BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@michaelmabula7444 Жыл бұрын
Kwa haya leo Mwigulu umeongea point sana Akili zimeanza kukurudi, Safi sana
@masanjanyanda9775 Жыл бұрын
Tatzo mwingulu hujamuelewa mpina hivi kiwanda kinatiririsha maji taka ya sumu kisifungwe hadi watatue tatzo huu utakuwa uchizi mwingulu anawazia maduka lkn mpina kaangalia zaidi ya maduka. Mwingulu jifunze kueshimu mawazo ya wabunge sio kutaja jina la.samia yy nani hata aruhusu upuuzi, na mpina anaongelea sheria zilizopo lkn mwingulu anaongelea nadharia
@igulug5450 Жыл бұрын
Kwa kweli Mh. Mwigulu kwa hili nimelipenda sana mungu akubariki na sisi tujisikie raha ivi kwa mfano mimi nimeumwa mwaka mzima siwezi kufanya biashara kwa hiyo biashara yangu haiwezi kwenda kisa mapato bac wanivumilie nikipona nitalipa kondi. Watanzania tuwe makini sana wabunge hawa wanatungombanisha na serikali
@noelnoel4916 Жыл бұрын
Asante sana, Mh Mwigulu leo umeongea vizuri sana. Mbalikiwe sana viongozi mnaoleta mabadiliko
@godwineliya4686 Жыл бұрын
Dah Umeongea Point Sana
@abdulshabani6663 Жыл бұрын
Mh. Mpina ndio amekufanya leo kuongea hayo kwangu mpina yupo sahihi
@athanaskallega4824 Жыл бұрын
wewe na mpina hamna hata BUSARA. HONGERA MWIGURU endelea na msimamo huo brother wenzetu ndivyo wanavyofanya wanaobeza ni wala RUSHWA TUUU, wanafungia wafanyi biashara kisha wanaomba RUSHWA ndio ufunguliwe biashara yako
@deoluma1706 Жыл бұрын
Nampenda sana mpina
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
Leo Mwiguru kawatetea wananchi sijawahi kumuona hv
@aronesamson3692 Жыл бұрын
leo kama vile mwigulu umeupiga mwingi sana
@noellumbael8397 Жыл бұрын
Mh. Mwigulu mbona Leo umenifurahisha Sana?... Hongera Sana !
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Mpina ndio wanaotutetea hao wengine wanajiona Wana akili kumbe mabogas
@amalykibondei1644 Жыл бұрын
Hongera sana mh waziri
@salumbey1120 Жыл бұрын
Leo ameongea point sana
@venikompumu9951 Жыл бұрын
Leo kweli mwigulu umenena hongela sana mhemiwa wazili
@makusaro2289 Жыл бұрын
Mwigulu amemuelewa Mpina nusu nusu.Pia amejikomba kwa wananchi baada ya kashfa yake na Waarabu.Kuna mambo yanastahili kufunga kwanza ukiacha biashara za maduka na huduma muhimu.Aliyokuwa anafanya Mwigulu wakati wa Magu ni kinyume na anachozungumza leo.Kuna kiongozi mkubwa sana chini ya Magu alikuwa anataka kujiuzulu kwa sababu ya uonevu kwa baadhi ya watumishi wa umma na wafanyabiashara.Alishauriwa asijiuzulu. Leo hii hekima imetumika ila Mpina anasakamwa kwa sababu anapinga ushauri mbovu kwa Mh.Rais hasa vifungu vya sheria katika mkataba wa uwekezaji kwenye bandari.
@bhmeela Жыл бұрын
Hongera mh❤❤❤
@adolfmjunguz9794 Жыл бұрын
Nimekuelewa mh.waziri wa fedha🇹🇿salama.
@theresiacostantine132 Жыл бұрын
Asante leo umeongea nilikuwa sikuelewi kabisa
@yomseyyomsey5114 Жыл бұрын
Yeye mpina Ni mawazo yake ndio maana ya bunge Bora yeye wengine Ni ndio kila Jambo, japo umejibu vizur ila mpina mawazo yake yaheshimiwe
@juliusbura4550 Жыл бұрын
Leo ndiyo imejua ulituambia tuhame Burundi umebadilika lini?
Hapo upo Sawa kabisa, Mpina akumbuke samaki kwa rula
@chiefndatu1895 Жыл бұрын
Mbona anamtaja sana rais!!
@lilyjones3584 Жыл бұрын
Leo Mwigulu ufahamu umemrudia. Siyo yale majibu ya watu wahamie Burundi!
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
upi huo rabda ? ye na wenzake sindio wameuwa wafanya biashara wadogo wadogo waliojiajir kwa ajili yakulisha familia zao na kusomesha sasa ufahamu wake wakutetea wakwepa kodi tena walio matajir ?
@isackyohana2707 Жыл бұрын
Kwa mara ya Kwanza Mimi Leo nimekuelewa,,
@faustinthomas9551 Жыл бұрын
Huyu nimuongo kwelikweli sasa kama wafanya biashara muhimu kwanini wamachinga mnawatendea mabaya kila wakati kwa hapa dar nenda masaki wanavyo sumbuliwa wajasiriamali
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Leo nimekuelewa ,umejitahidi kumtetea mnyonge
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Awamu ya 5 ilikuwa adui ya sekta binafsi. Mpina apunguze makasiriko.wakati mwingine, mpina ana point lakini wakati mwingine anataka kuwa kama marehemu kaka yake.
@richardmagaka9525 Жыл бұрын
Dah waziri mwiguru leo umenifurahisha sana
@hassaniulende-sp6io7 ай бұрын
MWIGILU HUNA KAZI YOYOTE PISHA WATU WAOONGEE , MPINA NI MMBUNGE MWENYE AKILI ILIYOSALIMIKA SANA BIG UP SANA MPINA ,
@sylvanusmwamlima7 ай бұрын
Mwigulu leo nakupa hongera umeongea kama waziri wa fedha mwenye akili timamu.
@felixmdesa3053 Жыл бұрын
Kaka nakuelewa sana songa mbele,, umeongea point sana
@amalykibondei1644 Жыл бұрын
Nashukuru sana serikal ya mama samia kwa hili la kutofunga biashra za watanzania maana weng wameumia sana na wengine walikufa kupitia kufunga na kunyanganya fedha
@kundacyprian7105 Жыл бұрын
Migulu hapa nimekupenda Kaka yangu.. Mungu akubariki Kwa hili
@swalehntemagu3661 Жыл бұрын
h. Mwigulu ni sahihi kutofunga biashara . Ushauri tu sheria ya kodi itumike vyema ikiwa pamoja na kuweka bei ktk kila bidhaa ktk maduka yaani " Price tag " kama ilivyo ktk maduka ya " Super Markets " Sambamba na matumizi sahihi ya IFD mashine
@abdullahchabukila6686 Жыл бұрын
Uyu Jamaa mwigulu jau kichiz anajikosha kwa wananchi 😅
@mkonkjuakali3078 Жыл бұрын
Ktk siku ambayo angalau umesema point ni ktk hili pongezi zako Dr mwigulu
@kashindisimon5265 Жыл бұрын
Je mpina alikuwa akifanya hayo akiwa waziri anaetokana na serikali ya TLP???
@mlamilainvestment4142 Жыл бұрын
Mpina Jembe Bana hauwezi kumchafua kwa watu waelewa kama sisi, Mpina alikuwa anapinga Sheria mbovu tu kosa lake nini
@peterrandego1489 Жыл бұрын
ilikuwa ni nadra kukupongeza lkn kwa leo pokea pongezi zangu kwa mara ya kwanza ila hauja tuambia hawa TRA wakirudia michezo yao tunawashitaki wapi?
@jonamnyone8014 Жыл бұрын
Katika hili nakubaliana na waziri Mwigulu hili ni jambo zuri kwa wafanya biashara.
@hammerymachogu3885 Жыл бұрын
Big ip Mh umenena vyema
@emmanuelmlekwangano9991 Жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri sana
@sabathmnubi5033 Жыл бұрын
Ndg waziri kumbuka humjibu mpina bali mh.mbunge usimdharau mbunge mwenzio kwa sababu ya kutofautiana. Tumieni hekima wote mnawawakilisha watu hamjiwakilishi binafsi.
@norascomulenzi222 Жыл бұрын
Tungemwelewa kwanza mpina kwa Usahii.
@lucasbartazari7797 Жыл бұрын
Mpina na Mwigulu wote ni sawa. Hakuna mwema hapo. Ila sasa hivi Mwigulu anapendwa na Samia, naye anbadekla kama Mpina alivyodeka kwa JPM. Wote hawa ni roho mbaya tu na wizi.
@abdallahomary515 Жыл бұрын
Mwigulu ulisha puyanga sana naona leo kama unataka kujiilusha ili tukukubali wewe bado hauko poa sana, sisi hatukutaki nilimsiliza hoja yake iko hivi alisema hizo Sheria zakukufungia watu biashara bado zipo kama, Sasa kama mnasema biashara hazitafungwa maana hiyo Sheria ifutwe msiongee midomni tu wakati Sheria ipo, halafu mimi hua sifurahii sana kunataja mkuu wetu wa nchi Kwa mambo yenu ya kutetea ugali wenu, kwani ulipo waambia watu waende burundi alikutuma mama. fanya kazi acha maneno kiongozi watu wanakusema sana sasa fanya kazi na matokeo ndo yatakayo kubeba
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Isije kuwa , unajisafisha kwa wananchi baada ya kuchafuka sana. Maana waliokuwa wanayafanya hayo ni nyie sio CUF. Siku zote tangu nchi hii izaliwe ni nyie mmekuwa mnatawala. Lakini unavyoongea kama vile mmechukua serikali kutoka mikononi mwa CUF
@AbdilahiMriri7 ай бұрын
Mhe Mwigulu yuko sawa kabisa
@issahajjiira54117 ай бұрын
Very spoken brother
@TimbiloSaid-qc5bs Жыл бұрын
Mwigulu kiongoz wangu mkifanya hivo kiukweli mtaoba fraha kubwa ya wafanya biashara 🙏 mungu akulinde ktk hili
@shijalameckmpemba4529 Жыл бұрын
Safi Sana , because it relates with the case of Palm Beach inn and another vs commission for tourism and two others
@kuyankalango3308 Жыл бұрын
Mzee ujengewe sanamu
@fatumakweka5182 Жыл бұрын
Mhe. Mwigulu Leo umeongea sana Asante sana kwa sisi wa sekta binafsi
@malikimakasi6492 Жыл бұрын
Nchi imewashinda serikalini wapiga Dili mmekuwa wengi
@jamesparadiso5516 Жыл бұрын
Mhe Mwingulu Leo umenigusa sana. Sijuwi umekunywa hayo maji ya baraka hapo... Mungu azidi kukutunza kwa kazi nzuri sana. Kwa mwendo huu unapata kura kilaini ata ukiweka koto lako tu Mh.
@piusgadau6328 Жыл бұрын
kama nakuelewa vile Brother mwigulu
@BernadethaSimba-qi4dw Жыл бұрын
Hamjamfikishia ukweli mama mnamdanganya sana kumbe mnajua Tai ni zetu kila siku AJIRA ni neno la poropoganda wananchi wanaumia tu rudisheni fedha za amma jamani hakuna logiki hapo dirisha la kudhibiti wezi liwe la chuma
@balozimchomvu7779 Жыл бұрын
Mwigulu hoyeee.... Samia mama lao, mpina kivuruge tu.
@monicambossa4937 Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana,wananikera sana TRA
@daudimchileg307 Жыл бұрын
Apana hujamwelewa Pina, musiwekee katazo la moja kwa moja apana, kuna mengi mtaani Huku.
@ibrahimmtoni7899 Жыл бұрын
Mhe. Mwigulu kwenye hili sijui kama TRA wamekuelewa na hao Halmashauri na pia hao wanaojiita LATRA
@anthonysulula766 Жыл бұрын
Twendeni sasa,apa Gari limewaka...Mama samia mitano tena,mpaka,tufike pale ambapo,watu wote waliosoma,watalazimika kuajiliwa kwa miaka 5 tu,na kuwapisha wengine maana wasomi tuko wengi,tukijiajili wengine wanatudiscourage..sasa wote tufike hatua tuajiliwe na baadae tujiajili.namwamini mama.anasikia.
@julaimbwilo10187 ай бұрын
Mbona kwa sasa maafisa wa jiji wanatembea na makufuli wanapo kagua leseni, na kipindi cha magufuli aliwakataa na waliacha mbana wee mwigulu unaleta sinto fahamu.
@JosephMwakisu-q7u Жыл бұрын
Mwigulu hata kama umetenda dhambi kwa Leo uliyosema namuomba Mungu akusamehe maana umemrudia kwa Toba yakweli nachosissitiza mh wazir wa fedha Sheria zibadilishwe tra wanaua biashara za watu kwa sababu ya Sheria kandamizi za Kodi hakika Tanzania itakuwa kama Dubai tutaishi vizur mnooo tra wasinyanyase watu tena waacha uwizi rushwa dhulma Hakika kilio kimefika kwa Mungu tuiepusha. Tanzania na laana ya Mungu
Leo mwigulu uneongea vizuri sana tangu nianze kukusikiliza,hapo tukopamoja.
@michaelchale6086 Жыл бұрын
Mweguru point sna iyo
@isayasokoni4704 Жыл бұрын
Badala ya wee waziri kumshambulia mbuge, kwanini usijibu hoja kwa ujla wake? Huo ni utoto na upumbavu! Kwa kufanya hivyo usidhani ndio tutasahau ulivyotuumiza Mwigulu! Mchawi hata aende Kanisani au msikitini bado anabaki mchawi tuuu!!! Kwa kumshambulia Mpina bado hujatubu dhambi Mwigulu!!!
@johnmwawa2838 Жыл бұрын
Ameongea point utekelezaji vip
@SharifMkengende-qs2gz Жыл бұрын
Safii uyu kaongeza ukweli mutufikilie bhana
@JuhudiMatihoro-qu4kv Жыл бұрын
Wazili nimekulewa sana mm binafisi niliziswa namawazo hayo
@drkalokola58617 ай бұрын
Tatizo ni kuweka mwanya wa kukwepa kodi. Eeka ko do i inayolipika. Njia m adala ni kuweka uko TIC Act.
@davidmakoye3585 Жыл бұрын
Leo umeongea vitu vya mama waziri wa fedha
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Shida Mwigulu amechanganyikiwa hila zake nyingi sana mtu huyu siasa nyingi
@frankwilliam144 Жыл бұрын
Nafikiri huyu jamaa hakumuelewa mpina alichokuwa anakimaanisha. Na ukweli ni kwamba Mpina anatutetea sana wananchi. Yaani Mwigulu anajificha kwenye kivuli cha rais na siyo kutafuta solution ya hichi anachokizungumza.
@josephinamkono5183 Жыл бұрын
Hapo sawa ndio ikusanywe Kwa mara Moja sio faya TBS uachafu Resen mengi kibaoo
@michaelmshighati8432 Жыл бұрын
Mh. Leo umefunguka vizuri sana Hongera kwa Hotuba yaleo Mnyongemnyongeni haki yake Mpeni.
@innocentsulle-bn3uj Жыл бұрын
Kwa iyo serekali inatamiwa kusaidia achani kutudanganya
@Sakina-pr3ly7 ай бұрын
Mpina sijui anaswali dini gan hamuogopi hata mungu
@josephernest155 Жыл бұрын
Mh mwigulu ka mind sana sijui kama watasalimiana hivi karibuni
@nmatuja2191 Жыл бұрын
Umenikumbusha sikumoja nilikuwa nimesafiri,nilipoludi nikakuta biashara yangu imefungwa wala sikujuwa nani amefunga kufuatili kumbe ni watumishi wa jiji.kweli mwigulu uko sahihi kabisa,tuheshimiane
@Sakina-pr3ly7 ай бұрын
Mpuuzi mpina alikuja Kanda ya ziwa nakutufilisi watu tumekimbia miji kwajili yamadeni ya mpina
@edsonessan3370 Жыл бұрын
Ilo umelikumbuka leo au sio lakini ukumbuki kama kwenye mafuta umeongeza shilingi 100
@mmwaupete6265 Жыл бұрын
Inaonekana hajamuelewa mpina na hazungumzi kitaalam kwa maana ya kiuchumi.
@anedannyofficial6307 Жыл бұрын
Aaaha mungu hatunusuru maana wasomiwetu awa awaelewek kwakweli nchi ina zaidi ya miaka 61 ya uhuru lakni wanaangaika km vile inchi imepata uhuru leo. Si sawaa inchi inawasomi wengi hii washilikishi ata wasomi kutoka jeshini watatoa msaada wao.
@ibrahimmtoni7899 Жыл бұрын
Sekta binafsi inapaswa kuheshimiwa sana na ni vyema kukaa nao mezani na kujadiliana kuliko kuwatishia na kufunga biashara zao. Sio Kila kitu kupinga kupinga tu lazima serikali ikifanya vizuri tuwapongeze
@mohamedngoi161 Жыл бұрын
Hii nchi hatutaki kufuata Sheria,kanuni na taratibu.Watu wasipofuata Sheria tusitegemee hata siku moja tukamudu kuendesha Mambo yetu kwa ufanisi.Tumeshuhudia ukwepaji wa kodi wa dhahiri Kama Waziri bado una entertain watu kufanya Mambo kiholela na matokeo yake tunataka tuendelee kubinafisisha tena kwa mikataba ya kinyonyaji Kama inavyoingiwa.Bado tuna Safari ndefu Kama Nchi kwakuwa tunataka Mambo yetu yaende kirahisi rahisi na kiholelaholela
@alexandertanzania9932 Жыл бұрын
Umejiajili au umeajili watu?
@meryshekoloa961 Жыл бұрын
Zimwi linalopita kwa mwigulu ni kupandikizwa chuki omba mungu akufanyie wepesi kwa kipindi hiki kitapita ila upo vizuri
@NovatMarco Жыл бұрын
Reo umegeuka umeokoka umeyajali maisha ya watanzania nimekuelewa leo
@SamwelMabuga-lc1qx Жыл бұрын
hujamwelewa pins we ni mwongo na hujawahi kuwa nahuluma kumbuka zile tozo
@joycenose2356 Жыл бұрын
Mmh hamuwezi kutoa mali Kwa masikini kupeleka Kwa mataji huo ni ujinga
@tukyaclassic-xm1qd Жыл бұрын
Ivi ww na mpina Nani msafi! Wewe mwizi, unapata wapi pesa za kumiliki ivo unavyomiliki!
@VLADDYNDANZI7 ай бұрын
Mpina anachuki sana na sababu kubwa kuwekwa pembeni kwenye baraza la mawaziri kwakuwa Serikali ya awamu ya 5 ndo ilimpatia uwaziri baada ya kutolewa awamu ya 6 kajenga chuki kwa hapo ni kazi
@AwesomeCaptainxx Жыл бұрын
Acha kumsingizia Rais ndie anatuletea makodi alafu wewe huusiki kwenye kumpelekea hayo mapendekezo😏🤫
@mchumiajuani1993 Жыл бұрын
Kwakweli mh wazir leo kanikosha mnoooooooo dah kaka shkamooooooo kweli umekomaaaaa sana mkuuuuu
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Hongera Mhe Mwigulu, natumai ameelewa, ana hasira na kukosa Uwaziri
@twalibmassea65937 ай бұрын
Huyu sio mwigulu 😊
@michaelshayo187 Жыл бұрын
Mwigulu kati ya siku niliyokuelewa ni leo❤
@philipphanuel9558 Жыл бұрын
Mbona mlikuwa mnakamata mizigo, mnashika account za walipa Kodi mpaka kariakoo ilipo waka
@moshintagata100 Жыл бұрын
Ulisema ambaye hataki tozo aende bulundi mama amefuta tozo zasimu sasa uchague pakwenda au ujiuzulu