Mwanzo Mwisho Alichokisema Mkuu wa Majeshi Jenerali Mkunda Mkutano wa Mwaka na Makamanda JWTZ

  Рет қаралды 30,497

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)Jenerali John Jacob Mkubwa amezungumza haya wakati wa hotuba fupi ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Saba wa Mkuu wa Majeshi-CDF na Makamanda wa mwaka 2023 jijini Dar es Salaam leo Januari 22, 2024.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 31
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 8 ай бұрын
BRAVO BRAVO BRAVO good speech CDF
@SiwemaAmos-jf3fi
@SiwemaAmos-jf3fi 8 ай бұрын
Jamani kama Kuna wakimbizi wameteuliwa serkalini namwomba raise awe makini bila hivyo tutajuta happy badae
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 8 ай бұрын
Tunamshukuru sana wanajeshi wetu Kwa utii huo Kwa serikari.jeshi letu Lina nidhamu kubwa kabisa hongera wanajeshi wetu
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 7 ай бұрын
Kunawengine tena wanya rwanda wapo ngazi za juu tutakuja kutekwa bila kujua. Jeshi lisimame juu ya hili wasiwaachie hao wanasiasa
@nzungushikombesekei
@nzungushikombesekei 8 ай бұрын
Pamoja na hotuba nzuri ya Afande Mkuu wa majeshi hujagusa masilahi ya wanajeshi wa JWTZ wanaoishi kwa Shida kutokana kupata posho isiyokidhi nahitaji ya kila siku. Tunaomba utukumbuke umuombe amiri Jeshi mkuu aongeze pensheni kwa wastaafu wote. Posho ya 200000 haitoshi kuishi kama Binadamu wengine. Tunaathirika uraiani.
@benny4345
@benny4345 8 ай бұрын
SUMA JKT wamepewa kazi zote za ujenzi wa majumba ya serkali, bado wanalilia mtaji? What a joke! Ubinafsi
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 8 ай бұрын
MAKAMANDA SIMAMENI MSHIRIKIANE NA WANANCHI KUTETEA TAIFA LETU, KUNA SIKU TUTAVAMIWA KWA AJILI YA HAYA MAMBO ULOSEMA HAPO
@KashindiMwajuma-g7m
@KashindiMwajuma-g7m 8 ай бұрын
WA Congo. Hawajui. Kitu. Hujambazi.
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 8 ай бұрын
hii "UWILI" Inayorudiwa rudiwa humu kila mara ndo nini,kwa anae fahamu atuambie hata kirefu chake baasi jamani..
@allidehunter3223
@allidehunter3223 7 ай бұрын
Dunia ya sas sio kama zamanii vita vya sasa sio kama zamanii- tuboresheeni jeshi letu wananchii. - vita vya sas havipiganiwi polinituu katka mashimoo - tunaomba mafunzo yenu yanendane na dunia ya sasaa🙏.
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 8 ай бұрын
Vita kwa sasa....imeamia kwenye mikataba....nafikili ulinzi unge imilishwa zaidi uko tunaweza kulinnda mipaka alafu nchi inazidi kuvamiwa na kuibiwa malizake kupitia mikataba
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 8 ай бұрын
Eleweni kinachokusudiwa hapo
@christianndegeya8473
@christianndegeya8473 8 ай бұрын
Wa tanzaniya mutakuja kujuta kwa kosa muli fanya kwa kuleta jeshi lenu huku congo!!! Muulize jeshi la burundi kile walicho pata hapa!! Kweli jeshi la tzd linaweza kujiunga na Fdlr kundi la magaidi ????? Tumeshangaa kabisa , mbona mulishindwa kwenda kusaidia Musumbiji si nao jilani yenu?? na kuna magaidi pale ni raia wa tzd na wakipigwa wanaingia tzd bila tatizo?!
@DismasJoseph-z3y
@DismasJoseph-z3y 8 ай бұрын
Wapi mkuu kamandi vikosi chini ya makao makuu nkambi
@IssaThomas-q2u
@IssaThomas-q2u 8 ай бұрын
Mashoga ni wengi sana Tanzania laana inaanza kuwa sumbuwa kurusu ushoga ni sawa umerushu laana 😂😂😂😂😂😂😂
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 8 ай бұрын
Msifie anayekushib😮sha
@NyangetaMkondya
@NyangetaMkondya 8 ай бұрын
Hawana meno
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 8 ай бұрын
Huyu mkuu wa majeshi,simuelewi.
@castatomatovu3362
@castatomatovu3362 8 ай бұрын
huwezi kumwelewa kama wewe ni mkimbizi
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 8 ай бұрын
@@castatomatovu3362 Mimi SI mukimbizi,Niko kwetu Nairobi,Kenya.
@elsabio11
@elsabio11 8 ай бұрын
Wenye jeshi letu tunamuelewa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 8 ай бұрын
👊✌️👍。
@ymohammed963
@ymohammed963 8 ай бұрын
mambo kama haya hayakiwi kuongea kwenye mitandao
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 8 ай бұрын
Jeshi ni la nani? Mbn CDF kila tamko anatamka 'jeshi lako' kama vile ni jeshi la Rais?
@amosimariba9820
@amosimariba9820 8 ай бұрын
Rais ndie Mkuu wa majeshi yote na ndie muamuzi wa mwisho, kwa hiyo jeshi linamsikiliza Rais kwa lolote lile
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 8 ай бұрын
@@amosimariba9820 HILI NI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA. NI JESHI LA WATANZANIA. angekuwa tu anasema jeshi,hiyo ingetosha sana. mambo ya jeshi lako jeshi lako ndo Yanasababisha abuse. Kiongozi mkuu ana feel anaweza kufanya chochote mwisho wa siku jeshi la wananchi linatumika dhidi ya wananchi.
@hamishatibu1007
@hamishatibu1007 8 ай бұрын
Raisi ndie Amir Jeshi
@hamishatibu1007
@hamishatibu1007 8 ай бұрын
Na pia Raisi ndie anaemteua Mkuu wa Majeshi
@JUSTNEMITOMINGI
@JUSTNEMITOMINGI 8 ай бұрын
Jeshi na mikutano ya hadhala wapi na wapi
@mpajibinaisa7238
@mpajibinaisa7238 8 ай бұрын
Sikia hii kenge unaelewa nini kuhusu mkutano? Waliokutana ni macdf na makamanda watu wa aina yoyote wanapokutana sehem wakaanza maongezi au majadiliano huo unaitwa ni mkutano ndio maana haijawa semina
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
The Chanzo
Рет қаралды 101 М.
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Funny superhero siblings
Рет қаралды 10 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
MHE. RAIS SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE  - IKULU, DAR ES SALAAM
1:37:15
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE - IKULU, DAR ES SALAAM
1:33:10
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 27 М.