Mwezi wa Saudia au Tanzania?Sheikh Shamsi amefunga mjadala

  Рет қаралды 14,217

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 8 ай бұрын
Maa Shaa Allah maa Shaa Allah maaa shaa Allah 🎉sheikh wetu Allah akupe kheri isiyo na hisaab
@Golanh4786
@Golanh4786 8 ай бұрын
Masheikh wote hapa tanzania wangekuwa wakisema manone haya basi tungekuwa mbali. Allah akuhifadhi sheikh
@ellyndaprincess3235
@ellyndaprincess3235 8 ай бұрын
Hawa ndo mashekh wanaoitajika katika jamii , ❤
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 8 ай бұрын
JAZAAKA LLAAHU KHEIR SHEKH,UMEMALIZA MJADALA KWA HOJA ZAKO ZILIZO SAHIHI
@JamalAbdallah-m1o
@JamalAbdallah-m1o 8 ай бұрын
Ikhlilafu iliyokuwepo inayozungumzwa ni hii na si kutofautiana kwny nchi moja, mnapozungumzia Ikhlilafu bainisheni hili, si kutaka kuhalalisha ikhtilafu ndani ya nchi moja, TUMCHE ALLAH
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 8 ай бұрын
Swadaqta
@dhaham1547
@dhaham1547 8 ай бұрын
Sawasawa sheikh
@JamalAbdallah-m1o
@JamalAbdallah-m1o 8 ай бұрын
Wenzetu walikhitilafiana nchi moja na nyengine, na kwa sababu Kila nchi ilifuata mwezi wa kwao, leo tunakhitalifiana ndani ya nchi moja, ni ajabu sana, watu wanaenda tofauti na waja wema waliotangulia, wao hawakukhitilafiana ndani ya nchi moja walitofautiana na nchi nyengine, Lkn ktk nchi moja walifunga na kufunga pamoja, leo kuna watu wanafuata muandamo wa nchi ya mbali ili watofautiane na watu wa kwao, maswahaba hawakufanya hivi, hebu tumwogope Allah urudi kwny mstari
@JamalAbdallah-m1o
@JamalAbdallah-m1o 8 ай бұрын
Haijawahi kutokea wakati wa Mtume (saw) wala wakati wa maswahaba wala waja wema waliotangulia kufunga kufunga tofauti ndani ya nchi moja eti kw sbb wengine wameamua tu kw hawaa zao kufuata mwezi wa nchi ya mbali
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 8 ай бұрын
Swadaqta Akhy
@salimamugeni3568
@salimamugeni3568 8 ай бұрын
Kweli kabisa Wa iyyakum ameen
@salmahasani5169
@salmahasani5169 8 ай бұрын
Ishalla mungu akuzidishie shee
@lemalisipilali
@lemalisipilali 8 ай бұрын
Inshaallah ❤❤❤
@TatuRamadhani-r6h
@TatuRamadhani-r6h 8 ай бұрын
Jazakallah kheir
@MakameMufadhil-n8d
@MakameMufadhil-n8d 8 ай бұрын
Nakukubali kesho nakula kuku
@user13375
@user13375 8 ай бұрын
Kwann kila ikifika 🌙,marumbano kama yote kwann kusitolewe ilim kabla
@IbrahimIdrisa-tl6wm
@IbrahimIdrisa-tl6wm 7 ай бұрын
Kwanini tukubaliane katika ikhtilafu za muandamo wa mwezi na sio ikhtilafu nyengine zikataliwe ziitwe uzushi?
@S.SWarfa
@S.SWarfa 7 ай бұрын
2:47
@KaramaMuhammad
@KaramaMuhammad 8 ай бұрын
Sasa mfano kwa hao wanaoanza siku ya pili mfano ikafika tarehe ishirni na Tisa mwezi ukaandama hapo sheria inakuaje make wanakua na ishrini na nane naomba nifahamishwe.
@S.SWarfa
@S.SWarfa 7 ай бұрын
Asalam Aleykum sheikh jitihada inahitajika zaidi. Kwa nini kuwe na khitlafu kwani kuna miezi mingapi? Kutatua swala hili nyinyi mashekhe waalikeni wataalmu wa jiografia wawaelimishe kuhusu utaalamu wa mwezi. Kufunga siku ya Eid ni haramu mko tayari kubeba hizo dhambi? .Msilione ni jambo dogo ni jambo kubwa sana. Jitihada ya zaidi inahitajika.
@RahmaMfaume-x4x
@RahmaMfaume-x4x 8 ай бұрын
Shekhe MUNGU akulipe.
@jalalibakarihassani8373
@jalalibakarihassani8373 8 ай бұрын
Teem saudia❤
@hamishasan7737
@hamishasan7737 8 ай бұрын
Wengine wanasubiri mwezi wa bakwata
@Abdallah-e7o
@Abdallah-e7o 8 ай бұрын
Mwez WA mawahabi Kila mwaka nyio huanza kuuona
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 8 ай бұрын
Kufuata mwezi Saudia Arabia bora ufuate jamaica😂😂😂😂
@tariqsinga8440
@tariqsinga8440 8 ай бұрын
Kwa nini
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 8 ай бұрын
Usilete habari za Saudia sisi hatufuati Saudia
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 8 ай бұрын
@@abdallahsuwed65 munafuata wapi?
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el 8 ай бұрын
Munajua kwa nini munalumbana? Nakupa Aya82 an nisaa. افلا يتدبرون القرآن ولو كان من عند غير الله لوجدوا فيه اختلافا كثيرا Kama mungekuwa mumechukua maana ya شهر رمضان الذي انزل فيه القرآن kutoka kwa Qur'an na wala si kwa vitabu vyenu musingetofautiana. Shida ni hamuelewi nini maana ya aya hiyo wala inakusudia nini.
@Golanh4786
@Golanh4786 8 ай бұрын
Umesoma ukiwa unasinzia wewe soma tena.
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el 8 ай бұрын
@@Golanh4786 samahani nimekosea hapo mwanzo wa Aya ingelikuwa ni افلا hata hivyo nimekupa sura na Aya namba yake maana kama mwanadamu naeza kosea na kukosea si aibu
@abiabi9353
@abiabi9353 8 ай бұрын
Wewe huna lolote Bali ni mpotoshaji wakiwahabi. Swala hili halina ikhtilafu ila mawahabi tu ndo wanalazimisha lionekane lina ikhtilafu
@SanifaSaidi
@SanifaSaidi 8 ай бұрын
Ww soma dini uelewe acha kufuata mkumbo
@naimaaliy1727
@naimaaliy1727 8 ай бұрын
Kweli kabisa kwa wakati huu tulofikia kila mmoja keshajua ukweli ni upi ni mtu na maamuzi yake binafsi tu malumbano hayana umuhim wowote Maana suala la mwezi kila mtu hua shekh wa kutoa fatwa na hukmu lakini masuala makubwa yanayoudhalilisha uislam mashekh hawa huwa kimyaa kama washakufa
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 8 ай бұрын
Kuna dini hapo ndgu yangu mtihani tu mwenye dini hufikwa na busala
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 8 ай бұрын
Jifunze adabu ndugu
@shazilali945
@shazilali945 8 ай бұрын
Kua ni mwenye akhlaki njema kijana muhofie Allah uyo anae zungumza ni mwanachuoni na wanachuoni ni warithi wa nani ?
Surah Mulk - سورة الملك Recitation For Inner Peace & Restfulness | NOOR
3:53:10
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 5 МЛН
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 4,4 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 51 МЛН
Epuka sana NZI kama wataka Ndoa yako idumu - Sheikh Izudin
18:01
Mjue Ukht Raya Omar,kipenzi cha wengi
12:13
Kalamutz
Рет қаралды 9 М.
HISTORIA YA SHEIKH WALID NA WALII WA MUNGU
5:57
Mkwacha Tv
Рет қаралды 3,2 М.