakooo hali ngumu mbaya umaskini
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 Жыл бұрын
Apana jpm miaka yake yote umeme maji avikuwepo ona jibu la.mzee inikatisha tamaa kambisa
@mastickhurchacha7840
@mastickhurchacha7840 Жыл бұрын
Kazi ipo RIP MAGUFURI
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 Жыл бұрын
Magu amelala akaacha uongoz wa kijani hahahah sa RIP YA NN
@eliusngereza156
@eliusngereza156 Жыл бұрын
2025 tukutane tukiwa hai bac ili mungu ajibu maombi ya watanzania
@remigiushaule3302
@remigiushaule3302 Жыл бұрын
Huyu mzee kwa sasa anahadithi na nahau tu mwacheni kachoka mtamchanganya tu.Kama ndo ushauli wa nchi unatoka hapo mm kazi ipo
@josephngassa7073
@josephngassa7073 Жыл бұрын
Huoni ukatili sio busars za uongozi ukiwa mstafu tumia busals kushauli vijana taifa lijalo
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Huyu c mzee ni mshenzi tu sasa ccm munashinda tangya lini daah ccm kuweni wakweli hiyi nchi imechoka sana
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Huyu hana tena uwezo tena wa kupambanua mambo, msimpe nafasi ya kuongea mbele ya hadhara kwani anaonekana anaishi awamu za nyuma huko
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Ccm wameishiwa sera. Mzee kakimbia maswali anafurahia hela za wizi kwa mwanaye anashindwa kumkanya asaidie taifa
@mariamjuma6223
@mariamjuma6223 Жыл бұрын
Maswala ya msingi unaulizwa kwako hauwake jaman nikwel eeeh
@michaelaletasmichael7514
@michaelaletasmichael7514 Жыл бұрын
Waandishi achaneni na uyo Mzee , ameshamaliza muda wake
@ibrahimcharlesswaleh
@ibrahimcharlesswaleh Жыл бұрын
😂😂😂😂 ujue makamba anachekesha saanaa.
@geey7893
@geey7893 Жыл бұрын
Wamepanic kisa wanaguswa watoto wao. Kumamae
@salehengome5881
@salehengome5881 Жыл бұрын
Nyinyi wazee kama nyinyi kina wewe makamba ndio mafisadi wakubwa na nyie ndio wahijumu nchi hiiii
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Sasa raia wanapata abari kwa wandishi sasa unakua mkari uyu sio wakumuwoji raia watapata abari vipi mpumbavu wewe mzee akiri una unatetea ugari
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 Жыл бұрын
Sasa hiv wanaviburi San hawa mafisadi tumerudi kule unanijua mimi ni nani?
@cezarmelimeli5376
@cezarmelimeli5376 Жыл бұрын
Mzee huna Cha kutuaambia unabwabwqja tu
@IddyMustapha-tj4du
@IddyMustapha-tj4du 6 ай бұрын
Makamba kakamatka alafu anakuwa mkal mbabe
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Жыл бұрын
HATUJI PATA RAIS KAMA MAGUFULI MPAKA KIAMA HAWA NI WACHUMIA TUMBO HAWAJUI HUKU MTAANI BEI ZA VYAKULA BIZAA JUU BEI,
@hildapenina815
@hildapenina815 Жыл бұрын
jembe letu lilisha tangulia tu akuna kitu
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 Жыл бұрын
Mzee Amepanic sababu Waziri wa Nishati ni Mwanawe na amegus ndipo
@flyhigher5393
@flyhigher5393 Жыл бұрын
Kweli kuna vichaaa ,hivi hawa ndowanatuongoza kweli???
@onesmomlinga804
@onesmomlinga804 Жыл бұрын
Mzee makamba c mstarabu anakiburi sana
@hassansimba3680
@hassansimba3680 Жыл бұрын
uyu mzee hana sela hana mualibia mama tu
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 Жыл бұрын
🤭😅😅🤭🤭🤭🤭🤭 naona aibu Mimi , CCM HAMNA KITU NI MWENDO WA KULAMBA ASALI KWENDA MBELE
@TradingPHD
@TradingPHD Жыл бұрын
Atakuja kugeuka mchawi siku zijazo.. sio kwa povu hiii
@agastprudence7639
@agastprudence7639 Жыл бұрын
Umeme unapatika kuzimu au????
@cezarmelimeli5376
@cezarmelimeli5376 Жыл бұрын
We mzee hebu tuondolee upuuzi
@boniphacesimkonda2293
@boniphacesimkonda2293 Жыл бұрын
Mzee kama kapanick Vle🙄🙄
@chrislameck1436
@chrislameck1436 Жыл бұрын
Haka kazee bhana kanazeeka vibaya
@elibarikmafie7490
@elibarikmafie7490 Жыл бұрын
Et hataki kuitwa mzee kwani yeye nani
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 Жыл бұрын
Kuna something wrong somewhere .....mmh
@gracejulius3966
@gracejulius3966 Жыл бұрын
Huyu ndiye Mzee Yusuf Makamba Mkuu wa Mkoa wa zamani Dsm. Kweli umetisha Mzee wangu kwa majibu yako
@IddyMustapha-tj4du
@IddyMustapha-tj4du 6 ай бұрын
Katisha Nini Sasa mim sijakiona alicho tisha
@icclcharters3389
@icclcharters3389 Жыл бұрын
Pata pesa tujue tabia yako
Azam TV - Mzee Makamba awasha moto tena, ampiga dongo Lowassa
12:52
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 22 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 19 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Salamu za Mzee Makamba
9:50
KKKT DKMS Online TV
Рет қаралды 159 М.
Jionee Zizi la Mzee Makamba | Ampa Somo Kussaga
2:34
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 15 М.
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
Baada ya kustaafu, haya ndiyo maisha ya Mzee Yusuf Makamba-2
8:18
Daily News Digital
Рет қаралды 150 М.
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 22 МЛН