KEEP UP THE GOOD WORK,THE TRUE FOLLOWERS OF AUTHENTIC SUNNAH OF OUR PROPHET (SAW). MAY ALLAH REWARD FOR YOUR GOOD WORKS INSHALLAH. I LOVE THESE TWO SHAIKH FOR ALLAH SAKE BY IBN RAJAB AL MA'AWY,LONDON UK.
@aliamour49702 жыл бұрын
Maashaallah sheikh nurdin uko sawa kutokana na majibu uliyompa kijana huyo hao ni wazandiki wakubwa na ndio watupu
@afric012 жыл бұрын
Aslm alkm ww... Allah akulinde, akukinge, na akuhifadhi sheikh wetu kipenzi. Allah akupe noor na akujaalie Pepo firdous yaa Rabb 🙏. Waja kusema nikazi yao. Tenda wema malipo Kwa Allah.
@fatuma2061 Жыл бұрын
Assalamualaikum sheikh kweli kabisa fitina nyingi waambie ukweli Allah akujalie kila kheri hapa Dunia na khera
@ahdahmed83834 жыл бұрын
Maashaallah
@shahnazakhtar42493 жыл бұрын
Please show the video of sheikh abdullah humeid.
@yusuphtwaha83865 жыл бұрын
Shekh Nisamehe pia Allah anisamehe mm nurdin naomba mtoto wangu asome kwako ada ntazimudu lakn nikikosa nivumilie
@jemsalwa3604 жыл бұрын
Lahaula walaquwwata ills billah
@mwnaidibushuti99584 жыл бұрын
Kurecod vedeo za darsa inafaida Sana Sana kunawatu hawapi Ata mda WA kwenda kusikiliza ila akiwa na cm yake mkono I uku a afanya kazi zake na huku anasijiliza mashalla mungu awape afya njema mashekeh wetu wallay
@mhoussineaboubacar26554 жыл бұрын
ٱحب المسلمون كلهم
@mzeemwamguno93675 жыл бұрын
Shukraniii shekhe wangu tuko pamoja
@ashaa48964 жыл бұрын
Shehe wangu mm nimejifunza mengi kupitia mawaidha yako tunakupenda sana mungu akuifadhi na husuda za waja wa Allah inshaa Allah
@asiahaji50814 жыл бұрын
Ni Ahlisunna au Answar sunna waljamaa?
@granazhashim360910 жыл бұрын
Mashallah barakalllahu fiyq
@mohammaddumila38755 жыл бұрын
Masha Allah
@namisgiggah15717 жыл бұрын
Shekhe kishki upo sahihi kabisa, mfano wamazingira ya kawaida kabisa, Sisi tunaoishi ughaibuni sehemu nyingi na nyenginezo hakuna miskiti,hakuna vikao vya kidini ambayo tutapata daawa na ukumbusho juu ya mambo mema. Basi alhmdllh tunafaidika kupitia hihi video za mashekhe wetu. Mungu atakupa kheri zaidi.
@ibrahimirab347210 жыл бұрын
jazakumullaah na mungu awabarikie nyote wawili na pia masheikh wote wa ahlul sunnah waljamaa
@abuahmad12066 жыл бұрын
Allah awahfadh mashekhe wetu
@iddijuma32544 жыл бұрын
Mungu awazidishie subra na hikma
@husseinramadhani36058 жыл бұрын
kila anaewaandama masheikh au kuwahukumu watu ni wakosaji wakubwa allah ndie mjuzi wakumtambua mwema na muovu kila mtu apiganie nafsi yake sababu nafsi ndie adui mkubwa wa mwanadam
@OmanOman-gc1zu6 жыл бұрын
Allah akuzidishie manufaa katik maish yako in shaa Allah
@asiahaji50814 жыл бұрын
Vitu vidogo Shekhe Kishki umeshatunga kitabu gani? Tokea umeanza daawaa?
@shkjumaa72704 жыл бұрын
Asia pinga kwa hoja
@AliShehe-tn6wb Жыл бұрын
Kk
@fa2mrisho12 жыл бұрын
Assalam aleykum.. I love sharing the videos u upload on facebook and the response is positive.. MashaAllah keep up the good work
@greenflower20787 жыл бұрын
Hongera kishki
@abuahmad12066 жыл бұрын
Wallah shekh Uwe na subra kupigwa vita amepgwa mtume
@francinensavyimana56014 жыл бұрын
Ni kweli kabisa na Mutume anasema kilajambo la kheiri katika uisilamu linaruhusiwa watakua kama makafiri ati kumuweka mutu damu ni zambi zambi gani nanijambo na kheiri .watu hawamujuwi MUTUME muhamadi ni vip kawa mutume wamwisho njo wanaketa ma bala ya maneno.
@73chengosaro48 жыл бұрын
BAHERO ni shehe anaye beba chuki katika kupinga kwake.MWANZO ANAWAKUFURISHA wenzake sana kwa chuki mbaya !!.asante Kishki kwa kuweka wazi!!.
@mzeemwamguno93675 жыл бұрын
shekhe wangu hata usiwe mnyonge wewe tupe daawah tuko nawewe
@TheSanni200011 жыл бұрын
THE AHLUL SUNNAH WAL JAM'AH THEY HAVE DEEP LOVE FOR THEIR MASHAIKH AND LOTS OF RESPECT.
@faridahfaa88569 жыл бұрын
Sheik mm na wapende sana ,na nimefahidika na mawaidha yenyu, wacha waho ni chiki 2 na hawana chochote, mm niko saudia bat natoka kenya, pia mm niliclim 2, sada nafurahi sana kwa kupata ilimu kutoka kw mawaidha, na Allah awape umri mrefu na afia, ilimtuelemisha, insha allah
@mohamedjeilan33256 жыл бұрын
Faridah Faa mashaallah
@nccmndnd80658 жыл бұрын
bahero nasema mungu ako mkono mguu na macho kwani mungu ni binadamu walam yakunlahu kufuan ahad ,mungu haifanani na chochote
@Enigma_667 жыл бұрын
Nccm Ndnd kwa Qur'an yasemwa Mungu ana Mkono lkni haijasemwa inafanana na ya Binadamu
@ayubuzomboko71575 жыл бұрын
Kila mpanda dhambi atavuna dhambi.wewe shekhe umesema shekhe Yusuf bin Ismail Nabahani mshirikina.bas Kama fitna we namba moja.Umemponda shekhe mkubwa huyo Dhambi yake ndo hiyo utabughudhiwa hadi mwisho.Nakibaya ndugu yangu mtu hajisifu.We Bado upo chini saaana kielim Rudi darasani kajifunze Ttawaadhui
@Elisahiminvisible5 жыл бұрын
Ayubu Zomboko hujamuelewa kabisa....usilete fitna katika dini
@hawaaswaleh82634 жыл бұрын
kabixa kenya ni kubayaa sanaa
@khamisptrany93932 жыл бұрын
Hawakutani masalafi wawili ila moja atampapura mwenzake, je wasemaje kwa wengine?
@ibrahimirab347210 жыл бұрын
allah said in the quran O believer do not follow footstep of satan indeed he is ur great enemy
@mimyorangekitchen590911 жыл бұрын
asalaaam aleiykum uko juuu sanaaa wakuachee zakooo
@ibrahimirab347210 жыл бұрын
una maanisha nini dada hivyo?
@nccmndnd80658 жыл бұрын
bahero ndiyo natukana shek na kabila ya bajuun, ndani khutba yake
@aliaboud92625 жыл бұрын
Aaa
@saumuseif91894 жыл бұрын
Wengi wao tunapenda mawaidha yako
@salaamclinicoftraditionalm36417 жыл бұрын
Watu wa Twariqa ndio wafuasi wakubwa wa Qur'an na Sunnah,na hakuna hadithi ya bwana Mtume SAW iliyo dhaifu...!
@ramamtetu23274 жыл бұрын
Al Marhumu Sheikh Abdallah Salehe Al Farsi Aliwahi Kusema; Debe tupu Haliishi Kelele Na Elimu chache ni Mzigo. Ukisomo Elimu Mustwalahu Al hadithi Utakuja jua Wanachuoni Wote Wanajua Kuna hadithi Sahihi Kuna hadithi Dhaifu Sababu hadithi ni Simulizi Za Maswahaba na Maswahaba Wakawafunza Wengine na Wengine wakawafunza pia Wengine. Hivyo ili Usimulie Hadithi Maulamaa wa hadithi wameweka Misingi Ya kukubali au Kuzikataa Khabari Kwa Sababu Ukiwaondoa Msahaba Waliobaki hapo Tunaweza kukataa maneno yao au kukubali.
@francinensavyimana56014 жыл бұрын
Kilakitu kitakuja ila muisilamu kwasababu ya MUTUME yuko na dictionary sioni tatizo na mutume kasafisha kilakitu duniyani na kesho akheira haramu zipo wazi na halali zipo wazi
@saumuseif91894 жыл бұрын
Wewe endelea na darsa zako wala usiwajali shekhe wetu
@ashaa48964 жыл бұрын
Achananae kupitia watoto watemeke wamemfundisha atakuwa amehelewa
@sadhiyaiman60388 жыл бұрын
sahih hawa ni wahabi shekhe lao anakubali maulid na hapa kishki anaongea tu asidanganye wacha watu wajiangalilie kwenye mtandao mwenye akili atajua haki
@asiahaji50814 жыл бұрын
Ooooooo,kwani Albaani ni nani? Mtu wa juzi tu ndio mumemfanya kama Swahaba kuliko hao waliopita? Halafu Kishki unatoa fatwa za kujuzu kurikodi vedio kwa sababu ndio unavyofanya ili kueneza itikadi zako?
@shkjumaa72704 жыл бұрын
Asia pinga kwa hoja
@shamsuddin45822 жыл бұрын
Soma ndugu
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
kishki tatizo wewe umesoma dini Lkn nikweli kishki hueleweki dhehebu lako ni lipi maana unatangatanga tu mana maibadhi unaungana nao mara mashia hueleweki
@shkjumaa72704 жыл бұрын
mmh unauhakika
@raiyaaaraiyaa60542 жыл бұрын
Niambie mtume s a w alikua dheheb gani. Coz alituachia vitu 2 Quran na Sunna. Hayo madhehebu mliyatoa wapi
@asiahaji50814 жыл бұрын
Ni rai ya mwanachuoni wa kiwahabbi,maana hillo angelitoa mwanachuoni wa Ahlisunna waljamaa ingekua bidaaaa,haraaam! Shirki!?
@mathayogisosi92546 жыл бұрын
Hatar Sana, nurdin humjui sheikh kassim mafuta!
@adanletoo25306 жыл бұрын
Ahahahaaa n sawa tu
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
Matayo Marco dAa mtihani masheigh wetu hawa yani bora engelisema sijawahi kimuona ila namsikia tu clip zake km mm lkn asiseme hamjui qassim ni salafi mkubwa ktk nchi hii na sheghe mkubwa sana wa suna
@mwanaimaabdallah78254 жыл бұрын
Tatizo uelewa wako
@samakimwenyekiundaniyamaji88857 жыл бұрын
Maneno mazito
@kasimukhalifani15754 жыл бұрын
Bahero kasoma wap na wewe huna lolote
@osamashakau13978 жыл бұрын
Makafiri wakubwa
@mariamsuleimanmunguakupeum65527 жыл бұрын
Osama Shakau kweli kabisa
@abuahmad12066 жыл бұрын
Wakufurisha mashekh kusema watak sunna ya mtume na maneno ya Allah
@mohamedadam59876 жыл бұрын
Subhana Allah wawaita wenzako makufar mola akusaidie