Ktk hotuba zote za mh,mama leo ndo nimefurahi Amri jeshi mkuu,❤❤❤
@samwelrobertАй бұрын
Kiukweli huyu mama Leo nimemuelewa sawa sana👏👏👏
@JosephRugafungaАй бұрын
Asante kutowafumbia macho wamangimeza wanao ropoka ovyo mkuu wa mkuu wa nchi yetu yuko imara kazi iendelee daima mama yetu
@Nadir_AbdullahАй бұрын
Oko vizuri raisi wangu❤❤❤
@khalidedom1871Ай бұрын
Mama hongera. Nutakia afya njema. Nashukuru kwa pitia habari kujua hali ikoje huku chini. Mitani tena. Nampongeza mkuy wa mkoa wa Arusha. Na wa Kikimanjaro mh soma kwa Makonda nakutakia kazi njema
@emmanueljoseph1496Ай бұрын
Kazi iendelee.Hongera mama yetu
@imanimgaya6607Ай бұрын
Hotuba nzuri sanaa ...tunakupenda mama 💕. Mitano tena
@ameenamohammed4413Ай бұрын
hii amani iliyoko Tanzania kuna siku tuanza kuitafuta kwa kusaga meno 😢😢😢 hongera mama unetoa maneno ya kishujaa🫡
@AllyNdeteАй бұрын
Sawa
@KhalidMlingaАй бұрын
Mama uko poa sana unaongoza vzrlakini wateule wako wanajisahau wanatakiwa wafike kwa watu wachini wasijilize na waasaidie wasigemee kwa viongizi wake kama Makonda. Tunateseka mama itabidi tukufikishie maana huku duu
@DimossoAthumaniАй бұрын
Mwanzoni nilikuwa nakuangalia bila majibu Sasa nimekuelewa simamia nchi kunawatu wanataka kujifanya nchihii niyakwao nakuona wanauwezo wakuiendesha selekali ila nikuombe mueshimiwa kusimamia hii tabia yakutekwa watu nakuuwawa isiwepo kwani siyonzuli kwamungu na kwatanzania yetu yenyesifa tele kwaamani
@AbdallaJuma-tx5ckАй бұрын
Tatizo nyinyi watanganyika mnakurupuka.mama hana ubaguzi.wenye ubaguzi alianza baba yenu Nyerere kutaka kutuibia nchii yetu ya zanzibar.miaka mingi watanganyika mnatuibia lakini mama ni mzanzobar ni.mzalendo ni islimu.
@Nadir_AbdullahАй бұрын
@@AbdallaJuma-tx5ck oko sahihi kabisa Watu wengi ambao wanaomtukana rais samia wanafanya hivyo kwa sababu tu ni Mzanzibari na mwanamke wa Kiislamu.
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Mama hiyo kauli umeteleza japo umeisawazisha vema kusema mtoto waliocheza hapo kama wazazi wao police au wazazi wanajeshi watabaki hapo hapo na kuongeza kusrma mnspeana ajila za kindugu yaan kwa mfano mimi baba yangu mkulima na miki nitakuwa mkulima haijarishi nimesoma mpk chuo au digree daah kweli mama unaupiga mwingi
@HappyKate-jv6geАй бұрын
Pointless kwa samia unashinikiza undungu kwenye ajira? Pointless
@niceonefurniture9721Ай бұрын
Jicho kama ngumi
@kennedymahundi3769Ай бұрын
Haya sasa,kazi kwenu wajuaji
@jacobmgumiro156Ай бұрын
Maandàmano nilazima Kwa wanaojielewa
@ManaseBuhanza-cl1lcАй бұрын
Wabuge na wenyevit wa mtaa kampeni za usiku serkali jicho kali kuona kira kona hatapewa form za kugombe katu kamwe siasa za uhaini Tanzania apana 2025,2035
@samwelimbiseАй бұрын
Ningekuwa hapo na mm ningepiga makofi tu kukufurahisha
@FrankMwakatundu-cu6bdАй бұрын
YALIYO WAZI NI YETU YALIYO SIRINI NI YAKE MUNGU!!!
@egnomsigwa8418Ай бұрын
Mama fanya kazi yako uliyo achiwa kikatiba ila 2025 nakuomba pumzika tunataka watanzania wengine wagombee maana wewe unalea sana mafisadi ukiona kiongozi hakemei rushwa ujuwe nayeye nimwizi
@MrSarroomАй бұрын
Amani ipo rushwa ipo pia🙊
@MkungwaNgwarumbwaАй бұрын
Watanzania wote wamesimama kwa kauli moja vitisho vya utekaji na mauwaji kamwe hayatajirudia tena huu ndio msimamo vinginevyo tukipuuza tunu ya umoja itatugawa ya nn yote hayoo...
@AlikinaHassanАй бұрын
Nakuelewa xana mama ww nijeshi
@samwellwiza1098Ай бұрын
Mungu akulinde mama yetu
@rashidsaid696Ай бұрын
Nakukubari sana mama yetu wa tz
@molenicharles9107Ай бұрын
Kama wameota mikia...🐒🦍.,wakatwe kabisa🙏💪💪
@AlikinaHassanАй бұрын
Naku
@DimossoAthumaniАй бұрын
Leo nimekuelewa mama umeongea kwakujiamini nakuzihilisha kuwa nilahisi
@philemonnongu3222Ай бұрын
Samia sema sema usiogope sema hii Sasa itawagusa wa maandamano
@BadiFakibadiАй бұрын
Ndiyomaana mnatuteka na kutuua na Kira baada ya miaka mitano inapofanyika uchaguzi tunazika watu na kuchezea vipigo na kututia uremavu
@AbdallaJuma-tx5ckАй бұрын
@@BadiFakibadi we badilisha kauli unajuulikama.
@ramadhanmazije3882Ай бұрын
Safi sana. Eti watupangie cha kufanya HAPANA. Trump almanusura wamtoe ubongo nan kawaambia nini cha kufanya!!
@anamsaid8610Ай бұрын
Tena kakoswa mara mbili huskii wamarekani wakitaka uchunguzi kutoka mataifa mengine
@rashidsaid696Ай бұрын
Allah akupo nguvu na afya njema hekma na busara kwa kuliongoza taifa letu hongera mm yetu mpedwa
@AbdallaJuma-tx5ckАй бұрын
Mama wambie ukweli hao wasio jielewa.watanganyika
@Nadir_AbdullahАй бұрын
@AbdallaJuma-tx5ck wenge wa watanganyika ni watu wastarabu hibo Jaribu kutumia maneno ambayo yanaunganisha watu, na sio kinyume chake🫸🤏
@AbdallaJuma-tx5ckАй бұрын
@@Nadir_Abdullah nyinyi mnaustarabu kweli huku Zanzibar tumecho na watanganyika.maana uhuni wote ndio nyinyi.wanauza Kuma mpaka mitaani huo ndio ustaarabu.mujuwe wazamzibar wote hatutaki muungano na watanganyika.kwa Nini mnatuzalimisha?