MWENYEKITI wa CCM na DIWANI WAFIKISHWA MAHAKAMANI kwa TUHUMA za KUMUUA KATIBU wa CCM wa KILOLO....

  Рет қаралды 16,053

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 17
@globaltv_online
@globaltv_online 2 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@gililwise
@gililwise 2 күн бұрын
Duh mnauana wenyewe kwa wenyewe ccm.
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 Күн бұрын
Kila siku ikimwagika damu ya mtu huwa Kuna balaa kubwa inafuata, hata usipojulikana.
@mtotowamanka
@mtotowamanka Күн бұрын
Ila akouawa upnzn a aah😢
@Zillionking627
@Zillionking627 2 күн бұрын
Meanza kutumia AI
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c Күн бұрын
Si unaona tulitabiri kuwa hawa utakuta ni hujuma au dhuluma za wao kwa wao ndani ya sisiem kuhusiana na uchaguzi
@AnjelicaBayyone
@AnjelicaBayyone 14 сағат бұрын
Kwa mtu wa ccm kesi inaharakishwa lakini kama ni mtu wa chama kingine husikii hatua ya aina yeyote can you imagine
@KoleYasini
@KoleYasini Күн бұрын
Maarufu katili
@catherineyunge98
@catherineyunge98 Күн бұрын
Na kwenye msiba walikuwepo
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 2 күн бұрын
Global acheni kutumia Al huo ni ushamba habari zenu zitakosa kuaminika
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Күн бұрын
Kabisaa
@HawaJumanne-uy4eu
@HawaJumanne-uy4eu Күн бұрын
Uchu wa madaraka mpaka wanauwana daah😢
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Күн бұрын
Damu za ccm zinauwana wenyewe Kwa wenyewe je? Angekuwa ni chama pinzani ingekuwaje wee diwani na mwenyekiti?
@NeemaMasala-o7c
@NeemaMasala-o7c Күн бұрын
Mnauana weyewe kwa wenyewe.mxiw
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 күн бұрын
Mbona wanatembea kama mazombi
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 2 күн бұрын
Iyo video vp
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 144 М.
AFYA: SABABU 10 ZITAKAZOFANYA FIGO ZAKO KUFA-JANABI
9:03
Mchumi Digital
Рет қаралды 63 М.