Mwanzo mwisho mazishi ya Benard Membe, Kikwete aongoza mamia, ya waombolewzaji

  Рет қаралды 35,833

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mwanzo mwisho mazishi ya Benard Membe, Kikwete aongoza mamia, ya waombolewzaji

Пікірлер: 29
@fauziawaziriwazirimsumari2245
@fauziawaziriwazirimsumari2245 Жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia kwa msiba mzito pia poleni sana majilani pole sana mgeshimiwa nape naona msiba umekugusa sana pole sana mungu akutie nguvu watie nguvu na wanafamilia amina
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Daaah ULALE PEMA MZEE WETU BERNAD KAMILIUS MEMBE....BWANA MUNGU ATAKUFUFUA SIKU YA MWISHO
@fauziawaziriwazirimsumari2245
@fauziawaziriwazirimsumari2245 Жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia pole pia mheshimiwa nape naona msiba umekugusa sana pole sana nape mungu akutie nguvu
@user-qm5un9yc8r
@user-qm5un9yc8r Жыл бұрын
Poleni sana familia ya membe
@EstherEusebius-fk7vu
@EstherEusebius-fk7vu Жыл бұрын
wakati mtu kafa sio mda wa kuhukumu ni kumuachia tu Mungu ni huzuni kwakweli ila ni kumshukuru Mungu kwa yote hata kwa mpendwa wetu benard membe ametutoka😢😞😩🙏
@Johnmanonmasalu
@Johnmanonmasalu Жыл бұрын
😭😭😭😭
@laurianimremaa
@laurianimremaa Жыл бұрын
Polenii
@violetdigidi-jq3eo
@violetdigidi-jq3eo Жыл бұрын
Rest in peace
@gaudencetrump9298
@gaudencetrump9298 Жыл бұрын
Pumzika kwa aman membe
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 Жыл бұрын
Pumzika kwa Aman.Mzee MEMBE
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Hapa ndio hua ni kikomo Cha kiburi Cha mwanadamu.. fanya yote mabaya ufanyayo ila utaishia hapa
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Жыл бұрын
Sasa nyinyi makafiri mmekataa uguswa na mchanga sasa mbona mnajaza mchanga hapa ndio makafiri walipo kosa AKILI
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
We akili zako ni Mungu tu akusaidie ila kimsingi HUNA AKILI ...POLE KWA WAZAZI WAKO
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
It's so pani
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Ukiguswa wew inatosha , ya kafiri waachie wao makafiri mbuzi wew
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Жыл бұрын
@@sir_ENOCKMACHA bora kuliko kufa ukiwa kafiri
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Жыл бұрын
@@annasolomon9855 Hata niwe mbwa ila kafiri motoni tu hakuna pepo wala cha yesu kubeba zambi zamtu
@neemasazia-vg9sh
@neemasazia-vg9sh Жыл бұрын
Huo ndio mwisho wa mwanadamu jamani
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Kikwete alikuwa Swahiba wake wa Awamu ya 4 Kwa hiyo dio ajabu yeye kuongoza sio ajabu. Kasoro tuu wanaidaiwa na Wananchi kwa Ufisadi wa hali ya juu walioufanya kwenye awamu yao 4. Twigs kupandishwa ndege wakiwa Hai, Tembo 29,000 kuuwawa na pembe kuuzwa nje, Escrow n.k
@glibethjesse336
@glibethjesse336 Жыл бұрын
Mungu ailaze pema roho yake nawapenda Sana viongozi wangu
@EstherEusebius-fk7vu
@EstherEusebius-fk7vu Жыл бұрын
hata kama lkn sas sio mda wa kumuhukumu yeye kashafariki pia ukumbuke hukumu ni juu ya Mungu muumba
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
@@glibethjesse336 Julia kupokezana hata sisi tulilia kwa Magu mpaka Sasa Bado tunaliaga tu
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Hata hivo waliila Sana nchi acha akajibu mbele
@EstherEusebius-fk7vu
@EstherEusebius-fk7vu Жыл бұрын
@@annasolomon9855 hata mm nliumia kwa magu ila kuanza kumuhukumu mtu na kashakufa sio vizuri tena hukumu si juu yenu ni juu ya Mungu na sidhani kama yote alyoyafanya duniani ni mabaya tu. unapohukumu jtafakar na ww n mwema kwani unaweza hata ww ukawa umekwaza wengine huko.
@ericasimon9631
@ericasimon9631 Жыл бұрын
Alikuwa mtu wa watu
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Watu wepi??
@PiliMnola-fm6oq
@PiliMnola-fm6oq Жыл бұрын
😂😂😂
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 67 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 4,8 М.
LIVE: Putin arrives in Mongolia ahead of state visit
20:26
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 63 М.
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН