Рет қаралды 2,582
Kila mwanadamu aliye zaliwa na mwanamke miaka yake ya kuishi inahesabika.
Huu ni wimbo amabo umeimbwa na waimbaji wa nyimbo za injili wa USA, ili kumuaga mpendwa wao katika hududma SAINT STEPHANIE OBEDI. Ikumbukwe kuwa stephanie alifariki tariki 8/04/2024 na kuzikwa tarehe 08/17/2024 pale IOWA CITY . MUNGU AILAZE MAHALI PEMA ROHO YA SAINT STEPHANIE AMEN.