Рет қаралды 8,661
Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaofanyika jijini Dodoma, Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huu maalum uliowakutanisha wabunge zaidi ya 1900, na kuhudhuiwa na watu zaidi ya 5,000
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved.